Wanasema kizuri kula na mwenzio! Sasa naomba ni share nanyi kuwa kuna group Facebook linaitwa Pendo Asili, ni group ambalo watu wanajifunza mambo mengi kuhusu afya ya mwili, nywele na ngozi. Hapa utajifunza jinsi ya kutunza afya yako na jinsi ya kukabiliana na magonjwa kwa kutumia vyakula halisi kabisa!
Kwa mfano hapa chini ni jinsi ya ku control type B-Diabetic kwa kutumia vyakula tuu
-Kuna apple cider vinegar (Ukipata Bragg organic ni nzuri)
-Mbegu za uwatu (fenugreek) saga weka kwa chakula
-Bamia (kata kata loweka kunywa maji yake, usipike)
-Mdalasini ule original
-Vyakula ambavyo havijakobolewa
Haya basi kwa kujifunza milo mzuri na mambo mengine mengi wa join Facebook kwa jina la Pendo Asili.
Greetings! Very helpful advice within this article! It’s the little
changes that produce the most significant changes. Many thanks for sharing!