Wishing my lovely mama a very happy birthday! Mungu azidi kukubariki, akupe maisha marefu yenye amani na furaha. Akulinde, akupe afya njema na akuepushe na mabaya yote. Happy birthday mama. LOVE YOU!
????⌚??????????? and let’s go party???? Hizi picha zina tofauti ya miaka 15. Lakini kwa neema ya Mungu bado yupo fit na amani tele ndani ya moyo wake-Mungu ni mwema sana. Picha hiyo aliyo vaa kitenge ilipigwa home 15 yrs ago, na hiyo nyingine amepiga leo kazini kwakwe. Ashukuriwe Mungu baba muumba wa Mbingu na inchi!
Mwenyezi Mungu akupe Afya njema Ktk Maisha yk akuzidishie Maisha mema yenye Upendo na Amani kwani wewe ni Mama mwenye Upendo Mno.Always God blessing you…!!!
Amina my dear, ubarikiwe nawe pia!