Wow! Kweli siku hazigandi! My babysister jana ameanza nursery school. Yani hata sitaki a mini maana ni juzi tuu ndo kazaliwa leo hii huyo anaenda shule, na wakati bado nashangaa nitashtukia ananiambia “dada nakuja college U.S.A” ?? Nimeambiwa jana alilia sana alipo achwa, lakini leo (in Tanzania’ time) ameamka hasubuhi akawa anasema “school time” kwahiyo alikuwa yupo okay na anaanza kupenda ??? Good job Blessing ………….(pichani ni Blessing, mama Blessing, na cousin-sister Rhoda Igogo).Hapa unapo muona anamtaka 2 na miezi 8 lakini IQ yake utafikiri mtoto wa miaka 7 au 8 ndo maana wameona bora aanze shule. Yeye ajapelekwa daycare kabisa, alikuwa anafundishwa nyumbani na mama yake kabla ya kuanza shule. Mungu azidi kumbariki, akashike sana elimu na awe nuru mbele za watu! Proud of you babysister! Love you deep!
Go go Princess gweth na baraka za mungu zikaambatane na wewe kama jina lako
Amen! amen!