WENZETU nchiini Kenya wanajali sana elimu na wanaipatia kipaumbele. Selikali kwa upande wake imekuwa ikijitaidi kuwekeza katika elimu kwa maana ya kujenga
kiasi kikubwa katika elimu.Jamii pia inathamini na kuweka kipaumbele katika elimu.kila mmoja anajua wajibu wake kwamba anawajibika kughalimia elimu.Mtoto aliepata nafasi ya masomo nje ya nchi,wazazi au mlezi anaandaa mkutano mahalumu wakuwakutanisha marafiki,jamaa na ndugu na Jamii kwa ajili ya kuchangisha fedha,.Utamaduni huo umewasaidia sana wakenya wengi wameweza kupata elimu bora ndani na nje ya nchi.Kutoka nana hiyo Kenya imekuwa wasomi wengi katika sekta mbalimbali.Na leo hii nchi Kenya inaongoza katika uchumi na maendeleo katika eneo la afrika. Ndio maana watanzania wamekuwa wakipinga wakenya kuruusiwa kuja nchini kufanya kazi.Mtanzania ambaye kila uchao analalamika kuwa hana pesa za kuchangia elimu ya mtoto wake, ndie anaeshiriki kuchangia harusi ambayo huchangiwa kuanzia laki moja na kuendelea.huu ni utamaduni ambao haufai na umepitwa na wakati UKIWA MTANZANIA ULIEGUSWA TUNAOMBA UTOE MAONI YAKO. Mipango wa elimu BURE kwa mtanzania pia changamoto katika utekelezaji wakeYani shemeji yangu umeongea point mpaka naona aibu kukutania ?? ila bado mtu akisoma atajua tuu aliye andika ni Muhaya ??