??? hii kazi ya uwalimu naona imekufaa haswa! Naona unapendeza pia kuwa mtoa ushauri nasaa ?? Haya asante Mwalimu tutafata ushauri wako japo number 8 sijajua kwanini umesema “mama tu” kwani wakina baba hawapendi maendeleo ya watoto wao? Funguka basi!
