Je na wewe ni mtu sensitive? Well, let me tell you if you don’t know me! Mimi ni mtu mmoja very sensitive and sentimental. Seriously, I am very-very sensitive and I am not ashamed of it!! My love to family members, friends, acquaintances has been always 100% REAL lakini often nimekuwa misunderstood, and that is OK with me! You can’t be accepted and loved by everyone! Kuna watu ambao navumilia kuishi nao au ku associate nao, kuna watu ambao pia najifunza kuishi nao au ku associate nao. Watu ambao ni genuine wapole, watu ambao hawapendi ku socialize kwa sana (I am one of them: social imperialism) etc Lakini kuna watu ambao hata siku moja sitokaa ni jifunze wala kuvumilia kuishi nao au ku associate nao. Watu ambao ni wanafiki! Waongo! Wachonganishi! Wenye dharau ya kujiona kuwa wao ni bora kuliko wengine! Wasukaji na wasambaza majungu bila kujali kiasi gani wanawaumiza watu au familia za watu kwa majungu yao. Yani honestly, hawa watu sijui jinsi ya kucheka nao nawala sioni aibu kusema I CAN’T ASSOCIATE WITH PEOPLE LIKE THAT! We can love and respect one another from a distance! That is fine too! Hata kama ni ndugu yangu I will just find a way to distance myself from you! Sijuwagi ku keep people around me just for the sake of “public image”! Yani huyo siyo mimi hata kidogo. Kuna mtu aliniambia eti Watanzania wengi ni wanafiki sana inabidi uwe mvumilivu sana ku associate nao. Nikasema the key point hapo ni “WENGI” that means SIO WOTE! Hivyo SIHITAJIKI kumvumilia MNAFIKI hata siku moja! Kwanza naanzaje?! Better be alone than kuzungukwa na wanafiki!