All posts by Alpha Igogo

#TBT

FB_IMG_1459433658131#TBT #Home #KekoJuu

….. Nimesahau mwaka lakini ni kati ya mwaka 88 na 89. Mmh! Nilikuwa “kipotabo” lol!

Hot shot of the day

Screenshot_2016-03-29-13-09-55-1Wee Zari weee! Jamani hizo sasa sifa kha! Si kwa uzuri huo jamani ?? em legs gal! Awiw! Too cute for a word ?? ………… Enjoy your tour mama Tee, waiting to see you in Dallas ??

Mother and daughter moment

FB_IMG_1459292116133-1Nimependa sana hizi picha za Sandra Mushi na mama yake. #NaniKamaMama Pendeza sana  FB_IMG_1459292101845-1wazurije sasa. Too cute! mbarikiwe sana

A word of wisdom

Not everything that happens to you is bad. Maybe God allows some things to happen because of the good He is trying to do in your life! You might be going through a difficult time right now but TAKE HEART – God will lead you THROUGH IT! #DeVonFranklin #motivation #inspiration #takeheart FB_IMG_1459292361302

Special edition: Mr and Mrs Dangotes katika ubora wao!

Screenshot_2016-03-29-13-10-50-1Awii! Aren’t they cute! wamependeza sanaaaaaa!Screenshot_2016-03-29-13-11-14-1 ??? si kwa mapozi haya jamani kha! Screenshot_2016-03-29-13-11-42-1Sasa hapo ulikuwa unaimba ‘Zari lala’ badala ya “Latty lala” lol! Screenshot_2016-03-29-13-11-06-1Pendeza sana baba Tee na mama Tee wa ukweli ❤❤

Jamani ratiba ya tour si mmeiyona? Kama bado tazama hapa ? hutakiwi kupitwa na hii history ? Screenshot_2016-03-29-13-25-32-1

Father and daughter moment

Screenshot_2016-03-29-18-27-39-1Precious little girl how cute you are!!  Wow! Huyu mtoto ni mzurijee jamani! Naona aliumbwa asubuhi na mapema siku ya kwanza ya juma baada ya mapumziko ya Sabato. Yani Mungu akiwa fresh hajachoka ?? really cute! Mbarikiwe sana wazazi wake. Na Mungu awalindie mwanenu ?

 btw huyu kaka ndiyo promoter anaye mletea Diamond na ma super star wengine hapa USA

Father and twins moment

Screenshot_2016-03-29-13-13-03-1Awii! Aren’t they cute! Dr. Mengi na vijana wake. Wapendezaje sasa, usinicheke hata majina yao siyajui ?? lakini hiyo haitoi ukweli kwamba ni ma-handsome wa nguvu! Mungu awabariki.

Ngoja nitumie nafasi hii kuongelea jambo fulani ambalo nililiandika humu wakati fulani mwaka jana. Niswala ambalo lilikuwa linahusu family ya Dr. Mengi haswa kuhusu ndoa yake na K-Lynn Screenshot_2016-03-29-18-29-43-1These boys are adorable! Super cute!…. anyway tuendelee na story yetu ? Basi katika kujifanya mimi ni mmoja wa wanaojua kutoa kasoro na ushauri kuhusu familia za watu sinikaandika kuhusu habari ya K-Lynn na Dr Mengi! ?? mbona nilikoma!! Mara naangalia simu nakuta missed calls kibao kutoka home kwa mama Igogo. Watsup msgs ndo usiseme! Akasema nifute haraka sana hiyo post na hata mtu aki  Google asiipate! ???

Mbona ilikuwa balaa! Mdogo wangu Magreth toba! Yeye ndo alikuja juu kweli kweli utadhani Dr Mengi ni baba yake mzazi ??? Anyway to make a long story short, Mama yangu alicho nisisitizia ni kuwa hata siku moja nisije weka  post humu kuhusu matatizo ya familia ambazo hazinihusu!! Niache mara moja, na kama nikitaka kuandika basi niandike matatizo ya familia yetu na si zawatu  wengine!!……. yani nilikosa raha nika muandikia my cousin-sister Sophia Makoyo msg (inbox) kwa Facebook, soma ? Screenshot_2016-03-29-08-27-32-1Tokea siku hiyo sijawahi kuandika kitu chochote kile juu ya K-Lynn na Dr. Mengi mpaka hivi leo. Nawala sito kaa tena kuzungumzia matatizo ya familia yoyote ile ambayo hainihusu unless nimeitwa mahakamani kutoa ushahidi!! Screenshot_2016-03-29-13-13-27-1Haha! Nilijikuta nime ‘kula’ block kwa Instagram ya K-Lynn lakini naelewa na hivyo mbele yenu nyinyi wasomaji wangu, na mbele za Mungu naomba leo niwaombe rasmi msamaha K-Lynn na Dr. Mengi’s family kwa ujumla wao. Naomba mnisamehe sana for my lack of wisdom and respect to your family. Nilikosea sana kuingilia maswala ya familia yenu wakati hayanihusu hata chembe! Natoa ahadi, sito rudia tena. Na si kwenu tuu bali kwa mtu yoyote yule. I hope you will find a place in your heart to forgive me. ?

Ushauri wangu kwa wasomaji wangu wote ni kwamba; maswala ya familia ni maswala sensitive sana, ni maswala personal, ni maswala ambayo yapo very complicated. Hivyo kama wewe si muhusika wa moja kwa moja wa hiyo familia basi keep your nose out of it!! Tujifunze kuheshimu na kulinda familia zetu. Hata kama hiyo familia ipo machoni kwetu 24/7 hiyo haitupi huwalali wa sisi kuingilia na kutoa ushauri wa nini kifanyike katika hiyo familia, kwani “kitanda usicho kilalia hujui kunguni wake.”!! Halafu sisi tunapo ziongelea hizo familia hakuna tunalo saidia zaidi ya kuongeza matatizo, chuki, na kuumiza wahusika zaidi. Matatizo ya familia yatatatuliwa ndani ya familia na wana familia wenyewe.

Kila familia hapa duniani ina matatizo yake! Sasa sisi ni akina nani hata tunyooshee familia zingine vidole wakati matatizo ya familia zetu wenyewe yanatushinda?! Hata mimi mwenyewe nipo over protective when comes to my child, parents, and family. Yani dare not to mess up with my family! Kwanza nitakuuliza who the heck are you!!  If you’ve never walked even a single mile in my shoes, you have no say in my world!! Just find a seat somewhere on the corner and zip it!!

Mungu azidi kuzibariki na kuzilinda familia zote hapa duniani ? much love to K-Lynn and Dr. Mengi’s family ?❤

Mother and son moment

Screenshot_2016-03-29-08-25-27-1Mama Dangote na Dangote kwa raha zao ati ndani ya mitaa ya Europe . Mmependeza sana. Mbarikiwe mno

Mother and daughter moment

Screenshot_2016-03-28-22-15-49-1Mwamvita Makamba na binti yake Malaika. Wamependeza sanaaaaaa! Hii ilikuwa juzi kati siku ya 10th birthday ya Malaika.  Walinoga mno!………..jamani mimi ukija kwenye mambo ya ‘theme’ za birthday za watoto ni sijui kabisa! Nafikiri pia mimi kutokuwa mtu wa party-party imechangia zaidi. Basi hapa idea tu sina kuwa hii ilikuwa theme ipi ?? ngoja ni confess ??sijawahi kumfanyia mwanangu birthday party ??yani siku zote nitampeleka dinner yeye na marafiki zake pamoja na baadhi ya marafiki zangu, lakini si party.  Na hii tabia naona nimeitowa kwetu. Sisi huwa tunapenda kwenda dinner as family au saa nyingine tunatoa order ya catering wanatuletea nyumbani…………… anyway, mbarikiwe sana

Wapendwa, Mwamvita pia ana blog inakwenda kwa jina la www.mwamvitamakamba.com pita uione.

Hongera sana Flaviana Matata Foundation

Screenshot_2016-03-29-08-22-17-1Screenshot_2016-03-29-08-21-29-1Screenshot_2016-03-29-08-21-42-1

Wapendwa wasomaji wangu, naomba wote mlioko Bongo kama una mtoto na anakwenda shule. Basi ukitaka kununuliwa vifaa vya shule na pamoja na madaftari na school bags, tafadhali tafuta ambavyo vinywa na Flaviana Matata. Vile vyenye logo ya Flaviana kwani kwa kufanya hivyo tunasaidia kutunisha mfuko wa Flaviana Matata ambao inasaidia ndugu zetu walioko kwenye mazingira magumu.  FB_IMG_1458142752494

Hongera sana Flaviana Matata Foundation kwa kazi nzuri mnayo ifanya ya kusaidia jamani yetu haswa wasichana. Mfano mzuri sana wa kuigwa.

Mother and sons moment

Screenshot_2016-03-29-13-06-44-1Kiki Zimba na vijana wake. Priceless! Mbarikiwe sana

Mother and son moment

Screenshot_2016-03-27-15-27-22-1Dina Marios na kijana wake. Jamani Zion mzurijee, Mungu amlinde na mapepo yooote ya hii dunia. Wamependeza sana. Mbarikiwe mno

Sister sister

FB_IMG_1459210413864Mabinti wa Professor Sarungi, warembo kutoka Utegi, Rorya. Mmependeza sana. Ni furaha sana kuona ndugu wakipendana namna hii. Halafu sasa mmependezake, jinsi dada Vero alivyo smile. She has the cutest smile ? mbarikiwe sana dada zangu ❤❤

Mother and daughter moment

Screenshot_2016-03-27-15-47-15-1Mama Tee na Tee wake. Angalia wanavyo tizamana hadi raha. Wamependeza sana. Mungu awalinde na awabariki siku zote.

Sister sister

imageMy darling friend Rose (right) na mdogo wake. Hapa Rose alienda kutembea ndugu na jamaa huko Kenya. Ila yeye na familia yake wanaishi Kalamazoo, Michigan ……pendeza sana my friend ❤❤

Kutoka Facebook

FB_IMG_1459172445729Nimependa sana hii picha ya dada yangu kipenzi Esther Kachare….. mwanamke jicho ati ?? Nimependa jinsi alivyo tengeneza nywele. Nzuri sana.  Ubarikiwe dada ake.

Good deeds never go unnoticed!

Screenshot_2016-03-29-12-45-27-1My sister Mh. ShyRose Bhanji doing what she does best! Helping the ‘underprivileged’ children, in Mbweni. FB_IMG_1459224704764My sister! There’s no any single good deed that goes unnoticed. God is  in a right ‘angle’ to see every single deed! May He  bless you abundantly! FB_IMG_1459224723880Simply beautiful! Mbarikiwe sana ?

Easter moments: Oprah

Screenshot_2016-03-27-15-49-41-1Miss. Winfrey yeye alienda kucheza kwenye milima ya barafu. Yani mimi hakuna kitu sipendi kama snow! Ni nzuri ukiitazama kwa mbali tu na siyo ndiyo iwe sehemu ya maisha yako. Nimeishi sehemu za baridi sana na hata siku moja sijawahi furahiya  au kuzowea snow!…..anyway, Happy Easter to her ?

Easter moments: Mr and Mrs Magufuli

IMG-20160327-WA0011Rais wetu Dr. JP Magufuli na firstlady wetu wao walianza siku ya Pasaka kwa kushiriki ibada takatifu katika kanisa la KKT Azania. IMG-20160327-WA0009Mama wa taifa na baba wataifa wakifuatilia ibada. Btw; wale waliokuwaga wanauliza eti nani “ataenda naye Ikulu” mpo?? Jibu lenu mmepata au nanyie ni “majipu” tuwatumbue ???  ringa mama yangu, kwa raha zako ati ??? nawapendaje sasa! Mbarikiwe sana ?

Easter Moments: Mndalilas

FB_IMG_1459224544002Familia ya brother Stevie  Mndalila kutoka Indiana wakiwa pamoja wakifurahiya ufufuko wa Bwana Yesu. Nafikiri hapa walikuwa wametoka kanisani wakielekea nyumbani. Wamependeza sana. Mbarikiwe sana. Btw…….. Hizi picha za mbuga mbali mbali za Tanzania ninazo badilishaga  huwa natoa kwa Stevie, nimejisalimisha mwenyewe ??