All posts by Alpha Igogo

Hellen is Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC.

Founder & Managing Director of Nuya's Essence,LLC.
Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC.

Hellen is Founder & Managing Director of Nuya’s Essence,LLC. Based in Zanzibar, Tanzania. Nuya’s Essence, Natural bath & body care handcrafts natural skincare products are from carefully selected botanical oils, butters and herbs without any harmful chemicals . Only the highest natural ingredients in the market, thus creating market and employment to local producers and creating the most amazing skincare products that are gentle on the skin. #HappyWomenDayIWD2016 FB_IMG_1458145152359Hellen Dausen. Miss Universe Tanzania 2010
Hellen ni Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Nuya’s Essence, LLC. Iliyopo Zanzibar, Tanzania. Nuya essence inazalisha sabuni za kuogea na mafuta ya kupaka mwilini yatengenezwayo kwa kutumia bidhaa asilia kama vile mafuta ya asili, siagi na mitishamba bila kuongeza kemikali yoyote. Kwa kutengeneza bidhaa hizi Hellen anatoa fursa ya soko na ajira kwa wazalishaji wa ndani(Wenyeji) na kutengeneza bidhaa bora kabisa za ngozi ambazo ni nzuri kwa ngozi.#HappyWomenDayIWD2016

Hongera sana Ms. Hellen

Nani kama mama!

Screenshot_2016-03-15-19-53-16-1Hakuna kama mama!! Upendo wa mama kwa mtoto ndiyo ‘pumzi ya uhai’ kwa mama na mtoto. Ukikosekana kunakuwa hakuna uhai tena……. wabarikiwe WAMAMA wote duniani. Jamani naomba uwelewa nimesema “wamama” kwa herufi kubwa siyo wanawake wote walioza ni wamama!! Mama ni zaidi ya kubeba mimba na kuzaa!! Kuna wanawake wengine wamezaa tuu lakini hawana sifa wala hawastahili kuitwa mama!!#RealTalk…. !

Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 International Model

Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 International ModelFB_IMG_1458142745664Founder of Flaviana Matata Foundation, was founded and launched in 2011. FMF was established as a not for profit, non governmental by the Tanzanian International model as a way to give back to a society and aide in improving lives of fellow Tanzanians especial young girls. Currently sponsoring a number of girls in secondary schools, contributed pads, pants, plastic disposal bags, anti bacterial soaps also provides desks, stationery kits to students, rehabilitated classrooms and improved sanitation for teachers and pupils.#HappyWomenDayIWD2016 FB_IMG_1458142752494Flaviana Matata- Miss Universe Tanzania 2007 Mwanamitindo wa Kimataifa
Mwanzilishi wa Mfuko wa Flaviana Matata, Ulianzishwa na kuzinduliwa mwaka 2011. FMF ilianzisha kama shirika linalojiendesha bila faida na lisilo la serikali na Mwanamitindo wa kimataifa Mzalendo kama njia ya kuitumikia jamii na kuboresha maisha ya Watanzania wenzake hususani watoto wa kike. Mpaka sasa mfuko umeshadhamini wasichana mbalimbali wa shule za sekondari, ikichangia vitaulo vya wanawake (Pads), nguo za ndani, mifuko ya plastiki,sabuni zenye dawa pia wamedoa madawati, mifuko ya kuwekea madaftari,kukarabati madarasa na vyoo vya wanafunzi na walimu. #HappyWomen’sdayIWD2016 FB_IMG_1458142759011

Hongera sana Ms. Flavianna.

*Please note: bado tupo mwezi wa tatu. Hivyo nitaendelea luleta hizi msg za siku ya wanawake duniani mpaka mwisho wa mwezi*

Hot shot of the day

FB_IMG_1458025215961Jamani huyu mtani wangu nampenda sana. Halafu tumetoka mbali ati! Toka enzi za college  (CBE) product ya Mwl. Mwikila siye lol!  FB_IMG_1458025196517Halafu sasa, anajua kunikosha kweli; yani yeye huwa habahatishi hachagui “koroma” hata sikumoja, si mnawaona that “chocolate” brother??? isn’t he handsome ??? No, nothing is going on, they’re ‘just’ good buddies ? ……….pendeza sana mtani wangu just keep “indulging” yourself with that chocolate ?? ❤❤❤

Biashara ni ubunifu si majungu!

IMG-20160315-WA0019Wapendwa wasomaji wangu, katika kila kitu hapa duniani ambacho binadamu anataka kufanya iwe kwa kujikwamua kiuchumi, kijamii, au kisasa lazima utakutana na watu waliotangulia ambao walianza kabla yao. Wakati huo huo kutakuwa na wengine ambao watakuja nyuma yako kufanya kile kile unacho fanya. Basi usiwe mwoga kwani haijalishi hata mkawa watu mia moja katika mtaa mmoja wote mnauza au mnafanya biashara inayo fanana kwani ubunifu wako ndio “nguzo” yako!!

Kuna wengine ambao wao “majungu” ndo kazi yao. Badala ya kufikiria jinsi gani watajiboresha wao kutwa “kupepeta” mdomo ili kuchafulia washindani wao majina wakifikiri kuwa kufanya hivyo kutawapa kile wanacho kitaka bila kujua wanajichimbia ‘kaburi’ lao wenyewe kwani “chema chajiuza kibaya chajitembeza”!! Hawa wapenda majungu ndo wanao ishia kwenda kwa waganga na kuuwa watu ………… Biashara ni ubunifu si majungu!!

“Makonda hajabebwa”-Salima Moshi

Mr. Paul Makonda akila kiapo cha utiifu mbele ya Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Mr. Paul Makonda akila kiapo cha utiifu mbele ya Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli

Ukiwa mchapa kazi Mungu lazima akulipe, na huhitaji kuwatembelea waganga wa kienyeji kutafuta promotion. Nawashauri vijana wenzangu muige mfano wa Makonda wa kufanya kazi kwa kujituma na kuzipenda kazi zenu ili mfanikiwe. Na  kamwe msiwasikilize wale waliozoea kubweka na kubeza kila kitu kwani wao ni vigumu kuona ubora wa kazi na mazuri yanayofanywa na serikali kwa kutumia macho ku mchuzi.  Kama Makonda ameweza, nina uhakika na wewe unaweza. Jitumeni, muwe wabunifu na mzipende kazi zenu ili mbarikiwe na muonekane.  Makonda hajabebwa, bali kajibeba mwenyewe mpaka ameonekana.  KAZI NI KIPIMO CHA UTU…….

Ms. Salima Moshi
Ms. Salima Moshi

Kutoka Facebook

FB_IMG_1458025681556Leo nimependa sana hii picha ya huyu binti anaitwa Tunu kutoka Bongoland.  Kapendeza sana na uzuri wake wa asili. Tunza sana ngozi yako usije haribu kwa kupaka chemical yoyote ile. Ubarikiwe sana

Please don’t do it!!

Wapendwa, naomba leo nigusie hili swala la kutumia simu wakati una drive! Kama wewe ni mmoja ya watu ambao hufanya hivyo tafadhali nakuomba uwache. Si tuu kwa faida yako mwenyewe bali pia kuokoa maisha ya watu wengine wasiyo na hatia!

Picha hii ni kabla na baada ya ajali.
Picha hii ni kabla na baada ya ajali.

Embu angaliahiyo video hapo juu jinsi huyu binti alivyo taka kupoteza maisha yake kwa ajili ya kutaka kusoma tex msg wakati akiendesha. Japo mama yake siku zote amekuwa akimsihii kutotumia simu naye amekuwa akimsikia mama yake lakini saa nyingine anatumia. Mbaya zaidi hii text ilikuwa inatoka kwa mama yake ambaye alikuwa kazini na hakujua kama binti yake yupo bara barani!

Jamani, hili swala halina cha mkubwa wala mdogo kutumia simu wakati upo bara barani ni hatari sana na inaweza mkuta mtu yoyote yule! Tafadhali kama nilazima utumie simu basi paki gari inje ya bara bara tumia simu kisha uwendelee na safari yako!

Screenshot_2016-03-15-01-38-04-1Najua kuna mtu anaweza sema ooh! Siku hizi unaweza tumia handsfree phone ambayo ipo built-in kwenye gari! Sikia, tatizo sio kushika simu wakati unaendesha ndio tatizo pekee bali pia mawazo / akili yako wakati unaendesha nayo nitatizo. Hivyo ni bora kuacha kwani its not worthy it!! Jali na okowa maisha ya wengine kwa kuwa extra cautious!!

Akothee Akothee katika ubora wake!

Screenshot_2016-03-13-19-56-39-1FB_IMG_1457939661272Jamani Akothee kitanda kimoja kinatandikwa na mutu 3? ??? aah! Umetisha! FB_IMG_1457939666737I love your bedroom, hakipo clouded. Safi sana. Nakitanda kizuri sana. FB_IMG_1457939676249Nice!……..jamani mme soma ujumbe hapo juu ….!!

Hot shot of the day

Screenshot_2016-03-14-03-13-38-1This is so hot! Huyu anaitwa Iris ni binti wa mwanamitindo wetu wa kimataifa Miriam Odemba! Kapendeza sana, mrembo kama mama yake. Be blessed!

A word of wisdom

Screenshot_2016-03-14-01-17-25-1“INTEGRITY IS EVERYTHING”! ……AMEN! AMEN! AMEN brother! Screenshot_2016-03-14-01-18-36-1

“Celebrate kila hatua” -Dina Marios

Kwenye maisha tunapaswa ku celebrate kila hatua ndogo tunayo piga. Kumbuka mwendo wa hatua 1000 huanza na hatua 1 so lazima ufurahie kila hatua tupigayo. Tunayo mengi ya kumshukuru Mungu hata pale ambapo bado tu matamanio mengi tu na malengo makubwa bado kutimia .Lakini lazima ufurahie hiyo safari na njiani kuna mambo madogo madogo ya kusherehekea kabla ya picha kubwa kutimia. FB_IMG_1457939011948Usiwe kipofu wa kutokuona haya madogo na ukaona hayana maana umekazana kutamani ile picha kubwa itimie ghafla kama muujiza. Utakuwa mtu wa wasiwasi, stress, kwa nini? kumbe unajitesa tu. Furahia safari yako. Furahia kila hatua.

Mother and sons moment

FB_IMG_1457937392559Jamani, nimefurahi sana kuona vijana wamekuwa wakaka wa nguvu!……….wapendwa ngoja niwape intro kidogo, si mnanijua mie kwa ma-intro ??  Neema na  baba wa hawa watoto (Denis and Derek) ni marafiki zangu sana. Wote tulisoma college pamoja (CBE) japo  baba yao yeye alitutangulia……Nimebahatika kushuhudia engagement yao, harusi, mpaka uzao wao wa kwanza. Huyu mdogo (kati kati) yeye bado sijamuona, lakini naamini next time nikiwa Bongo nitamuona……….mimi siendagi Bongoland mara kwa mara mostly every 2-3 yrs ndo huwa naenda, na nikienda huwa nakaa sana 2-3 months hivyo hawa wako kwa list yangu this time!………mbarikiwe sana ❤❤❤

Maneno ya kugusa moyo toka kwa LB!

Screenshot_2016-03-14-01-35-44-1Maneno ya kugusa moyo hayo! Nani kama mama!! Ubarikiwe sana mama mwema…….Leyla, you are beautiful God bless you aboundantly!

Signature yako inahitajika!

Screenshot_2016-03-14-02-05-10-1Wapendwa wasomaji wangu, ushiriki wako unahitajika! Tafadhali fatilia huu ujumbe kwa Mr. Zitto Kabwe ili uweze kushiriki kuweka saini yako na Tanzania iyokoke kwenye hili janga! Asanteni!

Mr and Mrs Baraka katika ubora wao

FB_IMG_1457588021699Cute!…..Mr and Mrs Baraka Kissa. Pendeza sana my cousin and my sister in-law. Mbarikiwe sana

Father and daughter moment

Screenshot_2016-03-12-14-27-09-1I loved this pic so much, Diamond and his daughter Queen Latifah. Just adorable!

The “Dangotes”!

Screenshot_2016-03-12-16-53-49-1Jamani ni muda sasa sijawaweka hawa marafiki zangu, the “Dangotes” baba na mama Tee wa ukweli lol! Zari was that a”private” jet ? ??? Gal, you need to come to U.S.A please…….anyway, mpendeza sana

Let’s Stop Cyber Bullying!

Let’s Stop Cyber Bullying! Share and Shame Bullies! Cutters-Anonymous-image-cutters-anonymous-36305499-580-412Technology has made us so much more accessible, information can be easily and cheaply passed around. Communication has become easier. The creative of this world have an abundance of footage with which to play around and produce memes, videos, jokes, etc. to amuse an ever expectant audience. Great right? 

No, not so great when jokes can be made at your expense. When your most embarrassing moments can easily go viral. When false allegations can be made against an individual, published and communicated to the world as in the case of model Tafadzwa Mushunje. A young woman who has gone through unimaginable suffering at the hands of malicious individuals who spread what have been proved to be false allegations against her.Tys_AntiBullying_Quote7Tafadzwa, a 24 year old Zimbabwean model was apprehended and accused of injecting her lovers 3 year old son with her HIV infected blood, physically assaulting him and forcing him to drink her urine. 

These allegations were based on information obtained from an unknown source that were published as factual first hand information on a local website. Hundreds if not thousands of people assisted in making hers a living nightmare as the story spread like veld fire on social media and harassment, judgement and ridicule came from all angles. 

Her name has since been cleared after HIV test results of her and her lovers’ child came back negative. But as she celebrates her victory, I can’t help but wonder, what would have been her fate had she been found HIV positive? 

When you really think about it, we as a society are still a long way from being exonerated from our social media sins. Thousands of lives have been destroyed through scandalous emails, texts, Images etc. being passed from one individual to the other and its’ time that we become more “cyber-savvy”. By this I mean that it’s high time our societies are taught how to use the internet wisely. Not only is a bully found in the playground preying on minors, but can also be found anywhere and can prey on adults too. 

It’s time people come together and unite against cyber- bullying and prevent the further perpetration of such crimes. In the same manner that adults strive to protect their children from bullying at schools, they should also protect each other on all social networks.

FB_IMG_1457931788274Extract From African Exponent Article (source: one of my Facebook friends)

Kutoka Facebook

FB_IMG_1457587912139Jamani Tanzania tumejaliwa sanaaaaaa! Yani si tu uzuri wa maliasili ya inchi yetu bali pia wanawake / wasichana warembo sana. Nakumbuka enzi nasoma CBE nilikuwa naishi kwenye jengo ambalo lilikuwa ni wasichana watupu. Hilo jengo lilikuwa likiitwa “Serengeti”. Nilipo uliza kwanini “Serengeti?” Mtumishi mmoja wa chuo akasema, kaa hapa kwenye corrido halafu angalia wasichana wanaopitia hapa ???……..akasema utaona kila aina ya wasichana wa rangi mbali mbali, wafupi kwa warefu, wembamba, wakati, na wanene, na wote wazuri sana wanavutiwa!! Karibu “Serengeti National Park” ???? na watalii wenyewe ndo hao (ananionyeshea wakaka) wanapishana tuu kwenye ngazi ??  FB_IMG_1457587928117my dear you are blessed! Gorgeous! Btw……Happy belated birthday to you. Ubarikiwe sana