Oya! Siunajua nakupendaga right ? Ok. Nakutakia furaha na kheri ya siku ya kuzaliwa kwako. Mungu akuzidishie neema. May u have more faith in God as u turn……years old! All I can wish u on ur birthday is happiness, success and long Life in this world my adorable baby brother Guka Igogo….I Love u n u know it aah! (Your sister ☝) Happy birthday dogo and Prosperous New Year ?❤
All posts by Alpha Igogo
Happy birthday Hon. Madam, Judge
My heartfelt birthday wishes to my darling cousin-sister Honorable, Madam, Judge Dr. Modesta Makopolo! Wishing countless blessings filled with joy, love, and happiness. Happy birthday mutoto wa shangazi yangu. Love you! ?
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Mai Igogo
Kheri ya siku ya kuzaliwa mrembo wa Utegi ? uwe na mwaka mpya mwema ulio bubujikwa furaha na amani. Happy birthday beautiful! Love you!
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mwl. Ngonyani
Nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wangu Mwl. Ngonyani. Mungu akulinde, akupe afya njema, na furaha tele. Pia uwe na kheri ya kumaliza mwaka 2015 na kuuanza mwaka 2016. Ubarikiwe siku zote. Much love from Texas.
Eddah Elegant Catering Christmas party
Niliahidi kuleta hizi picha hapa, basi ngoja nitimize ahadi yangu. Kwa wale mliotukutia kati ni vihi, wiki iliyopita siku ya Christmas Eddah Elegant Catering iliandaa party kwa familia na wanajumuiya wote wa ishio Maryland na vitongoji vyake. Basi zifuatazo ni picha za kazi waliyoifanya. Huyu ndio mama EEC (Eddah Elegant Catering) mwenyewe. Hongera sana tena sanaaaaaa Eddah Gachuma. Kazi yako imefurahiwa sana. Nawewe mwenyewe ulipendeza sana.Mapambo na rangi zake zimeendana kabisa na tukio. Imependeza sana. Ninaposema Eddah Elegent Catering naomba ujuwe kuwa si wababaishaji ati! Ni watu wa huwakika na kile wanachokifanya. Hivyo usije sita kuwatumia pale unapo hitaji catering. Nimependa Ubunifu wako wakujua kuwa Christmas ni siku ya kifamilia zaidi hivyo ukakumbuka kuweka sehemu ya watoto nao wakafurahi. Unajua hakuna ubaya wowote watu hata kumi kufanya biashara ya aina moja. Kitu kikubwa ni ubunifu! Wewe unajitofautishaje na wengine ili uvutie wateja wote kwako Kwa mfano kuna weza kuwa hata na KFC kumi katika eneo moja lakini huduma zao ndizo zitakazo watofautisha kati ya mmoja na mwingine. Hivyo kazania sana kuwa mbunifu, na huduma zako zidisha ubora zaidi ya hapa. Hata kama unapata faida kidogo lakini kama watu wanakupenda watakuita kila siku kwenye sherehe zao. Ukishajenga trust kwa wateja wako yani hata uwa charge kiasi gani watakuita tuu. Kwa mara nyingine tena hongera sana Eddah Elegant Catering kwa kazi nzuri unayofanya. Najua next time itakuwa nzuri zaidi na zaidi. Wapendwa hizi ndizo party za kwenda haswa kwa wazazi. Party zenye heshima na hadhi zake . Party ambayo uwoni aibu kumwambia mtoto wako twende sote mwanangu! Party ambazo zinajali familia na kuandalia watoto sehemu yao bila gharama ya ziada. Siku nyingine ukisikia EEC wanaandaa event yoyote yani usikose.
Hot shot of the day
Wow! Black Beauty! Huyu anaitwa Aisha toka Bongoland. Nimependa sana hii picha, haswa ngozi yake. Ngozi nyeusi laini na nzuri kabisa. I mean her skin texture is to die for! Mimi binafsi napenda sana weusi wangu tatizo nililonalo; ngozi yangu ya uso inamafuta sana hivyo huwa napata chunusi usoni. Na dawa nyingi za kuondoa chunusi zina bleach basi napataje shida?! ?? kwa hiyo huwa nikiona watu wenye ngozi kama ya Aisha huwa na furahia sana. Tunza ngozi yako dada ni rangi adimu sana kupata sikuizi. Nashukuru sana Mungu mwanangu naye anangozi kama yako, very soft!Ubarikiwe sana mpendwa. Uwe na mwaka mpya mwema.
Happy 61st birthday Denzel Washington
Awii! Nampendaje sasa huyu mwanaume ?? mwanaume mwenye akili timamu zilizo kamilika, mcheshi, mnyenyekevu, ana wingi wa hekima na busara, aliye jawa na hofu ya Mungu! Did I say he got money too?!?? Mh! some women are just lucky huh!?? 61 and still hott! Happy 61st birthday Mr handsome! God be with you always ❤
Kutoka Facebook
Leo kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya Zawadi na binti yake. Wao wameenda kupumzika huko Bangkok kwa sasa. Unaweza wa follow kwenye IG kwa majina haya Zawadi Kakoschke, Bintimalaika, au wa tembelea kwa familia blog yao hii www.maisafari.com
Happy birthday Sophia Makoyo!
Napenda kumtakia my darling cousin-sister kheri ya siku ya kuzaliwa. Ubarikiwe sana, uwe na maisha marefu yenye amani, furaha, na afya njema. Mungu akutangulie katika masomo yako. Happy birthday girl! Much love ?
“Tumtangulize Mungu we are nothing bila Mungu”
Mother and daughter moment
Kichuna cha Kizaramo a.k.a Missy LB muke ya Mali pamoja na binti yake kipenzi Brenda. Napendaga sana hii familia na smile zao, lovely and genuine!? Wamependeza sana. Mbarikiwe wapendwa.
Happy birthday Vincent
Kheri ya siku ya kuzaliwa shemeji yangu Vincent. Nakutakia maisha mema, marefu, yalio jaa upendo, amani, furaha, na afya njema. Ukazidi kuwa na busara na hekima ya kuitunza familia yako na mkeo kipenzi. Zaidi ya yote ukapate kuwa karibu na Mungu wako zaidi ya jana. Bila Mungu vyote ni batili! Mweee! Eddah mtoto ya Gachuma Muke yake na Vincent, dada yangu umelamba “dume”au dume limekulamba ?? what a lucky man with a blessed lady on his left shoulder! Da Eddah enjoy your blessing my dear ? wa namna hiyo ni wachache sana ! Unaona wapendwa, ukishafika umri fulani na unafamilia nyumbani inakutegemea hivi ndivyo unataka kufurahia sherehe yako ya birthday; Small party / gathering na watu fulani amazing wanaojitambua ? safi sana ? classic! Jamani kujitambua ni muhimu sana. Vitu kama hivi havifanywi na watu wasio jitambua! Yani utakuta baba zima mwenye watoto kutwa yupo bar au kwenye nyumba za mwanaume wenzake eti “chilling na mshkaji” sasa huyo “mshkaji” anakushika nini mpaka ushindwe ku chill with your family?! #SMH Sehemu kama hizi mnakutana na ku have fun kwa masaa kadhaa kisha kila mtu anaondoka zake home. Hongereni kaka na shemeji zangu kwa kujitambua. My wii Lulu wa Saria na dada yangu Eddah wa Vincent mmependeza sana ? So beautiful. Pendeza sana ladies. Eee dada Eddah eeh! Tuambiane basi nini siri ya hili penzi?! ?? wenyewe wa “mujini” wanasemaga “kizuri kula na nduguyo” sasa mbona wewe unakula pekeyako ?? haya bwana……….Vincent’s face expression speaks volume! tena kwa maringo na mikogo yote , just love it! Happy birthday Vincent. Na asante kwa kunitunzia dada yangu. Ubarikiwe sana.
Hot shot of the day
Gorgeous Alicia kutoka Kansas state. Mimi napenda sana watoto ambao hawapakwi pakwi makorokoro usoni au kutengenezwa nywele kama wanawake wazima. Let kids be kids jamani. Tuwafundishe watoto kujikubali na kujipenda kwa jinsi walivyo. Inasaidia sana kukuza their self-esteem na confidence wanapokuwa wakubwa. Hongereni sana wazazi wa Alicia kwa malezi bora. Mbarikiwe sana.
Dada wa Taifa la Tanzania katikati ubora wake!
Naomba nianze kwa kusema hivi, msinichoke kumuweka au kumuongelea huyu dada yangu kipenzi cha roho yangu ndani ya hii blog! Naomba muelewa nampenda sana kwani ni wapekee mno! Usije ukafikiri ni kwasababu ni “super star” ndo maana na muweka humu hapana ni roho yake ya ukarimu, utu, na uungwana wake ndio maana na muweka humu and freely with all my heart I will always support what she’s doing. Watu kama dada ShyRose Bhanji ni wachache sana katika dunia hii ya leo iliyo jaa social networks ambazo too much fake people pretending kuwa wema wakati all the need is publicity na kutengeneza hela kwa kupitia migongo ya wenye maisha duni na wenye upeo mdogo wa kupembua mambo. Ni ngumu kujua nani nikweli anania thabiti ya kusaidia au kuguswa na jambo la mtu na kufanya kile awezacho kusaidia hiyo hali bila kutegemea faida yoyote ile. Na hiyo ndiyo sababu mimi nampenda sana huyu dada yangu kwani siyo FAKE! Ni mtu wa kujishusha, anaongea na kupenda watu wote bila kujali “status” zao. Halafu sasa ana ile “free spirit” just like me ?? you know what I am talking about right?! Yani Kama unataka ku have fun why kujibana bana? Go and have fun but accordingly to age appropriate! Siyo unakuta mama kalibia anaozesha bado anaangaika na show za kina “Yamoto bend” sasa teenagers nao wafanye nini? Jamani naomba muelewe kwanini nawaongelea sana watu waaina hii ya Shy-Rose Bhanji zaidi. Unajua tuna wadogo zetu / wenetu ambao wanatuangalia na kujifunza toka kwetu. Ambao wao napo itakapo fika muda wa kufunza kizazi kijacho watawafunza kile walicho jifunza toka kwetu? Sasa nini tunawafunza? Au ni nini unataka wajifunze toka kwako?! Basi nafikiri sasa mtaniruhusu niendelee kupost habari au picha za dada yangu kipenzi bila shida. Kwani ameonyesha mfano mzuri katika jamii yetu na anastahili kuigwa na kupongezwa na watu wote! “Today, my Nieces and I spent our time with such wonderful kids (orphans) while donating food and other necessities to Mwandaliwa orphanage in Mbweni. I thank Allah for enabling me to be able to donate, spend time, give love and affection to the ones who are less fortunate. We complain about such little things everyday and aren’t grateful or appreciative of the little things we do have. It really breaks my heart because there are so many people out there who aren’t even able to eat today. We have to learn to appreciate the little things in life and give back every once in a while. I was very inspired with the kids and their caretaker… It’s a true blessing to be able to give back….Thank you Lord!” Hayo ni maneno ya wadada wa taifa letu ambayo yaliambatana na hizi picha hapo jana alipotembelea kituo cha watoto yatima huko Mbweni ambapo ndipo naye anaishi katika mji huo.
Najua hii haikuwa mara yake ya kwanza kufanya hivi. Ameshafanya hivi mara nyingi tuu. Ila kinacho mtofautisha yeye na wengine wengi ni kuwa huwa atafuti “wapambe” wakuongozana nao. Yani yeye hufanya kimya kimya tunakuja kuona picha tuu. Wengine ni lazima watangaze weee na kutafuta wapambe ndio waende. Yani hao wa hivyo ni kutafuta umaharufu zaidi kuliko nia dhabiti ya kusaidia. Na ndio maana kuficha tabia zao inakuwa ni ngumu kwani wakitoa huko bado wanarudi kutukana na kudharau hao hao maskini ambao walijifanya kuwapelekea misaada. Au utakuta ni ngumu sana kwao kujichanganya na masikini japo wana pretend to care about them. Ni waongo sana! Hivyo kwa hili la dada yetu siwezi sema hongera dada ShyRose Bhanji kwani hakufanya hivi ili kupongezwa na mtu bali for her own goodness! Sina sababu ya kumpongeza bali namuomba Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa rehema na upendo azidi kumbariki huyu dada yetu kipenzi. Siwezi sema aendelee kwani hivyo ndiyo alivyo, bali azidi kumpa afya njema na uwezo wa kufanya haya mema ambayo anayafanya katika jamii yetu. Najua kuna baadhi ya watu watasema wapo wengi wanatoa misaada lakini hawajitangazi, we’ll nakubaliana na hilo! Naomba tuu ukumbuke ShyRose Bhanji hajajitangaza! Yeye alichofanya ni ku share picha kama anavyo share picha zingine za kumbukumbu ya vitu anavyo fanya hapa dunia as a good citizen of this world! Yani hii yeye ni tabia yake na si tukio la kutafuta umaharufu! Na naomba ujuwe kuwa hao wengine ambao wako kwenye level ya maisha au status ya dada yetu ShyRose Bhanji ambao hufanya vitu kama hivi bila kujitangaza au kuonyesha picha mitandao wengi wao huwa wana NGO zao na wanatumia hizo picha kupata hela kutoka kwa wafadhili nje ya inchi na ndio maana hawataki kuwa wazi kwani wanajua nia yao si ya kusaidia bali ni njia ya wao kupata kipato. Na ili watu wasijuie kile wanafanya basi wanaamua kufanya mamno kimya kimya! Jamani kwa mfano huu uliyo hai kabisaaaa hivi kunatatizo gani tukimfanya ShyRose Bhanji kuwa dada wa Taifa letu la Tanzania?! Kwani nani kanuna?! Mimi ndo nishasema hivyo ? Kuanzia leo hii ShyRose Bhanji ndiyo Dada Mkubwa wa taifa la Tanzania. Asanteni.
Sister Sister!
Warembo hao. Vitukuu vya bibi yangu mkubwa. Pendeza sana. Nawatakieni siku kuu njema na mbarikiwe wapendwa.
Kutoka Facebook
Pendeza sana Missy wetu (Former Miss Tanzania-UK) Hawa Gwao Muke ya Boaz ? Awii! Hicho kitanda kinaonekana kitamu sanaaaaaa mie hapo nikilala hata “mabox” naacha kubeba ?? upendeza sana. Nakutakia kheri ya mwaka mpya. Ubarikiwe sana na familia yako yote ?
Wazo la leo
Huu ujumbe nimeutowa kwenyeFacebook page ya “ukumbi wa waislam 1”. Sina huwakika kama wao ndio waandishi au nao walitowa mahala fulani.
Family time-the Tengas
Jamani sister naona unajichana kwa raha zako ati! Safi sana. Mwili haujengwi kwa mawe ? Raha sana. Jamani wazazi mjitahidi ku-invest mida yenu kwa watoto zenu na familia zenu kadri muwezavyo haswa wanapokuwa under 18. Inasaidia sana katika ukuwaji wa mtoto pia kwako mwenye mzazi. Usingoje mpaka mtoto amekuwa sijui na miaka 10 ndo unaanza kumpenda NOPE! Anza tangu udogo wake kwa faida yako na yake. Na haijalishi kama wazazi wote wapo au mmoja anakosekana. Hata kama ni single parent do your part mengine muachie Mungu!! Ubarikiwe sana dada yangu Penny mfano mzuri wa kuigwa.
Christmas greetings: Oprah & Stedman
Oprah na “barafu” ya roho yake ? Stedman wakiwa maeneo ya Hawaii kusherekea siku kuu ya Christmas. Na hapo juu ndo message iliyoandikwa na Oprah ikiambatana na hiyo picha ?
Family time-the New Yorkers
The New Yorkers! Hii familia ya kutoka jiji la wastaarabu wanajua sana jinsi ya ku-have fun! Hapa wakisherekea boxing day. Nawanapenda sana. Pendeza sana watu waukweli. Much love to you all!