All posts by Alpha Igogo

Family time-the Madebes

Screenshot_2015-12-06-09-57-10-1awiii! Hadi raha jamani! Ona jinsi mtoto anavyo “mchumu” mama. Jamani upendo mtoto hufunzwa na wazazi wake! Tufundishe watoto zetu upendo tangu wakiwa tumboni mwa mama zao! Screenshot_2015-12-06-09-57-52-1Mbarikiwe sana wapendwa!

Family time-the Rhoda-Nyolwengos

IMG-20151205-WA0000Sisters sisters! Hapa ni binamuz, ni wadogo zangu Janeth  (kushoto) na Magreth  (kulia) na binamu yetu mkubwa , mjukuu wa kwanza kwa bibi yetu mzaa baba. Yeye anaitwa Maria Patrick anaishi huko Mbagala, hapa ni jana wakienda mtembelea na kufundisha jinsi ya kutumia mtandao wa Wats app na jinsi ya kujipanga selfie ???? IMG-20151205-WA0001mazoezi ya kujipiga selfie ????? kazi ipo LOL! Naomba  nitoe ufafanuzi  nimesema  “the Rhoda-Nyolwengos ” kwasababu hawa wote wana share bibi mzaa baba na shangazi. Bibi yetu mzaa Baba alikuwa anaitwa Rhoda-Nyolwengo Olung’a Igogo. Kwa dada Maria huyo ni bibi yake mzaa mama. Bibi yangu alikuwa ana mtoto wakike mmoja (shangazi Theresia Igogo a.k.a Theresia Patrick Otedo) ambaye mwanangu  ameridhishwa jina lake la Theresia a.k.a Teddy. Haya mbarikiwe wandugu!

Ijumaa Kareem!

FB_IMG_1448642725306-2Leo Kutoka Facebook nimependa sana hii picha ya Mwajabu kutoka Bongoland! Mazingira ya kinyumbani nyumbani, safi sana!

Nawatakieni Ijumaa njema na weekend njema kwenu wote! Mnao enda Msikitini  leo mtukumbuke kwenye dua zenu. Wale Wasabato wenzangu nawatakieni maandalizi mema ya Sabato na muwe na Sabato njema.  Wengine muwe na weekend njema na mtukumbuke katika sala na ibada zenu. Hasa tuliombee taifa letu, Rais wetu, na viongozi wetu wote. Mbarikiwe sana!

All the best #88 and your whole team!

Screenshot_2015-12-04-11-17-50-1Leo familia ya kina Muddy a.k.a #88 iliamka na kukutana na kibao hicho ? nje ya nyumba yao. Nafikiri ni wanajumua ambao wanaishi eneo hilo wameweka kuonyesha support yao kwa team ya Howard High school pia na kwa Muddy ambaye ameifanikisha team ya shule yao kupata ushindi week iliyopita na kuingia katika Sate Championship ambayo naamini yana anza leo. Screenshot_2015-12-04-11-19-02-1Kama mnavyo ona hapa ilikuwa wiki iliyopita Muddy akipongezwa na baba yake (Vincent) pamoja na mdogo wake Alicia mara tuu baada ya ushindi wa kishindo!

Muddy akihojiwa na kituo cha TV maarufu kabisa Maryland, wakimpongeza kwa kuleta ushindi ambao haujawahi patikana toka mwala 1974! Just image! Mwanetu, kijana wetu toka Tanzania leo hii ameiwekea shule yake historia ambayo ilisha sahaulika! Hongera sanaaaaaa Muddy you truly made not only your family but the whole Tanzania proud! I wish you all the best on your State Championship games I am sure you will make us even more proud than this!  Good luck to you all! Hongereni pia wazazi wa Muddy, da Eddah na Vincent!

Lakini nakumbushia mgao wa “the first big paycheck” lazima nipate ?????

A word of wisdom!

In 1996, Mandela gave a compelling speech on South Africa’s Women’s Day, calling for full equality and an end to sexual violence against women….,,, 131207155450-mandela-un-assembly-entertain-feature

“As long as women are bound by poverty and as long as they are looked down upon, human rights will lack substance…………. As long as outmoded ways of thinking prevent women from making a meaningful contribution to society, progress will be slow……..As long as the nation refuses to acknowledge the equal role of more than half of itself, it is doomed to failure.”  nelson-m
May you contiue to R.I.P Tata Madiba!

Hot shot of the day

FB_IMG_1449165889020-1Niliziona hizi picha jana, nikajikuta nasema Wow! Bila kuongeza neno! FB_IMG_1449165859614-1Huyu ni dada yetu kipenzi ShyRose Bhanji hapo juzi kati alikuwa akifanya mazoezi kujiandaa na mechi ya netball ya wabunge la bunge la Africa Mashariki. FB_IMG_1449165811971Yani mimi kanitia hasira aaaa! Hata sikubali lazima nita revenge tuu!! Yani at her age still she can bend like a teenager?! I mean simaanishi kuwa ni mzee but I am sure she’s above 40 yrs old! Na kama wengi tujuavyo sisi wanawake wengi tukishafika 38 tunakuwa tunakauka kama dagaa wa Kigoma ???? tena ukiwa Bongoland  / Africa  ndo mwe! Wee acha tuu!  Lakini mchekini dada yetu still bending and twisting it like High school student tena siyo kimbau mbau nope! Ana mwili nzuri wa wastani mwili fulani amazing!! Aah! Kanipandisha mzukaaa ??? Hongera sanaaaaaa dada yetu! Well done!

Mother and daughter moment

image-2Pendeza sana mama na wanawe. Mama Jackie na Julie, hongera sana kwa kukuza dada yangu. Mbarikiwe wote.

Dawa ya meno ya asili: Nazi na Baking Soda

Nimesoma mahala fulani kuwa hizi dawa za mswaki zinawekewa kiwango kikubwa cha Fluoride kwaajili ya kutungarisha meno lakini si kitu kizuri kwa afya zetu na meno yetu. Vile vile kutokana na maji mengi sikuhizi huwekewa Fluoride ilikuuwa vijidudu vya magonjwa hivyo unapotumia tena toothpaste unakuwa umetumia kiwango kikubwa sana cha Fluoride ambacho kinakuwa ni hatari sana kwa afya zetu, unaweza hata kupata matatizo kwenye uti wa mgongo ambayo ni hatari sana! 832505-coconut-oilSasa nikaona mtu amesema yeye alishaacha miaka mingi kununua dawa za mswaki. Yakwamba huwa anatengeneza mwenyewe! Anachukua mafuta ya nazi halisi ( ambayo hayaja changanywa na kitu chochote) na ana-mix na baking soda basi! how-to-use-baking-soda-to-clean-face-skin-clean-your-hair-whiten-your-teethKwakuwa nilikuwa sijawahi sikia wala ona nikaamua kufanya uchunguzi wangu kidogo. Inasemekana ni dawa ya meno nzuri sana haswa kwa wale wenye matatizo ya fizi na ukakasi wa meno! Nimekuta ni kitu watu wengi wanatumia. Tazama hii video ??

Pia kwa wale wanao sumbuliwa na makovu ya chunusi pia unaweza kutumia mchanganyiko huu kusafishia uso. Unasugulia kama scrub halafu unaosha. Hii ni kitu cha halisi hivyo ni “unisex” yani kwanwote waume kwa wanawake wanaweza kutumia. Pia unaweza tumia maji na baking soda btuu kwa ajili ya uso wako hila coconut oil!  Haya enjoy the product!

N.B: pia unaweza tumia mkaa na chumvi kusafishia meno. Kama unaweza pata mswaki ile ya miti basi ni mbora zaidi kuliko hii ya kisasa.

Wendy Williams ampinga Oprah na Shonda!

Screenshot_2015-12-01-11-07-48-1Katika show yake ambayo imepita karibia wiki mbili sasa, gwiji la talk show ya The Wendy Williams’ Show alisema kuwa kuna wamawake ambao wanawapotosha wasichana wadogo na waliopo college kuwa ukishwa kuwa na elimu nzuri na pesa ya kutosha huitaji mwanaume au kuolewa kwani anakuwa hana faida yoyote! Wendy Williams alisema kuwa huo ni upotoshaji wa watoto wakike na siyo sahii. Kwani anaamini hakuna kitu kizuri kama “the comfort of the man”! Wendy alizidi kusema kuwa zamani alikuwa anaona aibu kusema kuwa she’s “pink and soft” kwahiyo mwanaume ni muhimu kwake! Lakini kwasasa haoni aibu kusema hivyo tena! Amesema wasichana wasijitie ujinga na maisha ambayo Oprah na Shonda wanajaribu kuwaonyesha! Amewasihi wasichana wadogo na ambao wako college kuwa ni vyema kwa mwanamke kuwa na mipango juu ya maisha yako ya career na pia personal life! Embu msikilize mweyewe kweye hii clip wakati akiongelea “hot topic” unaweza kuanzia dakika ya 10.28sec kama hutaki kuangalia yote!

https://youtu.be/W_r74_-Fg4A

Mimi kwa maoni yangu niseme kuolewa ni MUHIMU LAKINI SI LAZIMA! Sioni kwanini mtu ujifunge kitanzi na ndoa isiokuwa na mbele wala nyuma! Kama ukatokea ukaolewa na una amani na furaha kwenye ndoa yako basi ni vyema na mshukuru Mungu! Kama ukatokea kuolewa halafu ndoa imejaa manyanyaso,  uwonevu, na ukatili wa hali ya juu; mie naona nibora ujikalie mwenyewe! Ndoa inatakiwa iwe jambo la furaha na kama hamna furaha basi nibora “nusu shari kuliko shari kamili!” utajikuta unaishi maisha yasiyo na amani halafu raha ya  Mbinguni usiione na duniani amani ulikosa! Na kama ukatokea kutokuolewa hata mara moja basi napo mshukuru Mungu maisha yanaendelea vile vile kwani kutokuolewa si kifo na wala si kikwazo cha kuuona ufalme wa Mungu! I mean marriage isn’t for everyone!

Katika maswala ya kuwa na mtoto au watoto, kama unaweza basi kuwa na mwanao hata mmoja! I can’t imagine how  life would have been without my daughter! hivyo siwezi kukudanganya kuwa usiwe na mtoto. Lakini kama haujabahatika au Mungu hakukupa uwezo wa kuzaa mtoto basi shukuru Mungu na maisha yanaendelea vilevile! Kuto kuzaa isn’t a Death sentence! Vivica Fox alishawahi kusema anajutia kutokuwa na mtoto wake japo anao nieces na nephews ambao anawalewa kama wanae wa kuzaa lakini anatamani kama angekuwa na mtoto wake mwenyewe! Msikilize akiongea na Oprah Winfrey ?

Naye Rosie O’deal alishawahi sema mtoto wa ku- adopt huwezi juwa kama ni wako kweli mpaka atakapofikisha miaka 18! Kama hatokubadilikia basi hapo utasema ni mwanao! Hivyo basi kama unaweza nakushauri  jipatie mwanao mwenyewe, kwani man comes and goes but your child will forever be there!

Anyway, wewe wasemaje? Funguka! Naomba nikukumbushe huitaji kuweka email wala jina lako kwenye comment! Thanks!

 

Hot Shot of the day

FB_IMG_1448986089292HOT! HOTTER! HOTTEST! Too cute! Mtembele www.maisafari.com angalau ufanikiwe kuuona uzuri wa dunia katika picha ??

Kutoka Facebook

FB_IMG_1448642462120Nimependa sana hii picha. Judy akiwa huko umasaini. Utalii wa ndani ni muhimu. Safi sana!

Meet Dr. Victoria Kisyombe the founder of SELFINA!

Dr. Victoria Kisyombe an amazing Tanzanian woman who is determined to help lives of less-fortunate women in Tanzania through her organization known as SELFINA! FB_IMG_1448983348305-1“Tanzania’s legal environment provides equal rights to women, local customs and traditions normally make it difficult for women to own land and assets. Many women are therefore considered not creditworthy by financial institutions because they lack tangible collateral assets. This leads to poor financial support and poor access to basic goods and services for women with low incomes. The problem is even more acute for widows, who must single-handedly care for their families and are marginalized in decision-making at the family and community level. ” said Dr. Kisyombe.

Dr. Kisyombe understands the need to bring positive changes in social and economic of less-fortunate and underprivileged women of Tanzania particularly in rural areas thus why she started SELFINA (Sero Lease and Finance)! SELFINA addressed this challenge by pioneering micro-leasing as an effective and practical way to provide credit exclusively to women entrepreneurs in Tanzania, thereby facilitating the growth of their businesses and bringing social change to their communities. This creation of wealth-producing economic activity among poor, rural populations is especially important in a country where 75% of the population is rural and over 60% earn less than US$ 1 per day. ” she explained!

Credit to Click here!

Read more about Dr. Kisyombe right here 

Mother and daughter moment

2015-11-27 10.52.50Mama Happy and Happy! Wamependeza sana. Mbarikiwe sana wapendwa

Women over 40 yrs!

Nimeipata hii article kwenye Facebook nikaona siyo mbaya ku share nanyi……..

“Ladies and gentleman, this is a must read!!! THIS HAS BEEN WRITTEN BY A MAN……….This is for all you girls 40 years and over….. and for those who are turning 40, and for those who are scared of moving into their 40’s…AND for guys who are scared of girls over 40!!!!…. This was written by Andy Rooney from CBS 60 Minutes.   Continue reading Women over 40 yrs!

Kama hujaelewa sakata la TRA soma hapa ?

Najua kuna baadhi ya watu ambao hawajaelewa nini haswa kimetokea na imekuwaje mpaka kitokee. Basi niomeona ni share nanyi hii post ya “Le mutuz” kwani ameandika kwa lugha nyepesi sana ambayo mtu yoyote yule anaweza elewa. Soma ?  Continue reading Kama hujaelewa sakata la TRA soma hapa ?

Joke of the day!

Screenshot_2015-11-27-13-18-02-1Nimependa hii new #WhatWouldMagufuliDo?  Inachekesha pia inafundisha vijana kufikiria vitu katika mtazamo mwingine ambao ni mzuri zaidi. #WhatWouldMagufuliDo?

Family time-Wahayaz ??

FB_IMG_1448805080155Hapa nimesema “Wahayaz” lakini sio wote ni wahaya ila kwasababu kuna mtani wangu hapo ndio maana ?   Continue reading Family time-Wahayaz ??

Family time-the Teshas

FB_IMG_1448805344586Sweet! Kwenye upendo wa Mungu utaona tuu ? wamependeza sanaaaaaa! Mbarikiwe sana wapendwa!

Family time-The Mashimis

FB_IMG_1448805134435-1Beautiful pic of the Mashimis’ family. But someone is missing in the picture  (baby MonicaSue) ? it’s all good, mbarikiwe sana!

Wazazi tizameni watu kwa macho matatu!

Screenshot_2015-11-29-08-08-19-1Sijui nieleze vipi ili nieleweke na iwaingie akilini kweli kweli pale ninaposema wazazi siku zote “treat everyone as a suspect!” Kamwe usiamini mtu na mtoto wako awe wa kiume au wakike! Hii story imekuja mwanzoni mwa wiki iliyopita November 20th, huyu daktari wa meno ajulikanaye kama Dr. John Wolf (mh! Hiyo last name yake tells all about him) amekamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa ya kuuza/ kusambaza picha za uchi za watoto (child pornography), kuuza na kusambaza madawa ya kulevya (drugs; meth), na uwenezaji wa HIV!  Continue reading Wazazi tizameni watu kwa macho matatu!