All posts by Alpha Igogo

Jiandikishe na Upige Kura

FB_IMG_1438367291535Wapendwa mliopo Tanzania, tafadhali sana kama bado hujajiandikisha chukua hatua leo hii! Nenda kajiandikisha na uwe teyari kupiga kura! Every single VOTE counts and matters! So please go register yourself and be ready to Vote! The future and final destination of Tanzania as a country and as nation is 100% DEPENDING ON YOUR VOTE!! Yes! Your vote matters go and do it today!

Asante Mh. ShyRose Bhanji kwa kuonyesha mfano!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1438367435806-1Leo kutoka Facebook nimependa sana hii selfie ya binti yangu mpendwa Mercy (right side) na rafiki yake mrembo  Magreth (left side). Beautiful! Missing you girls ?? love you deep ?

Hongera sana Prisca na timu yenu wote

FB_IMG_1438367621447Hongera sana my dear friend and schoolmate wangu (Kowak girls Secondary school) kwa kufanikiwa kupanda kileleni cha mlima Kilimanjaro! Pongezi pia kwa group lenu wote FB_IMG_1438367639097Yani naona raha na fahari kuwa nikizitizama hizi picha, lakini mie binafsi hizi adventure za namna hii?! Mmmmh! Subutuuu! Hata mara moja! Yani mie mambo sijui ya kuruka ruka, sijui kupanda milima, kukimbia, n.k vimenipita pembeni kabsaaa! Hahah! Siyo hobby yangu :)….kushoto ni Prisca na kulia ni rafiki yake. FB_IMG_1438367611322Prisca I am very proud of you! You are the first Luo lady I’ve ever seen climbing  any mountain leave alone Mt. Kilimanjaro! Not sure if you’re the first one but I hope you aren’t going be the last on 🙂 one thing I can promise you is I will never be in that statistic ?? FB_IMG_1438367577699Hongereni sana, you all make us proud! FB_IMG_1438367603873Proud of you nyarKowak, nyathii Gi mama wa 🙂

Ukifunga “nira” na mchawi basi nawe ni mchawi tuu!

Ngoja niende moja kwa moja kwenye point yangu, kwasababu wote tunajua sasa “hot topic” kwenye siasa za Tanzania. Uwamuzi wa Chadema / UKAWA kusema kuwa watamsimamisha Edward Lowassa kuwa mgombea urais upande wa upinzani ni sawa na “kufunga nira” na mchawi ambapo wote aliyeolewa na muoaji watakuwa wachawi tuu! Continue reading Ukifunga “nira” na mchawi basi nawe ni mchawi tuu!

“This is shameful for us as Nation”

There’s nothing wrong for any citizen to move parties throughout their political career. But there are so many things wrong to do that out of being desperate for power struggle and not authentically doing it for Wananchi. If he wants to serve why must he do it at the top position? For how long has this person been in CCM what changes that match his CCM tenure has he done? Why should he be able to do it now only after failed presidential candidacy in CCM? 

This is shameful for us as Nation. That out 40+ million people, we need only one person who is not remorseful from fraudulent engagement in fact he’s spent his entire campaign justifying his fraud behaviors and is so insecure and not confident that instead of bringing his “hoja” he made up fake religious people to apparently forge their approval of his candidacy – that alone is fraudulent. 

For the opposition party accepting him, it is absolutely fine to accept him. But to put him up for a top position is the most stupid decision I have ever seen in any presidential election. I mean, for Tundu Lissu to justify the decision based on the most stupid reason is beyond my understanding – so you spent all these years building the party while knowing that one day your party will have to compete for a top seat but instead of building the party with strong leadership to take on that competition you wait to come up with some cheap, weak and stupid argument that “your party is on a weak position so you need to accept this unqualified candidate so he can help you fight CCM and so that he can bring in more people”? You spent all that yelling about unqualified CCM leadership and now you are expecting to win CCM by having an unqualified candidate compete for a top position? 

Why did these people go to school? What a waste of time and money!!! Now to the rest of us Wananchi, please, let’s stop making emotional decisions but be completely rational about important matters. It’s not superficial popularity that will change TZ. It’s  leadership with substance combined with  diverse,  competent institutional power. Without these, TZ will not change by simply switching a leading political party. Just by getting rid of CCM through stupidity will not change anything, in fact it will further destroy our country. That’s my humble independent, political neutral opinion.

Happy birthday to my most beautiful lady in the world!

255713766088Wishing my lovely mama a very happy birthday! Mungu azidi kukubariki, akupe maisha marefu yenye amani na furaha. Akulinde, akupe afya njema na akuepushe na mabaya yote. Happy birthday mama. LOVE YOU! 2015-07-27 08.17.15

????⌚??????????? and let’s go party????  FB_IMG_1438011796315Hizi picha zina tofauti ya miaka 15. Lakini kwa neema ya Mungu bado yupo fit na amani tele ndani ya moyo wake-Mungu ni mwema sana. Picha hiyo aliyo vaa kitenge ilipigwa home 15 yrs ago, na hiyo nyingine amepiga leo kazini kwakwe. Ashukuriwe Mungu baba muumba wa Mbingu na inchi!

R.I.P Bobbi-Kristina

bobbi-kristina-b-768Rest In Peace Bobbi-Kristina, too young too soon, very painful! 635584244405338162-BOBBI-AND-MOMYour mom was your best friend, they love she gave you no one would have given you! You both R.I.P!

https://youtu.be/V3mVaMhoJCA

 

Mr and Mrs Nyongo!

2015-07-26 10.54.35Beautiful pictures of Mr and Mrs Nyongo! 2015-07-26 10.54.05Need I say more?! ??

I am counting my blessings!

I’ve never been without a place to live, food to eat, shoes to cover my feet, or clothes to wear; God has given me a blessed life and I am forever grateful! I only received a taste of born and live in a poor country where poverty is a way of living to many, but personally I have never been poor! I might struggled or been struggling financially with all the knowledge that in a blink of an eye that could be me but still I am not a poor person! I am counting my blessings!

2015-07-26 13.09.51In my life I have a lot of emotional struggles that I’ve been dealing with trying to overcome them in a daily basis but that hasn’t stop me from counting my blessings, because I realize that there are people who are poor struggle every day with no food, or place to live! I just saw the video clip from ITV news room where a man named Chacha who lives under the ground around Sam Nujoma road, Dar es alaam for 4 years now because he doesn’t have a place to live. Mr. Chacha is well educated and smart but things happen in life and he found himself with no place to live! I am counting my blessings!

Last week I conducted an interview with a gentleman named Mahmoud Zubeiry (to read click HERE) blogger of binzubeiry.co.tz. He candidly told his life story, the struggles and tribulations that he went through, that there was a time where he had to look for something for his family to eat out of JALALA LA KEKO?! It just left me speechless! Well, let me put it clear, that I knew and seen their struggles, I knew they were very-very poor as we grew-up in the nearby neighborhood and attended same primary school, but never in a million times would I have thought that jalala la Keko was one of their “grocery stores or supermarket!!” My dears, I am counting my blessings! 2015-04-22 21.13.43

Their two simulations keep opening my eyes to some of the hardships that I face here and there! I can’t complain at all as there are others who face them in a daily basis perhaps even worse than me! There is a time where I questioned myself what if I suddenly lose all my income, I have to admit it did worried me as I would not know what to do! Now hearing people’s stories like the one Binzubeiry shared with us it inspires me that if happens today,  found myself in that situation, O’Yeah! I will survive as I have heard and seen people surviving. And that is the main reason I started this blog, to share our life story(ies) so we can inspire others and encourage them not to give up. Learn from one another, share and spread love! My dear readers, I am still counting my blessings, have you count yours? Share with us and you’ll be blessed!

Baba na Manongi

FB_IMG_1437926423814Baba na mama Manongi wakiwa na nyuso za furaha kabisa walipo kuwa wakitalii ndani ya jiji la LA. FB_IMG_1437926313877Karibuni sana wazazi wetu. Mungu awe nanyi katika kipindi hichi mtakacho kuwepo hapa U.S.A, mfurahie, muwe na amani ya Bwana, na mibaraka mingi.

Mr and Mrs Kakoschke

FB_IMG_1437768929981A lovely picture of Mr and Mrs Kakoschke. Beautiful!

Madafu!

194x140xcoconut-palm-1.jpg.pagespeed.ic.QEjUwX8bHHJe unajua faida za kunywa maji ya Madafu? Ngoja kwanza nianze kwa kushudia mimi mwenye kuwa nashukuru roho aliyeniongoza nikaanza kutumia maji ya Madafu! Ilinitokea tuu nikiwa kwenye International market grocery store nilikuwa nina njaa sana na pia nilikuwa na kiu. Sasa sijui kama wewe imeshawahi kukutokea pale unapokuwa na njaa sana yani hata maji unaona machungu kabla hata ya kunywa ?

Sasa hapo ndiyo nikaamua kununua maji ya Madafu (Coconut water) ambayo ni 100% pure Madafu, ni kapenda sana. Basi nikanunua box 3 nikuwa na mpango wa kunywa kama juice. Nilipofika kwenye ‘kibanda’ changu nikasoma yale maandishi yanayo andikwa kwa pembeni mwa box. Nikaona wamesema you can use it as sweetener kwenye Chai au smooth badala ya kutumia Sukari. Basi nikaamua kujaribu kuweka kwenye chai, jamani wapendwa mimi hadi leo ni 3 weeks sijagusa Sukari kabsaaa! Yani naweka maji ya Madafu kwenye kikombe nachanganya na maji yamoto naweka na jani langu la green tea  mchezo umeisha! 8-Benefits-of-Coconut-Water-You-Didnt-Know-About-380x213

Mimi nilikuwa nimekatazwa na ma-doctors nisit mie kabisa Mchele (rice) na Sukari kwa muda sasa. Lakini Mchele nilifanikiwa kuacha yani kama nikila ni huwa nipo nje ya ‘kakibanda’ changu ☺ ila mimi mwenye hata huwa sifikiri kupika! Sasa kasheshe ilikuwa kwenye Sukari ? Yani ilikuwa ngumu sana haswa kwa sababu kuu mbili: kwanza mimi ni mtu ambaye napenda kunywa chai sana na Asali sipendi taste na harufu yake hivyo sukari ndio ilikuwa natumia. Pili na ishi Michigan  ?  state ambayo inakuwa na baridi kali na kwa muda mrefu hivyo watu wengi huwa wana kuwa na some sort of depression kwahiyo Sukari is the best comfort food naipo easily accessible. Hivyo nilijikuta nashindwa kuacha Sukari kabisa mpaka nilipo pata Madafu.  Yani sasa hivi nikijisikia nipo down basi nakunywa maji ya Madafu na kwakweli  it refreshes me alot!

Wataalam wanasema kunafaida nyingi za kunywa maji ya Madafu na hizi ni baadhi tuu

1. Ina colories chache sana, cholesterol free, na ina potassium nyingi sana zaidi ya kula ndizi nne kwa mara moja. Hivyo kwasababu ya hizo nutrients ambazo inazo inakuwa inauwezo wa kukusaidia katika maswala ya kupungua uzito wa mwili. Na huwa humfanya mtu ajisikie ameshiba kwa muda mrefu.

2. Inasaidia kuondoa chunusi kwenye ngozi ya uso. Hapa ukiwa kila siku hasubuhi kabla ya kula kitu chochote halafu inabidi upunguze vyakula vyenye mafuta.

3. Inasaidia kupungua / kutibu Bp (Blood pressure)

4. Ina up a mwili nguvu na kusaidia upungifu wa maji mwili ni

5. Hii ni kwa wale wanao kunywa Pombe ? inasaidia hangover 2015-07-26 10.39.13

Haya wapenda kama utapenda kujaribu na kusihi anza na wala huto juta.

 

 

Hongera sana Mh. ShyRose Bhanji

FB_IMG_1437766791063Hongera sanaaaaaa dada yangu Mh. ShyRose Bhanji kwa ushindi wa nguvu toka Mkowa wa Mara. Nimefurahi sana tena sana. Nenda katutete huko Bungeni  mwanakwetu Mara inakuhitaji jembe kama wewe. Hongera mno! FB_IMG_1437766813543Mungu ni mwema sana!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1437525588022Nimependa sana picha hizi za mtani wangu. Such a beautiful lady with a beautiful soul! Mungu akubariki sana mtani wangu 😍  FB_IMG_1437525582226My lovely mtani and college mate!

Birthday wishes

2015-07-24 12.25.11Happy birthday to my most beautiful babysister Leonida Kachare! Mungu akubariki sanaaaaaa mdogo wangu wewe pamoja na familia yako yote.  Furaha, amani na upendo vidumu katika nyumba yako. Happy birthday girl love you mingi mingi ?

Wapendwa naomba mniruhusu niseme machache kuhusu huyu mdogo wangu. Namwita mdogo wangu si kwamba tuna undugu wa damu au ukoo mmoja hapana! Sisi ni ndugu ambao tumeunganishwa kwa ‘neema ya Yesu!’ Yani undugu wetu umetokana na jinsi family zetu tulivyo ishi!

Familia ya Mzee Kachare ni familia ambayo ukitaka kuongelea mafanikio ya wazazi wangu basi huwezi kuacha kuongelea familia hii! Kwani ina mkono wa baraka zake kwa familia yetu. Hivyo kwa namna hiyo tukajiona kuwa sisi sio majirani tuu, na wala si marafiki tuu, bali ni ndungu moja! Hivyo Leonida ni mdogo wangu kwa njia hiyo. Japo vile vile nao wanatoka Rorya, pande zile za Shirati nasi tunatoka Rorya pande za Utegi hivyo sisi bado wamoja.

Huyu mdogo wangu si mzuri tuu wa sura bali hata tabia na roho yake! Yani huwa saa nyingine ana m-surprise mama yangu nyumbani na mikungu ya ndizi, mara madebe ya mafuta tena yale mazuri ya bei ya ghali 🙂 na saa nyingine ana mletea mama yangu vitenge vya wax tena on Mother’s Day! Anatoka kwakwe anakuja kwa mama yangu kumuona. Siku zote huwa haendagi mikono mitupu “mama nimekuja kukuona mara moja maana ni muda sana mama yangu” hahaha!Yani hapo kama imepita miezi kadhaa hawajaonana na mama yangu. Yani anampenda na kumjali mama yangu kama ambavyo anamjali mama yake mzazi! Btw, mama yake mzazi na mama yangu ni wajina wote wanaitwa Cecilia! Sema mmoja ni mzaliwa wa Tabora na mingine ni mzaliwa wa Mara.

Anyway, Happy birthday beautiful, enjoy your day!

 

Hot shot of the day

FB_IMG_1437507122764

Happy 7th birthday twins!

2015-07-23 21.16.59Happy 7th birthday to the one of the most handsome twins in this world. Mungu awabarikiwa sanaaaaaa mkuwe kwa kimo na hekima, mkampendeze Mungu kwanza na kisha  mwanadamu. 2015-07-23 21.29.53Awiw! You boys are the cutest twins ever! FB_IMG_1437701695648Libarikiwe sana tumbo lililo wazaa na maziwa mliyo nyonya!…..Happy birthday boys!  😍😍

Kutoka Facebook

received_504896449660275Nimependa sana hii picha ya my friend and secondary school classmate. Kapendeza sana. The Bible says woman hair is her glory so kwa sisi wenye vipilipili daah! ndo imekula kwetu 🙂

Baba na wanawe

IMG-20150722-WA0003Baba akipata selfie na wanae. First born Mercy, Ethan (2nd born) and Emilynn (3rd last? Who knows 🙂 )IMG-20150722-WA0005nice pic watoto IMG-20150722-WA0001sisterhood and brotherhood  🙂  IMG-20150722-WA0006vichwa vile eee kama cha fulani ? haha! IMG-20150722-WA0004IMG-20150722-WA0008Sister sister ! Lovely! IMG-20150722-WA0000Nice pictures guys!

Birthday wishes

FB_IMG_1437607908377Happy birthday aunt Dr. Mbaki. Mungu azidi kukubariki sana wewe na familia yako yote  👑👗👠👜 💄🎈🎋🎉🎂 📷 📹 🚘  I got everything ready for you where is the party girl?! 😙