Hujajiandikisha unasubiri nini? Yani hata wazee wetu wamekupita? Prof. Sarungi pamoja na utuuzima wake kapanga foleni kasubiri na kajiandikisha, halafu wewe unasemaje ati?! Haya embu nenda sasa na umpitie na jirani yako!
All posts by Alpha Igogo
Mahojiano maalum: Mahmoud Zubeiry a.k.a binzubeiry blog
Unamagari mangapi? Yapo matatu tu, Passo anayotumia mke wangu, Range Rover na BMW ambazo natumia mwenyewe
Best wishes to Emelda Mwamanga
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana CEO wa Bang Magazine Ms. Emelda Mwamanga kwa kuamua kujitosa na kutangaza nia ya kugombea Ubunge wa viti maalum kupitia vyuo vikuu. Hongera sana na nakutakia kila la kheri kwani unasifa zote na unastahili. Tabia zako ni mfano mzuri sana wa kuigwa kwa wasichana wa dogo ambao wana waangalieni nyinyi kama role model wao. All the best!
Hot Shots of the day
Kutoka Facebook
Positive people not Rich people!
Sorround yourself with positive people and not rich people! Some people are trying so hard to fit-in and have only people with “big money” as their circle of friends! The reason behind is very few people who has been positively benefited from that kind of friendship. First of all, rich people always assume that everyone in the circle is well when comes to financial situation and often don’t like to be bothered with people begging for financial help!
Secondly, rich people can hardly support you emotionally. And this is due to the fact that they don’t know how to handle their own emotional issues that they might be facing. Often they Pretend to be fine while deep inside their hearts are very insecure with lots of pain hiding under the nice expensive gourmets that they normally wear! Statistic shows many of them end up committing suicide or turn into a certain type of addiction.
Thirdly, their love for money is way bigger than the love they have toward their fellow human being! They tend to be very selfish and self centered because they are insecure. Their power and confidence comes from the ‘size’ of money they have in the savings account (s). So for you to try to fit in that circle wont help you much!
So my dear readers, its way better off if you sorround yourself with people who bring positive energy in your life. Even if they don’t have “big money” but they will always encourage you to go for your dreams and never give up! People who will always love you the same way wether you have zero digit or 6 digits in your bank account! Personally, I would rather sorround myself with truly wealthy people than rich people!
Best wishes to ShyRose Bhanji
Best Wishes to Ezekiel Kachare
Kwakweli ngoja tuu niwe mkweli as I always do 😁 ni muda toka nimeona hili tangazo la ndugu yangu (long time neighbor), childhood friend, and primary school classmate lakini nilishindwa kuliweka humu. Sababu haswa sipendi kujihusisha kwa undani na maswala ya siasa za Bongo kwasababu watanzania walio wengi wanafikiria siasa ni chuki. Hivyo kuepusha magroup yasioyo kuwa na ulazima niliamua kutoweka post za siasa kwa sasa. Ila basi inaponibidi kama hivi nitakuwa na post kuwapongeza au kuwatakia kila la kheri katika safari zao. Mara nyingi huwa naongelea siasa kwenye Facebook au nje ya mitandao ya kijamii na sihumu kwa blog.
Basi hivyo, napenda kwanza kusema hongera kwa kudhubutu, na pia nakutakia kila la kheri katika safari yako. I hope Chadema watakusimamisha.
Kutoka Facebook
Je wajua hili?
Wapendwa nimesoma hii kutoka kwa Facebook ya cousin yangu nikaona bora ni share nanyi. Lakini naomba ujue kuwa original source ya habari inatoka kwa NageriaCamera.net
Inasemekana tunda la Mastafeli lina virutubisho muhimu sana ambavyo vinasaidia kuuwa vijududu vya kansa (anti-cancer) za aina zote! Inaponya magonjwa mengi ya tokanayo na bacterial na fungus. Vile vile inasaidia kulinda na kujenga upungufu wa kinga mwili, inaongeza nguvu mwilini na kutibu magonjwa mengi sana kama Bp na Kisukari.
Haya wapendwa usije ukafa au ukaacha mtu akafa kwa kukosa pesa ya matibabu wakati kuna matibabu ya bei nafuu kabisa na ni ya kiasili. Uchunguzi wa hili tunda umefanywa na vyuo mbali mbali vya Europe na America.
To all my Muslim friends and readers, wishing you….
Kutoka Facebook
Father and daughter moments
Lovely pics of Ahobokile na binti yake Magreth. Hongera sana sana mpenzi yake kwa kukuza binti. Kazurije sasa 🙂 Maggy I feel you girl:)……..nani kama baba right?! So cute! Mbarikiwe
Birthday wishes
Happy 17th birthday Sarah! Sorry for the late post, but always know aunt Alpha loves you so much and you always in my heart! ….. Though dad and mom are not around but I want you to be assured that aunt Alpha will always be there for you whenever you need a shoulder to lean on! ???I wish you more joy, happiness, and more love! May your spirit be lifted and never feel lonely anymore! Off course, you are not alone Sarah we all love you so dearly. We wish you the best of all, aboundantly blessing from above! Young ladies, this was really awesome of you guys! Putting something for Sarah’s birthday was just wonderful! May God keep blessing you guys and continue with that good spirit always! ????You are so beautiful Sarah just like your name ?looking good girls Nice! Nice! Beautiful! Happy 17th birthday Sarah, we all love you ???????
Father and daughter moment
Kutoka Facebook
Jeshi la mutu tatu 🙂 nawapenda sana hawa watoto, ni watoto wa mama na baba watatu. Yani huwa naangalia videos ambazo mama yao huwa anapost Facebook yani hadi raha watoto watiifu wanamsikiliza mama yao inafurahisha kwakweli. Halafu wanakwaya yao huwa wanaimba kanisani wote watatu na mama yao ndio Mwalimu wao 🙂 angalia vilivyo vizuri hadi raha Mungu awalinde sana.
Swahili restaurant / village
Mwezi ulio pita nilipo kuwa Maryland state, kaka zangu Mr. President (Iddi Sandaly) na Dj Luke walinilipeleka kula kwenye mgahawa ujulikanao kama Swahili Village au Swahili restaurant…….
Yani chakula chao nikitamu sanaaaaaa! Kwakweli I was shocked kuwa kuna wakenya wanajua kupika vyakula vitamu namna hii! Hongereni sana shemeji zangu (mdogo wangu kaolewa na mkeyee)………. Kwakweli chakula chenu nikitamu sana ila mboreshe upande wa customer service! Yani mnasubiria chakula kwa muda mrefu sanaaaaaa! Yani kama mtu una lunch break ya 30 minutes to an hour ningumu sana kula sehemu hii. Nimetowa hii comment kwasababu nilipelekwa hapo mara mbili na mambo yalikuwa hivyo hivyo pamoja na kuwa mida ilikuwa tofauti na wahudumu ni wengine!! Asanteni sana my brothers, Mr. President na Dj Luke kwa ukarimu wenu. Mbarikiwe sana mpaka mshangae 🙂 🙂 Wapendwa wasomaji basi ukiwa mitaa ya Maryland usikosefika Swahili Village au Swahili restaurant. Na ukiwa mitaa ya Wichita, Kansas husikose fika East African Cuisine pale utamkuta dada Tuma. Na ukiwa pande za Kalamazoo, Michigan usikose fika Jambo restaurant pale utamkuta si mwingine bali dada Frida. Asanteni!
Kutana na my nephew Elvin
Mmemuona nephew wangu eeh?! Yeye anasema ni team Dr. Magufuli kwa as ilimlia zote! Na jezz amevaa kuweka msisitizo 🙂 🙂 Sasa mwanangu wewe ni chotara wa Kenya na Tanzania inabidi umkazanie Dr. Magufuli apitishe ile kitu ya Dual-citizationship maana kumsupport kote huku halafu ukifika 18 eti uchague inchi hapana kwakweli 🙂 Safi sana mwanangu! Mungu akulinde akubariki sana uwe na afya njema. Amina. Love son 😍
Birthday wishes
Happy birthday beautiful Nafsa! Mungu akulinde, azidi, kukubariki, ukuwe katika kimo na hekima, ukashike sanaaaaaa Elimu na usimuache Mungu katika maisha yako mwananetu! Mungu awe nawe katika siku hii yako muhimu ya kuzaliwa, akupe furaha nyinyi na amani tele ndani ya moyo wako, uwe na afya njema, na uzungukwe na upendo wa kweli! Happy birthday lovely daughter!