Wishing you happiness, good health, and everlasting love! Happy 10th wedding anniversary to you! ?
All posts by Alpha Igogo
Mhe. Anna Mghwira rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi!
Hatimaye yametimia! Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira ahamia rasmi CCM! Apokelewa kwa shamgwe na heshima zote mbele ya Mama wa Taifa mama Maria Nyerere!…….. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kama nikiambiwa nichague chama basi CCM kitakuwa chama changu siku zote! Yani ni kama leo hii mtu niambie nichague dini au dhehebu, jibu langu litakuwa mimi ni Mkristo wa dhehebu la Kisabato! Nitakuwa Msabato mpaka siku nakufa! Hayo ni mawazo yangu na msimamo wangu kama yanakukwaza sorry but no sorry! …..Hivyo namtakia kheri Mhe. Anna Mghwira katika kutekeleza kazi ya ujenzi wa taifa kwa kupitia ilani ya CCM!
***picha na caption zote kwa hisani ya IssaMichuziblog***
Harusi hii watu walipendeza lakini…..!
Hii harusi ya Romy Jons mdogo wake na Diamond walipendeza sana kwenye mavazi!
Japo kwenye nywele za bibi harusi na Zari sijaapenda sana. Hazikutengenezwa vizuri kivile! Halafu mimi sipendi hizi suruali za kubana kwa wanaume ?? lakini sindio mambo ya fashion zao hao wa kwenye entertainment industry! Otherwise, ingeneral walipendeza.
Kitu ambacho sikukipenda ni jinsi Diamond na Zari alivyopata attention zaidi kuliko maharusi!
It seems to me Diamond and Zari over-did themselves ambapo naona watu wakawa hawana jinsi ila kuwatizama na kuwashangilia!
Naelewa kwanini bwana harusi alimtaka kaka yake awe msimamizi wa harusi lakini kumbuka harusi ni siku yako moja tu ambayo unatakiwa kupata all the attention na siyo mtu mwingine! Hivyo kuwa na “mastar” wawili ndio wasimamizi wake I think was a bit too much! Especially mastar wenyewe ndio wale ambao wako “hyper” 24/7 lazima wata overshadow your day! Harusi huwa haijurudii ni kitu cha mara moja labda uwe na “nyota” kama ya Irene Uwoya ndio utafanya harusi mbii hivyo usifanye makosa ambayo utajutia baadaye! Otherwise Hongera zao!
Esma (wifi mtu) alipendeza zaidi kuanzia kichwa mpaka nguo!
Nasikia mama Diamond katangaza kuwa anamimba? ??? Naona hii familia imeamua kuwa kama the Kadashians wa hapa Marekani ?? Who am I to judge?! Just wishing her well, twamsubiria huyo mziwanda!
LeMutuz: Nilichojifunza Bongo ni hakuna anayetaka kukubali kuwa tunalo tatizo na hakuna anayetaka kuongelea solutions so we are creating a TIME BOMB.
LIVE STRAIGHT TALK:- The Art Our Lost Culture
Sasasahivi in our Society tunatengeneza Vijana wengi Lesbians na Mashoga na hakuna anayejaribu hata kuliongelea kwa mapana au chanzo cha hili tatizo ni tatizo kwa sababu we are creating a Society of confused Youths ambao ndio Taifa la kesho! Nilichojifunza Bongo ni hakuna anayetaka kukubali kuwa tunalo tatizo na hakuna anayetaka kuongelea solutions so we are creating a TIME BOMB. Siku moja litakuja kulipuka vijana wetu kuanza kudai ndoa za Jinsia Moja tutaanza kutafutana kurundikana Rumande na Jela kumbe tuna wakati wa kutosha kulirekebisha hili tatizo now!……… As a Society tunatokea kwenye Mila na Desturi ambazo sasa hivi zinapitia a big test of kama ni kweli zilikuwa strong enough from the West Culture ambayo imekuja na sera za Wawekezaji na hasa the Television Culture ambayo Baba wa Taifa aliikataa sana. Sometimes ninajiuliza sana je kwanini Mwalimu alikuwa muoga sana na the Western Culture? Je alikuwa na wasi wasi na how fragile our Culture is?! Maana ukienda Zanzibar hata wao wana Television pia lakini Mila na Desturi kwao hazijaharibiwa na Western Culture kama sisi huku Bara it is a FACT! ndio maana hapa mjini mitaa yetu imejaa watoto wasiokuwa na wazazi as opposed na Visiwani, wenzetu hawana hilo tatizo ……….Tanzania tumefanikiwa sana ku maintain Swahili as our Language na ni by the Fact that tulishituka mapema na kuunda Baraza la Kiswahili now nashangaa kwanini hatukuunda mapema chombo cha kusimamia Maadili na Utamaduni wetu au huenda tunavyo lakini they are toothless!………Vijana wetu wa sasa hawawezi kubeba na kuyakubali Maumivu ya Maisha ambalo ni tatizo namba moja la The West. So kule kuna Chama cha wamiliki wa Bunduki kinaitwa NRA ambacho agenda yake ni kubwa sana Dunia nzima kwa kushirkiana na NGO za Mashoga na Lesbians kule Holywood kama ulikuwa hujui wao ndio wamiliki wakubwa wa the Culture of Television ambayo unamuachia mtoto wako mdogo huku Bongo kuangalia siku nzima ………. Usichokijua kipindi cha TV cha Dakika 15 to 30 kinalazimishwa kutoa maswali na majibu ya maisha kwa matatizo ya vijana ndipo hao NRA huingiza agenda ya kutumia Bastola au kubadili jinsia kama the Kardeshians! TUKATAE HUO UTAMADUNI! – le Mutuz –
Utegi street!
Nimetumiwa picha hii leo ikionyesha kibao cha mtaa wa kuingia nyumbani kwa mama yangu ikiwa na jina la kijiji alipozaliwa baba yangu ambacho kinaitwa UTEGI.
Sina huwakika ni serikali za mitaa au wilaya / mkoa ndio unatoa majina ya mitaa ila mimi nimefurahi kwani huku Marekani vitu kama hivi huwa ni big deal sana! Nimefurahije sasa ?? kijiji chetu kinajulikana kimataifa ati! Simnajua kuna UTEGI International Ltd ??? Natamani ile bara bara inayokatiza toka NSSF kupitia kwetu watu wa Tanroad nao wangeipa jina la “Otieno Igogo road” aaaah! Sasa hapo lazima nyumba yetu ingekuwa kati kati ya makutano ya Otieno Igogo road na Utegi street itapendeza zaidi in Dr Shika’s voice ??? (tazama picha hii ?? kwa mfano tu) kama nawaona wenye roho za kichawi! Watu wa Kansas city hakikisheni Robert Otto anaona hii picha maana anajifanya asomi hii blog ?? mwambie soon Utegi inatinga USA yani kama anaweza akimbie apande juu azibe au anywe sumu ya panya afie mbali!!! Na mtandao wote wa majungu najua mnasomaga hapa kama nawaona. Tatizo NYOTA AAA ????? nyota zenu zimefubaa hazingai ?????? anyway, hicho kilikuwa kibwagizo tu! Nimefurahi na namshukuru Mungu kwa yote!
Happy birthday Mrs Mengi!
Nakutakia kheri katika siku yako hii kuu! Mungu akuongezee baraka, amani, na afya njema! Asante sana kwa kuniacha nitumie picha zako, za familia yako, na marafiki zako kwa blog yangu bila kikwazo chochote! Yani najichagulia tu utasema zangu ?? ubarikiwe sana mama wawili pamoja na familia yako! Happy birthday beautiful Mrs Billionaire ??❤
Kila kitu ni siasa!! Nani alituroga sisi?!
Mambo kama haya ndio yamenifanya nichukue siasa kwani ili uwe mwanasiasa lazima uwe muongo na upungukiwe na ubinadamu kidogo! Usichanganye, nimeongolea “siasa” sio “uongozi”! Kuna tofauti ya viongozi na wana siasa. Tatizo la Africa haswa Tanzania kuwa kiongozi unajikuta unalazimika kupitia siasa! Tuna baadhi ya viongozi wazuri sana ila wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwani kila kitu kinahusishwa na siasa! Mbaya zaidi ni pale siasa inapo ingizwa kwenye mambo ambayo yanahatarisha uhai wa binadamu na watu wanaona ni sawa!! Katuroga nani sisi?! ……..Mimi nasema imefika wakati wa wanawake kuongoza ngazi zote hadi urais kwani hawa wanaume wana roho za paka!! Just unbelievable!!! “Nyufa kwenye hosteli za UDSM: Wahandisi na wataalamu wengine wa majengo wafanye ukaguzi na kuchukua hatua stahiki. Ni vyema hili jambo lisichukuliwe kisiasa. ” Mhe ShyRose Bhanji
Some persecute happiness, others believe it. Worry more about your conscience than your reputation.
“A man saw a snake was dying burned and decided to take it out of the fire, but when it did, the snake bit him. By the reaction of pain, the man released her and the animal fell back into the fire and was burning again. The man tried to pull it out again and again the snake bit him.
Someone who was watching approached the man and said:- excuse me, but you’re stubborn! Don’t you understand that every time you try to get her out of the fire, she’s gonna bite? The man replied:- the nature of the snake is biting, and that’s not gonna change mine, which is to help.
So, with the help of a piece of iron, the man took out the fire snake and saved his life.
Do not change your nature if someone does harm you do not lose your essence; only take precautions. Some persecute happiness, others believe it. Worry more about your conscience than your reputation. Because your conscience is what you are, and your reputation is what the rest of you think. And what other people think, it’s not your problem…… it’s their problem.”
***Copied from a friend. …..My picture has nothing to do with the story***
Everyone Needs Someone!
Everyone Needs Someone People need people and friends need friends
And we all need love for a full life depends
Not on vast riches or great acclaim, Not on success or on worldly fame, But just in knowing that someone cares And holds us close in their thoughts and prayers- For only the knowledge that we’re understood
Makes everyday living feel wonderfully good,
And we rob ourselves of life’s greatest need
When we “lock up our hearts” and fail to heed.
The outstretched hand reaching to find
A kindred spirit whose heart and mind
Are lonely and longing to somehow share
Our joys and sorrows and to make us aware
That life’s completeness and richness depends On the things we share with our loved ones
and friends.
***written by Foster M.M***
Kama wewe ni mpangaji usimdharau mmiliki wa nyumba ya udongo!
Kama wewe unaishi kwenye nyumba ya kupanga usimdharau yule anayemiliki nyumba ya udongo! Hauna haki ya kufanya hivyo! Kwani wewe unayeishi nyumba ya kupanga hauna uwezo au nguvu ya kutosha kumiliki hata ardhi ya kujenga nyumba ya udongo. Nasiku ikatokea hauna kazi au ajali ya ulemavu ikakukuta ukashindwa kufanya shughuli za kuzalisha pesa inamaana utashindwa kulipa kodi ya pango na mwenye nyumba yake atakufukuza! Lakini yule mwenye nyumba ya udongo maisha yataendelea tu! Nyumba ya udongo inaweza isiwe na mvuto sana kwenye macho ya watu lakini inatoa matumizi sawa na nyumba ya matofali! Wakiitwa majina ya watu na mali zao mwenye nyumba ya udongo jina lake litakuwepo lakini jina la yule anaeishi nyumba ya kupanga itakuwa shida kwake! Usimdharau mwenye chake! Kama wewe ni mpangaji usimdharau mmiliki wa nyumba ya udongo!……..Anyway, hayo ni mawazo yangu asubuhi hii siku ya JumaTatu! Nawatakieni wiki njema na uzalishaji mwema!
Akin Akman inspirational: They call it pride, I call it class. Lions don’t mingle with cats.
They call it pride, I call it class. Lions don’t mingle with cats. No matter the economy of the jungle, lions will never eat grass. Respect everyone but never ever forget that you’re equally important. Be friendly to everyone but never try to be everybody’s friend. Be open but selective. If you flock with penguins, you will never fly like eagles. If you’re NOT being treated with love & respect, check your “price tag”. Perhaps you have marked yourself down. If you present yourself funny, people will treat you like a joke. No one can sit on your back if you’re standing on your feet. Sometimes where you stand determines how people values you in life, and the price you put on yourself determines your worth. Get off the “clearance rack” and get behind the GLASS where they keep all the “valuables and NEW ARRIVALS. Once you know your worth, how people values you becomes irrelevant. Akin Al-Ameen®™2017 .
Embu tucheke kidogo!
Nimecheka lakini wakati huo huo nikaona Kama vile wanawake wanatuone! Kwani Kuna wanaume wangapi amabo Ni maboya kabisa, Yani hata akili za kupewa hazipandi lakini unamkuta kutwa kuutambia kofia za Gucci, LV na brand nyingone ambazo Ni za ghali au unamkuta anavaa viatu expensive wakati akivua hiyo harifu ya miguu mwenye mimba change anaweza kwenda leba kwa harufu tu ??? anyway, its a joke but not fear! #Umaridadi uficha umasikini, just saying ???
Dina Marios: Kuna watu tutakutana nao kama baraka kwetu na wengine ni mafunzo kwetu.
You deserve!
You Deserve
You’ve probably heard the saying “Better the devil you know than the devil you don’t.” Here’s a question: Why put up with any devil? Why not give ourselves only good things? When we believe we cannot have what we desire—when we lack faith in ourselves and in the goodness of life—we settle for less. We decide that whatever is in front of us is better than nothing. But believe me when I tell you that better than nothing isn’t good enough.
I often see people settle for less than they deserve in personal relationships: accepting bad behavior, excusing broken promises, accommodating people who take more than they give. Why? Because doing things we’ve grown accustomed to is familiar, comfortable.
Which is why sometimes it can be tough to gauge whether we’re settling: When we tell ourselves that things are fine, we soon forget that they could be better. Here’s how to know whether you’re putting up with less than you deserve:
- When you have to work yourself into a state of excitement rather than naturally experiencing joy and passion, you’re probably settling.
- When you bargain with yourself about what you can do without rather than feeling gratitude for what you already have, you’re probably settling.
- When your focus is on the time and energy you’ve invested in an endeavor rather than the love, joy and gratification you’ve gained, you’re probably settling.
- When you’re making excuses about why you should stay put rather than going for what you truly want, you’re probably settling.
- When you spend more time complaining about what you have than appreciating it, you’re definitely settling.
But there is a lesson to be learned in everything. When we realize we’ve been settling, we discover what we actually believe. We learn that we perhaps think ourselves undeserving of happiness and find how susceptible we are to outside influences—because often we settle when others convince us it’s the right thing to do. Most important, we learn that we are not standing fully in our truth. Armed with this information, we can make new choices that support our desires—by beginning to believe that we can have what we really want. Iyanla Vanzant is the host of OWN’s Iyanla: Fix My Life and the author of Peace from Broken Pieces.
- Read more: www.Oprah.com
Mama Diamond amsifia mkwewe!
Pale mama mkwe anapokuwa msemaji wa penzi lako! Well!! Inakufanya ujisikie vizuri lakini bado huwalisia utabaki pale pale! Kama mwanaume hakupendi kwa dhati nawala hakuheshimu hata mama mkwe akupende vipi haitobadili kitu! Heshima na mapenzi yako kutoka kwa mumeo ni lazima mumeo haonyeshe mwenyewe nasio mama mkwe wala wifi zako au ndugu wa mumeo! …..anyway, yangoswe hayo ngoja tumuachie ngoswe mwenyewe!
Womanhood
Madam Rita katika ubora wake ? Kuna ubuyu fulani nautamania sijui niseme ?? simnaona kitu Cha Diamond kwa kidole cha madam?! So who is the “mystery man” behind that bling-bling? Wapenda ubuyu mtatujua tu ??………. Anyway, madam wetu kapendezaje sana. I hope the mystery man is worth it all, a woman like you who hassle like that deserves more than an average man! O’hello!! Can we talk?!!! she’s Madam Rita Paulsen for people’s sake! ?????
Augustine Mkude: Kile kipindi kigumu Cha maisha kilinijenga nifanye kazi zaidi na zaidi ili nisirudi nyuma
Sikiliza historia ya maisha ya mtanzania Augustine Mkude ambaye anaishi hapa Marekani katika jiji la Houston, Texas Kama anavyojielezea kupitia show ya The Untold inayo ongozwa na mtangazaji mkongwe wa kimataifa Sunday Shomari!
Familia nyingi za kiafrika hulazimisha mambo yawe jinsi familia inataka bila kujua kila mtu Mungu amemuandikia safari yake kwa njia yake ya kipekee! Kitendo cha familia ya Augustine kukataa kumsaidia eti kwasababu amekataa kuwa Padri niseme kuwa ni hali halisi ya familia nyingi sana, nakwakweli si kizuri hata kidogo. Nafikiri Kuna haja ya kuelimisha jamii kuwa siyo kila mtu lazima aende Morogoro kwa kina Mkude kwa kupanda basi la Abood! Nasio wote watakao kwenda Morogoro kutoka Dar bila kushuka njiani au kupumzika. Just because my enroute is different from yours it doesn’t mean am in a wrong path!
I’m very impressed na huyu Augustine Mkunde. Anaoneka ni mtu mkarimu na mkweli. Wana Houston haya let support Mkunde, Safi sana! …….Hilo swala la kuulizwa “Do you speak English” hata mimi ilinikuta kwenye nursing home moja huko Michigan, sema mimi mgonjwa alisema “Alpha can you speak English? this is America!” ???? jamani niliishiwa nguvu nikabaki kucheka tu!…….Anywa, nimependa sana hii show. But mbona sehemu ya nne na ya tano hazipatikani kwa YouTube? Mara yakwanza nipo angalia like a week ago kulikuapo zote sasa leo nimetafuta wee wapi naona mwisho sehemu ya tatu! Vipi? Nataka ile sehemu ya Kilimanjaro connection bwana ?? that was naked truth ??
Womanhood!
Womanhood!
Alberto Msando: Ni suala la muda tu UKWELI utajulikana.
Repost from @albertomsando – @wemasepetu
We spoke and I repeat “watakutukana, watajaribu kukudhalilisha, watatumia nguvu kubwa kuonyesha hufai, watakuombea mabaya, watatamani uanguke, watapenda uwe mnyonge. Ila UKWELI wanaujua”. Ni suala la muda tu UKWELI utajulikana. Muda ni kila kitu. Maamuzi haya ni sahihi. Na yeyote ambaye anakujali wewe kama rafiki ataelewa. Ni maisha yako. Ni kesho yako. Ni Tanzania yako. @wemasepetu #ForThoseWhoLoveToHate #HayaWataanzaUongoWao #MaamuziBinafsi #NaBado #Sindano #MaumivuYaKichwa #KuwaNgaziSasaBasi #TheDon @hpolepole #SheIsBack
Haya hayo Ni maneno yake Mwanasheria kijana, msomi wa kuaminika na mataifa yote Mhe. Alberto Msando akimpa nguvu mrembo wetu Wema Sepetu ya kusimamia maamuzi mazito aliyo yafanya!