IVI DUNIA YA LEO BADO KUNA MWANAUME ANAKATAZA MKE KUJITAFTIA KIPATO???? ------ Jamani Kuolewa kunatakiwa kukubadilisha tu kuwa umetoka kuishi mwenyewe na sasa unaishi na mwanaume lakini sio ubadilishwe kutoka kwenye kazi uwe mama wa nyumbani. Halafu kuna wanaume wanatumia hicho kama kigezo kisa kujifanya wana wivu kuhisi labda mwanamke akitoka kwenda kazini atakuwa na mchepuko. Yani wewe mumeo akisema acha kazi mwambie nipe kazi ingine ya kujiajiri na tena hiyo kazi nayo uwe na haki nayo sio umeachishwa kazi umefunguliwa kiduka siku mnaachana kiduka chake anachukua unaenda kuanza upya. Usikubali kupoteza kazi yako kisa ndoa tambua maisha ya leo yenyewe hayatabiriki wanaume wenyewe wa sasa maji kupwa maji kujaa sasa ndo uache kazi unajua umeolewa ukiachwa unaenda kuwa omba omba. Kwanza mwanaume mwenye akili atamuacha mke wake afanye kazi ili siku mambo yamekuwa mabaya kwake mke anaweza endelea kutunza familia. MWANAMKE PIGA KAZI KWENYE NDOA FUATA MAHABA... Kumekucha achia shuka bibi weeeeeee, SHAURILO
All posts by Alpha Igogo
Hongera Mh. Janeth Masaburi
Well! Kama nilivyo wahi sema huko nyuma kuwa kuna ndugu zagu ambao ni wanasiasa, hivyo inapofikia kwenye kutoa pongezi basi sina budi! Kwa maneno hayo, napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza my aunt Mrs Janeth Masaburi kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. ......Hongera sana, natumaini kuona sheria nzuri za kulinda na kutetea watoto na wanawake haswa katika kutimiza malengo ya dunia ya uchumi wa viwanda kwa wanawake!
Tanzania oyee! #Hapa Kazi tu! #ACACIA
Huu ushindi wa kishindo kikuu ni wakufurahiwa, kushangiliwa, na kujivunia kwa kila Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi mema na nchi yetu! Tanzania oyee! Napia nampongeza sana baba yangu Dr Mgufuli kwa kusimamia kidete alichokiamini kuwa ni haki yetu sisi Watanzania japo alipata kebehi nyingi lakini hakubadili msimamo wake! Thank you Dad ake, you made us so proud! ?? ………..Umeandika history kubwa sana katika uongozi wako na uzalendo kwa taifa lako! Ubarikiwe sana………
#Mungu ibariki Tanzania #Mungu ibariki Africa
The C.E.O herself! #Molocaho
Nani Kama Jacqueline!! The C.E.O of Molocaho furniture katika ubora wake! Nampendaje sasa!! Mzuri wa sura, shepu, mpaka roho! Kuna wanawake wengine japo ni wazuri wanavutia lakini usiombe ukae nao karibu utajuta!! Wana roho mbaya mfano hakuna, hawapendi kuona wengine wanafuraha kwani maisha yao ni vilio kila siku!! Halafu maendelo ya wengine ni chungu kwao kumeza kama mwarobaini!! ……Ubarikiwe sana Mrs Billionaire ??
A day in the life: Siku ya maisha yangu na Emelda Mwamanga
Wow! I’m super happy Bang Magazine is coming back!!! My wishes came true! Ni miezi michache iliyopita nilikuwa nauliza kuhusu Bang Magazine kama itarudi sokono (SomaHapa), na katika video hii fupi inayo onyesha maisha ya Mama / Mke / C.E.O / Entrepreneur lady / Motivational speaker and now what an Author?! (ma’am this lady can do it all huh!! I only have this blog and can’t even keep up with it ????) Emelda Mwamanga ambaye ndiye mmiliki wa Bang Magazine ametamka kuwa Bang Magazine inarudi sokoni muda si mrefu! ………So happy for you Emelda! Nice show, good job! Love it!!
Nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani!
Je, rafiki yako ni Nan?! Leo nimekwenda chungulia kwa mrembo wetu Jokate Mwegelo nikakuta kaweka picha za yeye na rafiki yake waliosoma wote secondary, nikafurahi sana moyoni kwani inaonyesha kuwa Jokate ni rafiki mwema. Pia nikaangalia rafiki yake huyo anamuonekano gani! Nikapata jibu, na hapa ndipo nikakumbuka ule usemi wa wenzetu unaosema kuwa ‘nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani’! “Show me your friends and I will tell you who you are”! Watu unaokaa nao au kuongea nao kwa muda mwingi wana uwezo mkubwa wa ‘kukuambukiza’ tabia zao! Tabia zao zinaweza zikakujenga vyema au kukuangamiza! Pia kuna msemo wao mwingine unasema ” show me your friends and I will tell you your future” kwamba; nionyeshe marafiki zako nami nitakueleza maisha yako yabadae! Kwa mfano: kama wewe umezungukwa na marafiki waongo na wambea basi wewe lazima utaishia kuwa mwanachama wa “SHILAWADU” ????? #Nionyeshe marafiki zako nami nitakwambia wewe ni mtu wa namna gani’! Choose your friends wisely!
“Sr. Theodora nilisoma nae shule mmoja Sekondari. Alipokuwa Form 6 mimi nilikuwa F3. Ila saaa ndio mwalimu mkuu wa @stjchstz_official nilifurahi aliponialika kuongea na wanafunzi wake.” ~~~~~Jokate
Get well soon!
The first locally owned Call Centre in Tanzania, Utel Global Co. Ltd is about to be opened!
“We are blessed to set up the first locally owned Call Centre in Tanzania. Utel Global Co. Ltd to be launched on 01st Nov, 2017 Is your business at stake because of insufficient customer support? We can bridge the gap between you and your customers with our 24×7 call center phone answering services. Start experiencing increased sales and better conversion rates along with the satisfied customers. Please Find us at PPF Tower 3rd Floor.”~~~~Utel Global team Mrs Janeth Igogo-Nyagilo Utel Global representative
Hongera sana aaaaa LB!……ACCOLADE 2017 Creative Designer and Fashion Icon Of The Year!
O’Lord! Nashindwa hata lakusema maneno yameniishia kwani hizi picha na video zote zinaeleza kwa kina na vizuri kuliko ambavyo ningeleeza mimi! Nafuraha kwakweli super happy for Linda na LB couture brand in general! Ombi langu na faraja yangu ni lele like la siku zote LB izidi kwenda mbele, idumu milele na hii familia ibarikiwe milele zote!……. Najua bado sijawahi waungisha mkono, lakini msihofu nitawaungisha tu! Subira yavuta kheri ?? Mbarikiwe sana.
Siku ya maisha yangu: Ndani ya maisha ya designer Kiki Zimba
“Siku ya Maisha Yangu na @kikizimba @kikisfashion Siku Ya Maisha Yangu Ni show inayo onyesha maisha ya kila siku ya watu mbali mbali wanao toka kwenye mazingira tofauti. Tuna angalia wafanya biashara, wajasiriamali, wana siasa, watu mbali mbali Walio fanikiwa kwenye kazi zao mbali mbali, wakurugenzi, washawishaji, watu wanao julikana kwenye jamii, Na watu ambao wanafanya vitu vikubwa kwenye jamii hata Kama hawa julikani. Je kwenye Siku Yao huwa wana fanya nini tangia Asubuhi mpaka wana maliza siku? Je nini kiini cha mafanikio Yao Na vitu gani vina wasukuma kufanya mambo mengi makubwa wanayo yafanya. Lengo la kipindi cha Siku ya Maisha Yangu Ni kujifunza, kuhamasisha, kuwezesha, kushawishi kupitia watu mbali mbali. Nenda kwenye Bio Na fungua link kuangalia kipindi. #sikuyamaishayangu #kikizimba #kikisfashion” Dorothy Kipeja
Joyce Kiria: Maisha ya Ndoa bana yana mambo jamaniii mwee……!
Maisha ya Ndoa bana yana mambo jamaniii mwee, unaanza vizuuri kabisa kuwa “Mke” mtamuuuuu, kisha Polepole unakuwa “mama Fulani” Mke wa mtu, kisha taratiiibu unakuwa “Mlinzi” baadae “mlezi” kuna “mtunza nyumba” kuna “Mpishi” kuna “mfuaji” kuna “furniture” uuuuuuwwwwiiii nkinkiiii ruwa mangiiii ?? (Usiombe Mume awe chini ya Miaka 45?) utashaaaaaaaaaa…. — Jipe tuu Furaha mwenzangu, tuishi kama single flani amazing, akiwepo sawa akisepa sawa, tusingoje Furaha Toka kwa Mwanaume.. Tutaiskia kwenye filamu! Akili za usiku #NaesabuBati ?? #NikoDirishani ##AnatokeaWapiNifungueMlango
Mama na kijana wake!
Mr and Mrs Kimesera katika ubora wao!
Awiiiihh! Wamenoga eeh!! Wow! Super cute, couple yangu ya ukweli hii! Yani wanavutia na kuwapa moyo wengine kuwa True Love still exists ?? Kama wewe ni mgeni basi naomba ujua kuwa hi couple ndio ilikwa my 2016 Hottest And Best Couple Of The Year (SomaHapa). Nawapenda sana ??………Baadaye kuna post inakuja ya kuipongeza LB kwa award waliyo pata. Sasa hivi nipo busy kidogo hivyo naishia hapa!
Winny Edwin Kihore: Living in love
LIVING IN LOVE I once heard about a husband and wife who were so upset after a big argument that they refused to speak to each other. That night, not wanting to be first to break the awkward silence, the man left a note on his wife's side of the bed that read, "wake me up at 6 o'clock in the morning ". The next morning, by the time the husband woke up, it was already 8 o'clock. Furious, he roared, "where is she?" and was about to chew out his wife when he found a note on his side of the bed : "lt's six o'clock; wake up." If we're going to live in love, we have to learn to forgive one another. The Bible says, "Do not let the sun go down on your anger, but instead, forgive. And above all things, put on love. " EPHESIANS 3:17- That we would be "rooted and established in love so that we would have power together with all the saints " when we choose to walk in love, we have the power of God in our lives, as well as healthier relationships. We should always look for the best in each other. That's one of the things l love my husband Edwin Kihore. I used to think that he didn't see the things that l did wrong. Then l realized: it's not that he doesn't see them ; he choose not to focus on them. Let 's learn to walk in love and see the best in everyone. A house divided will fall. That's why it's so important to keep peace in your home. Be the first to apologize. Be quick to forgive. You need to remind yourself that God has put that person in your life, and He's got good things in store. If you will do your part by being kind, respecting one another, treating each other the way you want to be treated, God will do his part, and you can live in love!
Mother and daughter moment!
OMg! Huyu ndio yule shemeji yetu walimuita “mission town”!?!
Jamani njooni muone Zamaradi anatenda miujiza!!! Sitaki kuamini kuwa huyu ndie yule shemeji yetu wa taifa aliyeitwa “mission town” na wale Shilawadu (SomaHapa), Eeh! Hata mwezi haujafika tangu waowane teyari Zamaradi kaweza kumbadilisha mission town to “brown sugar” ??? You all know that movie “Brown Sugar” right?! Siunaona anataka kufanana na Dre (Taye Diggs) ??? shemeji yetu kaogeshwa akatakata, anapendeza na kuvutia hadi raha!! Sasa najua kwanini yule mtu mzima alilia kwa uchungu vile utafikiri alipata taharifa “Professor” kafa ??? Hongera sana Zamaradi you are a real woman, najua soon tutasikia nayeye anamiliki entertainment media fulani amazing hivi! O’yes! He can ??…….. Mbarikiwe sana
LeMutuz: DANUBE sio Chama cha Siasa au anything ni Kampuni ya Biashara ambayo inatoa ajira kwa Vijana wa Kitanzania kama 3,000 na inalipa kodi
LIVE HARD TALK:- The Art Of Business decisions ni maamuzi magumu ya Kibiashara ambayo huwa hayajali local au international Politics huwa ni maamuzi MAGUMU ya kibiashara yanayojali PROFIT kwanza sio Siasa wala anything nilitaka tu kumsaidia aliyeandika hii habari na habari zote zinazotrend kuhusiana na hii ishu ya uamuzi wa Kibiashara ….DANUBE sio Chama cha Siasa au anything ni Kampuni ya Biashara ambayo inatoa ajira kwa Vijana wa Kitanzania kama 3,000 na inalipa kodi kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Sheria ila Tanzania hatuna sheria ya kuyaamulia Makampuni ya Biashara nani wa kuwatangazia matangazo yako ya Biashara …ndio maana hatujawaamulia Yanga kusajili Wachezaji wa Bongo tu na hatujawaamulia Simba kusajili wachezaji wetu tu wa Bongo ….kama Dunia ingekuwa na mawazo mgando kama huyo muandishi juu ina maana Samatta asingeweza kwenda kucheza Ulaya kwani kule Belgium hakuna wachezaji? …guys kabla hamjaandika mawazo yenu finyu muwe mnafikiria kwa upana kuwa hizi Social Media zinasomwa Dunia nzima na hasa huko Nje ya nchi sasa wakisoma mawazo madogo kama haya watatushangaa sana kwamba eti kuna wananchi Tanzania hawajui maana ya Global Community & Outreach …DANUBE wameamua maamuzi ya kibiashara na wanazo Justifications as a FACT kwamba @zarithebosslady & @diamondplatnumz ndio Celebrities maarufu sana Tanzania sasa hivi na hata East Africa nzima wao wawili Combined wana wafuasi 7M humu Instagram HAKUNA WENGINE….sasa ungekuwa wewe unamiliki hiyo biashara unasema utampa yule Miss Tanzania asiyejitambua anayegombana mpaka na Kamati ya Miss Tanzania wenyewe na ana Wafuasi wasiozidi 500 tu ndio awe Balozi wako wa Biashara kama DANUBE BIG BRAND? au Super Couple with 7 Million Followers? hahahaha ….I mean kuna mambo yanachosha sana humu Instagram sometimes ila tutaendelea kuwaelimisha tu kwamba haya mambo ya mateam yenu Uchwara msiyaingize kwenye biashara za watu cause Yanga na Simba hawajavunja Sheria kuwasajili Tshishimbi na Okwi so hata DANUBE hwajakosea kumpa deal Zari ni maamuzi ya Business…I hope nimewasaidia wengi at large! …na this topic is CLOSED! – le Mutuz
Tatizo la watu wenye makelele na muda wa kuandika ujinga kama huyo kaka / dada ni watu ambao biashara yao kubwa kukaa kwenye social media kutukana watu na kueneza chuki! Hamna wanachokijua zaidi ya matusi! Inasikitisha sana hii generation itakayokuja kutawala taifa letu kwani wengi wao akili zao ni za “kupewa”! Hamna kitu wanaweza fikiria kwa akili yao wenyewe ili kutofautisha Tui la Nazi na maziwa!! So sad!………..You go Zari!!
Happy Nyerere Day kwa Watanzania ulimwenguni kote!
Nawatakieni kheri ya siku ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa Watanzania wote ulimwenguni! Wale ambao bado wanabeba passport yenye logo ya Tanzania ndio ninao watakia kheri katika hii siku! Mimi ni mmoja wao, Tanzania for life babyyy!! Feel so proud to be Tanzanian! Hapa ☝️nilikuwa kwenye makumbusho ya Mwl. Nyerere huko Butiama mwanzoni mwa mwaka huu! Ni baraka kubwa Mungu alitupatia kua na marehemu Baba wa Taifa kama kiongozi muhasisi wa taifa letu! Daima tutamkumbuka kwani vita vizuri amevipiga! Aendelee kupumzika kwa amani ya Bwana! Hili ni gari ambalo Mwalimu Nyerere alikuwa analitumia mpaka mauti ilipo mfika. Ndio ilikuwa gari yake siku zote. …….kama hujawahi fika Butiama basi nakusihi upange siku moja uwende! There are so much to learn about history ya Baba wa Taifa na ukumbozi wa nchi yetu!
Lieutenant Major General ndani ya jiji la Dar!
Yessss!! The Lieutenant Major General of Tanzania and Uganda ndani ya jiji la Dar es salaam! And Paparazzi couldn’t give her a space!! ?? I guess they missed her so badly ?? …………
You go Zari!! Tell them you have been and always will be the “Queen of the castle”! Nawaache mfanye kazi! hizi zama za Mgufuli ni mambo ya #Hapa kazi tu! hakuna hela za mission town ?? ……… BTW, I love they way you have decided to separate your platforms! Msaidiane katika kila jambo but don’t step on each other platform! Na maswala ya mapenzi weka private unless you want to share with me ???? please msininyime hizo love story zenu ??
Jacqueline Mengi: Love is an act of endless forgiveness!
Nimeenda kuchungulia kwa Mrs Mengi nikakutana na picha nzuri sana zakwake na maneno Fulani amazing hivi, "love is an act of endless forgiveness"! Haya ni maneno rasmi aliyo yatamka Beyonce baada ya kumsamehe Jay Z kwenye ile "cheating scandle" nakusema kuwa amejifunza upendo ni tendo la kusamehe bila ukomo / kukoma! Dah! Haya maswala ya mapenzi namwachia Jacqueline na Dr Mengi wake maana site wengine tulishaga achana nayo ????. Kuna mtu aliandika article akisema Beyonce amemsaidia sana kwa maneno yake hayo ............."The best part of the show is when Beyoncé gives us the quote about forgiveness.
“Love is an act of endless forgiveness. Forgiveness is me giving up my right to hurt you for hurting me. Forgiveness is the final act of love”
All this while getting shot in a wedding dress. Yes, shit gets THAT real. We’ve all been there for before where we wanted to hurt the one we love because they hurt us. Why? Because no one can hurt you more than the ones you care for. They know you best and you feel so vulnerable to them. It is a valuable lesson to be learned here. In order to sustain love, you have continuously BE love. You have to be willing to love through thick AND thin. It’s easy to stop loving once you’ve been hurt but as the late Maya Angelou once said, “Have enough courage to trust love one more time, and always one more time.” If two people can put aside their ego and realize that mistakes will be made; and know that nothing worth having will come without HARD work to keep it, you can really have that ever lasting love you seek." ............unaweza soma article you kwa kubonyeza ?? (LoveIsAnActOfEndlessForgiveness).
“If you are happy with yourself it’s very easy for others to make you happy”JNM……….Umependeza sana! Super clean and beautiful!