Japo hakuna ninaye m-miss, am happy with my life now as I just”dodged” the bullet ?? …….. Wimbo mzuri sana, ni tofauti na tulivyo mzoea Lady Jaydee na nyimbo zake za nyingine. Huu ameuwimba kiupole zaidi (slow motion). Video ni nzuri sana. Kiukweli huwa napenda uvaaji wa Lady Jaydee kwenye video zake. Siyo mtu wa kujiacha uchi! Video zake mnaweza angalia watu wa rika zote na mkawa comfortable! ……kazi nzuri sana!
All posts by Alpha Igogo
“I’m Charles McCater. I’m going to die Charles McCater”
“I’m Charles McCarter. I’m going to die Charles McCarter. I don’t even know why you’re here. Call Brenda and get my kids. where are my kids?! I asked you to do one little thing and you can’t even do that after 18 years get out……”
Kuna watu hata uwe mwema kwao kiasi gani they will never ever appreciate you or respect what you did / doing to them! …..Sasa ndio kama huyu “Charles McCarter” mtu ambaye ameokoa maisha yake tena wakati akiwa na kila sababu ya kumuacha afe yeye ndio kwanza anamdharau na kumuongezea hasira!! ……..Eti “I’m Charles McCarter. I’m going to die Charles McCarter”!! Jamani, lazima tukubali kuwa kuna watu hawawezi kubadilika isipokuwa kwa uwezo wa roho mtakatifu pake yake!! Na wengine hawawezi badilika kwani roho wa Mungu alisha hama ndani yao! Watu wa namna hii hata kama unawaombea waombee tu lakini kaanao mbali kwani wanaweza wakakufanya ufanye maamuzi ya hasira bila kutegemea kama huyo mama!! …….huu usemi wa Maya Angelou “when people show you who they are believe them” kwakweli nimejikuta siku hizi nautumia sana katika kuangalia ni watu wa namna gani I want around me! Mtu akisha kuonyesha dalili zote za kuwa yeye labda ni mchonganishi, mmbea, tapeli, tafadhali wala usisite kuamini kuwa she / he is less than what your instinct is telling you!! Some people are “Charles McCarter” and they will die “Charles McCarter”! Just leave them alone! ***Picha yangu haina huusiano wowote na story nimeitumia tu****
Happy belated 10th anniversary to Mr and Mrs Mndalila!
Today is our 10th Wedding anniversary!
Years they go by so quickly!
We give thanks to God, Yes! His Name is near. HIS marvelous deeds are declared!
We also thank all our friends, communities, Spiritual leaders, relatives and each and every one of you who had been part of our journey! Thank you for your love, kindness, words of encouragement and great friendship we have developed all along. May God Almighty richly blesses all of you!
We are rejoicing greatly in the Lord, we have learned to be self-sufficient through Christ, satisfied to the point where we are not disturbed or uneasy regardless of our circumstances. We know how to get along and live humbly in difficult times and also we know how to enjoy abundance and live in prosperity.
In any and every circumstance we have learned the secret of facing life, whether well-fed or going hungry, whether having an abundance or being in need.We can do all things through Him who strengthens and empowers us. We are ready for anything and equal to anything through Him Who infuses us with inner strength and confident peace.
God bless you all and happy 10th Wedding anniversary to my lovely and gorgeous wife Milika Kapapula Mndalila??????!Philippians 4:10-14!
Kheri ya kutimiza miaka 10 ya ndoa yenu Mr and Mrs Mndalila. Nafurahi moyoni kwani nilikuwa mmoja ya watu walio shuhudia mkila kiapo kitakatifu pale Indiana! Hivyo, kwa moyo ulio jaa furaha nawatakieni kheri na baraka zote za Mwenyezi Mungu katika ndoa yenu na familia yenu! Mkazidi barikiwa sana na ndoa yenu ikadumu milele katika Bwana! Happy 10th Anniversary! ?
Happy birthday Zamaradi
Its always business on this side! #UtelGlobal Call Center
Our new call center is almost ready ??and it looks Spectacular ?? We glorify the Almighty God for all the blessings ?? #UtelGlobal #Viettel-Tanzania #Halotel #PPFTower
“Call Center Set-up Final touches… Supporting Family business #Wives’ work behind the scenes.”~~~~ Mrs Nyagilo The Lawyer herself! Katika ubora wake ?? My babysister is cuter and smarter than yours ??
Peter Sarungi: UPANDE WA GIZA NA MWANGA WA BINADAMU
UPANDE WA GIZA NA MWANGA WA BINADAMU.
Binadamu ameumbwa katika ukamilifu ulio kusudiwa na Mungu na ndio maana akiwa kichanga anakuwa mtupu asiye tambua baya wala zuri. Binadamu huyu anaanza kuondoa ukamilifu wake pale anapo ona, kusikia, kusoma na kutenda mambo yaliyo najisi.
Akisha tambua baya na zuri ndipo anapo kuwa sio kiumbe kikamilifu. Binadamu huyu sasa anakuwa na pande mbili ya maisha yake. Kuna upande wa mwanga wenye matendo mazuri yaliyo wazi kwa watu na upande wa giza wenye matendo mabaya yaliyo fichwa gizani yasionekane kwa watu.
Kila binadamu ana maovu yake ila kinacho saidia ni kufichika kwa maovu hayo, ninacho shangaa ni kuwepo kwa tabia ya kuhukumu, kudharau na kutoa adhabu kwa binadamu ambao uovu wao umefichuliwa. Sijui logic hapo ni ipi ikiwa anaye toa adhabu na kuhumu naye ni mwenye maovu yaliyo jificha???
AFRIMA Awards 2017: Mpigie kura Nandy
Women In Business Program-Tanzania chapter. Call and get your direction to apply.
New job opportunity @Amorette!
“Interior Designer.Must have a design degree or diploma.Must be proficient in Autocad / Vectorworks. Must have excellent communication skills and be very creative.Email your CV to [email protected]”~~~~ Amorette management
Women in the media: Vote for Ancillar Mangena
“Please help me vote for my mama, the most outstanding woman in media, period!! Click link to vote http://www.intombie.com/vote.html“~~~~~ Jokate Mwegelo
Happy birthday baba Tiffah, Nillan, na Dylan!
Shilawadu! Shilawadu! Naomba mumuache Zamaradi alone!
Nimeingia Instagram hasubuhi hii nikaona Zamaradi akiwalalamikia “Shilawadu” ikabidi niingie nisome maana nilikuwa sijui hiyo account yao!………Eti wanamuita mume wa Zamaradi “Mission town”?! Hivi kuna mission town kuliko Wahaya?! Hata hapa Marekani wapo mnataka tuwataje ??? Halafu kwani yeye ndio wakwanza kuwa mission town mbona hata huyo Ruge alikuaga mission town before ?? “Ruge & Kusaga” sasa chaajabu ni nini? Watu wote huwa wanaanza huko hivyo yeye siyo wakwanza na wala hatakuwa wamwisho!! Na Mungu anajua kuwa Zamaradi anaweza akamtoa kwenye mission town na kuwa Boss mkubwa tu hapo Bongo! Hivyo hayo ya mission town muachieni mwenyewe Zamaradi nyie fanyeni yenu!………. Kwanza bora mission town anaye jiheshimu kuliko mwenye pesa ambaye ni “mali ya Umma” kila mwanamke wa mujini ana share zake hapo! Sasa si bora huyo Ruge atembee bila nguo watu wajue kachanganyikwa? Kha!!…….. Halafu mnamuita mission town wakati huyo teyari ni “step dad” wa watoto wa Ruge? Yani hapo bado hamjamkuta kwenye pozi la picha na Juhjuh na Shubi ndio mmepagawa hivyo? Hivi siku Ruge akisikia Juhjuh na Shubi wanamuita huyo mission town “Baba” si atazimia kabisa?? ………. Haya acha mission town akulele mama watoto wako na wanao, mpaka siku akili zirudi wenzako watakuwa wana wajukuu ??? Huu ubuyu mtamu zaidi yaule wa Diamond na Zari ?? ……….Hawa Wahaya wanajifanya wataalamu wa kuonyesha watu jinsi ya kukamata fursa wakati wao fursa zinakuja na kukaa kwenye malango yao lakini wanashindwa kuzikamata ??? Hivi mnajua sasa hivi Wahaya wangekuwa wameandika history ya kuwa na mke muendesha ndege?!! Do you guys remember Captain Hilda Ringo Vs Mujuni Makubo?! (Wahenga wa ma blog mtatujua. tu ??) Eti wakamzingua Captain Hilda kwakuwa hajui kupika?! Like WHAT???!! Mtu anaendesha ndege bado wanataka awe mtaalamu wa kupika?!! ?? Hivi unajua ali sacrificed vingapi kujifunza kuendesha ndege?! Mimi mwenyewe naogesha wazee na bado chapati zimenishinda kupika sasa itakuwa Captain wa ndege? ???? you must be kidding me?!?? Halafu kama walikuwa wanataka mtoto wao aowe mwanamke anaye jua mapishi si wangemwambia akatafute mama ntilie aowe? ??………..Haya Zamaradi huyo naye kawatoa nishai sasa mmebaki kusema “mission town”! Semeni tena habari ya mission town niwaonyeshe mission town wa Kihaya hapa Marekani ??? Vita ya Shilawadu na Mission Town haijawai kumuacha mtu salama??……….Finally, leave my brother Paul Makonda out of your mess! Kuoa mshindwe nyie halafu hasira mzimalizie kwa kaka yangu?! Shame on you!
Haya wale wadada wa “fursa” kamateni fursa hiyo …..!
Pale mzee wa kuonyesha fursa anapogeuka kuwa fursa ??? Haya wadada wa mujini waini fursa hiyo msitoane roho tu, he is officially Back in the Market and Ready to Mingle ??…………. Ruge! Ruge! Ruge! What are we gonna do with you? Hivi unajua mwanamke alipewa uwezo na Mungu ambao anaweza akamfanya mwanaume aonekane kuwa shujaa (hero) katika macho ya jamii au akamshusha na kuonekana the biggest loser!?! Sasa wewe juzi tulikuona shujaa lakini sasa? Dah!! Tatizo lenu nyie Wahaya mmezowea kuweka wanawake zenu “vimada” hivyo mnafikiri kila mwanamke ni Muhaya! Hamjui kutofautisha wanawake wa kuwachezea na ambao wanafaa kuoa! Sasa Zamaradi kakutia adabu!………Wewe watoto wawili umetoa “advance” kwao halafu kuoa uowi? Shame on you! Nasikia wewe ni kama shirika la UMMA, yani nikufananishe na DAWASCO unasambaza maji kila kona ya jiji la Dar ?? Yani wewe huko kwenye Media umeenda kwenye wrong field kwakweli ?? ………Haki kabisa nilikuwa nimepani nikuchambe sana (hata Muhaya mwenzako nilimwambia kuwa nitakuchamba sana…….nayeye zamu yake inakuja) sema huruma ikaniingia then I started to look at it in a different angle! Inaelekea watu wengi ambao wako very talented like you huwa hawa settle down, yani family life kwao ni tatizo kubwa! Mfano, Simon Cowell, Ryan Seacrest, late Michael Jackson n.k
Eti! Hawezi taja idadi ya watoto wake ni swala personal!?! Sasa mbona amemtaja Juhjuh na Shubi? ??…….R.I.P Mr Hugh Hefner your legacy will forever live hasa kwa Wahaya ???????………..But sincerely, from the bottom of my heart I feel bad for you! Pole sana mtani wangu!
Embu tucheke kidogo na Fred Omondi
Don’t play with Otienos’ siyo watu wa spoti spoti eeh ?? unajua baba yangu his first name ni Otieno, the dreams he described utafikiri anamuongelea yeye ?? na huyo mwanamke mwenye dream yakuwa “OW” A.K.A “Otieno’s wife” ni shida! But kuna wanawake wa hivyo ambao wanakwenda shule nia yao kulewa na madokta, professos, au wafanya biashara wakubwa!……… So funny!
Idriss Sultan: Unaweza ukawa loyal lakini usiwe blind!
Hii interview naona ilinipita ndio nimeiona leo!
Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Idriss Sultan kwa kupata mkataba mzuri wa kuigiza nchini Marekani. Nakutakia mafanikio mema najua utatutoa kimaso maso!.......Unajua mimi nilionaga zile picha za jeshini nikajua kuwa ni mambo yako ya comedy! Kumbe ulienda JKT ?? TRUST: Interview yako nimeipenda sana. Hasa somo la kuwa "Loyal but not blind"!! Nafikiri wengi inatuchukua muda kuelewa hilo mpaka yatakapo kutokea zaidi ya mara moja ndio somo linaanza kuingia. Mimi nasema ukiona rafiki yako hapendi maendeleo ya wengine kaa naye mbali! Ukiona rafiki yako haguswi na upotevu au huaribifu wa mali zako au pesa zako hata kama ni Shilingi moja achana naye kabisa! Ukiona rafiki ambaye siku zote anataka utumie njia ambayo itakughalimu zaidi achana naye! Ukiona rafiki yako ni rafiki wa karibu sana na watu wanaopinga maendeleo yako (mwenye tabia ya kuuma na kupuliza) muogope huyo rafiki! Ukiona rafiki ambaye pesa ni muhimu kwake kuliko UTU mkimbie haraka sana! Watu wanamna hiyo siku zote siyo waungwana, na wala hawana utu! BE LOYAL BUT NOT BLIND!! Somo zuri sana! BETRAYAL: Asikudanye mtu, betrayal hurts! Inauma sana kwani betrayal involves emotions which are your feelings! Hisia zako ndizo zinakufanya wewe jinsi ulivyo, hivyo mtu anapo kugeuka kwa kusudi la kukuangamiza au kusudi lolote haina tofauti na mtu anayekuchoma kisu bila ganzi! Ndio maana wenzetu wanasema "you stab me in my back"........ Naona wewe upo kama mimi ni ngumu sana kwangu kuwa na rafiki ambaye ameni betray! Don't get me wrong, nitakusamehe, tutasalimiana tukionana, hata kucheka naweza cheka nawe lakini urafiki na wewe ni MWIKO! "When people show you who they are believe them" ~~~ Maya Angelou KUTHUBUTU: Pole sana kwa changamoto ulizo pitia, na pia hongera sana kwa kuto kukata tamaa. Naamini wengi tutajifunza kutoka kwako japo wengine tu wakubwa zako. Maisha ni somo endelefu ambalo unaweza lipata toka kwa mtu yoyote bila kujali umri! You have inspired me! WEMA: Masikini, ninesikitika sana kumbe Wema alikuwa mjamzito? Tena twins!! Dah! Pole yake sana. Mungu atampa wengine muda ukifika. Nimependa the way you talk about her you didn't trash her at all! LIFESTYLE: Jamani wanawake 30÷÷ eeh! Hivi huu UKIMWI unachagua ama?! Gosh!! What about magonjwa yazinaa yasiotibika hamyaogopi?! I hope you will well behave huko Hollywood maana huko ndiko kuna jehanam ya magonjwa ya zinaa!! ...........Otherwise, Congratulations!
Hongera sana Zamaradi Mketema!
Alhamdulillah! Alhamdulillah! Alhamdulillah! Ndoa yenu idumu milele zote! Furaha amani na baraka zote za Mwenyezi Mungu zifuatane nanyi! Ubarikiwe uzao wenu vizazi na vizazi! Alhamdulillah! Though bado nashangaa what happened from ?? “Umeniweza, Nimekuweza, Tumewezana” to the New “Sheriff” in town? What a difference 4 months can make!!Mkague mpenzi, kwa raha zako bibi! Hujaiba ni wako, privately owned by You! I mean you only siyo kama yule “shirika la UMMA” Ugawaji, linagawa chakula kila mtaa ???…………… Hongera sana!
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako binti wa Sepetunga!
Watu wangu wa nguvu katika picha!
“good things come to those who hustle” ~~~~~ Major General
Embu leo tumsikilize Yvonne Chaka Chaka!
Kumbe jina lake halisi ni Yvonne Machaka! Hilo Yvonne Chaka Chaka ni jina la kiusanii tu (stage name)!……. Embu msikilize anavyoelezea alipotokea kimuziki, walivyo baguliwa kwasababu ni weusi, na jinsi baba yake alivyokuwa baba mwema anayejali familia yake!……super nice! Halafu nimekwenda kwa Instagram page yake nikakuta masaa 11 yaliyopita aliweka picha hii ambayo ni layout yakwakwe na Jokate na hayo maneno alioandika just melted my heart! What a super humble lady!