LIVE STRAIGHT TALK:- The Art of a Close Minded Society ni tatizo linalotusumbua sana hili Taifa kuanzia wananchi wengi mpaka Viongozi tuna tabia ya kutopenda kufikirisha Akili kabisa na very soon hili Tatizo litatugahrimu sana as a Nation cause najua linatugharimu wananchi individually kila siku in our daily lives I mean bado ninakumbuka yote yaliyotokea kwenye vita ya RC na Madawa ya kulevya we almost drove out from the post the best ever RC of our all history as a Nation kisa na mkasa habari za kusikia tu from One Side bila kujali the second side like how the Americans taught me kwamba BINADAM USIFANYE MAAMUZI YA AINA YOYOTE IN YOUR LIFE MPAKA UHAKIKISHE UNA PANDE ZOTE MBILI ZA HABARI ULIYOISIKIA Hii sheria ya maisha ni ngumu sana kwetu Wabongo juzi nimekutana na mtu msomi alikuwa nje ya Nchi kwa muda mrefu sana na wakati wa ile Vita ya RC alikuwa akinitumia sms za ajabu sana akimshambulia RC sikuwahi kumjibu ila nilisubiri arudi kwanza now majuzi nikamuomba kwamba hebu jaribu kusikiliza upande wa pili wa habari maana najua unayo ya upande mmoja yaani wa Gwajima tu now alisikiliza mpaka alipoona hadithi yangu inamtoa kabisa kwenye box lake akaanza ku protest kwamba hakujua nimsamehe ingawa alisema neno moja la msingi sana aliniomba nimuombee msamaha kwa RC ...hili huwa ni neno gumu sana nowadays kulisikia kutoka kwa Vijana wa kisasa ni almost halipo tena in our National vocabulary inasikitisha sana cause inaenda straight to the core of our Education System kwamba inahitaji a serious ovehauling maana we are ctreating a time bomb society Imagine 65% ya Taifa letu from 55M people ni Vijana ambao hawawezi kabisa kufikiria kwamba any new story in life ina Pande Mbili na unahitaji kuzijua zote kabla ya kutoa uamuzi ndio maana sasa tuna namba kubwa sana ya Divorce na infact sasa hivi as a Nation we are so vunerable that likitokea Taifa au Taasisi yoyote kutoka nje ikatuvalia njuga kutuvurugia amani yetu wala hawatapata shida cause tumetengeneza wenyewe kwa kutumia mfumo wetu mbovu wa Elimu Taifa la Vijana wasioweza kufikiri kabisa nje ya box la maisha waliomo Guys tujifunze basi hata on our own kujua pande mbili za ishu kabla ya kuruka na hukumu! - le Mutuz
All posts by Alpha Igogo
Mmesikia? “Mke mzuri halindwi”!!
Wahenga waliyaona na kushuhudia kuwa ni ukweli haiwezekani, ndio maana wakatoa “angalizo” au muongozo ili vijana wanaokuja wajifunze bila kufanya makosa!……….Sasa Wahenga walitoa angalizo kuwa “mke mzuri halindwi”!! Mke nzuri anahitaji MATUNZO NA HESHIMA basi wala huangaiki naye anatulia ndani ya nyumba anapendeza kama waridi!! Sasa wewe unadai unamke mzuri halafu amani rohoni hauna umekuwa FBI wa penzi lako mwenyewe? Inahusu!?! Mke nzuri muwekee mazingira mazuri ya kuishi kama haya ya Jacqueline, kiyoyozi masaa 24, maji safi ya kunywa na kuoga unafikiri atatoka? Aende wapi?! Sasa wewe mke mzuri halafu unampangia chumba uwanja wa fisi karibu na “corner bar” utafikiri alikwambia yeye Bar Maid ??? halafu wewe ndio mkali mtu asipite karibu yenu ?? Jamani mke anahitaji matunzo nyie wanaume! Mke anahitaji heshima, sio kumchanganyia wanawake kila asubuhi!! Yani hata heshima kwa wanawake wenzake hapati kwasababu ya mumewe!! Embu muige mfano hapa!! Hata kama hauna hela ya kumjengea nyumba kama hii jaribu kumuonyesha thamani yake kwa kumuwekea mazingira fulani mazuri! Kha!……( tuache matani Jacqueline mzuri eeh) That Foyer is one to die for kwakweli! Your house is beautiful! Safi sana!——–‘ Btw! Jacqueline, kwanini usinunue Miss Tanzania? Naamini wewe unaweza ukayapeleka na kuyapa hadhi yanayostahili kwani uwezo wa kupata sponsors wa uwakika unao! Embu tafakari Miss wetu! Ongea na Dr. Mwakyembe na Lundenga uyachukue mpendwa! ??
“Nimeyachagua Mawe kuliko laana ya Mungu.”~~~` RC, Paul Makonda
“Mti wenye matunda ulichoka kupigwa mawe ukaamua kutokuzaa matunda lakini Yesu alipoukuta mti hauna matunda akaulaani. Nimeyachagua Mawe kuliko laana ya Mungu.”
Hayo ?ni maneno yake Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kupitia page yake ya Instagram akiwa ameambatanisha na hiyo ? picha!………Swali la kujiuliza: Nikwanini wakazi walio wengi wa Da er salaam bado wanamkubali Paul Makonda? Je, ni mtendaji mwema?! Au anabahati ya kupendwa na watu?! You be the judge……!
Hello there…….!
Hello wapendwa! Natumaini wote wazima wa afya njema. Ni muda sasa tangu niiweke sura yangu humu, imebidi leo “nijirushe” bila kupenda maana wengine hamkawii kusahau sura yangu ?? Nawageni ndio wanazidi kuongezeka siku hadi siku, karibuni sana! ……Mimi naitwa Alpha Igogo ndio mmiliki wa hii blog! Wenyewe na lugha zao wanasema “Owner and C.E.O” aha! Mie niite Alpha inatosha kabisa! C.E.O bila pesa hainogi hata kidogo ?? Huyu mrembo niliyepiganae picha ni binti yangu, mwanangu wa pekee kwasasa! Nimesema “kwasasa” lakini pia usisahu nimesema wa “pekee” hivyo hakuna ajuaye ya kesho huwenda hayo maneno yote yakabadilika au yakabaki jinsi yalivyo! Well, I’m a woman I am allowed to change my mind (in Wendy Williams voice) ?? ……..though niko very curious kuona kama nikizaa na “Mzungu” mtoto wangu atafananaje ??? Yani niliwaza tu, je atatokea mweusi kama mimi au atakuwa wa light chocolate? Au atakuwa mzungu kama baba yake? Nywele zake je zitakuwa kama mzungu au kipili pili kama zangu? Atachukua shepu ya “Kibantu” au atakuwa kama mzungu? Honestly, nipo so curious ?? Nilimwambia mwanangu hili wazo langu, akasema “something must be seriously wrong with your brain” ?? …….Je! watakajua kama nikiongeza mtoto mwingine atakuwa na baba mzungu au muafrica?! Basi endelea kutembelea blog hii bila kuchoka na jibu lako utalipata hapa hapa ?? Haya jamani kibonge mie, nawatakieni siku njema. Tuonane wakati mwingine!
Hongera Jesca Wahuru: Mwenyekiti wa vijana mkoa wa Iringa (CCM)!
“Tareh 22.9 2017 Mungu aliweka historia nyingine kwenye maisha yangu. Ukijishusha Mungu atakuinua na ukijikweza Mungu atakushusha. Asanteni kwa kunikopesha kura zenu nawaahidi nitawalipa utendaji…….. Asanteni kwa kuniamini”~~~~~~~~~ Jesca Wahuru
Mimi siyo mwana siasa nawala sitegemei kuingia kwenye siasa maishani mwangu! Just show me where “money” is; I will meet you there! Better be 100% genuine though ?? I’ve my daughter and a life to live, for that prison ain’t my favorite place to be ??……….Ok! Back to our story! Japo mimi si mwana siasa lakini nina ndugu zangu ambao wanapenda siasa, na wengine siasa ndio carrier zao. Mfano mzuri ni huyu wifi yangu Jesca Wahuru, yeye ni Mwalimu kwa taaluma lakini siasa pia ipo kwenye damu yake. Anapenda siasa sana, na chama chake kipenzi ni CCM! Sasa juzi kati alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa vijana mkoa wa Iringa. Kwa maana hiyo naomba nichukue nafasi hii kumpongeza sana kwa hatua hiyo. Namuombea awe kiongozi mzuri ambaye ataweka maslahi ya nchi yake mbele na chama nyuma! UZALENDO! UZALENDO! Niwajibu wa kila raiya kuwa mzalendo kwa nchi yako, hivyo muwe wazalendo! Hongera sana. #WanawakeTunaweza
Happy birthday mama Salome!
"Maisha ya kila mwanadamu yana historia yake. Ndugu zangu ebu niwape history fupi wapi nimetoka ?. Hapo ndipo alipokua anaishi Mama yetu. This is our House?Jamani msinichukulie poa, sijakulia chips kuku mimi wala sausage ??. Vitu hivi nimekuja kuvijulia ukubwani; so when I say let me enjoy my life, let me enjoy bwana kwasababu I really deserve it. Niko proud na tulipotoka ? na tulipo sasa, mimi ni mtoto wa kwanza katika family ya watoto wanne and my Mom ni Nurse. Sasa why huyu Mama ananitoa machozi?? niko proud nae sana tena sana. Huyu Mama ni mwanamke muhimu sana katika maisha siachi kusema Mungu mpe maisha marefu Mama yangu maana pamoja na hali yake hii amehakikisha wote sisi tumeenda shule?alipambana na kila kitu ili sisi tukue.?? Dah! nashindwa hata kuandika ?....... Sasa basi Leo ni Birthday ya Mama yangu. Katika maisha yangu ya kawaida hii hali ya maisha yetu ilinisukuma sanaa tena sanaa mimi kufanya kazi kwa bidii maana nilijua mimi Ndio mkubwa nina wadogo zangu nyuma, kila siku nikawa napiga goti na kumwambia Mungu nisaidie nisikate tamaa katika biashara zangu. Nilitembeza nguo barabarani nilipita kila kona bila kuona aibu wala kujali nani ananicheka kumbe najua nini nafanya na nini nataka! Kuna vitu vingi nilitamani na nilikua na-dream navyo lakini kikubwa nilitamani na kumuomba Mungu amuweke mama yangu mpaka siku moja aje afurahi na kucheka katika maisha yake yote yaliyobaki mpaka anaingia kaburini ? Imagine mama Nurse wa kawaida sana akiwa na watoto wanne lakini alitulea, kama single mama katika kila namna tusikose maihitaji ya muhimu.......... maisha yetu yamenisukuma sana kufanya kazi kwa bidii ? Mama, Mama, u deserve something ?....Can't wait ?" ~~~~~~ Salome akielezea hisia zake
Siwajui hawanijui lakini nimevutiwa na kuguswana story yao nikaona ni vyema ku share nanyi. ……….Happy birthday mama Salome. Nakutakia furaha zaidi, amani tele, na afya njema. Mzidi barikiwa. …….Hongera sana Salome!
“Be a woman of substance”!!
Be A “Woman Of Substance”
"A woman of substance is a woman of power, a woman of positive influence and a woman of meaning. To be branded a woman of substance is one of the greatest compliments one can give a woman that wants to be an “influential” female. Below, I have assembled four qualities a girl/woman should possess in order to become a “woman of substance.” Embrace your individuality and be happy the way you are: The pressure put on women in today’s society is immense and I admire any female out there who doesn’t let the high demands and expectations get them down. In my experience, I have learned that we, as women, should not let the likes of “perfected” images or “criticism” affect us and It has came as such a relief to me to realize that being different and imperfect is far more interesting than being a “perfect” person. I believe that being yourself and feeling happy as yourself- just the way you are signifies the word “beauty.” Use your voice: We were all blessed with voices to use them- so use them! I’m a relatively quiet person and a woman of not many words who next to never will indulge in small talk chit chat. It’s just who I am. However, on the other hand, when it comes to standing up for what I believe in or voicing my opinions on things, I never fail to make use of my voice. And neither shall you! Make use of what god has given you and say what you think, say what you believe in, and argue against what you don’t. Find your dream in life and pursue it: Follow your heart…never give up…and you can do anything. We all have the ability to do whatever it is we want to do and fulfill any dream we want to fulfill; we just have to go and do it. When you find your passion in life, it creates a meaning in your life and gives you a purpose in the world: it generates happiness.
Bless Me Indeed!
" Hello Friends and Family I am humbled and greatful to our Almight. I have all the reasons to thank God because He has blessed me with the ability to write my very first Book edition. The book is called "BLESS ME INDEED". In short it is about how you can receive God's blessings through a "PRAYER OF JABEZ"...." Get your copy at AMAZON through the link BleesMeIndeed
Happy birthday Major General!
It’s usually said 3am is the best time to pray and am usually up to give thanks and praise…. Regardless of the trials one goes through in life, giving thanks and still appreciating what’s left is a MUST. And am here today to thank God for my life, my kids, my family, my friends, my work and you my fans. Tonight was about thanking God for another year as many haven’t made it this far. Thank you God for my life and happy birthday to me. #Blessed #Grateful
Happy birthday Major General ?? I love that name on you! So powerful! Wishing you countless blessings in every aspect of life!! May God be the center of your life now and forever! Happy birthday Zari! ❤
Taste of Tanzania
Haya kwawale mnaopenda mapocho pocho na kukaangiza kitabu hicho apo kwa ajili yenu wote mnao taka ongeza ujizu na mnao jifunza kama akina sisi hapa ?? honestly Chapati za kusukuma nikitu kimenishinda kabisa aaaa! Nimejaribu mpaka nimenawa mikono ?? Mimi na mdogo wangu Magreth ndio nyumbani kwetu hatujui kupika chapati za kusukuma ?? Pia kukata na kusukuma Samosa napo ni majanga. Kuchanganya najua vizuri sana tatizo kufunga. Mwe! Halafu sasa mikono yangu ni mizito utafikiri nimefungiwa “hirizi” ??? ??? Maandazi, chapati za kumimina na vitu vingine hapo aaah! Mtalambana, najua sana. Vitumbua ni ugonjwa wangu mkuu!! Napenda mno vitumbua lakini kazi yake siipendi bora ni nunue kwa mtu ?? ……..Haya nunua kitabu hicho!
The Queen herself!…….. Ujumaa njema/ weekend njema wapendwa!
Nawatakieni Ijumaa njema na weekend mjema. Embu tufunge wiki na hizi picha za Queen, the one and only one BossLady! Pendeza sana ❤❤…………Sorround yourself with love, wenye roho za kwanini kaeni nao mbali lakini msiwasahau kuwaombea! Continue reading The Queen herself!…….. Ujumaa njema/ weekend njema wapendwa!
Yvonne Chaka Chaka ndani ya LB!
“What an honor to have a Music legend from South Africa ?? at our store Yvonne Chaka Chaka. She is one of the best singers in Africa also known as African Princess. She is visiting Atlanta for Mutombo Dikembe’s Foundation Gala which was held at the Ritz Carlton on Saturday. @yvonne_chakachaka” ~~~~~ Linda Bezuidenhout
Hongera sanaaaaaa LB for that historical moment! Wow! I’m super happy and very proud of you! Awwih! Love it!! Mbarikiwe wote! So nice! Continue reading Yvonne Chaka Chaka ndani ya LB!
In loving memory of mzee Kimambi: Pole Mange na familia yako yote. May his soul continue to R.I.P
Part 1. My late dad- in yellow and white. Mimi one of the little girls namwangalia babangu! . . Leo ni miaka 13 toka baba yetu atuache..??? Sitokaaa kuisahau siku ya Jumanne September 21 2004. Ilikuwa mida ya Sasa 1 usiku nikiwa mabibo hostel nilipigiwa simu na classmates wangu wa kiume @Gesona, Jerry Kajiru na wengine wakiniuliza nipo wapi wanataka twende sehemu nje ya mabibo hostel tukale chakula. Nikawaambia nipo block F basi wakanifata wakasema hiyo bar iko mbezi beach.Hao tukaondoka tukiwa njiani kuelekea huko nikapigiwa simu na Fideline Iranga, akiniuliza Mange uko wapi? Nikamwambia nipo njiani na washkaji tunaenda kula, akaniuliza ni kina nani? Nkamjibu huwajui, akawa very interested kujua niko na kina nani na tunaenda wapi mpaka nikastuka kidogo..Sjakaaa dakika 2 nikapigiwa simu na Carolyne Machange (Marehemu pia) akaniuliza Mange uko wapi? Mama yanguuuu nilitupa simu nkaaanza kuliaaaaaa sijui nalia nini?? Ila nilijua kuna tatizo kubwa na hakuna anaeweza kuniambia. Nikaannza kuwauliza washkjaji niliokuwa nao kwenye gari Jamani niambieni kuna nini? Something is wrong ? Wanajifanya kunishangaaa wananiuliza mange Unalia nini? Mbona hatukuelewi?? Nikawauliza Jamani mbona tunaenda Mbezi beach? Toka lini tunaenda kula mbali hivyo? Na huko ndo kwetu. Out of nowhere nilianza kuscream 'God Please not my dad' sijui why ila nilihisi ni babangu sababu watu wasingehangaika kunicheki vile Kama isingekuwa babangu coz wanajua nilikuwaje na babangu. Hapo rafiki zangu wananinyang'anya simu ili mtu mwingine asinipigie. Nalia kilio bila kujua nalilia nini. Nkachukua simu nkadial namba ya babangu ikawa imezimwa, mama yangu nikaanza kupiga mayoweeeeeeeeeeee why namba ya babangu imezimwa... gari ilivyoanza kuelekea kwetu nawauliza rafiki zangu mbona mnanipeleka nyumbani jamani?? Huku naliaaaa, wako kimya hawana jibu. . . Nakumbuka kama ilikuwa jana, tulivyofika kwetu mlinzi akaja kufungua geti nikawa namuuliza 'Babu kuna nini babu' Babu anaangalia chini, Hanijibu ile tunaingia nikaona gari ya babangu imepaki kidogo nkapata hope labda sio baba maana kama gari yake ipo it's means hajapata car accident na hawezi kufa kwa njia yoyote ile ingine sababu alikuwa mzima kabisaaa. Part 2. My dad (Mkandarasi) akikabidhi either College ya Veta au barabara (sikumbuki vizuri) kwa Mkapa . . . Basi nikashuka kwenye gari nakumbuka mtu wa kwanza kumuona alikuwa houseboy wetu Kaka Kibesa(marehemu pia) alikuwa houseboy wetu wa watangia Mimi sijazaliwa, aliletwaga na mama yangu mzazi kutoka Lindi, mmakonde mwenzie. Hata mama yangu alivyoachika Kaka Kibesa alibaki na aliendelea kunilea na alitulea watoto wote.R.I.P Kaka Kibesa. Kwa kumwangalia usoni tu nilijua ni baba, he looked so broken, nikamuuliza Kaka Kibesa naomba uniambie kuna nini, hakujibu kitu zaidi ya 'Panda juu Mange' . . Naingia ndani nakuta tayari kuna Watu wachache wamekaaa kwenye mikeka wanalia, mama yangu nilidataaaaaaa. Nilipanda zile ngazi kwenda upstairs Kama kichaaaaaaaaa, kuingia chumbani kwa baba na mama namuona step mom wangu kitandani analia huku watu wanambeleza, Mungu wangu nilianza kukaaaa chini na kusimama, najitupa nainuka , tumbo linaniuma, nilipata period hapo hapo, pale ndo nilipojua baba yangu kafariki. That was a defining moment.Nakumbuka sentensi ya kwanza nilisema ilikuwa ' Hakuna Mungu jamani, kungekuwa na Mungu asingemchukua babangu jamani' nikaanza kuuliza kafaje wakati gari yake ipo chini?? Hapo ndo nikaelezwa kajiua..... Dah sikuamini kajiua?? Ila it made sense!! . . Mara Kaka Kibesa akanitafa akanikabidhi barua aliyoniachia baba. Nkamuuliza aliacha barua ngapi akasema nne! Yangu, ya mke mkubwa, mke mdogo na ya kaka yake mkubwa!! Mikono ilikuwa inatetemeka kuifungua barua. Sikujua kama nilitaka kujua alichokiandika... Niliondoka nilipokua nimezungukwa na Watu nkajifungia nkaanza kuisoma. Like the true father that he was alikuwa kaniachia maagizo ya wapi ntapata pesa za school fees na matumizi mpaka Mirathi ikiwa settled! Na kuniagiza niwaangalie wadogo zangu. Nakumbuka sentensi ya kwanza ilikuwa ' Mwanangu Mange, utakapoipata Barua hiii nitakuwa nimeshatangulia mbele ya haki' Uwiii Barua ilijaaa machoziii. Wala hakugusia why kajiua Ila ni sababu alijua Mimi out of all people najua Sababu gani kajiua ?? Part 3. Msiba wa babangu ulikuwa kama movie kwangu. . . Baada ya hapo ilikuwa ni 2 long days za kuwasubiri wadogo zangu wa kiume waliokuwa wanasoma Kamuzu Academy-Malawi wafike nyumbani.nilikuwa nawawaza wao watahandle vipi situation sababu walikuwa wadogo.Nakumbuka sikuweza kutia kitu mdomoni toka nimeambiwa baba kafariki sababu nilihitaji kuwaona kaka zangu kwanza!Nakumbuka wadogo zangu walivyofika nilisikia tu vilio vimezidi nje. Niliwakimbilia nilihisi kama Baba anarudi.Tulihagiana wote wanne, Mimi, Step mom wangu,na wadogo zangu for the longest time. Na Nakumbuka ndogo wangu anaenifata alitake control of the situation mara moja, Yani alijua Sasa baba kaondoka lazma atake control. Alitukumbatia woooote akasema 'guys we will be okay' I swear hiyo sentensi ilinipa ahueni kubwa mnooo. Aliirudia ile sentensi kama mara 10 , ' We will be okay'. 30 mins later tulikaaa pamoja tukala chakula.?? . . Kifo cha babangu kinanisumbua mpaka Leo sababu I feel responsible somehow. I feel like I could have done something. I could have gotten him help. Baba yangu alikuwa ananitoa chuo kila siku anaiita ofisini kwake ananilalamikia about one thing and one person only.One of the 2 people aliemcause my father so much hurt ni Sumaye ndo maana mmeona issue yake ya kunyang'anywa Mashamba sikutaka kuposti.That time Sumaye alikuwa waziri mkuu. Labda Sumai hakufikiria kuwa threats alizomfanyia babangu kupitia mke mdogo na mali walizomfilisi yeye na mke mdogo zingeifikisha familia yetu hapo. Ntaishia hapo sababu nikiendelea itabidi nitaje na majina, kaka zangu hawatakagi niongeee hii issuie.Ila mke mdogo huwa siongei nae mpaka kesho. Nikimwonaga naskiaga roho inataka kunitoka? . . . Babangu aliondoka Kigoma 6 months before his death project ikiwa na matatizo na Sumaye akiwa anamwambia government haitomalizia malipo na ahand-in project ikiwa complete la sivyo anamfunga. Na hatokaaa kupewa tena projects za serikali na mkewe akawa kamchukua tayari. Remember babangu all his income zilikuwa ni project za serikali tu. All bank accounts zikawa frozen, Tanzania na Dubai......Let me end here ?
The Mengi’s!
The Mengi’s sss baby! The Billionaire himself with his little billionaires and Mrs billionaire katika ubora wao just enjoying some quality time together as a family!! These people smell M-O-N-E-Y all over O’yes! I can smell them through the picture all the way to U.S.A even their skin can testify ?? Pendeza sana wapendwa. Mbarikiwe Halafu hapo utakuta mume mwingine anakwambia yupo busy na business hata muda na familia hana. Nyie wanaume wa Kibongo embu mchukue somo hapo kutoka kwa Dr Mengi. Humbleness never got out of fashion people!! Be humble!! Be kind!! Be loving!!
Faraja Nyalandu: Tanzania itajengwa na sisi wenyewe
“Tanzania itajengwa na sisi wenyewe. Watu wa kawaida lakini tuna uwezo wa kufanya vitu visivyo vya kawaida. Ordinary people doing extraordinary things. Stand in the gap. #Tanzania”
Hayo ? ni maelezo yake Mkurugenzi Mkuu wa Shule Direct kuhusiana na picha hiyo ya Muheshimiwa Paul Makonda
Mother and daughter moment
Wamenoga eeh! Mama na mwana, Nancy na binti yake Zuri. So pretty!
Quote for today: A daughter is just a little girl who grows to be your best friend.
Dr. Ntuyabaliwe Foundation doing community work in my district!!
” Today I visited a Primary School in Temeke district representing @drntuyabaliwe_foundation to discuss about setting up a school library for them.I was very excited to hear that “Reading(Maktaba)” has been introduced as part of the curriculum this year so our library donations will really help kids to have the right environment for that subject.This school started before I was born and they’ve never had a school library. ” ~~~JNM
I’m happy to see the representative of Dr. Ntuyabaliwe Foundation Jacqueline Mengi a.k.a Mama wawili doing community work in my district- Temeke! Yes, was born and raised in that district for that thank you Dr. Ntuyabaliwe Foundation for thinking of us. ?
Thank you Jacqueline, Mrs billionaire ??❤
Yesss! BossLady! Don’t let her over-shine you! Just keep Queening!
“Am such an early morning person as some can see on my snap, usually up by 5am. Let’s start this day on a different note, shall we? Ladies and gentlemen I’ve heard you loud and clear, the advises, the consolation, the pity, the hurt you feeling on my behalf most of all the betrayal. But let’s look at this on the positive side. When a person chooses to cheat on you it’s not YOU actually its THEM which usually turns out that they played themselves while they thought they are playing you. You should never look down on yourself, don’t ever think you are worthless because of another person’s mistake & never blame yourself. But always look at how to pick yourself up and get going. That said, with my birthday approaching let’s put all this negative energy behind us and appreciate, LIFE! ?”
Yes! You Go Zari!! Don’t let her over-shine you! You have been a Queen way before her and CROWNS ARE A GIFT FROM GOD, THEY ARE CUSTOM MADE!! NO ONE CAN FIT ON YOUR CROWN BABY!! IT GOT YOUR NAME WITH IRREMOVABLE SIGNATURE FROM GOD!! Just keep Queening!! I love you even more!! ❤❤❤❤ Birthday loading huh ?? shame on them ?? And Diamond ataembea kwa magoti mpaka South Africa?!! let them cry and their heart bleed badly ??????
Martin Tiho ashirikiana na Jokate kuanzisha “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu”!
“Nikiwa na rafiki yangu Martin Tiho niliyekutana nae kwa mara ya kwanza miezi miwili nilipofanya ziara katika ofisi za New Habari Sinza jijini Dar es Salaam, alikuwa anasambaza CD za filamu aliyoigiza na kutengeneza mwenyewe. Tukabadilishana mawasiliano baada ya kununua CD yake na kuahidi kushirikiana nae. Ameanzisha kampeni yake ya “Sauti Ya Watu Wenye Ulemavu.” Na hivi karibuni tutawaletea tshirt kama njia moja wapo ya wewe kuchangia katika project yake. Nilimwalika aje tupige picha za pamoja. Picha hizi zitakuwa kwenye tshirt zake. Karibuni. Usengwile.” Jokate Mwegelo
Zari don’t leave Diamond!!
Zari I am deeply sorry my dear! But I beg you to stay! Don’t leave Diamond!……..Unajua mwanzoni niliongea bila kusikiliza interview ya Diamond na Leo Tena!………Sasa baada ya kusikiliza ndio nimejua nini kina endelea……….
Zari is just another Victim ya mimi kumuweka hapa kwa blog yangu! O’yes! Believe me! Kama wengi hamjui kuna mtandao mkubwa sana hapa Marekani na baadhi yao wapo UK ambao unatumia mgongo wa “siasa” kunichafua na kuichafua familia yangu!! Sasa watu waathirika wakubwa ni watu nianao waweka hapa kwa hii blog yangu!! Yani kama hao watu hawata nikana mimi na familia yangu (watoto wa mama yangu) basi wakiwekwa humu watafanyiwa kila mikasa na kutukanwa bila wao kujua sababu. Huu mtandao umeniandama mimi kwa muda mrefu sana kabla hata sijaanza ku-blog when I was in Kalamazoo, Michigan!
Mimi mwanzoni sikujua nini kina endelea nikamwambia baba yangu kuwa I think some people are stalking me, hakunielewa why? Hii story ni ndefu sana but to make it short siku zao zinafika wote watajulikana tuna wachora tu! Mimi nilitaka to commit suicide mara mbili because no one believed me first wakifikiri nimechanganyikiwa! Oh! Yes! Usinione na simama na baba yangu Dr Magufuli na nitasimama naye mpaka nakwenda kaburini because he saved my life!! Nimtandao wa watu wengi sana mpaka Wachungaji wa Kisabato wamo kwenye huu mtandao! Baadhi ya ndugu zangu nao wapo kwenye huu mtandao.
Kuweni makini sana haswa wanachama wa CCM na picha mnazopiga na watu kwani hawana nia nzuri. Nia yao nikuwachafua watu wa CCM au ambao wazazi wao wapo CCM! Mimi nilipiga picha na mzee Tenende na some people kwenye DICOTA 2012 in Chicago mtu akaja niuliza maswali ambayo siku yaelewa mpaka nikatoa baadhi ya hizo picha. Kumbe hapo ndio walikuwa wameanza mchezo wa kuni stalk! And even to this date this people are stalking me but since I know what is going on mimi nawachora tu!!
Na huyu Hamisa lazima atakuwa anatumika!!…..,,…… Nayule mwanadada mzungu koko mwenye TV uchwara pale Dar es salaam kaeni naye mbali sana. She is a devil in a Lamb cloth!! You all know who I’m talking about!! And please get this very clearly I don’t have “step mother” so when someone comes to you kuwa ni step mother wangu! Don’t listen! Wote ni mtandao huu!! ………Zari I’m deeply sorry for what you have to go through because of me!! But rest assured this is under control!!