???? Hivi huyu Idriss kichwani mwake zimo kweli au zilisha hama? ???? Can't stop laughing.........., sasa hapo ndio sikio lake limekaribia kufa anajaribu kulifufua na dawa au ndio limesha kufa halisikii dawa ?? so funny!
All posts by Alpha Igogo
Nilifundishwa…………..!
Soma Comments kwa Masomo Mengi zaidi......
Baba na mama Cookie katika ubora wao!
Mama Salma Kikwete akabidhi kijiti!…….Mama Samia Suluhu awa mlezi mpya wa Girl Guides Association!
Kilikuwa kipindi kizuri na chenye mafanikio kwa wasichana na wanawake kwa muda wote tuliokuwa pamoja na mama yetu Mhe Mama Salma Kikwete kama mlezi wa chama chetu cha Tanzania Girl Guides Association na hatimae leo hii kukabidhi kijiti kwa Makamu Wa Rais Mama Samia Suluhu kama mlezi mpya wa chama. Tunategemea mengi mazuri kutoka kwa Mama Samia hasa katika malezi ya mtoto wa kike #TanzaniaGirlGuidesAssociation #Wagggs #FriendsOfGirlGuidesTanzania ❤️ My Jojo you too cute like Cookie Iyobo, are guys related or because I love y'all ndio mkaamua ku-look alike ?? pendeza sana! Yes! Ukisikia mwingine jua katoka China au Thailand. ?? #FakeZoneCountries Hongera sana mama yetu kipenzi Mh. Samia Suluhu kwa majukumu mapya ya ulezi wa watoto wakike! Najua na ninaamini wadogo zetu na mabinti zetu wakike watakuwa salama chini ya uwangalizi wako! Asante sana mama Salma Kikwete kwa kuifanya kazi hiyo vyema. ? Mbarikiwe mama zetu ? #WanawakeTunaweza #UkomboziWaMwanamkeUtaletwaNaMwanamkeMwenyewe
Please Cookie Iyobo!! Si kwa uzuri huo jamani!!
Wee Cookie!! Jamani mbona umzuri hivyo! Honestly, your beauty is driving my uterus crazy!! I can feel the "baby Vibes" all over me ?? Now I am confused, I was longing for a baby boy but ma'am!! With that kinda beauty I don't mine to go through the "shades of pink" again! ??? You too cute baby girl! ?? maana nimeudhika na uwo uzuri if mama knows what I mean ❤❤❤..........Mungu akulinde mwanetu, mashetani yamejaa kwenye hii dunia inatisha sana!
Zari, am I right? Or…..!
Cheka urefushe maisha yako!
Hongera sana Mr and Mrs Davis Kateti!
Hongera sana mdogo wangu Davis Kateti na wifi yangu Ester Kateti kwa kula kiapo KITAKATIFU. Mungu awaongoze katika kila jambo jema mlitendalo! Akapate kuwa ngao na kimbilio lenu wakati wote siku zote katika nyakati zote za raha na tabu! Akabariki uzao wenu hata kizazi cha tatu na cha Nne! Nyumba yenu ikawe hekalu ndogo; amani, upendo, furaha vikadumu ndani yenu! Hongereni sana wapendwa!
“watu wema wengi huishia kuwa na sifa ya UBAYA vinywani mwa watu lakini kwa kuwa MUNGU NDIE ANAELIPA!!”>>>> Zamaradi Mketema
Tenda wema unavyotenda, kuwa mwema unavyokuwa, mpende binaadamu unavyoweza, muoneshe kumjali kupitiliza, niamini kitu kidogo kitamsahaulisha yote makubwa tena hakuna ajabu kukuta kinachomfanya akuone mbaya ni haki yako, hakuna anaefanya jema kwa mtu ili alipwe, ila kuna ile hali ya KUONA na kuthamini juhudi anazofanya mtu ambapo hiyo inapokosekana ndio unakuta mtu unakuwa dissapointed kwa namna fulani, maana mara nyingine mtu unatoka hadi nje ya njia zako kumridhisha mtu ama hata kujinyima mara nyingine ili wengine wafurahi hata kama ni kwa kidogo, huenda ndio uwezo wako ulipoishia, lakini hakuna hisia mbaya na zinazoumiza kama kujihisi HUTOSHI ama huna unachofanya hasa kwa mtu ambae deep down unajua unafanya nini na unajali kiasi gani. Nilichogundua ukiwa mwema sana unaowafanyia mara nyingi wanakuonea, watakugandamiza, wata-take advantage of you na zaidi watavuka hadi mipaka yako mara nyingine hata kwa vile vitu vya kutumia tu akili, kiufupi watafanya hadi yale ambayo kihalali wasingeweza kuvumilia kufanyiwa na watu wengine na ukiongea ni KOSA, unakuwa mbaya, tena mara nyingine unaweza hata ukanuniwa, wanataka hata wanapokugandamiza unyamanze UKAE KIMYA hata kama ni haki yako kuongea. Ikikutokea usiumie na wala usiache kutenda pale inapostahili, watu wema wengi huishia kuwa na sifa ya UBAYA vinywani mwa watu lakini kwa kuwa MUNGU NDIE ANAELIPA!! Usiache kujitoa, uzuri yupo na ANAONA!!
“Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu….!”
WANAUME huwa tunatamani sana kupata WIFE MATERIAL lakini cha ajabu tukiwapata tunawatafutia visa vya ajabu visivyoeleweka wakati tuliwatafuta wenyewe............ Ukiona Mwanamke ana WIVU NA WEWE, anakufuatilia mambo yako, uko wapi, umekula, umekula nini, umekula saa ngapi, kwanini hujalala, kwanini umepiga picha na mdada asiyemjua, kwanini hujamtafuta nusu saa, kwanini uko Online Whatsapp lakini haumtext, TUNAANZA KULALAMIKA, "Oh huyu Mwanamke ana wivu sana mi siwezi" Mwanamke mwenye Wivu SHE IS IN LOVE........SHE IS LOYAL........SHE IS FAITHFUL Hawa makurumbembe tunaowapenda kisa hawatusumbui wote WEZI NA WAONGO TU, they are after something, Kwao Mapenzi ni rahisi kama kuagiza RED BULL BARIDI Wanawake FAITHFUL hapa Tanzania wako 16 tu, kama umempata mmoja kati ya hawa MSHIKILIE, NA MPENDE SANA, USIMTIBUE.......Akiondoka huyo utapata Bata la Uswahilini, hata uuchune SIKU 2 na yeye hakutafuti, utabakia na Majuto while She is Gone na amempata aliyeona thamani yake........ WANAUME HATA HATUELEWEKI TUNATAKA NINI SOMETIMES, Hata mnune mpige mawe UKWELI NDIO HUU!》》》》》by Chastic Chastic
Manhood!
Prof. Jay na bestman wake siku ya Send Off party ya mchumba wake. Wamependeza sana! Wapo simple, clean and smart!..........Hongera sana Prof. Jay Mungu akutangulie, atawale ndani ya ndoa yenu!
Kheri ya kutimiza miaka Khamsini ya kuzaliwa kwako mama Diamond!
Kuwa muungwana kwa maisha yako ya baadaye na sio maisha yaliopita!
Nimekutana na hii topic huko Instagram nikaona ni share nanyi! Inasema kuwa acha kujaribu / usije jaribu kufanya biashara na mtu ambaye mmeachana (ex) au hata kujaribu kuwa marafiki kwani ndio maana kuna mke/ mume tafuta wako ufanye naye biashara! Kuwa muungwana/ mkarimu kwa maisha yako ya baadaye na sio maisha yaliyopita! Let bygone be who she / he is! Tafuta mwenza wako ndo mfanye naye biashara! Kuna wengine inatokea wakaachana na bado wakaendelea kufanya biashara pamoja. Lakini kundi la watu hao ni wachache sana! Hata Beyonce alimfukuza baba yake u-Manager baada ya kuachana na mama yake Beyonce sasa sembuse wewe?! ……………”Stop trying to do business and be friends with your ex. There’s a spouse for that. Get one! >>>>> Be loyal to your future not your past!”>>>>>> AskcheyB
Womanhood!
I said last week, she's not a Diva! Soma ?? NaweweNikamaMimi anaweza kwenda popote pale na akaishi bila tatizo! Yani ni mtu anayependa vitu vizuri na maisha mazuri lakini hajui kuringa! Divas wanamaringo, nyodo, na dharau za kufa mtu! Yani vitu fulani hivi ambavyo vipo so annoying in a normal life!.........But Zari, you know how I love you! You are like my best friend that I have not met yet ?? So, honestly, watsup with your man? Is he just a "social jack" or something is going on that we need to know? .......This evening through his Snapchat he was dancing like nothing but a total jack at his mom's birthday party! I don't have Snapchat but my daughter does. She was shocked, decided to share with me! Like really! Is that type of a "father figure" you want for your boys? Watsup my dear! Think deep and do some before it's too late! ......❤❤
Cheka urefushe maisha yako….. #No romance without finance
Eti wataalamu wanasema hivi, msichana anapo muuliza mwanaume kuhusu namna anavyo endesha maisha yake kiuchumi haimfanyi kuwa mwanamke mwenye tamaa au kupenda makuu, hapana! Huyo ni mwanamke mwenye akili nzuri / timamu! Kwani hata wao wanaume wasingependa kuona binti zao wanaolewa na wanaume Mburulaz ??? Yakwamba wanatakiwa wawajali wanawake wengine kama ambavyo wangependa mabinti zao watendewe na wanaume wengine! Hakuna pesa hakuna mahaba ??? kuna topic nyingine kasema kama mwanaume hawezi kumudu kununua pete ya ndoa basi huyo mwanaume hawezi imudu ndoa achana naye ??? ee shughuli pevu maana mie nimempenda mmeba mabox mwenzangu ??? Duh! Mapenzi ya mwendo kasi yana kazi kweli! >>>>>>> "She's not a gold digger for wanting to know how you make your living. She's smart! You wouldn't want your daughter to marry a BROKE man either. Fellas!!! Do unto other women as you would have other men do unto your daughter(s). ?? No romance without finance. ?" AskcheyB
He said, ‘You are asking a lot. She replied, “I’m worth a lot!”
"In a brief conversation, a man asked a woman he was pursuing the question: 'What kind of man are you looking for?' She sat quietly for a moment before looking him in the eye & asking, 'Do you really want to know?' Reluctantly, he said, 'Yes. She began to expound, 'As a woman in this day & age, I am in a position to ask a man what can you do for me that I can't do for myself? I pay my own bills. I take care of my household without the help of any man... or woman for that matter. I am in the position to ask, 'What can you bring to the table?' The man looked at her. Clearly he thought that she was referring to money. She quickly corrected his thought & stated, 'I am not referring to money. I need something more. I need a man who is striving for excellence in every aspect of life. He sat back on the couch, folded his arms, & asked her to explain. She said, 'I need someone who is striving for excellence mentally because I need conversation & mental stimulation. I don't need a simple-minded man. I need someone who is striving for excellence spiritually because I don't need to be unequally yoked...believers mixed with unbelievers is a recipe for disaster. I need a man who is striving for excellence financially because I don't need a financial burden. I need someone who is sensitive enough to understand what I go through as a woman, but strong enough to keep me grounded. I need someone who has integrity in dealing with relationships. Lies and game-playing are not my idea of a strong man. I need a man who is family-oriented. One who can be the leader, priest and provider to the lives entrusted to him by God. I need someone whom I can respect. In order to be submissive, I must respect him. I cannot be submissive to a man who isn't taking care of his business. I have no problem being submissive...he just has to be worthy. And by the way, I am not looking for him...He will find me. He will recognize himself in me. He may not be able to explain the connection, but he will always be drawn to me. God made woman to be a help-mate for man. I can't help a man if he can't help himself. When she finished her spill, she looked at him. He unfolded his arms and sat there with a puzzled look on his face. He said, 'You are asking a lot. She replied, "I'm worth a lot!" >>>>> Bishop Larry Boyd
Pete ya ndoa ni pingu ndogo, chagua mfungwa mwenzio kwa makini!
Mr and Mrs Mali Kimesera katika ubora wao! Wamependeza eeh! Hadi raha sana! Wamechaguana, wakawezana!............... Sasa ninekutana na hii msg nikaipenda:>> Eti kuwa pete ya ndoa ni pingu ndogo sana ambayo ni ya umilele hivyo tafakari sana. Chagua mfungwa mwenzio kwa makini na ujihukumu kwa busara ili kuhepuka kutoroka gerezani! ???? #ChapterClosed >>>>>>> "Wedding rings are the smallest handcuffs ever. So think deep. Choose your prison mate carefully and sentence yourself wisely to avoid any prison break." Bishop Larry Boyd
Make no mistake about it…..!
"Don't give anybody privileges and rights without responsibilities. The mind cannot handle being afforded privilege without purpose. Make no mistake about it, whatever is earned cannot be mistaken for free, cheap or easy. Giving a grown person free privileges is like giving a baby a razorblade. Just because somebody wants to hold you does not mean that they can handle the responsibilities that come with you."~~~Bishop Larry Boyd