Live your life thinking of who you think you are and not what others think of you. Ukiishi kwa mawazo ya wengine wanavyokufikiria, kuna siku utaishi kama malaika na siku nyingine utaishi kama shetani. Kwasababu binadamu ana uwezo wa kufikiri vyote viwili juu yako. Kuwa imara, hakuna alichokiumba Mungu asicho na kusudi nacho. #WeekendWisdom P. S my country is BEAUTIFUL ?? #Kilimanjaro
All posts by Alpha Igogo
Rest In Eternal Peace mama Janet Leah Anyango Owino!
It’s painful and hard to believe. I’ve lost a good friend, my ONLY in law who could call and ask “nyar Igogo why are you so quiet……na huyo kijana wangu anakuangalia vizuri kweli…….wacha kupotea hivo mamaa……I love you my daughter” Her heart was pure and filled with joy, will miss her dearly. +254 will never be the same without you mamaa! Until we meet on that beautiful shore; Sleep well my beautiful aunty in law.
My only regret is that , I didn’t get home in time to take you to our trip we had talked about .Please join me and my family in prayers. We lost our Beautiful Beloved Mother. I am still in Shock . I think I am dreaming . Maybe I will wake up and hear her voice . Awuoro tho. Rest In Peace Alei Nyar gi Pastor. Awuoro tho . We loved you but God loved you most. I know I will meet you in Heaven. I know you are now singing with the Angels . Awuoro tho . Awuoro. The death that took my father, now My mother? Awuoro.
I am deeply sadden by the death of our aunt inlaw mama Janet Leah Anyango Owino! It hurts for no one can be prepared or get used to the loss of our beloved ones! However, it takes comfort knowing that they are resting in peace and one day we will meet again in that beautiful shore! With all due respect and honor, on behalf of Mr and Mrs O.O Igogo’s family and the Rhoda Nyolwengos’ household, I’m sending my sincere condolences to my “International brother-in-law” and his entire family, the Nyagilos’ family in Kagan, Kenya, the Owinos’ family in Kenya, the Omboris’ family here in U.S.A and Kenya, and without forgetting the Atengs’ family here in U.S.A, Nairobi, and Kagan, Kenya!…….. Mama has departed physically from us, but her good deeds will forever live in our hearts and minds! “Naked I came out of my mother’s womb, and naked shall I return thither. The Lord gave, and the Lord hath taken away; blessed be the name of the Lord” Job 1:21……. R.I.P mother inlaw!
Father and daughter moment
We now live in a society where fathers are similar to mothers in providing care to their children. That presence and effort is the start of a bond that is very important between a father and a daughter. It is also the reason why fathers are very influential in their daughter’s lives, especially when it comes to self-esteem and decision making. How a father has impacted his daughter’s life is what helps her as she grows up to be a strong, confident woman! May God bless all great fathers!
Quote for today:
“It is admirable for a man to take his son fishing, but there is a special place in heaven for the father who takes his daughter shopping”
your lifestyle & dreams will determine the kind of a man you would like to marry ~~~Akothee Akothee
It’s a free world , date whoever you feel like , even baboons attract tourist, as long as you are happy , then we should be happy for you, be proud of your Man /woman, we all have different tastes, ambitions, lifestyles, etc , your lifestyle & dreams will determine the kind of a man you would like to marry ??? usisumbue watu akili, gone are days when even parents would choose who you settle down with , today, they can only make noise & adjust to it . Choose your rib wisely, for when it is sweet , you won’t tell us , you will only share with us the challenges! & we will either laugh at you or do very little,in short LIVE & LOVE YOUR LIFE DONT LISTEN TO THOSE WHO HAVE BEEN SINGLE FOR TOO LONG , THEY ARE TOO SELFISH TO SHARE THEIR EXPERIENCES, but for sure every woman needs someone to hold, laugh, & cuddle Hakuna age kwa hizi
Cheka urefushe maisha yako: #LookingForAWifeToHire
“I am looking for a wife to hire, my family from ushago are visiting me, they think am married because I have been cheating them ……this woman must be 7 months pregnant. She will stay up to Tuesday when they leave. I think 25K is enough for 4 days.”
Majibu ya waombaji:
Sheila Githaiga: Uko wapi exactly tufanye hii biashara……sina mimba lakini niko na kitambi inakaa mimba
Christiane Christina: Nikisema hii maneno ni tricky sana
Happy golden birthday Mr. Mali Kimesera
Kheri ya kutimiza miaka Khamsini ya kuzaliwa kwako! Mie bado nakumbuka ukarimu wenu na upendo mlionionyesha! Daima nitawashukuru na kuwatakia mema siku zote! ??? Happy Golden birthday baba wa ma-private Jet ?………. Please tembelea Instagram na Facebook za Linda Bezuidenhout / Linda Bezuidenhout personal page ujionee “ThrowBack” za nguvu!
Katarina Karatu then and now!
Kweli Akothee Akothee alisema ukweli kuwa “We are not ugly, mapato ndio kidogo na mahitaji ni mengi” soma ?? WeAreNotUgly …… Tazama jinsi Katarina anavyo ng’ara sasa! Yani tofauti sana na alivyokuwa wakati anapesa za “kubangaiza” yani pesa zisizo kuwa na huwakika! Ni mrembo wa kuzaliwa lakini makeup imemuongezea mvuto zaidi! Alijisemea Chris Rock kuwa “Money is the best lotion ever”! Nahapa tunapata kuthibitisha LIVE! Kapendeza sana! ?❤
Happy 40th birthday to me!
Asante Mungu kwa mwaka mpya! Hakika nimeona pendo lako! Jina lako libarikiwe milele! Asante sana wazazi wangu kwa kunileta katika dunia hii! Namshukuru sana mama yangu kwa kunizaa lakini pia namshukuru sana baba yangu kwa kuacha wanawake wote na kumchagua mama yangu maana kama isingekuwa hivyo nisinge kuita wewe mama! Asante sana family yangu (kaka, dada, wadogo, na wengine wote) kwa uwepo wenu kwangu ndio nguzo yangu imara nasimamia, kivuli changu wakati wa jua kali, na kimilio langu wakati wa shida!……..Asante sana mwanangu najivunia sana wewe kuwa mtoto wangu na niheshima ya pekee kutoka kwa Mungu kunipa wewe katika maisha yangu! Nakupenda sana!
Happy 40th birthday to me! #LetLoveLeads #LifeBeginsAt40 ?????❤?
Hongera sana Ravvyn! You have done us proud!!
Tanzania oye eeeeeee! Finally RayVnny ametutoa kimaso maso kwenye dunia ya #wazungu! Nasisi kwa mara ya kwanza, tumetambulika rasmi na kuwekwa kwenye Entertainment industry ya Wamarekani! #BETAwards…… Asante sana kijana wetu, asante sana Watanzania kwa ushirikiano wetu tulio uonyesha na kuleta ushindi huu nyumbani! Viva Tanzania! Viva WCB!
RayVnny, I’m so impressed kuona RayVnny anaongea good English! Safi sana! Yani mimi ni #Zezeta wa nyimbo zako ???
Eid Mubarak wapendwa!
Eid Mubarak to all my Muslim family members, friends, my loyal readers, and. everyone else! Mungu awabariki sana muwe na sherehe njema! Nawapa mkono wa Eid wapendwa!
https://youtu.be/ePeuRYIhZNs
Ijumaa Kareem!
Wema Sepetu katika ubora wake!
Wema Sepetu katika ubora wake! Vazi limemkaa haswa aaa! Kapendeza sana! My dear Wema naomba leo nikushauri, unajuwa wewe ni our Sweetheart! Tunakupenda sana na kukutakia mema! Naomba usichukie kuhusu ushauri wangu kwani unatoka from a good place of my heart, na pia sio lazima uhufuate unaweza ukasoma na ukauwacha kama ulivyo! Na ninakuhakikishia bado nitakupenda bila kinyongo! …… Wema sikiliza: 《1》Hii karne ya 21 kuzaliwa mzuri tu haitoshi! Wewe ni mzuri sanaaaaaa! Lakini unamengi ya ku-prove ili umpate yule mume / partner unaye stahili kuwa naye KAMA KWELI HILO NI HITAJI LA MOYO WAKO!
《2》 Achana kabisa na watu /fans wako ambao saa zote wanakueweka katika muonekano wa “mashindano” na mtu fulani haswa Zari, wakati Zari got no time for nobody yani yupo busy na maisha yake! Wewe ishi maisha yako bila kupigizana kelele na mtu! Au kuweka mazingira fulani yanayo onyesha some sort of competition! Kumbuka mtu yeyote yule ambaye anataka kushindana na mtu jua huyo mtu teyari umesha mzidi ndio maana anataka aku-drug down to his /her level! Always choose “highway” na sio mashindano! 《3》Ngoja nikwambie ukweli, wewe na Zari wote ni wazuri sana tena to be fair labda niseme wewe umependelewa zaidi na figure kuliko Zari! Hata hivyo any man ambaye ni potential au well successful will absolutely pick Zari over you! Unajua kwa nini? Zari has proven herself kuwa (a) she knows what she wants in her life! And happiness is her number one priority! Na ndio maana aliamua kuachana na marehemu Ivan Ssemwanga na kuwa na Diamond! She prefers happyness over money (b) Zari has proven kuwa she can make her man to be the best of all! She did that twice! Kwa marehemu Ivan Ssemwanga na sasa kwa Diamond! Ndio, unaweza sema ulimpenda Diamond akiwa bado “Nasib Abdul” but mdogo wangu, wenyewe wanasema hivi “a man with dreams need a woman with vision”! Na hapo ndipo Zari alipokupiga bao! You knew Nasib’s dreams but you didn’t have VISION to take Diamond where he needs to be! Plus badala ya kuwa team player ukawa kama una compete na Diamond; kumbuka zile kauli kuwa “anatembelea nyota yako” toka kwa mashabiki wako na watu wako wakaribu! Zari aliacha yote kumjenga Diamond at least for the first two yrs ya relationship yao. Building Diamond ikamsaidia kujiendeleza na yeye pia kwa ku-expand her empire in Tanzania. Wakati alionekana kama amepoteza Dira ya maisha kwenye macho ya watu wenye mtazamo finyu lakini kwetu sisi wengine tulijua Zari is going to surprise them big time and she surely did! Kumbuka nimekwambia kuwa Zari nia yake ni kuwa na mwanaume ambaye will make her happy, and that is what exactly Diamond is doing! Spoiling her right before your eyes! Pia angalia Ivan Ssemwanga, pamoja na yote bado Zari alikuwa ndio Kimbilio na tegemeo lake! Kitu ambacho wewe mpaka dakika hii pamoja na kuteka people’s heart but none of them can trust you with their “treasure” or legacy! (c) Zari has proven kuwa she is not only a great partner but she can hold down a family as well! She’s strong, has good family values enough to make her own family kitu ambacho wanaume wengi waliofanikiwa wanapenda kuwa nacho! Na hapa siongelei kuwa na watoto kwani watoto ni mipango ya Mungu! Ninacho kisema hapa nikuwa “grounded” enough to make someone’s house a family friendly place ambapo mtu kama Dr. Mengi atakuwa excited, and proud enough kusema I’m going home na once in a while kuwaita some of his friends for dinner! Mpaka sasa kwa hili mdogo wangu Wema, umefeli kabisa! Siku zote waliokuzunguka mmh! only God knows who they are! Embu jifunze kitu kutoka kwa aunt Ezekiel! 《4》 My dear Wema, achana na kutafuta attention zisizo na kichwa wala miguu! Don’t let them losers and fools use you my dear! Kama kweli you want to have that potential man holding your hand then you need to prove kuwa you are a woman of character! Make your man feel secured kuwa hayupo kwenye “competition” with another man! Yani kuwa akija mwenye hela zaidi yake he’s out of the league! Hii inaweza ikawa ngumu kunielewa lakini mpaka utakapo elewa hichi ninacho kwambia basi tegemea kutumika na wanasiasa pamoja na wenye pesa za “mission-town” ambao wanatafuta kuandikwa kwenye magazeti ya udaku!
《5》 Kama nilivyo sema kuwa you’ve a lot tu-prove na kitu kingine ni kuonyesha kuwa you can stand strong alone na kua-achieve something for your own good! Kwamfano mimi sio such a “career woman” but I managed to get my college education. Nasio hivyo tu, nimelea mwanangu ambaye niko so proud of her! Plus, naishi mwenyewe hapa Marekani bila msaada wa mwanaume hivyo mwanaume yoyote yule atajua kuwa kama tumependana ni kwasababu zingine na mapenzi ya kweli nasio ugumu wa maisha wa hapa Marekani! Angalia, mfano wa karibu ni Jokate, she’s a great example kama utataka kujifunza kutoka kwake! You have to show some potentials!
《6》Lamwisho, achana na mashoga a.k.a “wadada wa mujini”! You have your sisters make them marafiki zako wa karibu. Unaweza ukawa na baadhi ya marafiki wazuri kwa kula “bata” but don’t let them be your close friends! Kwasababu naona wengi wao sio wazuri na mkikorofishana siri zako zote wanakutolea nje wakati wewe sioni kama unatabia ya kutoa siri za watu! Hivyo achana nao kabisa! Otherwise, mie nakupenda sana na nakutakia mafanikio mema. Najua bado unanafasi ya kufanya matengenezo! Kama nimekosea naomba unisamehe sana. ❤
The journey to motherhood: Congratulations Nambua Cassandra!
Wapendwa wasomaji wangu, naomba niwaletee tukio zuri sana la safari ya kuzaliwa mtoto Prince. Ni tukio ambalo limekuwa recorded na shemu ya hiyo video imeonyeshwa na mama mzazi kwa kupitia account yake ya Instagram! ……….. Kwanza nianze kwa kusema hongera sana kwa Nambua kwa kujaliwa mtoto wa kiume! Mungu amlinde akuwe katika kimo na hekima. Akampendeze Mungu kwanza na kisha wanadamu! Karibu katika chama cha wakinamama/ wazazi! Safari hii ni ndefu, yenye changamoto nyingi lakini ni tamu mno! Nasema nitamu mno kwani kama kuna kitu nime furahia kwa 100% na bado naendelea kufurahia with all the pride is being a mother! Lakini kila siku namrudishia sifa na utukufu kwakwe Mungu maana bila yeye hakuna litakalo wezekana! ……..kwakweli nimependa sana hii familia ya Mr and Mrs Mlaki! Nimependa sana their spirit, wako so open and together, inapendeza sana mfano mzuri sana wa kuigwa katika jamii! Hii dunia imeshabadilika (21st century) kuna mambo mengi ya karne 19 inabidi kuyaacha maana siyo tu jamii haiipi nafasi bali pia hata technology haivitaki! Kwa mfano katika karne hii 21 n* kitu cha kawaida kabisa katika jamii zilizo ona mbele mama na kijana wake kuwa ndani ya chumba cha upasuaji wakimuangalia binti/ dada akileta kiumbe kingine duniani! Wakati jambo kama hilo bado linaweza likawa tatizo katika sehemu nyingi za Africa! ……….. Maelezo yote ambayo yameambatana na picha yameandikwa na Nambua ambaye ni mama mzazi wa Prince! #NaniKamaMama. Yesterday 4th June, 2017 was one of my big day osn earth. Nimepata experience ya ajabu sana katika maisha yangu. Mwenyenzi Mungu Muumba Mbingu na Nchi amenijalia kujifungua mtoto wa kiume 9.25am South African time. HIYO NI FIRST FOTO ALIPOTOKA TUMBONI KWANGU, ALIPOTOLEWA KAANZA KULIA. Ilikuwa sala yangu kujifungua mtoto wa kwanza DUME. I’M OFFICIALLY A MOTHER. Jana usiku sijalala kabisa nimekaa natoa macho, namshangaa huyu mtoto. Bado siamini kama ni mtoto wangu, namuona stranger, mgeni flani hivi. Na sikujua watoto wanatoka mbali hivi. Heshima kwa wamama wote waliozaa. ??. Napenda kuwashukuru wote waliokuwa na mimi katika hii safari yangu. Nikisema nitaje majina mengi sitamaliza. Surely it was a long trip. My brother @laumlaki huyu ni commando aliingia theatre aka record tukio zima la Cesarean operation na mama yangu @lwisemanka amempokea mjukuu wake. Lord Jesus I give you glory. In Christ I have made it to God be the Glory. Yeremia 29:11 HAKIKA MAWAZO YA BWANA NI MEMA JUU YANGU, Yeremia 33:3…… BWANA AMENIONYESHA MAMBO MAKUBWA MAGUMU NISIOYAJUA.
Hapo niko theatre (operation room) najindaa nimlete mwanangu duniani. Nacheka cheka tu naona wanachelewa……?. Niko na mama na mdogo wangu @laumlaki paparazzi. Hili tukio kwangu ni very historical considering mahala nilipotoka. Nilisema Im going to record kila kitu wakati najifungua niweke ktk dvd. Namshangaa Bwana Yesu na matendo yake makuu juu yangu. Nawashukuru sana MEDICLINIC, SANDTON. Doctors & Nurses are very friendly na makini ktk kazi. Biblia inasema katika torati: Mateso ya mwenye haki ni mengi, lakini BWANA humponya nayo yote.????? Amen.
My mother @lwisemanka, my mdogo @laumlaki and my photographer ms melody, hawa nilikuwa nao theatre. Walitaka waone ceserean section inavyokuwa, yani kila kitu na wawe wa kwanza to see my baby. Nimewaita mashilawadu wangu.????…….. love you all. Kweli watoto wanatoka mbali sana. Halafu hili zoezi nimelipenda sana la kuingia theatre na familya yako au photographer wako.
Hapo nimetoka kutoa mtoto tumboni naumwa sana, nimezinduka. Koo limekauka kwani niliwekewa oxygen. Yani kuitwa mama aisee ni kazi! Nafundishwa kunyonyesha naona ni adhabu halafu siamini kama nitaitwa mama. Shikamoo mwanamke. Naomba wanaume wawaheshimu wale wanawake waliozaa wakawafanya wakaitwa wababa. Hii experience ni ya ajabu. Wamama shikamooni. Kuanzia leo simgombezi tena mama yangu……. Biblia inasema ZABURI 34:19-21 MATESO YA MWENYE HAKI NI MENGI LAKINI BWANA HUPONYA NAYO YOTE.HUIHIFADHI MIFUPA YAKE MY FIRST BORN,UZAO WANGU WA KWANZA…… BWANA MUNGU AKASEMA HAKIKA NITAKUBARIKI NAE AKANIBARIKI NA HUYU KIUMBE KATIKA JINA LA YESU …………… PRINCE THAT HIS NAME.NI PRINCE MTOTO WA MFALME WA WAFALME, JEHOVAH RAPHA. TODAY HE IS ONLY 15DAYS OLD NA AMEANZA TO POZI TAJIRI MTOTO. I LOVE YOU MY SON. I LOVE YOU. HUYU KIUMBE NIMEMJUA SIKU 15 ZILIZOPITA ILA NAMPENDA KULIKO VIUMBE VYOTE DUNIANI…….???? MY LIFE HAS CHANGED 100%. #nambuacassandra @baby.mix.baby.
Me and My baby PRINCE that his name (tajiri mtoto)…… hapo yuko 12days old????. Na nilipokuwa natafakari?? siku zangu duniani, Nae Mungu akasema na mimi akaninong’oneza MWANANGU NEEMA YANGU YATOSHA JUU YAKO. MGHH SIKUAMINI……. ILA LEO NIMEIONA NEEMA YAKE KWA KUNIZAWADIA MTOTO WA KIUME SAWASAWA NA HAJA YA MOYO WANGU. (Heart desires) ??? Neno la Mungu linasema (Torati) Zaburi 37:4-6 Nawe utajifurahisha kwa BWANA. Naye atakupa haja za moyo wako. Umkabidhi BWANA njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya. Ataitokeza haki yako kama nuru. Na hukumu yako kama adhuhuri……. #nambuacassandra #huumchezohauhitajihasira
***HONGERA SANA NAMBUA CASSANDRA***
How can I attract my Boaz? A) Close your legs. Open your heart!
Wataalamu wanakwambia muonyeshe kuwa you are a team player without any benefits attached then you will see kama hajakufanya uwe Malkia wake wanguvu! ………. Ngoja niwadokezee kidogo, this is exactly what happened kati yangu na Muhaya! Kwani unafikiri hiki kiburi cha kusema “haachwi mtu hapa” kinatoka wapi? Pure love will never come back void people!! ?? I will let him aje awaelezee siku moja leo nimewaonjesha tu. ??? “Help a man build his empire without giving him sex and watch him marry you. #Helpmate #close your legs.Open your heart SOMA BAADHI YA COMMENTS:
Step-Dads, Boyfriends and Other REAL Dads Take One For the Team
Bado tupo kwenye moment au mwezi wa kusherekea na kuwaenzi baba zetu! Baba si yule aliye kuzaa na kukubwaga bila kujua nini kinaendelea kwenye maisha yako au hata kama yupo hachukulii swala la malezi yako kama jambo muhimu katika majukumu yake! Ili uwe baba kamili lazima ushiriki katika malezi ya mtoto kwani hayo ndiyo yatakayo mfanya awe kiumbe kilicho kamilika hapa duniani. Mtoto si kumpa pesa tu! Mtoto anatakiwa kufunzwa manners na life values ili aweze kuishi vyema hapa duniani!…….Sasa kuna wanaume wengi ambao wanalea watoto wa wanaume wengine kwa viwango ambavyo huwenda hata baba zao halisi wasingeweza kufanya hivyo lakini inatokea watoto au jamii haitambui mchango wao kitu ambacho kinasikitisha sana! Hii article imeandikwa na blogger mmoja aishie Marekani (Sarah Maizes) ambaye ni a single mama na watoto wake kwa 100% wamelela na mwanaume mwingine ambaye si baba yao mzazi. Lakini pamoja na mambo yote anayowafanya bado watoto wake hawaoni umuhimu wake na kumpa heshima yake kama baba!My boyfriend and I have been together for almost 8 years and he has helped me raise all three of my kids. My oldest is 15 and my twins are 12 and he taught each of them how to ride their bikes, how to rollerblade, and assisted each of them in building kick-ass volcanos for Science Lab. He listens to all of their problems, goes to all of their games, and buys them frozen yogurt with extra toppings when they lose. He even talked my son through his first little broken heart. He enforces chores, doles out consequences, and is all-too-often the target of the tweenage, hormone-fueled frustrations that rage under our roof. We’re a team. But, nobody thinks of him as “dad.” When my kids’ friends come over to our house they ask, “Is that your dad?” and my kids say “No. That’s just Scott.” Invariably, the friend shrugs and gives a confused wave before moving on down the hall towards the XBox. And you know what? I feel a little bad for him every time they do. Not because they should call him Dad – we both agree they shouldn’t. They already have a dad they see on Sundays and for dinner once a week. But after giving up eight years of his own life to be whined at, puked on and giving up his only chance to have his own kids to raise mine (and somebody else’s) with me, he deserves to be recognized as something more than “just Scott.”
This post comes from the TODAY Parenting Team community, where all members are welcome to post and discuss parenting solutions. Learn more and join us! Because we’re all in this together.
“Asante mume wangu kwa kunipenda na kunijali….!” Mrs. Maria Makonda
Wiki iliyopita niliwaelezea sakata la mke wa TV icon and comedian Mrs Bill Cosby a.k.a Camille Cosby jinsi alivyojitokeza saa za mwisho bega kwa bega na mumewe huku aki-smile kwa raha zake! Kama ulipitwa basi soma ?? MrsBillCosby
Basi leo tena na waletea maneno aliyo andika Mke wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mrs Maria Makonda au kwa jina maharufu ni “Mrs Daudi Bashite” ?? hizi social media ni shidaaa! Btw, kabla sijaendelea naomba ieleweke kuwa sina chuki na Makonda wala familia yake japo simuungi mkono kwa mambo aliyo yafanya kama kiongozi! Hata hivyo mimi sio mwana siasa wala sio mwanaharakati wa siasa hivyo hayo ninawaachia wataalamu wa mambo hayo ku-deal nayo! Hii blog is all about love, spirituality, family, friendship, relationships, sisterhood, brotherhood, parenthood, empowerment, na mambo mengine kama hayo ambayo yana inspire jamii! Kama kuna mtu anataka siasa tafadhali usisite kwenda kwa Mange Kimambi, Peter Sarungi, na Lemutuz! Haya back to our topic! ……….. Juzi kati kwa kupitia account yake ya Instagram Mrs Makonda aliandika maneno haya “Asante sana mume wangu kwa kunipenda na kunijali. Mungu akutunze”! ?? Haya maneno anayaandika baada ya scandals zote ambazo zimemuandama mumewe kuanzia sakata la vyeti feki, vita feki ya madawa ya kulevya, na mengine mengi bila kusahau kuhusishwa na scandal za kuwa na mahusiano ya kimapenzi na muigizaji Kajala Masanja pamoja na Agnes Masogange! …….. Mimi nasema waacheni watu na ndoa zao kwani hakuna mtu anaejua sababu haswa zinazowafanya wanawake wengi wasimame na waume zao hata pale ambapo watu wengi wanaona ni wakati wa kumuacha “high and dry”! Sijui ni kwasababu ya kiapo #Kitakatifu. au mapenzi au ni huruma tu ambayo mwanamke ameumbwa nayo! Simnaona hata mimi hapa bado nimesimama kidedea na my Muhaya yani hapa ni Kigoma mwisho wa reli ??? kama nawaona wapika majungu sura zao zinavyo pooza ?? Haachwi mtu hapa poleni sana mtahachika nyie na ndoa zenu fake za Facebook ?? #StandByYourMan #GodHelpUs
Kwa wazazi mlioko Dar tafadhali usikose #Mtoto Day Out
EVENT: Mtoto Day Out..
TAREHE: 9/7/2017
MAHALI: Msasani Beach Club (kawe jeshini)
UMRI: 1_13
MUDA: Saa nne asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
KIINGILIO: Mtoto Tsh 5,000 mzazi bure.
Imedhamimiwa na @nmbtanzania kupitia mtoto akaunti.
Imeandaliwa na Dina Marios kupitia Mtoto Events.
Mtoto day out………Ni bonge la outing kwa mtoto wako.Michezo mbalimbali ya watoto,zawadi mbalimbali zitatolewa kwa watoto,mashindano ya kuchora,kupaka rangi,kucheza,kujibu maswali,mpira wa miguu wa beach,volley ball,kuvuta kamba n.k
#MtotoDayOut #MtotoEvents
#mtotoakaunti #mtotomagazine
Mtaarifu na mwingine baba, mama na mlezi.
Quote for today!
Nimependa hii picha ya Kiki na baba yake. Naamini sio mimi tu naweza sema kwa mara ya kwanza kumuona baba yake mzazi Kiki. Mara nyingi nimekuwa namuona na mama yake pamoja na ndugu zake wengine. Wanafanana haswa pua. …….Wamependeza sana ?
QUOTE FOR TODAY!….
“A man’s worth is measured by how he parents his children. What he gives them, what he keeps away from them, the lessons he teaches and the lessons he allows them to learn on their own. Thankfully, there is no measurement great enough to measure the worth of my father.”― Lisa Rogers
Happy Father’s Day to all fathers out there!
My International brother-in-law with his family-squad! So beautiful! Wishing you and my other brother in laws and all other fathers around the world a very Happy Father’s Day! Mungu azidi wabariki sana and thank you for carrying the title with respect and gratitude! Happy Father’s Day mashemeji zangu wote! Nawapenda sana!
Happy Father’s Day to the best father in the world!
Najua ninaye Baba wa Mbinguni ambaye ananilinda, kunijali, na kunipenda sana. Lakini ni haki kusema kuwa kama asingenipa huyu mzee kuwa baba yangu hapa duniani, sijui leo hii mimi Alpha ningekuwa wapi! It’s hard to have a child like me! Mimi ni mtu ambaye I can speak my mind, but not so good nikiwa nimekwazika ?? Despite of all, my father has been there for me hata kishingo upande ?? Yes, he is my friend and my “best enemy”! He has assured me with unconditional love! Yani kama amenikwaza hata siku moja huwa sisiti kumwambia hata kama kwa hasira nitasema without any fear of ooh! My baba will never talk to me again! And guess what, my dad is just the coolest dad in Africa nasema Africa kwani siyo tamaduni ya wazazi wa Kiafrika kukubali pale anapokosea na kuomba msamaha kwa mwanae / wanae! Baba yangu akiona kweli alikosea basi huwa hasiti hata siku moja kuomba msamaha!
And for that I salute you and celebrate your day Sir. O.O.Igogo. ……..Nakupenda sana baba yangu na nakuombea maisha marefu sana. Happy Father’s Day baba Alpha!