Ain’t they cute! Lawyer Janeth Igogo and her beautiful daughter Essy looking beautiful in a custom made African print dress! Wamependeza sana ??
All posts by Alpha Igogo
Womanhood!
Jumbo Camera House ni duka bora kwa mahitaji yako ya Camera za aina zote!
Jumbo Camera House ni moja ya sehemu ambayo nilikwenda nikiwa Tanzania nikapata customer service nzuri sanaaaaaa! Camera yangu ilikuwa inanisumbua kwenye setting na battery ilikuwa inaisha kwa muda mfupi hivyo nilihitaji wataalamu kuniangalizia tatizo ni nini na pia wanifanyie setting. Kwakweli hawa watu walitufanyia mapokezi mazuri sana japo Camera hatukununua kwako (ilikuwa ni zawadi) hawakutuonyesha “nyodo” za aina yoyote ile! Walikuwa very professional, friendly and welcoming! Tulihudumiwa vizuri sana and Yes! I bought something kuwaunga mkono as all the services walitufanyia ya kuangalia tatizo kwenye battery na ku-program my camera walisema hatuhitaji kulipa was just free!…….Jamani msifikirie hawa hawatu walikuwa wanatujua hapa!! Hawanijui, na hata mimi na mdogo wangu tulikuwa hatuwajui tulienda kwao as to see kama wataweza kutusaidia, hivyo naamini kama walituhudumia sisi kwa furaha na upendo namna hile basi inanifanya niamini kuwa hivyo ndivyo walivyo kwa wateja wao wote!Hapo ? ni address yao na njia zao za mawasiliano kama utahitaji kupata huduma zao!
“The man is the head but the wife is not a slave”
“To lead is to serve. The man is the head but the wife is not a slave. A good man leads with fear of GOD. HE will choose to serve his wife rather than ruling her. He will not make critical decisions without consulting his wife. Her happiness will be his priority. He will be consistent in his words and actions and whenever there’s is conflicts, he will never raise his voice or his hand against his woman. He will pray for his woman and pray with her.
A good man also knows that…
His woman happiness and love is not based on material things alone. She wants you to listen when she wants to talk. She wants to be sensitive to her feelings and needs. She doesn’t want to fight for your attention. She wants to be spoiled at times and be treated like a queen all the time. Sometimes she wants her breakfast while she’s still in bed. Sometimes she creates pointless drama just to be sure with you she’s neva alone. She wantsto confide in you and believe in you.
A good woman will be submissive and work with her man peacefully and faithfully. She will be reasonable in her demand, considerate with her actions, and patience her reaction. She will talk to her husband rather than talking about him. Whoever makes more income shouldn’t be a problem. In a good matrimonial home there is no such thing as competition because the 2 must become 1. If someone faster person must be ready to slow down for the other person to catch up. Both couples must peacefully and happilly walk at same pace and put GOD first in all they do.” ~~~~~~ Akinspirational (Akin Al-Ameen)
***Please note, Tesha family picture has nothing to do with the story****
“Strategic plan yako unaijua? Ipoje?” -Dr Blandina
Hii ni very late post, lakini mtaniwiya radhi kwani I only blog at my spare time! Wenzetu wanasema “better late than never”! Nitukio ambalo lilikuwa limeandaliwa na organization ya Vital Voices wakishirikiana na Dare To Dream foundation! Kiongozi wa shughuli yote alikuwa ni Emelda Mwamanga (Mrs) ? ambaye ndie Mkurugenzi Mkuu wa Dare To Dream foundation, Bang Magazine, na pia ni “mshika bendera” a.k.a Ambassador wa Vital Voices Tanzania! Mgeni rasmi alikuwa ni Mh. Devota Likolola (Mbunge viti maalum)
Tukio zima lilifanyika siku ya Jumamosi, tarehe 08, March, 2017 katika ukumbi wa Danken Hall pale Mikocheni. Ambapo yalianza kwa kutembea kidogo huku wanawake wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali kuwakilisha sauti ya vilio vya wanawake wote inchini Tanzania na dunia kote!
Dhumuni haswa la hii shughuli ilikuwa kuwakutanisha wanawake wote ili kuadhimisha siku ya Wanawake duniani na pia kujifunza mambo mbali mbali toka kwa wanawake ambao wamethubutu kufata ndoto zao na kufanikiwa japo kwa changamoto mbalimbali ambazo zingewafanya wakate tamaa! Pia kulikuwa na mambo mengine ya kujifunza kutoka kwa wanawake wengine katika makundi yao kama VIKOBA! Katika shughuli hiyo kulikuwa na baadhi ya Motivational speakers ambao waliongea mambo mbali mbali yanayo husu nafasi ya mwanamke katika kuendeleza uchumi wa familia na jamii kwa ujumla. Waongeaji hao alikuwepo Mh. Devota Likolola, Dr. Blandina, Chris Mauki, Mkandarasi bora wa kike-2017 Ms Waziri (Nimesahau jina la kwanza) na wengine wengi!
Waongeaji wote waliongea vizuri sana na ifuatavyo ni sehemu ndogo ya maongezi ya Dr. Blandina ambapo aliwasihii sana wanawake kuwa na tabia ya kujifanyia tathimini wao wenyewe badala ya kufanya vitu kwa kufata mkumbo wa marafiki / mashoga! Pia aliwataka wawe na tabia ya kujiwekea malengo na strategy plan ya maisha yao kama kweli wanataka kuingia kwenye dunia ya kujenga viwanda kama wanaume! Na zaidi aliwasihii kutokuogopa kutumia neno HAPANA pale panapo bidi kutumia neno hilo! Tafadhali msikilize mwenyewe. ….?
Shughuli hii kwakweli ilikuwa nzuri sana! Binafsi nilijifunza mengi, tulifurahi na kuburudika. Ngoja nikuonjeshe kidogo ?
Asante sana Emelda Mwamanga na timu yako yote! Salome thank you much! Be blessed!
Father and daughter moment: Sir O.O Igogo and his daughter
My weight loss journey has begun!
Well, well! My long overdue goal / journey sasa nimelivalia “njuga”! Jana tarehe 2, May, 2017 ndio nilianza rasmi. Nafikiri ni fair nikisema kuwa kilicho kuwa haswa kinanizuia kurudi katika uzito wangu wa miaka ya nyuma ni nilikuwa na a lot of personal issues going on ambazo zilikuwa zinaniongezea a lot of stress in my life! Yes, mie ukiniona naongezeka is more of stress issues na siyo vyakula kama baadhi ya watu wanavyo fikiria. But, I thank God now I’m in a very-very better place na naamini this time everything will be under control!!
Malengo yangu ni ya mwaka mzima; hivyo nafuata taratibu za kiafya za kupunguza uzito wa mwili. Situmii dawa wala supplementary diet medicine ya aina yoyote! Ni mazoezi na kuzingatia nini nakula na portion gani. Mimi napenda sana smoothie? hivyo ili kuhakikisha napata virutubisho vyote vinavyo hitajika mwilini basi natengeneza smoothie za green (kama mixture ya mastafeli (sour sop), spinach / kale green, jinger kidogo, na organic unsweeten coconut milk au cashew nut milk) zingine ni kuongeza damu na calcium mwilini kama mixture ya beets roots, carrots, na a little bit of mandarins orange!……Btw, mimi napenda kutengeneza smoothie angalau za siku mbili hivi na huwa nakunywa na mwanangu. So msifikirie kuwa hilo jagi lote ni langu kwa siku moja ?? hapana! Plus bado nakula chakula mchana hizo ni morning starters na usiku tu! Well, kama nimeamua ku-share nanyi my weight loss journey basi sioni sababu ya kuwaficha my current weight! Kama mzani inavyo someka hapo juu kwa sasa nina pound 225 ?? Kulingana na urefu na umri wangu natakiwa niwe na pound 140! Hivyo natakiwa kuondoa takribani pounds 80 ?? Je nitaweza? Naamini nitaweza! Nimejiwekea malengo ya mwaka mzima! Nitafanya juhudi zote nifikie malengo, but kama sito fika siyo mwisho wa maisha! Maisha yataendele kama kawaida! Kikubwa ni kuendelea na program yangu bila kuchoka! Nitakuwa napima uzito kila wiki na ku-share nanyi hapa kwa blog hii! Kama nikipungua wiki hiyo basi nitamshukuru Mungu! Nakama sijapungua basi napo namshukuru Mungu and the journey continues!………Naomba ieleweke siko hapa kushindana na mtu yoyote yule!! I do me and you do you end of story!! Nafanya mambo au vitu kwa style yangu mimi na uwezo wangu mimi! Ukiwa inspired basi ni ruhusa kuniiga but am not going to sit here telling you what you should do with your body or life! And I expect you to do the same to me! Fanya yako!
Harmonize! Harmonize! Thank you So Much For This song! Yani huu wimbo keeps me moving like crazy!! Ukinikuta kwenye treadmill navyo cheza mwe! Yani nasikia mafuta ya tumbo yanakatika ??? such a nice song kwa mazoezi!…….Myweight loss journey has begun ??Mengine namwachia Mungu ??
Happy birthday to my sister ShyRose Bhanji!
“Nimekuweza, Umeniweza, Tumewezana”- Zamaradi Mketema
Happy birthday baba Juju a.k.a Ruge Mutahaba! a.k.a Shemeji yangu!
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mkurugenzi, baba yake Juju, Shubi, na wengine ambao sijawataja. Nakutakia furaha nyingi sana katika maisha yako, afya njema, amani, na upendo mwingi kwa familia yako, ndugu, jamaa, marafiki, na jamii inayo kuzunguka! Mungu azidi kukubariki ukawe mibaraka kwa wengi! Happy birthday mume wa Zamaradi, shemiji yake na mimi hapa ??……….. Haki kabisa, nilitamani niandike ujumbe uhu kwa Kihaya!! Tatizo mdogo wako MuhayaMmarekani basi ni shida tupu ??? Happy birthday Ruge be blessed always!
“The only advice you can get from a fool is a foolish advice.”
They told her to leave her husband because she’s worth more than him. They told her she’s beautiful and successful, that a woman of her standard deserves a better man with a better job income and personality . She listened to them and abandoned her home. Ts been over 7yrs since then and she’s still looking for a better man that matches her standard. The funniest part is that those friends who told her to leave her man are still with thier own husbands, doing everything possible to save their homes. Be very careful from who and where you take your relationship and marriage advice. The only advice you can get from a fool is a foolish advice. Anyone who recommends divorce or break up to you at every slight argument with your partner is an enemy that appears like friend.
A lazy man and a poor man are never the same. If a man doesn’t have today does not mean he will be lacking for life. As long as he’s GOD fearing, loving, caring and appreciative of your efforts you don’t have to worry yourself. There are only two ways to regret in life. BEFORE AND AFTER. Those who choose to regret later may regret for long. A woman who choose never to be patience for a while might ends up enduring for life. Marriage is not a bed of roses. Don’t get carried away by what you see, some marriages and relationship are just like a reality show of make believe.
Behind every beautiful family pictures is an untold story of agonies and pains. If you want a husband like Obama you must be ready to be a wife like Michelle. ~~~~~~~~ Akin Al-Ameen®™2017
***The Ladies picture has nothing to do with the story! Nawapenda kwani wanajitambua!***
Couple we like: Mr and Mrs Jackson Lyimo!
Mother and son moment: Mama Zion na King Zion
Ni picha ya muda kidogo lakini nimependa! Dina Marios na mtoto wake #King Zion handsome boy wa nguvu!…….Nimependa sana muonekano wao na maneno ya kwenye Tshirt! Wamependeza sana!……..Kuna video fulani inaonyesha Dina akimfundisha Zion kukaanga Kuku, nimependa sana! Dunia ya sasa maswala ya kupika siyo kazi ya Mwanamke peke yake! Hapana! Hata wanaume nao wanahitajika kujua kupika ili waweze saidiana na mke ndani ya nyumba 🙂 Dunia imebadilika! …..Mbarikiwe sana mama Zion na King Zion!
“Love is peace, not competition.”
“When you were using your own star you can’t afford a bike. When your wife bought you a new car, you and your family said she is spiritually using your star.
WHICH STAR???????? Never take a woman’s kindnesses for wickedness in life. If your wife’s income and financial status is affecting your confidence as a man means your self esteem is dead. Unless she’s very disrespectful and arrogant you don’t have a point. Stop making her life miserable just because she’s richer than you. If you cannot be happy for her means you were never in love with her. Love is peace, not competition. Whoever makes more money shouldn’t be a problem as long as everyone knows and respects each other’s role as a husband and wife.”~~~~~~~~~~~ Akin Al-Ameen®™2017
***Zari’s picture has nothing to do with the story***
“The only difference between a 50yrs old boy and a 25yrs old man is not the age but the brain”
“AGE has nothing to do with BRAIN. Growing UP & Growing OLD are never the same. Growing old is mandatory while growing up is optional by choice. The only difference between a 50yrs old boy and a 25yrs old man is not the age but the brain. Perhaps the reason why GOD put the nose, eyes, ears and mouth in our head is because HE doesn’t want them too far from the brain. Knowledge is different from WISDOM. Education and common SENSE are never the same. It’s a million times better to have common sense without education than to have education without common sense. Education is light while common sense is the switch. Power is nothing without control.Knowledge is common while wisdom is rare. When knowledge brags, happiness smiles. Humility is wisdom’s first child. Wise people don’t show off, only the fools display their foolishness. Avoid too much arguments even when you’re right. When arguments becomes a habbit it turns to disease. You can never be right all the time. Everybody has a right to their personal thinking, reasoning and opinions always respect it.
When people don’t see things the way you see it doesn’t make them a blind. If they don’t reason like you doesn’t make them a fool. The greatest foolishness is to think you know everything. No one will ever be considered wise or intelligent until he/she can wisely and peacefully deal with everybody’s level of understanding. “…….Akin Al-Ameen®™2017
**My nephew’s picture has nothing to do with the story!**
“If you aren’t prepared to carry her heels when she’s tired, then you shouldn’t be next to her when she’s in the spotlight”
DEAR MEN,
Sometimes it’s not just about opening the door to let her in first, any guy can do that when he knows that there’s people watching – just for the sake of the credit. Rather make sure her seat belt is on before you start driving. Sometimes it’s not about walking her down that isle where there’s a lot of people just because you want everyone to notice her and she’s looking fancy in her heels. You feel proud to be with her, yes but you also need to appreciate her effort. Walk her down a route that is comfortable with her, that’s less painful and less risk of her actually getting injured. If you aren’t prepared to carry her heels when she’s tired, then you shouldn’t be next to her when she’s in the spotlight. The strength of your bond should never be determined by the number of likes that your pictures with her actually receive on social media. You should never let the opinion of a friend determine whether you spend your life with her or not. We don’t often choose who we fall in love with, it just happens. You then realize loyalty is no longer an option. You begin to plan things in your head with her. All those love songs that you’ve always hated start to make sense to you. No matter how much of a tough guy you claim to be, she has tamed your soul without you actually noticing it. You begin to talk about her unknowingly to your friends, you think about her as soon as you wake up, during the day and before you sleep. When she starts to tear, you shouldn’t offer her something to wipe it off rather remain with her and let her know she’s not alone, hold and let her know that she has someone to fall back on. It’s not about only being with her on special occasions just to make her feel special in front of the world. It’s about being with her even when no one is watching. At the end of it all, it’s not about how much time she spends with you, it’s about the feeling you get every single time you see her name popping as a notification on your phone… Yes, it’s that same person you’re thinking about right now!
*** Credit to Get Inspired by T_Sha****
***Please note: Jojo’s pictures has nothing to do with the story. She’s cute and I love her thus why I shared her pictures***
Father and son moment: The Teshas’
Family Feud: The Akothee Akothee’s family!
Kama mnavyo jua hii blog nilianzisha haswa kwa ajili ya ku-share furaha, mafanikio, changamoto, mahusiano (kati ya wazazi na watoto, wapenzi, marafiki) na njia za kutatua matatizo yetu ndani ya familia na nje ya familia! It’s all about inspirational stories and pictures / videos from our very own families, friends, and so forth! Mengine ni nyongeza tu!……..Basi jana nikiwa natazama Facebook yangu nikakutana na huu ugomvi kutoka kwa mwanamuziki mashuhuli kutoka nchini Kenya ajulikanaye kama #Akothee Akothee, nikasema ngoja ni share nanyi kwani unaweza fikiria kuwa ndugu wa “ajabu ajabu” wapo tu ndani ya familia yenu lakini ukweli watu wa namna hii au vituko vya namna hii vipo katika kila familia yenye UHAI! ………Angalia neno #uhai nimeandika kwa herufi kubwa hiyo ni kuonyesha msisitizo! Yani ninacho maanishi ni kwamba kitu chochote chenye uhai lazima kitakutana na changamoto mbalimbali ili kiendelee kuishi! Changamoto hizo zingine zaweza kuwa nzuri nyingine sinzuri lakini the bottom line kuwa utakutana nazo, and how you solve them hiyo ni juu yako wewe uliye vaa hicho kiatu kwani wewe ndio unajua ni wapi kinakubana!…….Haya enjoy the “drama” 🙂 🙂
“POLITICS HAVE KILLED ME
one of my very close cousins , who I thought we love each other , came to me & told me that he is stuck with school fee for his daughter & he needs only 50k to enroll his daughter in form one , I gave him the money in a white envelope on a Friday , our first born brother drove him home , & on a Sunday! I recieved a call from home that he just declared that he wants to go for the same seat of mca that my mum is holding , & he used my money to buy people from my village to disgrace my mum , who has been there for the community , I had park afew of my cars in his office as I was looking for an office in Nairobi , when I came to pick the cars, they were already taken as a collateral, as they had not paid rent for months ,remember he wanted me to take over the office but I was too smart , remember he is the same causin I gave the contract to build my mums house, the battle is on , please be carefull of those who kiss you on the forest head & kiss you frequently! I have forgiven you I SAW YOUR SEVERAL CALLS BUT PLEASE! I HAD TO THROW AWAY THE PHONE TOGETHER WITH THE SIM CARD , GOD BLESS YOU IN YOUR FUTURE PLANS
I SHARE BECAUSE I CARE” Anyway, in the end always mshukuru Mungu kwa kila jambo. Kama ni Mkristu utaenda zako kanisani kusali na kutoa sadaka ya kushukuru kama unavyo mwona Akothee hapo na watoto zake akienda nao kanisani ?? Basi na kama wewe ni Muslim utaenda Msikitini kuswali, na kama wewe ni mpagani basi utajijua wewe na mashetani yako ??…….
**Undugu ni gharama ambayo haiepukiki**
“If you have to prove it means you really don’t have it. The grace of GOD doesn’t come with stress.”
“If you have to prove it means you really don’t have it. The grace of GOD doesn’t come with stress. If you must go through stress to get attention means you are fooling yourself. When GOD makes you a star you will never struggle to shine. If you have it flaunt it, but if you don’t have it then stop living in pain. Fashion police is equal to mental slavery. Stop going through stress just to be in vogue you can never be faster than life. The antics of today were once upon in vogue. Wear what looks great on you, those who loves you will accept you for who you are. Stop spending the money you don’t have to oppress the people who don’t really matter in your life. Those who truly matter don’t care as long as you’re not walking naked on the street. The only way to cut your coat according to your size is to know your real size. BE HONEST WITH YOURSELF. There’s no point in wearing expensive designer shoes and then you start walking like SHREK painfully in debts. The greatest form of slavery is a mental slavery, to be prisoner in your ownn soul while the greatest follishness is to fool yourself, like the blind man who pretends to be sleeping by closing his eyes. Stop trying to fit in to the status you don’t belong, that’s why shoes come in diffrent sizes. Friendship is not a do die. If you must beg people to accept you for who you are means your self esteem is dead. A low self esteem can be cured but there’s never a remedy for a NO self esteem. If their class is too high CHANGE YOUR SCHOOL. Age has nothing to do brain. Growing up and growing old are never the same. Growing old is a mandatory while growing up is optional by choice. Until you fully learn and understand the art of standing alone, you may not have any stand in life. “~~~Akin Al Ameen®™2017
***picha za Mengi’s family has nothing to do with the story. Nimezipenda tu***