All posts by Alpha Igogo

Womanhood

fb_img_1482029214277Our mrembo Jokate Mwegelo look great as always! She got the look, brain, and big heart! Simply beautiful!screenshot_2016-12-17-20-38-19-1Nimependa sana hii nguo japo amekaa. It looks great and the color is beautiful!

HONGERA SANA ANTON H. NGOLI

fb_img_1482025152919Hongera nyingi zikufikie mdogo wangu na Kiongozi mwenzangu wa Jukwaa La Watu Wenye Ulemavu Tanzania kwa kuhitimu masomo yako yaliyochukua miaka mitatu ukiwa chuo cha ununuzi na ugavi IPS. Najivunia sana kwa wewe kuwa mmoja kati ya vijana wengi nilikuwa nashauriana nao kipindi nipo IPS. Juhudi zako na uvumilivu wako katika kufuata ndoto yako ndio imekufikisha hapo ulipo. Kila safari ina changamoto na mafanikio, hivyo zidisha juhudi na nia katika kila step utakayo piga kuelekea katika mafanikio yako. Jamii ya watu wenye ulemavu kupitia bodi ya Jukwaa la Watu Wenye Ulemavu Tanzania ina imani na elimu yako pamoja na juhudi zako na tuna imani uta acha alama nzuri katika jukwaa kupitia utendaji wako kama Katibu Mkuu wa Jukwaa.

Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo kwa watu wote.Tuendelee kutafuta Maarifa ili kupanua ufahamu wetu tulio pewa na Mungu

Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato!
Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato!

Ni mimi kaka yako
P.L. Sarungi
Raisi wa Jukwaa La Watu Wenye Ulemavu Tz.

****fb_img_1477414420906-1Nami naomba nimpe pongezi zangu za dhati! Naomba ukatumie elimu uliyopata siyo tu kwa faida zako binafsi bali jamii inayo kuzunguka na taifa kwa ujumla! Hongera sana!

Dr. Mwele ni hazina ya Tanzania!

screenshot_2016-12-17-02-40-34-1Ngoja niende moja kwa moja kwa mada husika! Sina hakika nalo lakini inasemekana kuwa Dr. Mwele hakufuata “protocol” na ndio maana ametenguliwa nafasi yake!……Nakubali hilo ni kosa lakini si kosa la JINAI hivyo naamini bado Dr. Mwele anafasi kubwa sana ya kutumia taifa kupitia serikali ya Dr. Magufuli kwani Dr Mwele IS ONE OF THE VERY FEW BEST ASSETS WE HAVE IN THE COUNTRY! Yani natamani nafasi ya Ummy Mwalimu itenguliwe apewe Dr. Mwele as she deserves it so very much! Watu huwa wanafanya makosa lakini kuna watu wachache sana wanaohitajika kupewa second chance na Dr. Mwele ni mmoja wao! Natumaini my baba Dr. Magufuli ataangalia hili swala kwa maslahi mapana ya taifa letu na dunia kwa ujumla!

LONG WALK TO SUPER CLASS by Sir O.O Igogo

Sir O.O Igogo
Sir O.O Igogo

In life from the poorest widower’s son at the age of 15. Having failed to join secondary education, ending up to be employed as Cattle rustler, a butchery labourer at my elder brother’s butcher; inherited from our late father, at a pay of either 50 cents a day or half a pound of beef to bring home. Then a dishes washer, waiter and mishikaki roster at the restaurant of my first cousin JC Igogo. It was until my sister Teddy came for my rescue and took me to Dar for job seeking. That was in 1969, I was 16. I worked in the factories while attending my evening classes to become a professional. I recall when I managed to have our own shelter in 1978.

fb_img_1457295925797
Mr and Mrs O.O Igogo back in the days

We were five in the family, fortunately you was the youngest after Elline and Vetto. That was the biggest achievement I had ever had in life. A four wall of cement and sand moulded blocks, with corrugated iron sheets covered our roof; never the less it had no fittings on the doors and window openings. With sandy floor without any cement sand screedning, walls were bare without any plastering, but at least Cecy and I owned a piece of land of our own, built that ugly and hut to live in that was better by far from what my mom had in the village. Though we shared common challenges of having no electricity and running water connection.

Mr and Mrs O.O Igogo
Mr and Mrs O.O Igogo

On and on, with endurance I furthered my education, and got a better salary  job as a Manager at NECO LTD. Then life changed to at least a more decent living, I could drive company vehicles and travelled a lot in the regions. That made me to earn more money as allowances. My hard workmanship, honesty, reliability and a big heart on helping others, got me where I am today after I toiled a lot in life. img-20161214-wa0000You were there when we moved into our first small hut, and fortunately you will be there when we move into our state of art Villa this month. Though that is not real success in life but I’m proud of you guys who have made me what I am today specifically my spouse, mama Alpha.fb_img_1438002378122Difficulties in life are ladders to bigger achievements in life; if you can allow them to come and go because HARD TIMES NEVER LAST BUT HARD PEOPLE DO. Be like baba, don’t hate your enemies, love them and God will raise you beyond their expectations.

Shukran zangu za dhati kabisa kwa familia ya Aidan na Fina Nyongo!

img_20161216_082326-0My forever gratitude! Yani naishiwa na maneno ya kusema juu ya hii familia! The Nyongo’s Family just know nawapenda zaidi ya Uji wa Kijaluo ?? Guys, you know how much I love you! Nawatakieni safari njema see you in a little while! ???

Repost: Our humble beginnings!

2016-03-27 13.16.40Sikutegemea kuweka hapa hii picha siku ya leo. Lakini nimeona moyo wangu umenisukuma kuweka basi ngoja nifanye kile kitu roho napenda! Hii picha tulipigia tukiwa kijijini Utegi, Rorya, Mara mwaka 1987. Tulienda kusherekea siku kuu ya Christmas. Katika hii picha kuna watu wawili ambao hawapo nasi tena.

(1) aliyevaa sandals nyeupe. Yeye alikuwa mama yangu mkubwa mke wa marehemu baba yangu mkubwa mzee alijulikana kama Mama January

(2) Shangazi yangu kipenzi cha roho yangu. Theresia Obuoro Igogo. Ambaye amekaa karibu na mimi. Alikuwa msichana mmoja tu kwenye tumbo la bibi yangu mzaa baba. Yeye ndo mwanangu amepewa jina lake (Theresia  Obuoro a.k.a Teddy) in honoring of her. Ipo siku nitamuongelea kwa kirefu zaidi kwani yeye ndio chanzo cha mibaraka yote ambayo watu wanaiyona katika familia yetu!!…….Wengine ni:-

mama yangu mzazi ?2016-04-10 12.13.10

dada yangu ambaye ninamfuata ?2016-04-10 12.16.06mdogo wangu anaye nifuata kwa mara ya pili ?2016-04-10 12.11.32 na mimi mwenyewe ??? what a massive #TBS2016-04-10 09.41.02Hilo “banda” la udongo kwa upande wa kushoto lilikuwa ndiyo jiko la marehemu bibi yetu nyakati hizo (baadaye alijengewa lingine). Na kwa upande wa kulia ilikuwa ni sehemu wanalala mbuzi. img-20161214-wa0000Everyone starts from somewhere! Anything on this planet has its roots! Hakuna kitu kinacho onekana hapa duniani ambacho hakina mwanzo wake au chanzo chake! #TheRoots Na huwa nikikumbuka tulipo toka then unakuta mtu anataka kuingilia mambo ya familia usizozijua chanzo chake!! I swear, naweza toa mtu ng’eo ya macho! Kama wewe hukuwepo nasi nyakati hizi then keep your nose where it belongs!! ……. ByTheWay, hiyo new house niliwaambia ina “American Eagle” right?! Sasa si unajua mwanangu ni Mmarekani, just go figure ?? mie hapo ni mgeni napita njia tu ???

Nilimtumia mdogo wangu na baba yangu hii picha. Wakashangaa sana. Mdogo wangu alikuwa hajawahi kuona hii picha vile vile maisha yao walivyo kuwa ni tofauti na sisi tulivyo kuwa wadogo. Hivyo hana kumbukumbu ya maisha haya ya hali ya chini. Hapo kwenye picha alikuwa na miaka mitatu  (3yrs). Basi hivi ndivyo alivyo sema ……2016-04-10 09.46.05

 Na baba yangu yeye nilimtumia muda kidogo na hivi ndivyo alivyo sema  (Samahani kwa some typos) …..Screenshot_2016-04-10-13-10-38-1Anyway! That’s our humble beginning. I’m glad nime share nanyi kidogo!

Happy birthday binti Ayugi!

bella-ayugi-20161216_100317Hello Nyaturi, sending you my love on your special day! Wishing you the best of everything you do! Happy birthday Mrs Twaakyondo ❤❤

JINSI YA KUJENGA JAMII DHAIFU NA BONGOLALA- Peter Sarungi

Nchi za Africa bado zitakuwa na kazi ngumu sana ya ki utawala katika kuunganisha jamii tatu katika nchi ambazo ni Wenye Nchi, Wana siasa na Wana Nchi ili kifikia maendeleo ya kweli. Kwa bahati mbaya kumekuwepo na udanganyifu mkubwa unao fanywa na Wana siasa walio pewa wajibu wa kuunganisha na kuleta mahusiano mazuri katika jamii hizi ili ziweze kufanya Kazi kwa ushirikiano hatimaye kuleta maendeleo ya nchi.

Wana Siasa wengi wa Africa wamevuruga nchi zao kupitia mifumo wanayoiweka katika kuongoza nchi. Wana nchi wengi bado hawajui athari za mifumo mbalimbali katika kuendesha maisha yao ya kila siku. Mifumo hii huanza kuathiri maisha ya wana nchi tangu wanapo zaliwa, ukuaji wao, kuelimika kwao, uchumi wao, afya zao, uhuru wao hadi uzee wao. Mifumo hii inaweza kuamua ni kwa kiasi gani wananchi waelimike, wapate afya nzuri, waajiriwe, wajitegemee, wapate uhuru na mengine mengi yakiwemo yanayohusu siasa. Ndio maana kuna msemo unasema ukiona wafuasi ni wabovu basi jua wametengenezwa na kiongozi wao na ukitaka kujua ubovu ama ubora wa nchi basi chunguza athari zinzowapata jamii husika kutokana na mifumo ya kuendesha nchi.

Watawala wengi wa Africa wamekuwa na uturatibu wa kutengeneza jamii dhaifu na masikini katika kuhoji, kushauri, kufikiri, wasi jitambua na wasio jua wanachokitaka. Watawala wamekuwa wakitengeneza jamii hizi ili kuendeleza malengo yao ya kutwala dola kupitia mifumo. Na kwa bahati mbaya mifumo hii imeweza kuwaathiri hadi wenye nchi na kujikuta wakitumikishwa na Wana Siasa, ndio maana utakuta kuna idadi kubwa ya wanajeshi walio ishia darasa la saba na kidato cha nne kuliko wale waliofika kidato cha sita na kuendelea. Wote hawa hujikuta wakitawaliwa na wana siasa kwa maagizo hata ya kutekeleza jambo kwa mnyonge kwa maana mfumo waliofundishwa na kuapa ni wa kutii bila kuuliza.

Watawala wengi wa Africa wameweza kupitisha na kuhalalisha mifumo ya kuzalisha jamii dhaifu na Bongolala kupitia njia tatu….fb_img_14819059905521. KUDHOOFISHA ELIMU KWA JAMII
Watawala wengi wa Africa wana amini kuwa kutawala jamii iliyo elimika kupitia Elimu bora ni ngumu sana na ina waweka katika riski kubwa ya kutawala milele, hivyo hulazimika kutengeneza jamii kubwa isiyokuwa na elimu ili kudhoofisha uelewa wao na uwezo wao wa kufikiri. Watawala hawa wana vuruga mfumo wa elimu kwa makusudi na kuweka mifumo dhaifu yenye kutoa nafasi ndogo ya wana nchi wachache kupata elimu hadi ngazi za juu na hata hao wanaopata nafasi hiyo hawapati Elimu inayostahili na kumkomboa karika utegemezi.

2. KUDHOOFISHA UCHUMI WA JAMII
Ni ukweli usio pingika kuwa Uchumi imara ni nguvu nzuri kwa jamii. Jamii yenye uchumi imara inaweza kuelimika kwa gharama yoyote ile ikiwa uchumi wao ni imara. Jamii yenye uchumi imara inaweza kuamua kufuatana na maslahi yao hata inaweza kupinga mifumo dhalimu ya nchi na hata kuwapinga watwala. Kwa kuhofia vikwazo hivyo, Viongozi wengi wa Africa wamekuwa wakidhoofisha uchumi wa jamii zao ili kuwafanya wanyonge wasioweza kuhoji ubaya ama uzuri wa watawala. Viongozi wengi wamekuwa wakikusanya pesa nyingi kupitia kodi na kujilimbikizia wao pamoja na utawala wao kama alivyofanya hayati Mobutu Seseko wa Congo. wanapenda sana kuona pesa nyingi zikiwa kwao kuliko kwa wana nchi na ndio maana hata sekta binafsi zina zorota katika kuchangia maendeleo ya jamii.

3. KUDHOOFISHA UHURU WA KUTOA MAONI
Watawala wengi wa Africa hawapendi kusikia maoni tofauti na waliyo nayo wao, hawapendi kusia ukweli walio uficha, hawapendi kupingwa kwa namna yoyote ile. Hivyo watawala hawa wataingiza sheria na taratibu za kuua uhuru wa kutoa maoni kinzani. Inaaminika kuwa kuna watu hata ukiwa dhoofika ki uchumi na ki elimu lakini bado wanaweza kiwa wajasiri wa kutoa maoni yao hata kama ni ya kupinga utawala bila kujali vikwazo walivyonavyo. Hivyo ili kuto ruhusu riski hiyo, watawala huweka mifumo ya sheria za kukandamiza Uhuru wa kutoa maoni na hata Uhuru wa kujieleza kwa jamii.

Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato!
Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato!

#MyTake
Africa kama ilivyo nchi ya kisadikika, ina safari ndefu sana ya kubadili mifumo ya nchi. Mabadiko hayo huletwa na jamii iliyovuka vikwazo vitatu hapo juu yaani lazima uwe vizuri kichwani, uwe vizuri mfukoni na uwe na njia nyingi tata za kutoa maoni yako. Kinyume na hapo itakugharimu wewe na familia yako.

Asanteni sana, ngoja niendelee kutunisha mfuko wangu ili itakapo hitajika kubadili mfumo nami niwemo.

Barabara kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye matengenezo” – Arnold Palmer

“Barabara kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye matengenezo” – Arnold Palmerfb_img_1481841340954

#TBT Ninashukuru kufundishwa na tuongozwa kwa mfano naye.

Arnold Palmer alikua mmarekani mtaalamu wa Gofu ambaye historia inaeleza kuwa ni mmoja wa wachezaji bora wa Gofu. Nilishukuru sana kusajiliwa Kwenye shule yake ya gofu nilipokuwa shule. Uongozi wake ulikua muhimu sana Kwenye maendeleo yangu binafsi.  // fb_img_1481841340954“The road to success is always under construction.”— Arnold Palmer

#TBT Very grateful to have been trained and mentored by him.

Arnold Palmer was an American professional golfer who is generally regarded as one of the greatest players in the sport’s history. I was fortunate enough to be enrolled his golf academy during high school. His mentoring and coaching was instrumental to my personal development.

“Haya ni maneno yake Mwenyekiti wa Chadema Mbowe”-Lemutuz

screenshot_2016-12-15-10-43-34-1screenshot_2016-12-15-10-47-27-1screenshot_2016-12-15-10-47-59-1screenshot_2016-12-15-10-48-21-1

“Guys think before you speak” -Lemutuz

screenshot_2016-12-15-10-50-57-1

“Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua”-Lemutuz

screenshot_2016-12-15-10-53-22-1 screenshot_2016-12-15-10-57-02-1screenshot_2016-12-15-10-57-09-1

The best pic of the week: Baba na Mama Wawili!

screenshot_2016-12-14-22-50-26-1Awiiiiii! We Jakilini Jakilini wee ee! ngoja niimbe kidogo ???? Wana meremeta wana waka-waka aa! ??  huo naona haunogi ngoja niimbe huu ? ndo  wenyewe wa ukweli ????

Wenye wivu wajinyonge tu kwakweli maana hamna namna ?? Na idumu milele hiyo asali ya moyo wako ???

Womanhood!

screenshot_2016-12-14-14-39-09-1screenshot_2016-12-14-14-39-02-1screenshot_2016-12-14-10-47-12-1 screenshot_2016-12-13-08-18-37-1screenshot_2016-12-13-08-18-15-1

If you want your children to turn out well………!

screenshot_2016-12-14-14-53-26-1Mama Zion na Zion  wake…..so lovely!fb_img_1481749068942Wifi yangu mama Fidel na Fidel-Pilato Sarungi…….nice one!  screenshot_2016-12-14-14-52-45-1 Mama Miran na Miran wake ndani ya jiji la Italyscreenshot_2016-12-12-13-21-51-1fb_img_1481607023189

Jokate naye atakuwepo! ……Dare not to miss it!

screenshot_2016-12-13-14-59-40-1screenshot_2016-12-13-15-00-34-1Mrembo wetu naye kasema atakuwepo! Jamani hii event siyo yakukosa kabisa! Please buy your ticket now!

Happy 70th Annivessary to UNICEF! Thank you for serving and protecting children!

screenshot_2016-12-14-10-46-15-1screenshot_2016-12-14-10-44-58-1screenshot_2016-12-14-10-45-37-1screenshot_2016-12-14-10-45-28-1screenshot_2016-12-14-10-44-04-1screenshot_2016-12-14-10-44-21-1screenshot_2016-12-14-14-48-03-1screenshot_2016-12-14-14-41-26-1screenshot_2016-12-14-14-48-26-1

Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu!

fb_img_1481684952956Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!……..Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow their ego nakukubali kuwa walikosea!……Yani kama unaswali uliza siyo unaanza umbea au majungu! Kwa mfano, wewe leo hii utoke ukamuulize babydad (mfano tu ?) juu  yangu mie unafikiri atakwambia nini?! Unless yupo 100% happy na maisha yake basi atasema ukweli lakini kama sivyo tegemea negativite tu!….. Mfano mwingine, wapika majungu wakazusha natafuta “Manager” na huyo Manager ndio atakuwa mume wangu ???? what a JOKE! Unabaki unajiuliza nani nilimwambia hilo swala? Yani nikaona watu wanatafuta kila aina ya attention kwangu ili nimchague kuwa “Manager” wangu!! Jamani, ngoja niseme leo SIJAWAHI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE DUNIANI KUWA NATAFUTA MANAGER!! Never!! Nakama ningekuwa nataka Manager basi ninao ndugu ambao wako very qualified wangeweza fanya kazi hiyo na siyo mume wala mpenzi wangu!!……Kamwe haito tokea kuwa mume wangu au mpenzi wangu kuwa Manager wangu katika mambo yangu hata siku moja! He will always be my number one Adviser and Consultant but never my Manager! Nami nitafanya the same to him!  I will do everything to make sure anafanikiwa kwa mambo apendayo but I will never step in his spotlight! Mume wangu atakuwa muwe wangu na rafiki yangu mkuu and nothing more! Tusipende kukariri mambo, just so and so has done that haimaanishi na mimi Alpha has to do that!! We will be business partners but only one person will be the front-runner! Tutakutana kwenye board meetings n.k but not in the same office everyday!! Nope! Learned it very well from my parents! Kwanza wanaonijua vizuri huwa sipendi kabisa mambo ya ku-copy na ku-paste!! Na ndio maaana kuna watu hawalali thinking what is Alpha up to?! Reason behind hawajawahi kuona mtu ana blog kwa style yangu na wamekuwa so threatened with me! Nami nacheka tu because it wasn’t meant to make sense to you, its my thing for God’s sake, relax!! And No, I don’t have to do things according to your schedule!! Get a life please!!……..Anyway, siku zote kuwa unique usipende kuiga iga! Napia jifunze kumuliza muhusika vitu vinavyo muhusu huyo mtu ili umjue from one-one experience! Hepuka umbea na majungu!!

The art of confidence by Lemutuz

screenshot_2016-12-12-09-19-16-1screenshot_2016-12-12-09-19-32-1screenshot_2016-12-12-09-19-44-1Asante Lemutuz kwa kuongea ukweli bila chenga! Mimi si mpenzi wa muziki ya rap! Si maanishi ni mibaya hapa my brain doesn’t comply with them lol! Honestly, I have selective mind problem hivyo kuna vitu siwezi sikiliza au tazama yani brain yangu ikigoma haivitaki basi mie huwa I keep a distance from them! Mfano mmoja lilishawahi toa huko nyuma kuwa mie sipendi strong bright colors  huwa napata headache kabisa!……….Anyway, turudi kwenye mada!……Binafsi hili swala la watu kutafuta “Kiki” kwa kutumia scandals zisizo na kichwa wala mguu lina nikera na nalichukia mno! Actually I’m a victim of hawa watu wanao tafuta #Kiki!! Watu wameondokewa na hofu ya Mungu kabisa!! Wanacheza na Mungu kama walivyo mchezea mzee Kikwete!!! The devil has corrupted people’s mind mpaka inaogopesha!!………. Huwezi amini kuna watu wapo teyari kucheza na ndoa walizo kula kiapo kanisani / Msikitini mbele za Mungu  ili kutafuta umaharufu!! Hivi ndoa Siniagano takatifu???!!! Watu wamepewa dhamana ya kutumikia wana nchi lakini wapo teyari kucheza na kazi na vyeo walivyopewa kutumikia wana nchi ili kupata stupid attention??! Wasichana na wanawake wazima wanakubali kudhalalishwa ili kupata umaharufu??!!! Tena wengine wanadai wao ni “Wachungaji” lakini matendo yao yatakuacha hoi!! Hiyo yote wanatafuta umaharufu! mmmh! Eeh Mungu tusaidie! Its sad!  This needs to end kwakweli! Naamini katika uongozi huu wa baba yangu Dr Magufuli hawa watu watanyooshwa tuu ?? Sorry Shingongo tafuta biashara nyingine ?? Enough is enough!!

Hongera sana kaka #Darassacmg kwa mfano mzuri wa kuigwa katika jamii yetu!   #Inawezekana  #ItBeginsWithYou

Cheka urefushe maisha!

screenshot_2016-12-13-08-24-14-1