Leo ilikuwa siku ya haki za binadamu duniani ambapo kitaifa kwa Tanzania yamefanyika katika viwanya vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam na mgeni rasmi alikuwa Mh. Samia Suluhu Hassan! Ujumbe wake kwa taifa amesema kuwa tuanze kwa kusafisha nyumba zetu kwanza hivyo kuondoa wala rushwa, watumishi hewa, n.k ni LAZIMA!!………. Hata mimi naungana na mama yetu kuwa tusafishe kwanza kwani mizizi ya hawa watu ilikuwa mikubwa na mirefu sana, kama haito ng’olewa basi itakuwa kazi bure kabisa!! Mtu yoyote yule mwenye akili timamu hata siku moja hawezi kuvaa nguo safi kwenye mwili mchafu naye akaridhika! Hapana! Ni lazima ata OGA kwanza atoe na UKURUTU wote alionao mwilini ndipo avae nguo yake safi hata kama siyo mpya! SAFISHA! SAFISHA!,
Mwanamke wifi jamani eeh ?? Raha sana wifi yako ndio akiwa best yani kaka mbona atakomaaa! Halafu wifi kafanana sana na binti Makamba utadhani dada wa damu vile! Anyway happy belated birthday to her. mbarikiwe sana.
Katika watu ambao nitaendelea kuwashukuru siku ni pamoja na huyu kaka yangu Bin Zubeiry. Ni mmoja ya watu walio jitolea kwa moyo mmoja kufanya mahojiano mimi! Nasema asante sana nakutakia siku kuu njema, ubarikiwe siku zote! ………. kuona mahojiano hayo bonyeza ? ….. #BinZubeiry
Uuuwiii!! Mabungo oooo! Udenda unanitoka kha! Je ushawahi kula hili tunda?! Mimi nina miaka mingi sana sijaona wala kula Mabungo ?? nilikuwa nayapenda mno enzi za primary school! Dah! Sijui yanapatika kona ipi ndani ya Dar! Nina hamu nayo sanaaaa!…….. Sina huwakika lakini sidhani kama Mabungo yanapatikana ndani ya mkoa wa Mara?! Sijawahi ona! Ni kama nazi ni zao ambalo halipo mkoani humo. Btw, hivi nazi ni tunda au mboga? ?? kuiliza si ujinga bali nikutaka jua ??
Inapotokea jambo fulani halifanyiki kwa mafanikio yaliyo tarajiwa basi wahusika hukaa na kutafakari ni kwa sababu gani jambo halijafanikiwa yaani maana yake wanatafuta mchawi ama adui aliye zuia mafanikio yao.
Tanzania yetu ni nchi yenye mipango mingi na mizuri na yenye kuvutia utekelezaji, nchi nyingi zimekuwa zikiiga mipango hii na kufanikiwa katika utekelezaji wake hata kuwa mfano kwa jamii za kimataifa. Chakushangaza ni pale unapo ambiwa kuwa chanzo cha mafanikio hayo ni mipingo iliyo buniwa na wataalaam kutoka Tanzania, maana utakuta utekelezaji wa mipango hiyo katika nchi ya Tanzania haiendani na wenzetu walio copy na kupaste kwao. Kwetu Tanzania utekelezaji umekuwa ni wa hasi na kuzalisha matokeo hasi kwa nchi.
Tumekuwa tukipata sera nyingi na nzuri lakini inapofika utekelezaji wake wanaibuka wana siasa wenye nguvu kikatiba kuliko watendaji na wanavuruga kabisa ule mpango kwa kuweka siasa katika utendaji na mwisho wa siku mambo yakiharibika wanasiasa wana ruka lawama na kuwasukumia rungu watendaji. Kila kitu katika nchi yetu kina endeshwa na siasa maji taka au siasa propaganda. Kuna haja ya wana siasa wetu kubadilika.
?????????? Hii ni shule niliyoikuta maeneo ya ndani ya Dodoma-Kibakwe katika jimbo la waziri wa TAMISEMI anaye simamia mipango na kampeni ya madawati katika shule zetu.Mmmmmmmh! ??????- Alpha
Uwe na siku njema ya kuzaliwa kwako! Furaha , upendo , na amani vikadumu ndani yako na ndani ya familia yako! Happy birthday mama wawili! Mke wa billionaire Mengi ?? wenye wivu wajinyonge tu maana hamna namna ??? hey! don’t hate kama Mungu kasema yes ✔✔ who are you to say no?!!
Awiiiii! What a day, what a joy! Congratulations to both of you Zari and Diamond for your new bundle of joy!! Mungu awakuzie jamani! Amen ! Queen Latifah kapata kaka ?? mimi naona huyu aitwe Mh. Jakaya Kikwete kwani amekuwa kama baba mlezi kwako. Just honor mzee wetu bwana!……. anyway hongereni sana! Btw, do we still need a DNA test? ?????