Wakwanza tena Mtanzania siyo raia wa kigeni! Wow! Siku zote nasikia wanawake ambao wapo kwenye biashara ya kuuza madini au hata kwenye kazi ngumu kama kubeba zege au kupasua kokoto. Lakini sikuwahi kusikia hata kuwaza kuna mwanamke ambaye anaingia ndani ya migodi kuchimba madini!………..Kweli wanawake nsi tunaweza.! Can you imagine ni vitu au mambo mangapi ilibidi a sacrify ili afanye kazi hii?! What a mother can do! What a woman! Shujaa mwanamke!
Beautiful! Umependeza mno Jokate wetu! That dress is WOW!!…………Ulichosema ni cha kweli kabisa. Hichi kipaji siyo cha kukidharau hata kidogo kwanza lazima uwe na akili shap sana ili uweze kuwa comedian mzuri. Yani lazima uwe na uwezo wakuona na kutengeza joke papo kwa papo. Pia ni sanaa ambazo zinahitaji maandalizi na nidhamu sana kama zilivyo muziki na mpiraa n.k ili uweze kuburudisha, na kufikisha ujumbe kwa jamii katika njia ya pekee. Binafsi ni mpenzi sana wa Stand-up comedy kama hazitumii maneno makali sana…….. Asante kwa maoni yako kwa jamii na viongozi hii pia ni ajira kubwa sana kama zilivyo ajira zingine. Kuna watu kama Jimmy Fallon, Kevin Hart, Jimmy Kimmel n.k ambao ni mharufu sana au hata Jay Leno na David Letterman ambao kwa sasa wamestahafu na wamejitengenezea kipato kikubwa sana kwa kutumia commedy hapa U.S.A……..pia kuna mpaka channel ya TV hapa inaitwa Comedy Central ambayo inaonyesha commedy siku nzima. Hivyo hii ni fursa ya kutizamwa sana na serikali pia watu ambao wangependa kuwekeza kwa wasanii wa aina hii.
Dear dad. You have been on my mind lately and especially this month. On this day it would have been your birthday and 30 something years Wedding Anniversary of you and mum. There are so many what ifs but God knows best. These pictures bring back so many memories and I just wish I could talk to you and share a joke or two. You are the best father any child could ask for and I pray to God to make me at least half a parent that you used to be. You taught me so many things but these will never depart in my heart and memory
1. Be kind and humble
2. Be a blessing and a source of smile to those who are less fortunate
3. Love your mother because she endured and sacrificed a lot for your wellbeing. As a mother now I understand
4. Never be too busy for your children
5. Enjoy life, give your best, work hard and don’t be too hard on yourself
I thank you for that advice because it has made me who I am and would not change even if the entire world is against me. It’s very painful that instead of bringing you a cake, card, flowers and take you out for dinner I can only bring flowers to your grave hoping that I can put a smile on your face as you are looking down on us as our guardian Angel. Sleep well my lovely dad just know that you are missed daily and we hope to see you one day! Always on my mind and forever in my heart. My first love, my true love and my best friend. It is well with my soul. A very happy birthday to you! I will always Love you babaWow! Such a lovely touchy msg to beloved dad!……….my readers here’s a question for you, if you were given a golden chance to tell the world about your dad how you think and feel / felt about him what would you say? ?? May God bless all the good dadies!
Hongera sana Faraja Nyalandu kwa maono mazuri ambayo yana faida kubwa sana siyo tu kwa taifa letu bali kwa dunia nzima. Sauti ya mtoto ni sauti ya dunia kwani kinacho tokea leo effects zitakuwa baraka au laana kwa watoto wa vizazi vyote. Maamuzi mabaya ya wazazi yanaleta maafa kwa watoto wa vizazi vyote. Nipale wazazi kama wewe wanapo amua kuweka interest za watoto mbele ndipo wao. Ni mpaka pale wazazi wanapo acha kuwa selfish na kujali si tu watoto wao bali pia watoto wa wazazi wengine ndipo mabadiliko yanatokea. Hongera sana. Ulifanya maamuzi mema!…….Hongera sana kwa Getrude Clement nyota njema huonekana asubuhi!
G.C at UN -“As young people the future is ours but this is not the future we want for ourselves”! Ni jukumu la wazazi kuhakikishia watoto usalama wao katika nyanja zote za maisha, kijamii, na kimazingira. Huwezi kumwambia mtoto alale bila wasi wasi wakati anaomba nyumba ina tingishika. Lazima atakuwa na hofu! Mbaya zaidi na huzuni kubwa ni pale mtoto anapo muomba mzazi wake amuhakikishie usalama wa maisha yake wakati hilo ni jukumu lakwanza la mzazi! “You may think that we are too young to know about the risks and reality of climate change but we see that in our daily lives”-G.C Wazazi amkeni, badilikeni! #ItBeginsWithYou
Kuna watu hawawezi kupotea dunia kwa sababu ya alama walizoweka wakati wa maisha yao. Mmoja wa watu hao ni aliyakuwa muasisi mkombozi na raisi wa kwanza wa CUBA Fidel Castro.
Fidel Castro alifanya jambo ambalo lilifanywa na watu wa zamani waliokuwa na ujasiri mwingi, uthubuti mwingi, uzalendo mwingi, utu mwingi na maono ya kuifanya nchi yake ijitegemee. Hawa ni kizazi cha Kwame Nkuruma, Julius Nyerere, Nelson Mandela, Patric Lumumba, Samora Mashel na wengine wengi waliokuwa wakipambana katika kutimiza maono yao kwa nchi. Hivyo ndo vizazi vilivyokuwa na hisia za ukweli za uzalendo kwa taifa lao.Huyu Fidel ndio chanzo cha mimi kumwita mwanangu jina la FIDEL PETER SARUNGI nikimwenzi Jasiri wa CUBA. Historia ya Fidel ni kubwa na imebeba vitu vingi ingawa natamani kama mwanangu akirithi ujasiri, uzalendo, utu, uthubutu na uwezo wa kutawala. Mungu ailaze roho ya Fidel Castro mahala pema, yeye amekwisha maliza kutimiza maono yake na ameacha alama kwa jamii yake. Mungu atusaidie na sisi tutimize maono tuliyobeba.
Very good msg! Love it! Sio kwa mahaba haya jamaniiii! Mnatutesa siye wakina single mama ?? …….Wapendwa ni nyakati za ule muda wa mwisho wa mwaka wa kusema asante kwa watu ambao kwa namna moja ama nyingine wamekuwa mbaraka kwa maisha yako. Basi naomba mniruhusu niseme asante kwa familia hizi mbili. Hawa ni watu ambao siku zote nitawashukuru sana kwani wote wamenipa first experience ya ndoto zangu bila hata kusitita au kuweka vikwazo! Wote walikuwa hawajawahi niona wala nisikia lakini walinipa heshima kubwa sana kwa kutoa muda wao na hata pesa pale ilipo bidi.
Zawadi Kakoschke ndio alikuwa mtu wa kwanza kabisa kufanya naye interview yangu ya maandishi. Somahapa. Na Linda alikuwa ndio mtu wa kwanza kufanya naye interview ya ku-record (video taped) tazama hapa. Nasio hivyo tu hawa watu walinipa uhuru wa kutumia picha zao na za familia zao pasipo na pingamizi lolote. Sasa nakaribia mwaka wa pili tangu nifungue blog hii na wamenipa 100% support hadi leo hii. Kwani mimi ni nani hata wanijali hivyo?! Sina cha kuwalipa zaidi ya kusema mbarikiwe milele zote. I love you soooooooo much! Nawatakieni siku kuu njema. Mkabarikiwe katika kila jambo jema mlifanyalo! ❤❤❤
Hongera sana mdogo wangu kwa kupata degree yako ya kwanza. Kwakweli tunahitaji Accountants wengi kwenye huu ukoo. Nafurahia kuona umechagua chaguo jema kama la mzee William na your sister Akinyi lol! Nakuomba ufanye kazi kulingana na miiko ya fani yako, na maadili ya mpendezayo Mungu…..msalimie my cousin-brother Hongera pia kwa rafiki yako. Haya mfanye sasa Masters na CPA. Huyu Lawyer naye kapotelea wapi siku hizi? mpe salamu Thank you ladies for making us proud! Akili za ukoo wetu hizo, ni ukoo ulio barikiwa na Mungu ?? wenye wivu wajinyonge tu maana hamna namna ??
Neema my dear, forgive me mpendwa wangu. Ni mambo tu yamenielemea but please understand that I truly care for you my sister! And wishing you and my shemeji a very happy belated anniversary. May your marriage be forever precious and eternal as you vowed before God! Happy anniversary sweetie and happy belated birthday. To see the wedding pictures click ? NeemaWedTheHuckins