??? Nimecheka siyo kwamba ni mazuri bali nimejisikia “kafaraja kidogo” ndani ya moyo wangu kuwa kumbe siyo mimi tu peke yangu ndio nilisoma shule za #Kata au za watoto wa “walala hoi” wakati wa kutafuta elimu ya msingi. Kumbe hata Hoyce Temu naye alisoma kwenye shule za mazingira haya?! Wow! Kweli ulikotoka hakuna tija bali uendapo ndio mambo yote!?? Kumbe hata sisi tuliosoma shule za #kata huwa tuna ndoto ya kufanya mambo makubwa na kufanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi?! Kha! Kumbe inawezekana eeh!…….. Asante Hoyce kwa kutumege kidogo story yako! Naomba Mungu awajalie viongozi wote wa bara la Africa roho ya imani na utu ili waweze kutumikia watu wao kulingana na maadili ya uongozi na matakwa ya Mwenyezi Mungu. Africa bila vita inawezekana! Africa bila njaa inawezekana! Africa bila unyanyasaji kwa wanawake na watoto inawezekana! #UsikateTamaa #ItBeginsWithYou
All posts by Alpha Igogo
Congratulations Faraja Nyalandu!
Kindly may I offer my heartfelt congratulations to Faraja Kota Nyalandu the Founder and Executive Director of Shule Direct for a very well deserved appointed position to serve as Global Future Council For Education, Gender, and Work by the World Economic Forum! Thank you for making us proud, a good example to many young girls and boys. Wishing you the best in everything and continue to make us proud~~~~~~~~~~~ Alpha
“A positive attitude is central to a peaceful mind” Mo Dewji
“Tuamini lipi kati ya haya?” – Peter Sarungi
TUAMINI LIPI KATI YA HAYA?
1. Report za BOT zinaonesha kuna mdororo mkubwa wa uchumi wa nchi. hali inayopelekea vichochezi vingi vya uchumi wa nchi kuanguka kama vile utalii, taasisi za fedha, sector ya usafirishaji na uchukuzi, sector ya viwanda na kilimo.
2. Wanasiasa na viongozi wetu wanapinga kudorora kwa uchumi wa nchi wakituaminisha kuwa fedha zipo ila ni lazima ufanye KAZI. Wanasema eti wale wanao lia njaa ni wapiga dili waliokosa dili za pesa chafu.
3. Mtaani haijulikani nani ni msafi au mchafu, nani ana fanya kazi au mfanya biashara, nani ni mtumishi wa umaa au wa sector binafsi ila wengi wao kama sio wote wanalia njaa ya kuadimika kwa fedha mtaani.
Sasa sisi ambao tupo tupo tu tuamini lipi?
Cheka urefushe maisha
“Whatever my lot, Thou has tought me to say it is well, it is well with my soul”
The song “It Is Well With My Soul” was written by a successful Christian lawyer Heratio Spafford. His only son died at age 4 in 1871. In 1872, the great Chicago fire wiped out his vast estate, made from a successful legal career. In 1873 he sent his wife & 4 daughters over to Europe on a summer trip on the ill fated SS Ville du Havre. Since he had a lot of work to do, he planned to follow them later. The Ship sank and he lost his 4 daughters with the wife being the only survivor. She sent him a famous telegram which simply read, “SAVED ALONE….” On his return home, his Law firm was burned down and the insurance company refused to pay him. They said “It’s an Act of God”. He had no money to pay for his house and no work, he also lost his house. Then while sitting and thinking what’s happening to him, being a spiritual person, he wrote a song – “Whatever, my Lord, You have taught me to say – It is well, it is well with my soul”. My dear friend, a good attitude will determine your altitude. When you look at your life, career, job or family life, what do you say? Do you praise God? Do you blame the devil? A good attitude towards God makes Him move on your behalf. Just sit down and say, “Today, God, it is well with my soul, I am thankful I had a peaceful sleep, I am thankful I am alive with possibilities, I am thankful I have a roof over me, I am thankful I have a job, I am thankful that I have Family and Friends. Above all, I am thankful that I have the Lord Jesus Christ on my side.” Be blessed and don’t be envious or shocked when others are prospering because you don’t know what they have been through to get there (test, trials and tribulation) so thank God for what you have. “Little is much when God is in it. It Is Well With My Soul!” Touch someone’s life with this message. If God is for us, who can be against us? Don’t read if you can’t forward. God has seen you struggling with something. God says it’s over. A blessing is coming your way.
Womanhood!
Mimi na Tanzania: Ukatili wa jinsia kwa mtoto wa miaka kumi (10)
**Tafadhali naomba ieleweke yakwamba hiyo picha hapo juu haina uhusiano wa moja kwa moja na story hii!**
“if you have a voice perhaps this is the time to make a choice of what contribution you ought to make to our world at this critical juncture”!- Mwamvita Makamba
Cheka urefushe maisha
“Uchaguzi wetu Bongo Lowassa ndiye alitakiwa kuwa Trump? Are you serious or just kidding?”- Lemutuz
Womanhood
NINA HOFU NA KELELE ZA WABUNGE WA CCM KULIKO WABUNGE WA UPINZANI- Peter Sarungi
Imezoeleka katika bunge letu tukufu kusikia kelele za lawama na za kukosoa mipango na utendaji wa serikali kutoka kwa wabunge wa kambi rasmi ya upinzani. Kelele hizo zimewahi kusikika na kuibua kashfa nyingi na kukosoa sera, sheria, mipango na hata utendaji mbovu na hata kusababisha maamuzi magumu ya kufukuzwa kwa baadhi ya viongozi na wengine kujiuzuru nadhifa zao kama ilivyokuwa kwa Mh. Edward N. Lowassa. Lakini pamoja na hayo kufanyika bado serikali ilifanikiwa kupita majaribu hayo yaliyokuwa na wakati mgumu. Serikali iliweza kufanikiwa siku zote kupitia umoja na wingi wa viti vya wabunge walivyokuwa navyo bungeni maana waliweza kufunika kombe ili mwanaharamu apite. Hoja nyingi za wapinzani zilifunikwa kwa kura nyingi zilizokuwa zina maslahi ya kificha aibu ya chama na serikali.
Katika Bunge la kipindi hichi, mambo yamekuwa tofauti sana hasa katika kupiga kelele. Kelele nyingi na zenye uzito zimepigwa na wabunge wa CCM na zimepata Kick kuliko hata kelele za Upinzani. Ukiangalia wabunge waliokuwa vinara wa kutetea serikali wamefika mahala wamegeuka na kupiga kelele.
Maeneno mengi ambayo yamepigiwa kelele ni kama yamewakera wengi mpaka yameshindwa kuvumilika. maeneo kama uchumi, afya, demokrasia na utawala bora. Kelele hizi zinawwza kusababisha mpasuko mkubwa ndani ya chama tawala na serikali inaweza kupata vikwazo vigumu katika kutekeleza wajibu wake.
#Myatake
1. kuna uwezekano kuwa wabunge wanabanwa na wanachi wao na hata wao kupata wakati mgumu kuliko kipindi kingine, hivyo hasira zikawarudia serikali.
2. Yewezekana wabunge wa CCM hawasikilizwi katika mapendekezo na ushauri wanao toa kwa serikali ama serikali haitoi ushirikiano kwa wabunge wake
kuna msemo unasema kuwa adui mkubwa ni yule anayepatikana nyumbani kwako kuliko anayepatikana kwa jirani, Kuna haja ya serikali kujitathimini ili kulinda maslahi ya kutawala nchi lasivyo Jahazi litasumbuliwa na abiria wenyewe.
Asanteni sana
0713037798
Ugua pole mama yangu Janeth Magufuli!
“Wazee wa Kimarekani wanaomaliza generation yao now hawakuwa tayari kuona “dhambi” ya kumchagua Rais mwanamke inaangukia mikononi mwao”- Lemutuz
“This loss hurts.But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary Clinton
https://youtu.be/G6d4ZqvCe4Y
Madam Hillary amegusia kitu ambacho mimi binafsi nakiamini sana “fighting for what’s right”! Sema amenipa nguvu zaidi kuwa katika kupigania kile unacho amini kuna machungu ya kushindwa lakini katika maumivu hayo hayo bado usiache kuamini katika kupigania kile unacho amini kwani thamani yake ni kubwa! “This loss hurts. But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary………. Natumaini wasichana wengi watajifunza mengi sana kutoka kwa Hillary Clinton kuanzia aibu aliyoipata mbele ya uso wa jamii kutokana na scandal ya mumewe kuwa na mahusiano na Monica, they way she handled the situation with all the dignity to herself and her family. Vikwazo alivyopitia kama mwana siasa mwanamke nabado akaweza kumudu kufikia kuwa mgombea urais. Pamoja na kuwa alikuwa mke wa mwanasheria, mke wa mwana siasa maarufu na first lady lakini hakuacha ndoto zake zipotee, amepigania kuakikisha she has her own legacy in this great land!…… Nimfano mwema sana ameonyesha siyo tu kwa taifa la Marekani bali ulimwenguni pote!……..Namtakia retirement njema with all the blessings! ???
American people have spoken……..! Congratulations to President-elect Donald Trump!
Ngoja tucheke tu leo!
????? Jamani ngoja tu tucheke maana haya matokeo ya kura jinsi yanavyo enda yanatupa pressure tu ?? sasa hiyo picha inaonyesha jinsi Black people hali yao itakavyo kuwa baada ya Trump kutangazwa mshindi (hopefully he won’t win), watu watakuwa na boat party going back to Africa! ?? O’Lord help us! ??
Cheka urefushe maisha!
“THE MAN THAT MADE AMERICA GREAT AGAIN”
While the Greatest Country in the world celebrates (Or reluctantly celebrates) Clinton’s win, I will be mourning and celebrating the end of the GREATEST LEGACY I have seen with my own eyes, THE OBAMA LEGACY. The first black man to be President with one of the highest approval ratings ever. A man who picked an ailing economy to easily outmunavre China’s economy leaving the Chinese one in the dust. A man who killed Osama Bin Laden, a man who ensured 90% of Americans are insured, A man who brought unemployment down to 4.9%, a man who helped America get back its high status as a great Natural gas producer and accorded with cheap gas.A man that made us Black men realise if we try harder we can reach the very highest of what we were intended or created for. The Greatest man walking on Earth today. HUSSEIN OBAMA…THIS MAN HAS MADE AMERICA GREAT AGAIN
Source: Gondwe Goole Facebook