All posts by Alpha Igogo

Nawatakieni wiki njema!

fb_img_1477313464662Yap! If you have “closed” mind  better have “closed” mouth as well!………,,,.. Nawatakieni wiki njema yenye baraka nyingi?

“Wimbo gani wa Bongo uliowahi kufanywa zamani na kurudiwa na msanii mwingine umefanya vizuri zaidi?”- EATV

screenshot_2016-10-22-15-47-39-1Najua kuna tribute  za nyimbo za zamani nyingi  zimefanyika, lakini hizo hapo chini ? ndio nazipenda zaidi! Hata hivyo Salome ya Diamond naweza sema ndio umeweza kufanya vizuri zaidi ya yote. Hii inatokana na technology ya mitandao pampja na ubunifu wa aina ya uchezaji pamoja na mavazi. Vile vile muamko wa Watanzania kupenda nyimbo za nyumbani kumechangia

1. KARUBANDIKA by Mtoto wa Dandu

2. SIWEMA by Lady Jay Dee

https://youtu.be/dvxnmnzu-58

3. SALOME by Diamond ft Rayvanny

4.  ‘SHOGA’by Fina Mango

https://youtu.be/S7VlU6pqEwY

5. MUHOGO WA JANG’OMBE by Lady Jay Dee

6. KIZAI ZAI by Linah Sanga

: Natamani Fina Mango atengeneze tena remix (tribute) ya wimbo mwingine. Ana sauti nzuri sana. 

 

Foster Collection

fb_img_1477240618252-1 Nimechekaje na hii pozi ?? Pendeza sana mama Nathanielfb_img_1477240642503-1 fb_img_1477244778786-1 fb_img_1477244792467-1 I L-O-V-E so much the handbag ❤❤fb_img_1477244876743-1 fb_img_1477244893422-1mmependeza sana……. Nice house too!
fb_img_1477244902493-1 fb_img_1477244919305-1 fb_img_1477244938538-1 fb_img_1477244951381-1 fb_img_1477244966961-1 Cutefb_img_1477244760757 fb_img_1477244689850 fb_img_1477244680007 fb_img_1477244669767That handbag is too cute……love the Kitenge rangi zake ni mwa!

Beware!

Plz post this on your group… Important message from Crime Stoppers, please read… and share to groups!
While driving on a rural end of the roadway on Thursday morning, I saw an infant car seat on the side of the road with a blanket draped over it. For whatever reason, I did not stop, even though I had all kinds of thoughts running through my head. But when I got to my destination, I called the Police and they were going to check it out. But, this is what the Police advised even before they went out there to check….
“There are several things to be aware of … Gangs and thieves are now plotting different ways to get a person (mostly women)to stop their vehicle and get out of the car.
“There is a gang initiation reported by the local Police where gangs are placing a car seat by the road…with a fake baby in it…waiting for a woman, of course, to stop and check on the abandoned baby. “Note that the location of this car seat is usually beside a wooded or grassy (field) area and the person — woman — will be dragged into the woods, beaten and raped, and usually left for dead. If it’s a man, they’re usually beaten and robbed and maybe left for dead, too.
DO NOT STOP FOR ANY REASON!!! REPORT WHAT YOU SAW, BUT DON’T EVEN SLOW DOWN.
“IF YOU ARE DRIVING AT NIGHT AND EGGS ARE THROWN AT YOUR WINDSCREEN, DO NOT STOP TO CHECK THE CAR, DO NOT OPERATE THE WIPER AND DO NOT SPRAY ANY WATER BECAUSE EGGS MIXED WITH WATER BECOME MILKY AND BLOCK YOUR VISION UP TO 92.5%, AND YOU ARE THEN FORCED TO STOP BESIDE THE ROAD AND BECOME A VICTIM OF THESE CRIMINALS.
THIS IS A NEW TECHNIQUE USED BY CRIMINALS, SO PLEASE INFORM YOUR FRIENDS AND RELATIVES. THESE ARE DESPERATE TIMES AND THESE ARE UNSAVORY INDIVIDUALS WHO WILL TAKE DESPERATE MEASURES TO GET WHAT THEY WANT.”
Please talk to your loved ones about this. This is a new tactic used. Please be safe. This happened recently
Get started NOW — SEND THIS MESSAGE TO ALL YOUR FRIENDS AND LOVED ONES TO BE CAREFUL AND AWARE OF EVERYTHING AROUND THEM SO AS NOT TO BECOME A VICTIM.

PLS SHARE THIS POST. u might be saving a soul today

“I am a public figure, and have a name to protect…….. I need justice”- Mrs Ritha Mlaki

screenshot_2016-10-22-19-32-30-1screenshot_2016-10-22-19-33-00-1May your plea be heard and justice be done in Jesus name??

Picha niliyo penda siku ya leo

screenshot_2016-10-23-11-31-10-1Too pretty! Japo kidogo nywele sijapenda sana rangi yake lakini bado she nailed it ??

ASANTE SANA ALPHA IGOGO.COM-Peter Sarungi

Na Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)
Na Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)

Dunia ina badilika kwa kasi ya ajabu, katika karne hii ya sasa tunashuhudia mapinduzi makubwa sana ya TEKNOHAMA yaani teknologia ya Habari na Mawasiliano. TEKNOHAMA ni kubwa sana na ilikuwepo tangu enzi na enzi hata kabla ya kuja kwa Yesu Kristu na Mtume Mohammad SAW na ndio maana kuna maandishi ya vitabu vitakatifu vilivyodumu kwa miaka Elfu na Elfu mpaka sasa. Kwa kizazi cha sasa ni ukweli ulio wazi kwamba TEKNOHAMA kwa sehemu kubwa imeegemea kwenye mitandao ya kijamii kama blogs, facebook, tweeter, whatsapp, youtube na mengine mengi yaliyopo duniani. Ukiangalia kwa makini mienendo ya hii mitandao ya kijamii, utagundua kuwa miaka inayokuja karibuni kutakuwa hakuna haja ya kununua magazeti, kusubiri saa mbili ili upate taarifa za habari za maredio na runinga, badala yake Taarifa zote na uchambuzi wote wa habari mbalimbali ngumu na nyepesi utazipata kwa haraka kupitia mitandao ya kijamii. Hivyo kwa wale tunaopenda kuchungulia fursa tunaona uwepo wa fursa kubwa sana katika mitandao ya kijamii. unaweza kutumia mitandao ya jamii kunadi na kufanya biashara mbalimbali, kufundisha, kutangaza na kueleza fikra zako, kutoa na kupokea taarifa na habari, na akaunti yako yaweza kuwa ni press coference yako na ikawa rasmi katika kutoa matamko na maelekezo yako.

Kutokana na fursa hizi ndio maana leo nimeona nimpongeze dada yangu Igogo Alpha aliye wekeza ujuzi na ubunifu wa hali ya juu katika TEKNOHAMA kupitia blogs yake ijulikanoyo kama AlphaIgogo.com
pamoja na hongera lakini pia nikushukuru kwa kuthamini makala zangu na kuzipa nafasi katika ubunifu wako maana nilivyopitia kazi zako nilikuta ume share nakala zangu karibia zote na kunifanya nijisikie kushare fan base yako kupitia nakala zangu. Wahenga wanasema undugu unakolezwa na urafiki, hivyo naona urafiki huu utakoleza undugu kati yangu na dada yangu alphaigogo. Tuendelee kushirikiana kwa kuonyana, kupongezana na hata tukiwa tofauti katika hoja bado tunaweza kukubaliana kutokukubaliana.

#Mytake
kuna haja ya kuwa na Fan base kubwa katika mitandao ya kijamii maana naona kuna fursa nyingi sana kama utawekeza ubunifu kama wa (www.alphaigogo.com) au zaidi ya hapo maana dunia inaelekea huko na hakuna jinsi zaidi ya kufuata fursa zilipo.

asante sana

fb_img_1472436063790Kaka yangu, asante sana kwa kuthamini huu mchango wangu japo ni kidogo sana. Ninachofanya hapa ni kutoka kwa dhati ya moyo wangu na kwa mapenzi yangu binafsi. Sifanyi ili nisifiwe na mtu yoyote yule, lakini hata hivyo siwezi dharau au kukataa kupokea shukrani pale mtu anapo guswa na hichi ninachokifanya. Hivyo asante sana…….. Makala zako zina tija kwangu mimi na ndio maana naona ni vizuri nika share na wengine waone. Naomba uendelee kuzitoa kwa wingi nami nitaziwakilisha!  Natumaini tunaweza kufanya mambo mengi na mazuri pamoja ambayo yatakuwa na manufaa kwa jamii yetu inayo tuzunguka………………….Thank you much. Be blessed always!

Cheka urefushe maisha!

screenshot_2016-10-22-18-41-22-1

“Hivi, watu wote wanaoenda kusoma kwenye vyuo vikuu hesabu zao zote ni kuja kuajiriwa serikalini?”- Mimi Mwanakijiji

Swali la Jumapili: Nimesoma malalamiko na hata manung’uniko ya watu mbalimbali kuhusiana na kusitishwa kwa ajira serikalini hadi wakati fulani mwakani. Wapo wanaolalamika kuwa kusitisha huku kwa ajira mpya na kupanda vyeo kumesababisha watu waliohitimu vyuo na wengine kukkosa kazi na hivyo “kukaa nyumbani”. Hivi, watu wote wanaoenda kusoma kwenye vyuo vikuu hesabu zao zote ni kuja kuajiriwa serikalini? Inawezekana elimu ambayo vijana wetu wanapatiwa haiwaandai kuwa wabunifu na wavumbuzi (rejea mada yangu ya juzi) kiasi kwamba nje ya serikali au utumishi wa umma hawawezi kufanya lolote na hivyo kweli “wanakaa nyumbani”?fb_img_1477237341357

Sending my greetings to all lazy men out there!

2016-10-22-23-12-14It’s EASY  to HATE and it’s DIFFICULT to LOVE! All good things are hard and difficult to achieve!!

“Taa nyekundu ya mwanadamu si ya MUNGU hicho ndicho ninacho amini”-Loveness Goodluck

Tarehe 18-10-2014
Hakika ni cku iliyokuwa mbaya maishani mwangu ila ubaya huo ulichukua muda mchache sana na kisha ikageuka kuwa siku yakupokea muujiza wangu

Ilikuwa ni siku ya Jmosi majira ya jioni, nilikwenda kumsalimu shangazi yangu aliekuwa amelazwa ktk hospitali ya K.C.M.C. Nikiwa pale ghafla simu yangu iliita nami nikaipoke alikuwa ni mdogo angu, aliniulza dada uko wapi? nikamjibu nipo hosptalini bado, akaniulza tena je wafahamu alipo mwanao? nikamuulza nini maana yako hasa?alinijbu tu nisamehe kisha akakata simu ila aliniacha na maswali.

Nilichukua simu ili kuwatafuta wazazi wangu na mdogo wangu ambae ndiye nilimwacha na mtoto ila hakuna hata mmoja aliyeipa ushirikiano simu yangu kwa kuipokea. Basi nikaamu kuaga ili niondoke kuelekea nyumbani, wakati nikiwa nimempa shangazi mkono il tuagane simu yangu ikaita mda huo alikuwa ni mama yangu mdogo nikaipokea, aliongea huku akilia, naomba uniambie nini kimemuua mjukuu wangu yani mwanangu Brayton(Deodatus) nikamjibu mama mdogo sikuuelewi naomba uniambie vizuri ndipo akajibu kwa kusema nimepigiwa simu mwanao kafariki! Ilikuwa ni vigumu kuamini ujumbe ule, lakini ghafla nikapokea tena simu kutoka kwa dada yangu akiniambia mwanao alianguka kwenye maji tumempeleka zahanati tumeambiwa amefariki hivyo tupo njiani kuja KCMC

Wapendwa cha ajabu sikupata nafasi ya kulia japo nilipokea taarifa ngumu kwangu! Ila nilipata nafasi yakupiga magoti nikanyanyua simu  yangu kuelekeza juu nikiwa nimeweka picha ya mwanangu

Nikasema Ee Bwana mtizame mwanangu Brayton, naomba umtetee na umuokoe kama ulivyo waokoa watumishi wako Meshack, Shedrack na Abernego walipotupwa ktk tanuru la moto, msimamie kama ulivyo msimamia mtumishi wako Daniel alipowekwa katikati ya simba wenye njaa kali, kisha nikasema si niwewe Mungu ulietuahidi ktk kitabu cha Yeremia 33-3 kuwa tukuite nawe utaitika na kutuonesha mambo magumu na mazito tusiyoyajua? Mungu hukuzungumza na Yeremia peke yake hivyo nakuomba ukatende na kwa mwanangu leo, kausha yale maji na uweke uzima ndani yake kwani  bado namuhitaji  mwanangu Mungu.

Nilikuja kushtuka baadae kwani baada ya sala nilipoteza fahamu nikakuta nimezungukwa na watu wengi na wachungaji sikujua walitokea wapi ila walikuwa wakifanya maombi yakupinga roho za mauti

Ghafla nikasikia sauti ikisema kwa mbali mama Brayton njoo mwanao anakuita, waliponifikia walikuwa na ma-nurse tena wanalia, nikawauliza kama mwanangu hajafa na ananita mbona mnalia? fb_img_1477191081255Wakajibu tunalia kwasababu alipoletwa alikuwa teyari alishajisaidia haja zote na kupoa kabisa mwili wake ila mama yako aliomba ampulizie tena pumzi yake kwani anaamini  Mungu hakumpangia mjukuu wake kifo kile. Mama yangu alimpulzia pumzi  mara ya kwanza, ya pili, mara ya tatu akashtuka na kusikika akisema mama yangu njoooo!
Nilipofika alipokuwapo mwanangu nilimkuta baba yangu akiwa analia akaniambia mwanangu nalia kwasababu ya ukuu wa Mungu hivyo ondoa hofu mwanao yu hai, mwanangu aliponiona alilia akisema mama yangu njoo unipe nyonyo mama.

Doctor aliniuliza unaabudu kanìsa gani?nikamjibu RC akaniambia inakpa ukatoe sadaka yakushukuru kwani sijawahi pokea mtoto aliefikia hatua hii kisha akaurudia uhai.
Asubuhi watu walifika kunipa pole ila walishangaa nilipojibu asanteni ila mwanangu yu hai. fb_img_1477191050114Wapendwa taa nyekundu ya mwanadamu si ya MUNGU hicho ndicho ninacho amini
Upitapo ktk magumu wewe mwite Mungu kwani yeye pekee ndie msaada uonekanao kwa nyakati za shida. BARIKIWA WEWE UAMINIE KUWA MUNGU HASHINDWI NA CHOCHOTE. AMINA.

Source: Loveness Goodluck Facebookscreenshot_2016-10-22-22-40-13-1fb_img_1472436063790Nimekwenda kuchungulia zaidi profile ya Loveness ili nione picha za mtoto alizopiga hivi karibuni. Nikakuta kumbe Brayton amezaliwa October 16th!! Hivyo tukio hili lilitokea 2 days after his birthday ?? …… It would have been a very-very sad situation. Losing a child 2 days after his birthday?!!  Can’t imagine! But hey! The answer is ?fb_img_1476441794547

Picha zilizo nivutia zaidi

fb_img_1477003515125 The Makondas! Wamenogaje! Jamani mwanamke mwenye furaha toka moyoni utamuona tu kwenye macho yake! hata tabasamu lake litaonyesha! Ee Mungu linda ndoa hii na uzidi wabaraki siku zote ?fb_img_1477003475339The Obamas! Jamani, tuta wa-miss hawa love Bird ?? Dah! But after last night debate I’m prepared to see the First Female President of United States of America ? Mungu awajalie mema yote ?…………… “First Lady of the United States @MichelleObama is flawless in a custom-made, rose gold #AtelierVersace gown.”~~~~~ maneno yake FIrst daughter Sasha Obama

Jokate Mwegelo katika ubora wake

screenshot_2016-10-20-13-43-00-1Napenda kuanza kwa kumshukuru Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Majani ya Chai. Alivyoniletea barua na kuniomba kuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali yao sikusita kwasababu ni mwalimu mkuu wa kipekee sana. Anaipenda kweli kweli shule anayoiongoza kuanzia walimu mpaka wanafunzi. Na leo nimeshuhudia hata yeye wanampenda sana na kumheshimu. Niko tayari kushirikiana nae kwa asilimia zote katika kuhakikisha hii shule yenye wanafunzi takribani 1300. Shule ya tatu kwa ukubwa katika wilaya ya Ilala inaboresha mazingira yake ya kazi na ya kusomea. Mwenyezi Mungu atupe wepesi na atufungulie njia tuweze kufanikisha hili. #BeYou #BeKidotified #Kidotifb_img_1476995337635She looks A-M-A-Z-I-NG in Oprah Winfrey’s voice! She’s pretty!fb_img_1476988886945Kuna siku Jokate aliuliza swali kuwa kwa muonekano wake unadhani anafaa kufanya kazi gani? Mimi nilisema angefaa sana kuwa Motivational Speaker for youths (soma hapa)……. Nafikiri hata wewe ukimwangalia hapa utakubaliana na mimi! She has a convincing body language to inspire youth to go for their dreams! screenshot_2016-10-20-16-20-58-1Keep it up Jokate! Na ubarikiwe siku zote!

Father and daughter moment

william-igogo-20161019_124429My darling niece, her name is Precious and my darling baby brother Mzee William! Pendeza sanaaaaaa ❤❤

#Walk Away!

fb_img_1461523437313fb_img_1476065016777Yap! Unajua kila kizuri hakikosi kasoro zake. Kwa mfano hizi social media ni nzuri inatukutanisha na ndugu zetu wambali, rafiki zetu wa miaka mingi, watu wanafanya biashara humo, injili ya Mungu inahubiriwa humo kama juzi nilifurahiya kushiriki injili iliyo hubiriwa na Masanja Mkandamizaji #Usiruke number!……Lakini shetani naye yupo vitani 24/7 hivyo hutumia hizo hizo social media kufanya kazi yake. Usishangae sana kuona watu wengine constantly wana andika vitu hasi kwenye status zao. Yani jua hao watu wana mapepo ambayo furaha yao ni kugombanisha watu, kukwaza watu kwa namna moja au nyingine halafu watajifanya “my posts have nothing to do with anyone”!! Crazy! If you are around people should someone be kind enough to care?! Ngoja nikwambie; binadamu mwenye UTU na UTASHI WA MUNGU siku zote yupo makini na maneno yake, maongezi yake, na matendo yake kwa wengine!……… Mpendwa msomaji wangu, kaa mbali na watu wa namna hii kwani wanatumika na shetani! Mimi siku hizi nikiona mtu kila kukicha status zake zimejaa negative stuff huwa na mu-Unfriend huyo mtu haraka sana au na ku-block kabisa. Sijali hata kama ni ndugu yangu! I don’t need to read negative things from  anyone. I want to be around positive people…….Let have fun, inspire one another, cheer up one another. If you can’t do any of that then pray for me and keep your negativity to yourself! #Walk Away People!

Cheka urefushe maisha!

screenshot_2016-10-20-13-44-46-1

Viongozi jiepusheni kuonyesha hasira zenu hadharani. Sio hekima~~~~~Zitto Kabwe

fb_img_1476974231335Nakasirishwa sana kuona viongozi vijana wanafanya mambo ya hovyo. Mkuu wa mkoa wa Arusha mdogo wangu Mrisho Gambo una dhamana zaidi Kwa vijana. Mnapofanya mambo ya kijinga mnaharibu nafasi ya vijana kuaminiwa zaidi. Kaa Na Mbunge Godbless Lema mnywe kahawa pale New Arusha Na muanze upya. Ndugu yangu Lema nashauri punguza munkari. Juhudi zako Arusha haziwezi kufutika kirahisi. Nakushauri kaa chini Na Mkuu wa Mkoa wako mpige mstari muanze Kazi upya Kwa pamoja.
Viongozi jiepusheni kuonyesha hasira zenu hadharani. Sio hekima.

Mother and daughter moment

screenshot_2016-10-19-07-32-21-1Siwafahamu lakini nimependa walivyo vaa ?? and happiest birthday to her

The 2016 Hottest and Best couple katika ubora wao

fb_img_1476847553372 fb_img_1476847537671 Mbona wewe mzuri sana mpaka unatupa hasira ?? Pendeza sana mama LB……..basi ngoja nikusindikize na hii zilipendwa…….

????  Uzuri wangu wa Tausi mama ?? Maringo kwetu kawaida ?? Wenzangu wananisengenya, nikipita wao hukonyezana eee 

??? Wamesahau kazi zao, kutwa nzima kunichunguza Maringo kwetu kawaida, hamuwezi kunyamaza eeee…….
(Chorus) ??? Hamuwezi kunyamaza, hamuwezi kunyamaza, hamuwezi kunyamaza …..Mpaka mseme kila siku eee
??Wasiwasi wenu wa nini ngoja niseme ukweli….SEMAAaa ?? Mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali ? Uzuri wangu wa kuzaliwa/TAUSI , maringo kwetu kawaida
Nikigeuka Utakubali ?? Nikitembea Utakubali?? Nikicheza Mtazimia wasiwasi
 ??Hamuwezi kunyamaza, hamuwezi munyamaza, hamuwezi kunyamaza ….Mpaka mseme kila siku eee…………fb_img_1476847494090fb_img_1476847569150 fb_img_1476847486444Awiiiii!! si kwa mahaba haya ati! Pendeza sana Mr and Mrs Kimesera ❤❤❤❤

Mother and daughter moment

fb_img_1476847795735look how Tiffah is looking at her mom! Priceless! Pendeza sana ❤❤