All posts by Alpha Igogo

“Hata wakikucheka na kukudhihaki usiache endelea”-Dina Marios

Macho Kodooo hehehehe……Wiki iliyopita @efm_93.7 tulitangaza vipindi vyetu live kutokea Kibaha mkoa wa Pwani. Huu ni utaratibu wetu ambao tumeubatiza NJE NDANI.

Katika jukwaa la nje ndani tunafanya vipindi huku tukihusisha hadhira ambayo inakuja kutuona,wasaniii kuperfom, djs wetu kuturusha plus vipaji tunavyovikuta huko tuendako.fb_img_1476195416262Sasa siku hiyo kibaha alikuja kaka ambae ni mwana sarakasi na pia hasikii wala haongei kwa maana ni mlemavu. Kaka wa watu tulikutana nae mwanzo tukamwambia asubiri tutamuita kuperfom.Akasubiri masaa kama matatu mpaka muda wake ulipofika tukamualika jukwaani.

Muda wote alikuwa ni mtulivu hana kelele wala kihoro mpaka tulipomwambia sasa onyesha uwezo wako. Wakati anaanza kuonyesha sarakasi zake watu hawakumuelewa walimtukana, kumdhihaki, kumwagia maji, na kumrushia makopo. Kikubwa yeye hakuacha kuonyesha sarakasi zake na vimbwanga vyake kubwa zaidi alikuwa HASIKII watu wanasema nini au kumdhihaki maana ni kiziwi hasikii.

Wakati hayo yakiendelea nilikuwa najisikia vibaya natamani nimwambie ondoka lakini ile nguvu yake ya kuendelea na kutosikia ikanifanya nitulie.Kilichotokea kelele za kumdhihaki Zikaanza kupungua na baada ya Muda nasikia makofi ya kushangilia na kufurahi utadhani sio wao waliokuwa wakimtukana. Nikajifunza kuwa katika maisha wakati ukianza jambo sio wote watakuelewa ila wewe ndio unajielewa na kuelewa nini unafanya.Usiache kufanya au kupigania ndoto yako Hata kama watu hawakuelewi.Ipo siku wataelewa na salute watapiga.

Juzi nimekaa na bibi yake Zion nikawa namsikilizisha wimbo wa Salome wa @diamondplatnumz akaniambia huyu kijana wakati anaanza mziki watu walikuwa wanamsema na kumuita domo domo leo vipi? Wanamuita domo? au wanasikiliza mziki wake na kuimba na kucheza? Hahahaha yaani nilicheka sana nikasema bibi Zion amewaza nini?

Anyways @diamondplatnumz utanisamehe kwa mfano huu lakini sio mimi imagine bibi Zion anajua haya…lakini leo umekuwa inspirational ya vijana wengi katika muziki.

Ewe kijana Endelea kuwa wewe
Ewe kijana Fanya unachokiweza na unachokijua
Hata wakikucheka na kukudhihaki usiache endelea……. muda utafika wataelewa……. watashangilia,watapiga makofi, wataimba, watasimulia habari zako na watajivunia wewe!

Birthday wishes!

screenshot_2016-10-11-08-50-15-1fb_img_1472436063790Happy belated birthday watoto wa Jackline na Dr. Mengi!………….Nimependa sana jinsi walivyo fanya simple! Kwakweli mie naona kuwa hivi ndivyo inavyotakiwa kufanywa birthday za watoto ambao wapo chini ya umri wa miaka 12. Just make it simple family thing. Zaidi mfundishe mtoto kushukuru kwa Mungu na kutoa sa!aka ya shukrani……….. Anyway, mbarikiwe sana the Mengis’ family!

Cheka urefushe maisha

0screenshot_2016-10-10-22-25-21-1 screenshot_2016-10-10-22-26-26-1

“Maishani amini kuwa Mwenyezi Mungu ndio mpangaji wa kila jambo na si binadamu yoyote”- Diamond

screenshot_2016-10-10-10-38-02-1screenshot_2016-10-10-10-37-50-1

“#KingKiba #CaseClosed” Jokate

screenshot_2016-10-10-15-54-50-1fb_img_1472436063790Jamani mrembo wetu ndo kesha tamka hivyo kuwa King Kiba case ilishafanyiwa kazi, hukumu akaitoa, na sasa ni “CaseClosed” ?? Mimi nawatahadharisha walevi wote wa #MwendoKasi kuwa hapa ni mpaka kifo! Please muacheni wifi yetu lol!……… Hiyo ilikuwa ndio #MCM wake leo. Nice pic Jokate

Mother and daughter moment

screenshot_2016-10-08-11-44-58-1-1 screenshot_2016-10-08-11-45-31-1So nice and lovely! Mbarikiwe sana!

NIMESHAWAHI KUWA MWANAFUNZI, MWALIMU NA SASA NI MZAZI- Peter Sarungi

Na Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)
Na Peter Sarungi (Next Speaker, Baba Pilato)

Tusiishie kuwalaumu walimu pekee………

Siku kadhaa zilizopita mitandao yetu ilipatwa na mshituko kwa video iliyosambaa inayoonesha mwanafunzi akipata kipigo cha kuheshimiana kutoka kwa walimu zaidi ya tano. Video hiyo ilifanya wananchi wahoji na kushutumu usimamizi wa mfumo wa elimu nchini. Kalele zilizopigwa ziliwachanganya wanasiasa na viongozi hadi baadhi yao wakafanya maamuzi magumu na ya gafla na hata ya kuharibu maisha ya walimu ili tu kushusha hasira za walalamikaji. Tukio hili liliendeshwa kisiasa hadi hukumu ikatolewa kwa walimu na kudhalilisha taaluma ya ualimu kwa jamii yao. Taaluma ya Ualimu ambayo ilikuwa ikieshimika kipindi cha Baba wa Taifa Nyerere sasa imeanza kugeuka kuwa chungu kwa jamii na kwa walimu wenyewe.

Lawama na hukumu zilizotolewa kwa walimu hazisaidii kama hatuta angalia chanzo cha matukio haya. Mimi niliwahi kuwa mwalimu wa kurasini sekondari kwa miaka 4 yaani 2006 hadi 2010, naju nini maana ya kuwa mwalimu kwa shule za sekondari za serikali hasa shule za kata na za mijini. Kuna msemo unasema “Kitanda usicho kilalia uwezi jua kunguni wake” wengi wanao lalamika kwa kuhukumu taaluma ya Ualimu ni wale wasio jua mahusiano yaliyopo kati ya mwalimu, taaluma ya ualimu na mfumo wa Elimu uliopo nchini. Mfumo wetu wa elimu una mwacha Mwalimu kuwa mpweke asiyekuwa na utetezi wa changamoto anazokutana nazo kila siku akiwa kazini. Jamii ina mfikiria mwalimu kama vile ni malaika ambaye akikosewa anyamaze na yeye mwenyewe asikose wala asishiriki makosa, wanaamini kuwa mwalimu ni wito kama wa kiongozi wa dini ambaye hata akitukanwa, akapigwa na hata kudhulumiwa aishie kuomba na kushukuru Mungu. Yaani bora hata viongozi wa dini wa siku hizi wanapata maslahi ya kufurahia wito wao hadi wanamiliki magari, machopa na majumba ya kifahari na wana miradi mikubwa yenye kuwapa uhakika wa kuishi kwa furahi wao hadi kizazi cha vitukuu, lakini kwa walimu wito huu ni tofauti kabisa. Wito huu kwa walimu umegeuka kuwa ni adhabu na mateso ya maisha, wanashukuru jana yao kupita lakini hawajui kesho yao ikoje huku wakiugulia leo yao, maslahi yao yamewekwa kuwa ya mwisho kiasi kwamba hata mwanafunzi anathaminiwa kupita mwalimu anayemfundisha. Mwanafunzi atasomeshwa bure, atajengewa mabweni ya kulala, akimtukana mwalimu na kumpiga hafanywi chochote hadi ushaidi upatikane na hata akifeli atafanyiwa sherehe na bado atasingizia ufundishaji wa walimu.

Mfumo wetu wa Elimu una wadau wakuu 4 ambao ni walimu, wanafunzi, wazazi na serikali. Walimu wamekuwa wakilaumiwa na jamii bila kuangalia mchango wa wadau wengine mfano wazazi ndio walezi wenye mamlaka ya kifundisha tabia mbaya ama nzuri za watoto wao, wanafunzi ambao wanatengenezwa ki taaluma na ki tabia nao wengi wao wamekuwa wahuni wasiojali elimu, serikali nayo kama baba mlezi wa mwalimu imemtelekeza mwalimu kiasi kwamba anaishi kama shetani katika nchi yake. Sasa ni kwanini tuwaaumu walimu pekee na kupiga kelele ya hukumu kwa taaluma ya ualimu wakati wadau wengine nao wana sababisha haya? Ikumbukwe hakuna sekta yenye waajiriwa wengi kuliko Walimu, nahofia kama jamii ikiendelea kuwahukumu kwa makosa machache kama haya na ikawa kimya katika kuwa tetea maslahi yao ya kuishi, ipo siku walimu watachukia na kuhuzunika na huo ndio utakuwa ni anguko kuu la Elimu Tanzania(naomba siku hiyo isifike).

Lakini inawezekana kelele na lawama hizi zipo mijini hasa Dar kwa wanaume wanaoshinda gym kwa chips soda kisha wakitaza na kukaa kimya wakimuona Scorpion mtoa macho akijitokeza hadharani kufanya yake ???… sio kule kwetu Mara aisee…

#Mytake Tusilaumu na kuhukumu taaluma iliyotupa uelewa wa kupambanua mambo katika jamii hadi kufikia wengine wana tukana taaluma hiyo badala yake tukemee tabia ya mwalimu kama binadamu na tupige kelele za kuimarisha mazingira ya walimu na ufundishaji kwa niaba ya walimu ili nao wafurahie wito huo kama wachungaji na mashekh wanavyo furahia wito wao.

Bado nakuheshimu mwalimu wangu uliyenitoa tongotongo usoni kwa viboko, vifinyo na vibao ili mradi nipate elimu uliyo kusudia na ndio maana nipo hapa kwa nguvu ya elimu nikitaka kuwa Spika wa Bunge letu. Nakushukuru sana Mwl. Alexander Robert.

Kama na wewe bado una imani na walimu basi washukuru walimu wako kwa kukoment.

Asanteni sana.

fb_img_1472436063790Well! Well! Well! My brother! Nimesoma hiyo article yako nikajihisi maumivu ya uchungu wa kuzaa mtoto!!! Hapa nilipo natetemeka! Najaribu kumuomba Mwenyezi Mungu anisaidie nikuandikie huu ujumbe kwa lugha ya kawaida maana lasivyo hasira zangu zote kuhusu huu ukatili usio elezeka zitaishia kwako!!………. Ati??!! What are you trying to say??!! Are you out of your mind??!! Seriously, are you trying to justify these MONSTERS’ act with what?! Ati wanafunzi wakorofi?!! Kwani hawakujua kuwa uwalimu ni wito!! Ati mazingira ya kufundishia?!! Well, waache kazi ya uwalimu wakauze chips wakatengeneze mazingira wanayo taka!! Ati case zinachukua muda mrefu kupata ufumbuzi?! So what?! Hiyo inakupaje wewe haki ya kuweka mikono yako (kumpiga) mwanadamu mwingine achilia mbali kuwa ni wanafunzi!! …….. Hivi umeona hawa mashetani walivyokuwa wakimpiga huyu mtoto?? KICHWANI NA USONI!! Hiyo ndiyo adhabu mwanafunzi anatakiwa apewe kisa hakufanya HOMEWORK???!! My brother are you OKAY!!! Walimu 6 mwanafunzi mmoja mwenye uzito chini ya 200LB na urefu usiyo fika 5ft?!!  Don’t you see kuwa hawa watu walikuwa wamekusudia KUUWA HUYU MWANAFUNZI!!!  Kichwa cha mtu si ndiyo ubongo wake ulipo sasa kumbonda namna ile kichwani kwake nia ilikuwa ni nini kama si kuuwa?? Je huyu mtoto akija pata matatizo ya kudumu kwasababu ya hiki kipigo wewe unaona ni sawa?! Who knows kama amepata itilafu yoyote kichwani mwake au internal  bleeding yoyote ile?! Au any kind of brain trauma?! ……….My brother! Were you drunk ulipokuwa unaandika au?! How cold is this!! How low for a father of two!! Wow! Umenishangaza mno, umenifanya nikutafakari mara mbili mbili kuhusu ubaba wako!!! Something isn’t right with you brother!!…….. Hakuna sababu yoyote itakayotolewa ambayo itaweza kuhalalisha huu unyama waliofanya hawa mashetani!! Huu unyama lazima upingwe vikali mno!! Na mimi kama ingekuwa ni amri yangu!! Hawa monsters wangepewa kifungo cha maisha jela tena bila kuwa na msamaha wowote! Hata Mwalimu Mkuu wa shule anatakiwa ahukumiwe at least 30+ jela!!

MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU IBARIKI AFRICA!!

Life of a designer: Miss LB!

fb_img_1476130830995There is no good feeling like when your mission is accomplished. You know, when my husband told me “let’s go to The Atlanta Councours d’elegance this coming Saturday I bought 3 tickets one for @leyla_bezuidenhout I said what’s the Councours d’elegance? He then said “its about old classic cars……. Google it”. I then googled it. Then I said to myself let’s go Vintage since the cars are from that time… Then my mind started spinning designing thinking ??…… In few minutes I got the styles in my mind and created the dresses. I really wanted to give the people a show! And it worked ??????????? everybody loved our attires I saw big lenses from far photographing us ?. I wish I knew all the photographers we might end up in some magazines but we won’t know and they won’t even know that I am the actual designer for these dresses ??.”  Maneno yake Linda Bezuidenhout  a.k.a Kichuna cha Kizaramo fb_img_1476130809493Mmependeza mno! Wote na binti yake nguo ziliwakaa vizuri sana

fb_img_1476130796447Hongera sanaaaaaa LB! Mzidi kwenda mbele siku zote! ……Mungu abariki kazi ya mikono yako!

So true! Very true! 100% true!

screenshot_2016-10-07-15-00-22-1

The “Masanja Mkandamizaji”! A.k.A Mr and Mrs Mgaya katika ubora wao!

screenshot_2016-10-10-07-33-25-1-1 Hivi mmesha waona hawa “njiwa wa mapenzi” jinsi wanavyo kula ma good time mpaka wanatia hasira #Jelous Is A Disease huh! ?? screenshot_2016-10-08-09-42-18-1fb_img_1472436063790Kwakweli wanapendeza sana. Hii ndiyo faida ya wapenzi kuwa marafiki wa dhati. Yani kuna couple zingine ukizitizama you end-up wondering how do they make babies ??? Yani ni mwendo wa kununa kwa kwenda mbele! Hata kama hauishi nao utajua tu something ain’t right! Jamani pendaneni kama Bwana alivyo wapenda nyinyi!……….Mungu azidi wabariki ❤❤❤❤

“Omba Mungu akukutanishe na patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo”-Joyce Kiria

fb_img_1476102657348Omba Mungu akukutanishe na Patna ambae atapenda kubeba majukumu yake ipasavyo… Siyo mpaka umkumbushe wajibu wake, Eti umsukumesukume kulipa bili za mahitaji ya nyumba!! Real????, jamani wengine hawana kasumba ya kuombaomba, so anakuangalia tuu kwa dharau jinsi unavyojitoa fahamu kutohudumia nyumba yako mwenyewe….. Omba upate Patna ambae asipohudumia familia yake kwa changamoto za maisha anakosa Amani moyoni mwake, lakini anapambana kufa na kupona ili avae majukumu ya familia… Mtu Huyo atakuwa anakupenda na anaipenda familia kwa dhati… Vinginevyo ukiangukia kwa anaejifanya hana, akipata hujui asipopata hujui utapaukaaaa kwa kubeba majukumu ya nyumba peke yako… woooiiiiii Ngachokaaaaaaaa????

Jokate Mwegelo #Kidoti katika ubora wake

fb_img_1476066247752Siyo kwa uzuri huu young lady! Too pretty! Nguo imekupendeza sana!!
fb_img_1476066242656yap! Confidence is everything!……….jamani mali ya Kiba hii sitaki kesi mie ??

Matukio katika picha: Mh. ShyRose Bhanji amtembelea Naibu Waziri Office ya Waziri Mkuu

fb_img_1476065228008“Coutesy Call: During this week I was privileged to be received by Hon. Dr. Abdallah Possi,Abdallah Possi Deputy Minister of State PMO in-charge with Persons with Disabilities at his office. In our discussions I obtained a deeper insight about the scope of challenges facing the people with disability. I admire his knowledge, passion and dedication to his ministerial tasks. I thank him for the warm reception and wish him all the best.”….. Hon. ShyRose Bhanji fb_img_1476065221813“Wiki hii nilipata fursa ya kumtembelea Mhe. Dkt. Abdallah Possi- Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu ofisini kwake. Katika mazungumzo yetu nimepata uelewa mkubwa na mpana zaidi kuhusiana na masuala na changamoto kuhusu watu wenye ulemavu. Nimevutiwa sana na uelewa wake, fikra zake na kujituma kwake ktk Wizara yake. Ninamshukuru kwa mapokezi mazuri na kumtakia Kila yeri na ufanisi”……….. Mh. ShyRose Bhanji

fb_img_1472436063790Asante Muheshimiwa, tunajifunza mengi sana kupitia wewe sisi wadogo zako wake kwa waume. Ubarikiwe sana

 

Muwe na wiki njema: Mchumia juani hulia kivulini!

img-20161008-wa0000fb_img_1472436063790Mchumia juani hulia kivulini!!………. Najua kwa wenzangu wa Tanzania na East Africa au Africa kwa ujumla sasa hivi ni asubuhi siku ya JumaTatu, watu wameanza na maangaiko ya wiki pamoja na kufanya kazi! Basi naomba niwakumbushe kuwa tafuta tena kwa bidii zote lakini kiwe halali siyo vya mkato wa njia za “panya”! Najua ni ngumu sana kuchumia juani lakini siku zote matunda yake ni matamu sana!! Usiwe na tamaa kwasababu unawaona wengine wanasonga mbele kwa speed ya mwendo kasi ukadhani kuwa wewe unamatatizo, hapana! Siyo vyote ving’aavyo ni dhahabu au almasi!!……..  Usitoe wala kupokea rushwa! Rushwa ni adui wa haki! Rushwa inarudisha maendeleo ya nchi yako na maendeleo yako binafsi nyuma! Rushwa inaondoa amani! Mla rushwa ni wakuogopa kama ukoma!……….Swali la kizushi; nasikia Dr. Magufuli siku hizi wala rushwa wote anawatupia Kigoma mwisho wa reli ??? Muwe na wiki njema. Mbarikiwe sana!

Cheka urefushe maisha!

fb_img_1475894380453

Muwe na weekend njema!

fb_img_1475072956542

Nenda kapime: Breast cancer awareness month!

screenshot_2016-10-07-14-19-53-1fb_img_1472436063790Haya wakina mama na wadada wote! Huu ndio ule mwezi wa kuangalia afya za breast zetu ilikuzuiya ongezeko la kansa ya maziwa kwa kina wanawake!……,………Kwakweli sitaki kuwa muongo kwani mie binafsi ni miaka sasa tangu nimepima mara ya mwisho. Lakini mwezi huu lazima nipime! Sijui kwa Tanzania ni sehemu zipi wanapima bila malipo; hivyo nakuomnba uwasiliane na Nancy Sumari ili akupe maelezo yenye uwakika! ?

PLEASE: hii picha ya Jokate nimetumia kwasababu picha ya Nancy ipo hafifu…….. Plus Jokate amevaa pink ambayo ndiyo rangi ya breast cancer awareness!

Pole sana Said!

screenshot_2016-10-07-14-11-58-1fb_img_1472436063790What a sad story!……..Kwakweli hii habari imeniuma sana. Nilikuwa sijawahi isikia nilep hii ndio naiyona. Kusema ukweli binadamu tumekuwa viumbe hatari sana si tu kwa wanyama na mazingira tunayo ishi bali hata kwa binadamu wenzetu! How cold is this??!! ……..eeh Mungu tusaidie sisi viumbe vyako shetani ametawala si tu akili zetu bali hata roho na mwili! Tunakuhitaji Baba tusaidie!…..,,,, Pole sana Said Mungu akupe uwezo wa kukubali hali yako mpya na uwendelee na maisha??

Mother and daughter moment

screenshot_2016-10-07-15-50-50-1Simfahamu lakini nimependa alivyo vaa na mwanae. Lovely!………..picha nimeitoa kwa Jokate

Color Code 5: Wizi wa kazi za watu!- By Hoyce Temu

screenshot_2016-10-05-21-58-57-1-1screenshot_2016-10-05-21-59-25-1