Tunawaombea na kuwatakia maisha marefu yalio jaa neema na mibaraka zaidi ya leo! Happy birthday baba Riz na sister AC Bhanji! ❤❤❤❤
All posts by Alpha Igogo
“Kama kuna kina mama wengine mliwahi kuibiwa na huyu mtuhumiwa please jitokezeni sasa” Lemutuz
The Fashionadoz by Mariam
This girl got talent, way bigger than her mother Ms LB! Yani her sense of fashion kwa midoli is way too cute and unique! I can see a big bright future for her kwasababu hapa alipo ndipo moja ya nchi kuu duniani ambapo midoli kwa upendwa siyo tu na watoto peke yake bali na watu wazima. Yani Mungu ajalie afike mbali sana!………….. congratulations Mariam you are the best!
Color code 4: UZUSHI!- by Hoyce Temu
Cheka urefushe maisha!
7 reasons why getting married later is not a terrible thing.
Before I got married people did not let me hear word-it was as if they looked for different opportunities to remind me that, Nne, time is no longer on your side, a woman is like a flower and withers quickly, “ale obirin o kin kpe su”…they were only wishing me well. It is good to get married early (if it happens) but if it doesn’t…here are 7 reasons why getting married later is not a terrible thing.
1. You have time to DISCOVER yourself. The emphasis is on “discovery” because a lot of people go through life not knowing who they really are, the more you wait before getting married the more you’re likely to discover yourself, your ideal career and generally the type of life you want.
2. Perspectives change as we get older. What I liked and wanted when I was 19 totally changed when I was in my mid twenties-even though I could swear say na like this I like my own thing at 25, I ended up not liking at 27. People change, give yourself allowance to grow and change.
3. You have time to be “free”. Make decisions without real consequences. Travel. You can even afford to live from alert to alert without any sense of responsibility. Why do you think there’s the term “responsible married man/woman”? You can buy anything with your last dime. Sleep over at your friends house 3 times a week…you no send anybody. Go on soun, explore!
4. You grow up. Maturity for some people is not about age, but with age comes experience and experience teaches you how to handle life. Your expectations are more realistic-you don’t believe marriage is about taking selfies, seksing and living happily ever after. Marriage is not for children.
5. Build your future. If you’re smart, the time before you get married is time you can use to focus on your career, start a business, even it it fails, you start again all because of point 3. Invest your self in building and saving for your future because marriage may “slow you down” career wise if you’re a woman.
6. You know what you want. Not because you know it all but because you’ve had time to discover yourself, what you like and what you refuse to deal with (I use the term “refuse” because it’s a choice you’re making to deal with something or not). You basically know yourself and now you know yourself you know what you who and what you want in a relationship and marriage.
7. You are grateful. When you eventually get married you appreciate it more because you remember all the times you spent catching bouquets at all your friends weddings (not that it’s a terrible thing). Single? You’ve been there, done that and you are 100% in this phase of life you’re in now. You do not feel like you missed out on anything.
These are some of the many advantages of getting married later so if you’re still single…enjoy it while it lasts and appreciate every season of your life. Let me know if you got married later and the advantages and disadvantages you faced in the comments section.
SOURCE: We African Nations
Foster Collection
“If you ever fall in love……..”!
The humble ‘abode’ of Dewji’s family
“Rais Kabila na Rais Magufuli ondoeni visa”-Zitto Kabwe
Rais Kabila Na Rais Magufuli ondoeni visa kwa wananchi wetu wanaoingia kwenye Nchi zetu za Jamhuri ya KiDemokrasia ya Kongo Na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kurahisisha Biashara miongoni mwa Nchi zetu.
Hivi sasa raia ya Kongo anayeingia Tanzania analipa $50 za visa. Vile vile raia wa Tanznaia anayeingia Kongo. Hiki ni kikwazo kikubwa sana cha Biashara hasa Mpakani mkoani Kigoma, Katavi Na Rukwa.
Sister sister!
Color code 3: Uchochezi!- by Hoyce Temu
Heshima yangu kwa walimu wote duniani!
Leo ilikuwa ni siku ya walimu duniani. Nawashukuru na kuwapongeza walimu wote katika dunia hii! Nilishawahi kusema kuwa uwalimu ni wito na karama ya pekee sana ni wachache walio jaliwa nayo. Mimi sikujaliwa ma karama hiyo?? hivyo I salute all great teachers around the globe including my uncle / baba yangu mkubwa kwenye picha hapo juu ? Mzee Joseph Musira (me wa mama yangu mkubwa, first born wa kina mama). Yeye ni Mwalimu mstaafu na pia alikuwa Mkurugenzi wa elimu kwa diocese ya Musoma kwa zaidi ya miaka 20! Yeye ndiye mlezi wa mama yangu pindi mama yangu anasoma secondary kama maelezo yake uanavuosema hapo juu. Vile vilealikuwa mlezi wangu wakati nasoma Kowak Girls Secondary school. Kwakua yeye alikuwa Mkurugenzi wa elimu Mkowa wa Mara kwa shule zote za Roman Catholic basi kila Mwezi alikuwa anakuja shule hivyo ilikuwa ni rahisi kwani wazazi wangu walikuwa wanaishi Dar es salaam……….Namtakia maisha marefu zaidi na amani tele. Mungu bariki walimu wote dunia. Happy Teachers Day to baba mkubwa and all other teachers!
Be careful of how you close the door!
Father and son moment
GOLI LA MKONO LIPO HATA KWENYE SIASA-Peter Sarungi
Jana katika jiji la Dar kulikuwa na mpambano wa jadi kati ya Yanga na Simba. Mpambano ulikuwa na mbwembwe nyingi na mwisho wa siku ikawa 1-1. Kilichonifurahisha ni Goli linalioitwa la Mkono alilolipata Tambwe. Mimi ni yanga na kweli furaha yangu ni ushindi tu iwe ni kwa mafigisu ama kwa halali. Goli hili nalifananisha na Goli la Mkono katika siasa, kuna mwanasiasa mmoja aliwahi kusema kuwa watashinda hata kwa bao la mkono…..Magoli kama haya ni adimu sana na ndio yanaleta furaha/huzuni na utamu/uchungu wa mpira kama ilivyo mafigisu ya siasa wakati wa uchaguzi. Goli ni goli tu ikiwa limekubaliwa na mwamuzi.
Hongereni watani wangu wa Jadi kwa kurudisha kwa Goli zuri la Kichuya. Ila hamkuonesha ustaharabu katika mchezo baada ya kuharibu viti na miundo mbinu mingine. Mkiendelea na ushabiki huo wa vurugu kutakuwa na haja ya anko Magu kuwafundisha adabu ili mje mumuite Dikteta kama kawaida ya wabongo wengi.
Tukutane tena Round ya Pili.
Picha nilizopenda siku ya leo
Mother and daughter moment
NIMEOTA NDOTO YA MATUMAINI KWA WALEMAVU-Peter Sarungi
Nimekuwa nikikosa usingizi kwa wiki nzima tangu Pilato aje duniani na hii inatokana na huduma ya mama na baba kwa mtoto mchanga mda wote hasa usiku maana pilato bado hajajua majira ya duniani yakoje. Lakini leo majira ya saa tisa usiku nilikamatwa na usingizi mzito ulionichukua na kuniburudisha na ndoto ya matumaini kwa watu wenye ulemavu. Hii ni ndoto ya pili inayotaka kufanana ila hii ya sasa imejumuisha kundi kubwa la watu wenye ulemavu. Kwa waafrika ndoto zina maana sana na hasa kwa kabila letu la kimataifa la LUO. Hata maandiko na adithi za mitume inaonesha jinsi ndoto ilivyotumika kutoa taarifa kutoka kwa Mungu kwenda kwa mitume wake.
NDOTO yenyewe iko hivi…
“Nimejikuta nipo shule ya Pugu Secondary nikiwa kama mwanafunzi, (kwa historia fupi hii ndio shule yenye mazingira na baadhi ya miundombinu inayo support wanafunzi wenye ulemavu wa kiume jijini Dar, na ndio shule ambayo nimepata elimu yangu ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita mchepuo wa Sayansi PCB). Ndoto inaonesha Mh. Raisi JPM anatembelea shule hiyo gafla tena alfajiri ya saa 12 tukiwa tunaamka. Pugu sekondary ina mabweni mawili ambayo ni maalum kwa ajili ya watu wenye ulemavu, hivyo ndoto inaonesha Mh.JPM alifikia moja kwa moja katika mabweni yetu na wanafunzi wote tuliokuwemo tukapatwa na mshangao huku tukiwa na furaha sana ya kutembelewa na Mh.JPM. Kama kawaida ya JPM alianza na maswali yake ya kutaka kujua hali halisi ya Elimu tuayopata hapo shule, tulimueleza mengi yaliyogusa changamoto za mifumo ya elimu kwa watu wenye ulemavu na tukatoa na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza changamoto hizo kama sio kuzimaliza kabisa. Mh.JPM alikuwa msikivu na alionesha sura ya kuguswa sana na maelezo yetu watu wenye ulemavu juu ya umuhimu wa Elimu kwa watu wenye ulemavu.
Baada ya hapo Mh.JPM alinigeukia na kutaka mazungumzo na mimi, (Oooh May God) nilishituka nikupatwa na wasiwasi na fikra ya kutumbuliwa lakini nikajipa moyo na kujikaza kisabuni kisha nikasema moyoni (sina makosa ngoja nimsikilize).Mh. JPM alianza kwa kunipongeza juu ya makala zangu ninazozitoa katika mitandao ya kijamii akisema kuwa na yeye huwa anazisoma na kuzifurahia. Baada ya pongezi Mh.JPM akanipa jukumu moja la kuandika makala za kueleza changamoto za watu wenye ulemavu Tanzania, Mh.JPM akaenda mbee zaidi kwa kusema niwashirikishe waandishi wengine kama Yericko Nyerere, Magoiga SN, Binti Tanzania, na Malisa katika kuibua changamoto zinazowapata watu wenye ulemavu bila kujali itikadi maana Mh.JPM alisema hata wao wanaguswa na kundi hili. Baada ya agizo hilo Mh. JPM na wasaidizi wake walituaga na kurudi kwenye magari yao tayari kwa safari ya kwenda Ikulu, gafla nikapata wazo la kupiga picha na Mh. JPM lakini nikiwa najiandaa kuvaa nguo nzuri kwa ajili ya picha nikasiki muungurumo wa magari yake meusi kuashiria Mh.JPM alikuwa anondoka. Moyoni niliumia sana kukosa kupiga picha na JPM na ndio maana nikaona niweke picha ya ndoto yangu ya kwanza iliyofanikiwa kutimia na kupiga picha. Baada ya hapo nilishitushwa na kelele za mwanagu Pilato akiwa analia kuashiria tatizo. Tafsiri ya Ndoto…(kwa maoni yangu
1. Ndoto imebeba ujumbe na taarifa mahususi kwa watu wenye ulemavu juu ya utayari wa JPM katika kutatua matatizo ya walemavu. Inabidi tuamke na kueleza.
2. Ndoto inakumbusha jamii kushiriki katika kupaza sauti za watu wenye ulemavu bila kujali itikadi ili kuibua matatizo yanatukumba watu wenye ulemavu
3. Ndoto pia inaonesha kuwepo kwa ziara ya gafla ya JPM kwa shule zenye mazingira na miundombinu inayokidhi watu wenye ulemavu. (Hivyo walimu wakuu wajiandae ???)
#Mytake.
Jamii ya watu wenye ulemavu inakuwa kwa haraka kutoka na majanga ya ajali na magonjwa, na nina hakika kila mtu anaguswa na jamii hii maana tumefika 4M, hivyo natoa wito kwa jamii kupaza sauti kwa ku comment na ku share ili imfikie Mh.JPM na serikali aliyoiunda na kumpa taarifa kuwa watu wenye ulemavu tuna imani na yeye na tumeona nia yake ya kutuinua juu.
Asanteni sana
#TanzaniaDisabilityEmpire, #JukwaaLaWalemavuTanzania
#ElimuKwaWalemavu
Welcome to the world baby Magreth Atieno!
Welcome to the world baby girl, my niece, my babysister’s namesake Magreth Atieno Guka Igogo! We thank Almighty God for this bundle of joy! The new addition to Mr. O.O. Igogo’s family. Mjukuu number 8!
Wapendwa wasomaji wangu, naomba nichukue nafasi hii kuwatambulisha kwenu mgeni mpya katika jamvi hili!…… Siku ya leo majira ya saa saba usiku (saa za East Africa) mdogo wangu (kwenye picha ya kwanza) aitwaye Guka pamoja na fiance wake Agness walijaliwa kupata mtoto wao wa kwanza. Guka ameamua kumwita jina la dada yake kipenzi “Magreth”. Na jina lake la kilugha litakuwa Atieno kwasababu amezaliwa usiku. Kama angekuwa mwanaume angeitwa Otieno! ……….. Anyway, naomba Mungu amlinde akuwe salama na achukuwe tabia na roho ya shangazi yake zaidi ya yote aishi kulingana na matakwa ya Mwemyezi Mungu!……..Hongera sana mdogo wangu and welcome to the world my niece ❤❤❤❤ You