Haya, hayo ni baadhi tu ya maoni ya Watanzania kuhusiana na kile kinachotakiwa kutendeka tarehe Moja September, 2016 #UKUTA ……….! Naomba usome kwa faida yako mwenyewe na ufanye maamuzi yaliyo sahihi …..!!! Mungu ibariki Africa. Mungu ibariki Tanzania……..??
