Regrann from @wemasepetu - Rafiki, Ndugu, Mshauri, Muongozaji... Bila wewe safari yangu itakuwa ngumu sana... Mungu akuweke kwa ajili yangu... Hakika najiona mwenye bahati sana... Ntakuthamini na kukupenda mpaka mwisho... @neema_ndepanya @neema_ndepanya @neema_ndepanya @neema_ndepanya - #regrann Nimefurahia sana kuona mdogo wangu tuliye kuwa naye mtaa mmoja akifanya mambo mazuri hata kuwezesha wengine kufanikiwa katika ndoto zao na hata kushinda taji! Hongera sana Neema Ndepanya! Endelea na moyo huo huo na mumsaidie Wema kufanya maamuzi mazuri. Proud of you!