Mrembo wetu mgeni wetu wa heshima akiwa na muheshimiwa mpambe wake! Wamependezaje sasa, simple hakuna madoido mengi ?? embracing their natural beauty ?❤
![]()
![]()
Mimi mwenyewe simmeniona aaa! Ningekosaje ukodak moment na bibi harusi, kuna mibaraka kupiga picha na bibi harusi ati ?? Msije mkaanza kuwaganda maharusi kupiga picha lol!
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii sherehe ilikuwa ya kipekee sana, simnaona watu wamefunga Khanga na wengine wamebeba, basi kila mtu alipewa zawadi ya khanga na mwiko wa kupikia all the way from Bongoland ? wewe ulishawahi kwenda kwenye sherehe halafu ukapewa zawadi za huwakika kama hizi? Rachel siyo mtu wa spoti spoti ati ???
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
