He he he! Naona mtu kanunuliwa suti mpya na tai, sijui ndio wanajaribu kumwambia “muda wa kuowa” umefika ?? mwe! Huyu mdogo wangu ni mpenda starehe huyu ngoja avute vute muda kidogo ???? tatizo wadada wa “mujini” wamemganda kama ‘ruba’ vile ??? hapa naona yupo na mdogo wake. Wote wamezaliwa December. Soma hapa au hapa kusoma birthday wishes zao Haya kaka naona suti zimekukaa kweli kweli ?? lakini yani wewe hata wifi wabandia hukumpata upigenaye picha ?? Blessing sijui alikuwa ametoka kuamka? Maana kanuna lol! Haya nawatakieni Mwaka Mpya mwema. Hope to see you soon maana nimewa miss kichizi ?