Napenda kumtakia kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu Charles Manongi. Mungu azidi kukubariki, uwe na afya njema, maisha marefu yenye amani na furaha nyingi. Charles yeye ni mdogo wake na kaka yangu kipenzi Noah Manongi. Ni mtoto wa mwisho kwa familia ya mzee Manongi……….Happy birthday Charles, be blessed!
Thank you so much dada yangu Alpha Igogo kwa salamu za kheri ya kuzaliwa, nimeipenda hii, na wewe ubarikiwe sana.
You are welcome my brother. Ubarikiwe sana