Wiki iliyo pita nilikuwa nimebahatika kua katika state ya Maryland ambapo nilifanikiwa kufanya mambo kadhaa muhimu, na pia nilipata nafasi ya kushiriki Black and White party ambayo iliandaliwa na Eddah Elegant Catering, siku ya Jumamosi ya tarehe 13 mwezi huu. Kwakweli ilikuwa party ndogo lakini nzuri sana. Kila kitu kilikuwa on point, kuanzia mapambo, vyakula, na vinywaji.
Eddah Elegant Catering ni kampuni inayo milikiwa na Eddah Mwita Gachuma, mwana Diaspora, mtanzania aishie Maryland, U.S.A Yeye ni mama, mke, na mjasiriamali anaye jihusisha na maswala ya mapambo, upishi, na uwandaaaji wa shughuli mbali mbali. Anapokea order za watu mmoja mmoja, group, za dini zote, na corporate events.Vincent ni mume wa Eddah, naye alikuwepo na kushiriki maandalizi yote ya shughuli hiyo. Gatty Gachuma na mumewe
Elvis Saria na mkewe LuluHongera sana Eddah kwa kazi nzuri. Picha zote kwa hisani ya Vijimambo Entertainment
Very soon this blog will be famous among all wabongoz blogs, nzuri sana!
Amen!
Thanks alot Alpha Igogo, I thank God, and I thank my Father and mother for the best they put on me,God bless them
Amen my sister!