Blessing anasema weekend yake ilikuwa kama hivi, looking cute and fabulous ? Hapa ilikuwa siku ya Sabato teyari kwenda church. Anasema amewaombea wote ?? haya yalikuwa mapozi ya picha akiwa home kabla ya kwenda church ?? kapendeza sana mdogo wangu na mie! Sasa leo anasema muwe na week njema yenye baraka hapana chezea mdogo wangu, si kwamapozi haya ati! Si kwa tabasamu hili jamani lol! Umeona alivyo fanya mdomo hahaha! Yani hapo amesema mfanye kazi kwa bidii. Mkae kwenye office zenu sio mabara barani halafu akamalizia na ‘mmmmh!’ (In Wendy’s voice) ???
lovely family God bless you guys.