??? Utoto raha sana eeh! Blessing ngoja nikusindikize na huu wimbo…………………………..???? wakati nilikuwa mtoto nilikuwa mdogo ? sikuwa najali shida wala raha ? nilikuwa nategemea wazazi wangu uu ? sasa nimekuwa naona shida nyingi duniani ? aaah kwepuka siwezi ? aah kwepuka siwezi ii ? sina lakufanya binti wa Igogo ???
??………..usinicheke eeh usinitete ? ndivyo mambo yanavyo enda usinicheke ? leo kwangu kesho kwao ? aaah mwenzangu uu sina lakusema, sina lakufanya ? msingi ni kazi iii ???
??? kazi ni uhai kwa kila binadamu ooo mama aa ? toka enzi na enzi ya mababu zetu ooo jamani iii ? hata Baba Mungu pia aliumba dunia, binadamu, na viumbe vingine alifanya kazi iii ???….
??? be blessed Blessing!