Huyu mdogo wangu anapenda sana music toka ana mwaka mmoja (1 yr old). Yani alikua hakubali kula mpaka umuwekee wimbo wa Skelewu wa Davido ila yeye alikuwa anauita “sikeuu” ??? utoto raha sana. Naona bado anaendeleza fani lol!