Blessing akifurahia weekend na nduguze huko KekoJuu ……hapa akiwa na cousin-sister wake Rhoda Igogo……… Btw, Blessing naye jina lake lingine ni Rhoda. Wamepewa jina la marehemu bibi mzaa baba ?
pendeza sana mdogo wake mimi hapa. Ubarikiwe kwa kwenda kusalimia ndugu zako
mmependeza sana. Ila sasa hapa sijui kama huyu ni Oliver au Mage ?? mmekuwa sana nashindwa watofautisha ?
jamani Blessing si kwa jicho hilo ati ?? huyo aliyetizamwa lazima aweweseke si mchezo ?? halafu hiyo ‘cut walk’ ya nguvu sana ?? haya be blessed as your name ❤

One thought on “Blessing na nduguze”