Some people are already troubled, looking for who to trouble. A person who is always looking for people’s trouble everywhere is internally troubled. The dream of a sadist is for everybody to be miserable in life. A negative person is always looking for who to fight, they always find fault in everything you do and then make you feel like you’re the bad person. A sadist always look for a place to transfer or dump his/her frustration. Never allow anyone to make you feel guilty for their own misfortunes. You may not have control over what people bring to you, but always be in control of what you take from them. Never allow anyone to take your happiness from you. Once they manage to frustrate you, they already have the power to control your emotions. Whoever controls your emotions, controls your sadness and joy. Your life is your right. Never give the control of your life to anyone in life. #akininspiration
Category Archives: Alpha being Alpha!
My weight loss journey…….!
Hello my people! Sijasahau nilikuwa kwanza nafurahia the moment by myself kabla ya ku-share nanyi ? Mwili umeanza kuitikia wito; 5 pounds down ?? Nariganje sasa! Utafikiri nineshusha 20 pounds ? Haki vile najisikia raha sana acheni tu nifurahie hata kwa hizo pounds 5 zilizo toka kwani safari ya miles maelfu miamoja zote huwanzia na ziro, moja, kabla ya kufika huko juu! Kitu muhimu ni kuthubutu, na namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu ya kuthubutu!
Yani hapo nikifanikiwa kuliondoa hilo tumbo aaaaaah! Mbona itakuwa shida aaaaaah ?? Sasa siri yangu mpya, ili kuondoa hicho kitambi nimenunua hii ☝”Simply fit board” ngoja niitumie wiki hii yote nione kama itanisaidia zaidi. Yenyewe nitakuwa natumia ndani muda wowote…….. Haya muwe na JumaPili njema!
“Ninagonjeka”
Leo ninamaumivu makali sana ya muscles za mgongo. Hasubuhi ya leo nilipokuwa nafanya mazoezi ya tumbo nafikiri nili pull muscles in a wrong way basi nimekuwa kama mtu niliyepigwa na electric shock jinsi maumivu yalivyokuwa makali! Nimetumia pain killers wapi! Basi jioni hii baada ya mwanangu kutoka kazini kanikuta kwenye maumivu makali mno siwezi hata kukaa wima ?? akaenda ninunulia dawa ya kuchua na pain patches za kuweka. Yani wakati ananichua nilikuwa nalia kama mtoto lakini hata akuacha ndio alizidi kunichua ?? kwakweli maumivu niliyonayo ni makali sana niombeeni ili niweze endelea na mazoezi kama kawaida ?? Nikija pima uzito week hii niwe na jibu tofauti na lawiki iliyopita ?? hilo belt navaa ili inisaidie hata kusimama ni backpain belt………….gosh! Where is my Muhaya ?? I need some intensive massage therapy on my back please you know you are my hiller and my “stabilizer” in times like this ???? njoo Muhaya wangu you know you are the only ‘brand’ am addicted to hata shemeji yangu Ruge anajua ?? Achana na hao wapika majungu na wafiti kwani hawatuwezi sisi “Taifa Kubwa” hata wifi yangu Saida Karoli anajua hilo kuwa hawatuwezi!! Mzee wa “Upako” kasema watashindana lakini hawata shinda ????? tunemetoka mbali sisi na tutaendelea kuwepo hata dunia ipite ?? Njoo Muhaya wangu twende zetu in that ‘supreme land’ where the magic tricks happen ????? uwiwii!!! Kupendwa na mwanamke wa Kijaluo raha eeh Siunaona the stone rejected by builders has become the cornerstone ???…….Niombeeni nipone haraka ?
My weight loss journey…..!
Kama nilivyo waambia wiki iliyopita kuwa nitakuwa napima uzito wangu naku-share nanyi kila week. Basi leo nimepima na matokea ni kwamba bado sijaanza kupungua uzito. Labda kuanzia next week ndio nitaanza kuona matokeo. Bado nipo na weight ya LB225 ambazo ni karibia na Kg 92 hivi! Well the journey continues this is going to be my life style now. Guys, huwezi amini najisikia mwepesi, nguvu nyingi mno na very focus. Plus najisikia raha sana kwenda gym kila siku na mwanangu such a bonding moment as mwanangu kazi yake ipo very demanding hivyo muda huu wa gym ndio tuna spend sana pamoja. Sasa hivi katika list ya nyimbo zangu za mazoezi nimemuongeza #Darassa Pale mwanzon pale kabla mazoezi hayajakolea namsikiliza yeye then zoezi likikolea na baki na Harmonize #IYOLA……..ok tukutane tena wiki ijayo. LOVE and PEACE!
Kusoma post ya nyuma bonyeza ? MyWeightLossJourney
“You can never be faster than destiny.”
You can never be faster than destiny:Until its GOD’S time, it can never be your turn. When GOD is ready, everything and everybody will be forced to be ready. They will have no option than to work in your favor. Your helpers will have no rest until they locate you. Protocols will be broken for you to be promoted, elevated and celebrated. You will be unstoppable. (Collected)
#Akininspirational
My weight loss journey has begun!
Well, well! My long overdue goal / journey sasa nimelivalia “njuga”! Jana tarehe 2, May, 2017 ndio nilianza rasmi. Nafikiri ni fair nikisema kuwa kilicho kuwa haswa kinanizuia kurudi katika uzito wangu wa miaka ya nyuma ni nilikuwa na a lot of personal issues going on ambazo zilikuwa zinaniongezea a lot of stress in my life! Yes, mie ukiniona naongezeka is more of stress issues na siyo vyakula kama baadhi ya watu wanavyo fikiria. But, I thank God now I’m in a very-very better place na naamini this time everything will be under control!!
Malengo yangu ni ya mwaka mzima; hivyo nafuata taratibu za kiafya za kupunguza uzito wa mwili. Situmii dawa wala supplementary diet medicine ya aina yoyote! Ni mazoezi na kuzingatia nini nakula na portion gani. Mimi napenda sana smoothie? hivyo ili kuhakikisha napata virutubisho vyote vinavyo hitajika mwilini basi natengeneza smoothie za green (kama mixture ya mastafeli (sour sop), spinach / kale green, jinger kidogo, na organic unsweeten coconut milk au cashew nut milk) zingine ni kuongeza damu na calcium mwilini kama mixture ya beets roots, carrots, na a little bit of mandarins orange!……Btw, mimi napenda kutengeneza smoothie angalau za siku mbili hivi na huwa nakunywa na mwanangu. So msifikirie kuwa hilo jagi lote ni langu kwa siku moja ?? hapana! Plus bado nakula chakula mchana hizo ni morning starters na usiku tu! Well, kama nimeamua ku-share nanyi my weight loss journey basi sioni sababu ya kuwaficha my current weight! Kama mzani inavyo someka hapo juu kwa sasa nina pound 225 ?? Kulingana na urefu na umri wangu natakiwa niwe na pound 140! Hivyo natakiwa kuondoa takribani pounds 80 ?? Je nitaweza? Naamini nitaweza! Nimejiwekea malengo ya mwaka mzima! Nitafanya juhudi zote nifikie malengo, but kama sito fika siyo mwisho wa maisha! Maisha yataendele kama kawaida! Kikubwa ni kuendelea na program yangu bila kuchoka! Nitakuwa napima uzito kila wiki na ku-share nanyi hapa kwa blog hii! Kama nikipungua wiki hiyo basi nitamshukuru Mungu! Nakama sijapungua basi napo namshukuru Mungu and the journey continues!………Naomba ieleweke siko hapa kushindana na mtu yoyote yule!! I do me and you do you end of story!! Nafanya mambo au vitu kwa style yangu mimi na uwezo wangu mimi! Ukiwa inspired basi ni ruhusa kuniiga but am not going to sit here telling you what you should do with your body or life! And I expect you to do the same to me! Fanya yako!
Harmonize! Harmonize! Thank you So Much For This song! Yani huu wimbo keeps me moving like crazy!! Ukinikuta kwenye treadmill navyo cheza mwe! Yani nasikia mafuta ya tumbo yanakatika ??? such a nice song kwa mazoezi!…….Myweight loss journey has begun ??Mengine namwachia Mungu ??
Nitarejea…….!
Hello wapendwa wasomaji wangu, natumaini wote hamjambo. Mie mzima wa afya hofu na mashaka ni nyie mlio mbali na upeo wa macho yangu 🙂 🙂 🙂 ……..wapendwa nime wamiss sana ila naomba mnivumilie tu simnajua nipo Bongoland na mambo ni mengi lakini soon tutarudi katika hali yetu ya kawaida na kwa nguvu mpya!…..Hata hivyo nawashukuru sana Halotel kwa internet ya uhakika! Nawasii wote tumieni mtandao wa Halotel kwa mawasiliano yenye viwango vya kimataifa!……..Nitarejea….!
Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu!
Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!……..Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow their ego nakukubali kuwa walikosea!……Yani kama unaswali uliza siyo unaanza umbea au majungu! Kwa mfano, wewe leo hii utoke ukamuulize babydad (mfano tu ?) juu yangu mie unafikiri atakwambia nini?! Unless yupo 100% happy na maisha yake basi atasema ukweli lakini kama sivyo tegemea negativite tu!….. Mfano mwingine, wapika majungu wakazusha natafuta “Manager” na huyo Manager ndio atakuwa mume wangu ???? what a JOKE! Unabaki unajiuliza nani nilimwambia hilo swala? Yani nikaona watu wanatafuta kila aina ya attention kwangu ili nimchague kuwa “Manager” wangu!! Jamani, ngoja niseme leo SIJAWAHI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE DUNIANI KUWA NATAFUTA MANAGER!! Never!! Nakama ningekuwa nataka Manager basi ninao ndugu ambao wako very qualified wangeweza fanya kazi hiyo na siyo mume wala mpenzi wangu!!……Kamwe haito tokea kuwa mume wangu au mpenzi wangu kuwa Manager wangu katika mambo yangu hata siku moja! He will always be my number one Adviser and Consultant but never my Manager! Nami nitafanya the same to him! I will do everything to make sure anafanikiwa kwa mambo apendayo but I will never step in his spotlight! Mume wangu atakuwa muwe wangu na rafiki yangu mkuu and nothing more! Tusipende kukariri mambo, just so and so has done that haimaanishi na mimi Alpha has to do that!! We will be business partners but only one person will be the front-runner! Tutakutana kwenye board meetings n.k but not in the same office everyday!! Nope! Learned it very well from my parents! Kwanza wanaonijua vizuri huwa sipendi kabisa mambo ya ku-copy na ku-paste!! Na ndio maaana kuna watu hawalali thinking what is Alpha up to?! Reason behind hawajawahi kuona mtu ana blog kwa style yangu na wamekuwa so threatened with me! Nami nacheka tu because it wasn’t meant to make sense to you, its my thing for God’s sake, relax!! And No, I don’t have to do things according to your schedule!! Get a life please!!……..Anyway, siku zote kuwa unique usipende kuiga iga! Napia jifunze kumuliza muhusika vitu vinavyo muhusu huyo mtu ili umjue from one-one experience! Hepuka umbea na majungu!!
When it comes down to it, the only knowledge that really matters is……..!
Take ownership of whatever you do bad or good!
Don’t fight the process!
Sending my greetings to all lazy men out there!
Not everyone deserves a seat at the table of your life!
Don’t ever, ever, ever give up! #UsikateTamaa
Kaza kamba! Usikate tamaa kwasababu maisha yako ni duni kwani kuna sababu kwanini maisha yako ni duni ! Mungu peke yake ndiyo anajua sababu! Wewe anza safari ya kufikia ndoto zako hivyo hivyo mdogo mdogo utafika tu na Mungu atakufunulia sababu ya kwanini ulipitia hayo maisha!……. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja! Ilichorwa kwanza kabla ya kujengwa! Na naamini huo mchoro wa ramani yake kuna mahali walikosea wakafuta na kuanza upya!! #Usikate Tamaa