??????? Sijui ilikuwa Awards zipi but hongera sana umetisha lol!…… And Happy birthday to that #SALOME video queen!
Category Archives: Birthday wishes
Happy birthday Neema a.k.a Beyonce!
Japo siku imepita lakini si mbaya kukutakia kheri ya siku ya kuzaliwa kwako. Nakutakia maisha mema, yaliojaa upendo, furaha na amani tele!
Kwa wale msiomjua Neema ni mdogo wake Foster Mbuna ambaye ni mmoja wa wadau wa hii blog! Neema akila dinner na familia yake……. family is everything men! Mama naye akipata kipande cha cake kama shukran kutoka kwa mwanaye………Hongera sana mama Once again, happy belated birthday Neema a.k.a Beyonce ❤❤
Keeping up with Blessing: Happy 4th birthday little sis!
Happy 4th birthday the little #Diva! May you grow older and wiser! Happy birthday babysister, much love!LastYrBirthdayWishes
Kheri ya siku ya kuzaliwa Jackline!
Happy birthday my brother Peter Sarungi!
Happy birthday my brother Peter Sarungi a.k.a The Next Speaker-Baba Pilato ! Nakuombea kheri na baraka nyingi sana katika maisha yako na familia yako. Mungu azidi kukuongoza uendelee kuwa baba, mme, na kaka mwema katika jamii inayo kuzunguka.. Zaidi ya hapo ukapate mtumikia yeye! …..Happy birthday kaka!
Kheri ya kuzaliwa Mfalme Kiba!
When you’re a great catch…….!
Happy birthday Madam President
Happy birthday to my baba Dr. John Pombe Magufuli
Happy birthday aunty Ezekiel
Family time!
Happy birthday my darling brother!
A very happy birthday wishes to my dear brother. May your day be brighten, may this new yr bring more happiness, love and success to you. May you have a warmly birthday and marvelous year ahead. Happy birthday baba Mary and Gabriel. Love you mingi sana, can’t wait for another Kondoo day like this one, the unforgettable moment with you and your family ??
Birthday wishes!
Happy belated birthday watoto wa Jackline na Dr. Mengi!………….Nimependa sana jinsi walivyo fanya simple! Kwakweli mie naona kuwa hivi ndivyo inavyotakiwa kufanywa birthday za watoto ambao wapo chini ya umri wa miaka 12. Just make it simple family thing. Zaidi mfundishe mtoto kushukuru kwa Mungu na kutoa sa!aka ya shukrani……….. Anyway, mbarikiwe sana the Mengis’ family!
Mother and daughter moment
Happy birthday Mh. Kikwete and beloved sister AC Bhanji!
Happy birthday Tanzanian Sweetheart!
Happy early birthday Zari!…… Hats off to you mama Tee and Diamond!
Wow!………Happy birthday mama Tee wa ukweli the real bosslady! Wishing you many more countless blessings……….! I’m speechless! Laughing so hard as I know someone people right now their BLoodPressure is going Up & Down!!! Kufa hawafi lakini chamoto wanakiona!! Namacho yao “Wanakodoa kodo wanakodoa”!! #Salome ??? Mnyama umetisha sana mtoto wa Tandale!! ??????
Happy 9th birthday Malaika Kakoschke!
Happy birthday my sister!
Happy birthday Francisca and Faith!
Nimependa huo ?ujumbe toka kwa Foster kwenda kwa ndugu zake katika siku yao muhimu! Kilicho nivutia zaidi kwenye ujumbe huo ni namna ya uhusiano wao jinsi ulivyo kama ndugu!………. Unajua kuishi nje ya Tanzania kume minifumbua macho kwenye mambo mengi sana haswa katika maswala ya familia na undugu! Nyumbani Tanzania watu wengi wanaishi maisha ya “kinafiki” sana pale inapokuja swala la kuwa mkweli na hisia zako haswa kwa watu wako wakaribu! Yani kumwambia au kusema ukweli kwa watu wako mara nyingi inachukuliwa kuwa ni “chuki”!! Wakati wenzetu wanaamini kuwa if you truly love and care for someone lazima utataka ajue ukweli!! And family is not family if one can not be honest to his / her feelings without the fear of rejection!!……… Nimependa alivyosema wamezinguana sana lakini usije jaribu kumchokoza mmoja wao ?? ………..Anyway, hakuna familia iliyo kamilika hapa dunia kila moja inamapungufu yake! Na kugombana kwa wanafamilia sio mwisho wa undugu au kuondokewa kwa upendo miongoni mwao!! Kumbuka damu ni nzito kuliko maji…………….!! Happy birthday Francisca Wandiba na Faith Kalanje. Mungu awape uhai mrefu na afya njema!!