Category Archives: Family first

Kheri ya mwaka mpya 2021!

Wapendwa wasomaji wangu natumaini nyote mmekuwa na mwaka mpya mwema, nami naomba niwasalimu kwa kuwatakia kheri ya mwaka 2021. Twamshukuru Mungu tumeuona, naomba ukawr mwaka wa baraka nyingi na amani tele kwetu sote. Mungu atunusuru na pepo la maradhi, vifo, na mahangaiko yasio isha. Kweri na baraka za mwaka mpya.

Nimefungua huu mwaka kwa kuanza kuwarushia picha za wanafamilia ya mzee O.O Igogo walipokutana nyumbani kwa familia ya Nyagilo kwa kusudi la kushiriki chakula cha mchana pamoja maalumu kwa kufungua mwaka mpya ambao tumeanza. ….. Kama utakuwa hufahamu familia ya Nyagilo basi bonyeza ?? Meet the Obama’s extended family members!

Haya mbarikiwe wote!

Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa dada yangu!

Leo ni siku ya kuzaliwa dada yetu, uzao wa pili wa familia yetu. Ni huyo mwenye nguo ya rangi ya Blue. Yeye kwa sasa anaishi Tabora lakini alikuja Dar kwa mambo fulani hivyo mdogo wangu akatumia nafasi hiyo ya pekee kumuandalia chakula cha mchana kufurahia maadhimisho ya siku hii. Tunamtakia kheri na baraka zote, Mungu atembee naye mwaka mwingine na milele zote ????

“Wamama na Wababa wa Wajukuu wetu, habarini za asubuhi njema ya leo. Leo nawasalimu kwa salaam ya kipekee, maalum ya kuhitimisha hiyo tafrija ya aina yake, yenye kunikumbusha miaka takriban 45 za Malezi yetu kwa huyo Mdada wenu na Mama wa wajukuu wetu wapendwa. Elline ana historia ya maisha yanayosadifiana na yangu, mie Baba yenu. Maisha yangu duniani yalianza kwa taabu ya afya dhaifu kwa kuwa niliwahi kutengana na lishe ya Mama tumboni mwake, nikazaliwa NJITI??‍♀️??Nakawa ngangari hadi leo hii bado nadunda japo udogoni nilikiona cha moto, kama Rafiki yangu, Binti yangu mpendwa Mama Min Ji. Alikuwa na afya mgogoro mno udogoni, naye kama nilihadithiwa na Mama kwamba bila huruma na upendo wa Baba yangu, yeye aliisha kata tamaa kwamba nitaishia utotoni tu, naye Nyategi kusema kweli nilimhangaikia vya kutosha utotoni, tukiwa na kipato kidogo mno, hadi hadi katengemaa na leo twasherekea siku yake ya 16,425 hapa duniani, Namuombea azidi kutengamaa na kupata tena siku kama hizo na kuzidi, hapa duniani. ????. Upendo wenu na mshikamano huu mliyonayo iwe ni mizizi inayo sambaa kwenye uzao wetu na kuendelea kwa vizazi na vizazi vijavyo. Nawatakia Sherehe njema, yenye Amani tele na kueneza Upendo wa JK milele.” * Baba mzaa chema -Sir O.O Igogo

Hapa wakiwa Tabora, ambapo mdogo wetu Janeth (aliyebeba mtoto) alikwenda kuwatembelea mwanzoni mwa mwaka huu!

Meet the Obama’s extended family members!

Let me introduce you to some amazing people whom also are apart of my family. Oh Yes! I’m related to the Obama’s, Lupita Nyongo, Raila and the the greats who originated from Uhuru Kenyatta’s land. ??

Ladies and gentlemen; its my honor to bring to you the Obama’s extended family members! Lupita Nyong’o cousin-brother, sister inlaw, nephew, and niece! The Raila Odinga’s son and daughter in-law and grandchildren! The Uhuru Kenyatta’s neighbors ?? The Duke and Duchess of Homabay County family! The Royal family of Mr and Mrs Tobby Nyagilo! The Kaganian village descendants! The Luos from great land of Kenya. Looking amazing! Bless His Holy name, the Maker of all! Mbarikiwe sana. ?❤❤

??????

Penda ndugu zako kwa matendo!

Wakulia amefurahia kumuona babu wakati wa kushoto amefurahia kumuona baba mkubwa! Ukitaka watoto zako wapende ndugu zako lazima uwafundishe muhimu wa ndugu zako kwako wakati wakiwa bado wadogo. Nasio kuwafundisha kwa maneno bali kwa vitendo. Siku zote watoto watasikia unachosema LAKINI watafanya kile ambacho wanaona mzazi unafanya. Wewe ndio ubao wao wakujifunza na watakusoma vizuri sana, basi hakikisha unacho andika kwenye ubao wako nikile ambocho kweli unataka watoto wako wajifunze toka kwako.

#ToGodBeTheGlor

Familia katika kusaidiana….!

 Ukweli hata kama familia mnapendana kiasi gani lakini kama hamshirikiani katika maswala ya kujiinua kiuchumi, kiroho, au katika maendeleo yoyote yale basi upendo wenu ni BATILI! Yani ni upendo wa "kichina" 
    Sijasema kuwa familia itakuwa haijakamilika (perfect) hapana! Hapa duniani hakuna familia ambayo imekamilika! Kila familia ina matatizo yake, jinsi mnavyo kabiliana kutatua hayo matatizo ndio inawafanya mjulikane nyie ni familia ya watu gani. Njia mtakayo tumia kutatua matatizo yenu inawezekana iwe njia ambayo wengine wataona ni sahihi au sio sahihi lakini kama kuna upendo wa kweli basi hayo yatabaki kuwa maoni yao kwani kwenu nyinyi wahusika kila kitu kitaonekana sahihi! 

Pichani ni familia ya mzee O.O Igogo katika moja ya business dinner iliyofanyika jana Dar, Tz

“A husband job is to provide for his wife and family”!

#RepostSave @cheyennebbostock with @repostsaveappI want my wife to be a wife, a mother, a friend, confidant, and much more! She will have everything she needs and more! If she wants to work, it will be her choice, but it will never be for the money. Only for sport. ? #MarriageGoals

I dare you to share this post. TAG A FRIEND. ✋?

Relationships is understanding beyond any reasonable doubt that NO ONE IS PERFECT‼️

#RepostSave @hollietheblogger with @repostsaveapp  Relationships are never going to be what you want, what you expect, what you need, what the society expects or what people will say. F*ck all that BS‼ Relationship is what YOU make of it. Relationship is what you dream of and wake up and put in time to get what YOU want. That’s why you see people investing in their spouses, children and partner and silly people want to snatch not knowing it’s someone’s effort for them to look the way they do??‍♂️Relationship is failing, making mistakes, learning and growing together. Relationships is understanding beyond any reasonable doubt that NO ONE IS PERFECT‼ Relationship is about saying sorry, acknowledging your failures and forgiving. That’s the best relationship that’s the lasting relationship! ? ?? For those who know about Tuckman’s theory well and good for those who don’t know I will sum up quickly. Tuckman believes that relationship is formed in 4 stages, forming, norming, storming and performing. Forming is when you meet someone for the first time and form a relationship. Norming is where you normalise stuff. You’ve known each other and now you go to get coffee together to normalise your relationship. Storming is where the PROBLEM IS‼ this is where hell breaks loose! Now that you have met, gone for a coffee you are now at a stage of knowing each other’s weaknesses‼‼?? This is where relationships break, die and murder happens BUT good news is that if you have survived this stage you’ve triumphed because performing stage you are just enjoying each other and it will take a miracle to break up or YOU AGAIN? However to get to performing it takes time, years to be precise. So to sum up Zari and her mother in law have passed the storming stage that’s why you see she’s comfortable with Wema visiting. So just remember when you are going through challenges in your relationship which stage are you at! ...?‍♀️?‍♀️???‍♂️

Pope Francisco: FAMILY, PLACE OF FORGIVENESS

"FAMILY, PLACE OF FORGIVENESS: 

There is no perfect family. We do not have perfect parents, we are not perfect, we do not marry a perfect person or have perfect children. 
We have complaints from each other. We disappoint each other. So there is no healthy marriage or healthy family without the exercise of forgiveness. 
Forgiveness is vital to our emotional health and spiritual survival. Without forgiveness the family becomes an arena of conflict and a stronghold of hurt.
Without forgiveness, the family becomes ill. Forgiveness is the a sepsis of the soul, the cleansing of the mind and the liberation of the heart.  Whoever does not forgive does not have peace in the soul nor communion with God. Hurt is poison that intoxicates and kills. Keeping heartache in the heart is a self-destructive gesture. It's autophagy. 
Those who do not forgive are physically, emotionally and spiritually ill.

That is why the family must be a place of life, not of death; 
Territory of cure and not of illness; 
Stage of forgiveness and not guilt. 
Forgiveness brings joy where sorrow has produced sadness; 
Healing, where sorrow has caused disease."

            ** by  Pope Francisco **

Family ni msingi wa kila kitu ufanyacho!

 
           Kuna wakati familia huwa inaamua kukutana kwasababu tu wamejisikia kukutana. Saa nyingine mnajikuta wote mmetembelea eneo moja kwa wakati mmoja bila kujua hivyo mnakuwa mmekutana bila kukusudia. Mida mwingine familia inakuwa imekutana kwasababu kuna sababu maalumu ambayo inawalazimu wote kuwepo. Basi ndivyo ilivyokuwa hapa kwa familia ya mama na baba yangu. Walikutana kwa sababu maalum japo kwa leo sitaweza sema ni sababu gani iliyowakutanisha, hivyo wewe endelea kufurahia picha na pia endelea kutembelea blog hii kwani siku si nyingi nitakwambia ni kwanini family hii ya Mzee O.O Igogo iliamua kukutanisha ndugu zao siku ya jana Sunday July 8th, 2018.  Najua nawe utafurahia nami siku hiyo! 

Familia ni kitu ambacho kinathamani kuliko dhahabu na lulu. Ukiona mtu hajali familia yake au anapenda marafiki zaidi ya familia basi jua kunatatizo kubwa kwa akili yake!! Maamuzi ambayo tunafanya kila siku kwenye maisha yetu yanategemea sana tena sana nanfamilia tulizo kulia. Siku zote tupende na kujali familia zetu kwani ni hekalu dogo la Mungu.Hawa ni wadogo zangu wote. Msiwaone hapa wamekuwa wakubwa nimewaogesha na wengine nimewabadilisha nepi ? walikuwa wanaitwa "Bomoa group" yani ukipika "mahanjumati" lazima upike vya nyongeza maana hawafanyagi utani kwenye maakuli ?
 Hawa ni mashosti wa miaka mingi sana wamekuwa kama madada wa tumbo moja.



Mungu ibariki hii familia na familia zote duniani katika jina la Yesu ??

Photo of the day: The Utegi family

Mazingira mazuri ya kazi hongera motisha ya utendani na uleta amani kazini. When employees are happy the boss is happy too. When everyone is happy your workplace becomes more like home! The Utegi Technical Enterprises(International) Limited. Group Photo of today. 

Mtu kwao!

Mtu kwao jamani! Namshukuru sana Mungu kwa kumfikisha mama salama Tanzania. Aliondoka siku ya Jumapili na sasa yupo Bongoland akifurahi na ndugu zake na familia yake. Hapa ni akipiga soga na shemeji yake (baba yangu mkubwa) Mzee Charles Olung'a Igogo nyumbani kwake baba mkubwa. Mama yangu huwa anasafiri lakini mara nyingi baada ya siku kadhaa au wiki anakuwa amerudi nyumbani, hivyo kukaa kwake hapa U.S.A kwa miezi 3 na wiki mbili kumefanya iwe mara ya tatu kukaa nje ya nyumbani kwake zaidi ya mwezi. Mara ya kwanza ilikuwa 1998 ambapo alikwenda kwenye short course ya miezi minne (4 months) huko China, mara ya pili alikuja kunitembelea Kalamazoo, Michigan alikaa mwezi mmoja (1 month), na hii ya mwaka huu imekuwa mara ya tatu japo safari hii alikuja kimatibabu zaidi. Basi twasema asante kwa Mungu kwa mibaraka yote kwani jinsi mama alivyokuwa anaumwa halafu karibia  hospital zote ambazo zinaaminika hapo Dar es salaam wanachukua vipimo vyote majibu yanakuja  NORMAL ?? was a heartbreaking and a bit challenge to us kama tusingekuwa na uwezo wa kumleta hapa Marekani nani anajua sasa kama tungekua naye hai ?? hivyo tunakila sababu ya kumshukuru Mungu na kulisifu jina lake milele zote. Kwani wengi ni wagonjwa na hawana uwezo wa kwenda kutibiwa popote pale nje ya Tanzania au nje sehemu waishizo. Sisi ni nani Bwana!! Lihimidiwe jina lako milele zote. ??

Photo of the day: The Mashimi

Wamenoga eeh! Ni familia ya Mr and Mrs Mashimi kutoka Georgia...... Napenda sana family pictures nikikutana na nzuri kama hizi nitakuwa nawarushia humu.

Watoto wa mwenye haki! Zaburi 37:25-26

Zaburi 37: 25-26 :-

“25 Nilikuwa kijana na sasa ni mzee;

kamwe sijaona mwadilifu ameachwa na Mungu,

au watoto wake wakiombaomba chakula.

26 Daima huwapa wengine kwa furaha na kukopesha,

na watoto wake ni baraka.”


Psalms 37: 25 -26 :-

“25  I have been young, and now am old,

yet I have not seen the righteous forsaken

or his children begging for bread.

26  He is ever lending generously,

and his children become a blessing.”

Daughter on duty ……!

As you all know, I’m  a daughter, sister, mother, aunty, friend, mbeba mabox ?? (I love saying mbeba mabox ?) God servant n.k For that at this moment I am a daughter on duty ?? taking care of my family! Familia kwanza mambo mengine baadaye.  Mama yangu na mdogo wangu wamekuja kututembelea, sitakuwa na muda wa kusaka vitu vya kuwaletea kwa sasa zaidi ya kupost our moments together. …..But msisahau kesho nawaletea ile couple yetu ya nguvu ??

Family moment: Lyimo’s, Rweikiza’s, and Adhero’s

Familia tatu kwa pamoja wakifurahia siku kuu! Aliye kati kati ndio kiungo kikuu cha hizi familia tatu! Huyo ni shemeji mkubwa kutoka familia  ya Lyimo. Na kulia ni Dennis Rweikiza ambaye amemuoa dada wa Jackson Lyimo. Mnakumbuka niliwapaga story yangu na Dennis  Rweikiza? Soma ?? (MrAndMrsRweikiza). Na upande wa kushoto ni John Adhero ambaye pia amemuoa mdogo wake Jackson Lyimo. Na hao ni watoto wao!

Hata kama utakuwa na marafiki milioni moja lakini familia bado ni muhimu zaidi ya vyote!  Everyone needs a family! Marafiki wanakuja na kuondoka lakini family will always be there! Udugu haufutiki hata kwa bleach isipokuwa KIFO! Blood is thicker than water! Hata kama mtakuwa na mahusiano mabaya but that "bloodely thing" will always find a way kuwaweka pamoja! 

Marafiki ambao watakuwepo na wewe siku zote, wakati wa raha na shida, wakati unapitia misuko suko ya maisha na kila mtu anakuona haufai mbele ya macho yao, wakati wengine wanakukimbia lakini hao wachache au mmoja atakaa na kusimama na wewe mpaka mwisho basi naomba ujue huyo SI RAFIKI BALI NI NDUGU YAKO! Tofauti ya rafiki mwema na ndugu ni kwamba ndugu anaweza asiwe nawe wakati wote lakini ndio hivyo huwezi kumkana!! Ile damu iliyowaunganisha ndio itasimama siku zote! Lakini rafiki mwema lazima aonyeshe kuwa yeye ni rafiki mwema ili muwe na kitu kilicho waunganisha!! Ndugu yako anaweza asiwe rafiki yako lakini bado atabaki kuwa ndugu yako! Ili udugu ukolee na upendeze zaidi lazima kuwe na urafiki kama mnavyoona hizi familia tatu! Wameweza kuacha kazi zao na kukaa pamoja wakati huu wa siku kuu! Kama wangekuwa hawana urafiki hata kama ni ndugu usingeona haya yakitokea! Upendo hupo ndani yao, na Mungu ni pendo! Familia zilizo jaliwa kumjua na kumwamini Mungu utaziona tu! Kwenye Mungu kuna upendo, kwenye Mungu siku zote ni furaha na amani tele hata sura zao zitaonyesha zinakuwa na mvuto wa "Kimungu Mungu" tu ??......Pichani ni Jackson Lyimo na wadogo zake. Anita Lyimo Rweikiza upande wa kulia na Linda Lyimo Adhero upande kushoto What a family reunion!! Mtu kati hapo ndio wifi mkubwa mke wa Jackson Lyimo pamoja na wadogo zake Lyimo! ....wazurije sasa ???? .....Jamani nawatakieni kheri na baraka zote za kufunga mwaka 2017 ziambatane nanyi pia mwaka 2018! Mzidi kubarikiwa zaidi ya hapo na upendo wenu udumu siku zote!

Merry Christmas from Lyimo and Adhero families!

Family over everything! Familia ya Lyimo kutoka  Ohio state (upande wa kulia) wakiwa ndani ya Kansas State ambapo wamekwenda kufurahi pamoja na ndugu zao wakati huu wa Christmas! Kushoto ni familia ya John Adhero na wanawe. Mke wa John ni dada mdogo (tumbo moja) wa Jackson Lyimo. Hivyo hapo ni ugeni mzito haswa kwani shemeji mkubwa na mkewe wako ndani ya mji wa Adhero ?? ........Btw, John Adhero is my cousin ??  mtaalamu wa kujipendekeza simnanijua? Sasa nisipo jipendekeza kwa ndugu zangu nitajipendekeza kwa nani tena?!! ?? honestly, he's my cousin, baba yake ni kaka wa ukoo na mama yangu mzazi ??  So beautiful! Merry Christmas to you the Adheros and Lyimos family!

Merry Christmas from my cousin Gloria and her family!

Wamenoga eeh! So beautiful, they look so much blessed ?? Merry Christmas from Gloria and her family Ndugu zangu wazurijee sasa ?? Asante Mungu wazuri wasura mpaka roho ?❤

Happy Holidays from Mwajuma and her family!

Awwih! Mahaba haya si muchezo ati ? Mwajuma na mapigo ya moyo wake ? bwana mie jina la shemeji silijui ? Ila Mwajuma ni dada yangu, tumekuwa wote mtaa mmoja, nyumba zetu zinapakana ukuta hadi leo hii ninapo ongea. Yani nivile tu tumekuwa na maisha yakatupeleka sehemu tofauti. Yeye anaishi UK na familia yake nami niko U.S.A. Tumeishi sisi kama ndugu na majirani zetu hadi raha. Watoto wa KekoJuu siye wazazi wetu walikuwa waungwana sanaaa! Ndio maana mpaka leo sisi tunapendana.....Happy holidays Mwajuma and your family ?❤  

Merry Christmas from the Nyalandu!

@Regranned from @farajanyalandu – Merry Christmas to you and yours! #LetLoveLead

Merry Christmas from Open_Kitchen2014 and family!

Merry Christmas from Open_Kitchen2014 and her family!