Category Archives: Friendship

Shukran zangu za dhati kabisa kwa familia ya Aidan na Fina Nyongo!

img_20161216_082326-0My forever gratitude! Yani naishiwa na maneno ya kusema juu ya hii familia! The Nyongo’s Family just know nawapenda zaidi ya Uji wa Kijaluo ?? Guys, you know how much I love you! Nawatakieni safari njema see you in a little while! ???

Mtu na mtani wake!

fb_img_1481323870117My darling mtani and I! #FBF  Dec 9th 2012 Uhuru Day, Chicago , Illinois ……..penda sana my mtani ?? ………… ma’am! Will I ever go back to that size ?? ??

You don’t belong at the wedding!

screenshot_2016-11-29-23-29-45-1Binasfi nachukulia harusi ni swala personal sana, yani ndugu zako pekee na  wale watu ambao kweli wamegusa maisha yako au wenye kukutakia mema siku zote ndio wanatakiwa kuja kwa harusi yako! Harusi ni kitu kina tokea mara moja katika maisha yako (if no divorce) hivyo lazima uifanye iwe na kumbukumbu za watu au marafiki ambao kweli wana umuhimu kwako……….Kama hujaalikwa kaa kwako utulie!fb_img_1479752684072Tafadhali hii picha haina huusiano wowote na story hii. She is my niece!

Thanksgiving moment in NY!

fb_img_1480089766607My darling mtani enjoying Thanksgiving day with family! Mimi penda sana huyu mtani wangu such a humble charming lady! We go all the way back from CBE ?? ubarikiwe sana mtani wangu na rafiki zako wotefb_img_1480089771007Yummy! delicious!
fb_img_1480089761179fb_img_1480089754640fb_img_1480101029422-1fb_img_1480101020071fb_img_1480101014267fb_img_1480101006256

Sisterhood!

img-20161017-wa0000When my sweet sister ShyRose mwana wa Bhanji met my other sisters, Magreth on the left side and Janeth on the right side! Nothing but ❤! ……Wanawake wa mkoa wa Mara! Si mchezo ati! Ndugu zangu mie hao leo hii walikutana kwenye mazishi ya my darling uncle Dr. Didas Massaburi. Poleni sana ndugu zangu.  img-20161017-wa0001Mbarikiwe sana ???

“#KingKiba #CaseClosed” Jokate

screenshot_2016-10-10-15-54-50-1fb_img_1472436063790Jamani mrembo wetu ndo kesha tamka hivyo kuwa King Kiba case ilishafanyiwa kazi, hukumu akaitoa, na sasa ni “CaseClosed” ?? Mimi nawatahadharisha walevi wote wa #MwendoKasi kuwa hapa ni mpaka kifo! Please muacheni wifi yetu lol!……… Hiyo ilikuwa ndio #MCM wake leo. Nice pic Jokate

So true! Very true! 100% true!

screenshot_2016-10-07-15-00-22-1

Sister sister!

fb_img_1475722980552-1Isn’t that cute! Inapendeza sana ndugu kupendana jamani! Mungu awabariki sana! ❤❤

#FBF: DICOTA 2012

FB_IMG_1467387426171Ngoja nianze kwa kicheko jamani kwani najua wengi mtanicheka sana ??? hapo kwenye picha ni mimi na brother James Kitia back in 2012 in Chicago kwenye DICOTA. Jana niliweka post ya James  (soma hapa) hapa baada ya mwanangu kunionyesha hiyo story. Mwanangu alikuja kwangu akasema “umemuona rafiki yako?”…………yeye anajua my story na James ndo maana akasema “rafiki yako”! Sasa ngoja ni share nanyi hiyo story……..

Jamani mie na maneno yangu yote haya ESCALATOR / moving stairway / electrical stairs ni ugonjwa wangu mkubwa ??? Sipiti kwenye Escalators hata kwa dawa aaa.???  Yani hata kuzitizama naona kama nataka kuzimia ??

Sasa wakati nakuja U.S.A kwa mara ya kwanza kabisa, nilikuja kwa ndege ya British Airways- Business class. Sasa tulivyo fika Heathrow Airport ikabidi twende hotelini kulala mpaka kesho yake ndio tulikuwa tunaondoka. Humo kwenye ndege ndipo nilikutana na kaka yangu James Kitia. Yeye final destination yake ilikuwa Chicago, Illinois na mimi ilikuwa Berrien Springs, Michigan.

Sasa basi shuttle za kwenda hotelini zilikuwa underground ambapo ukitaka kufika in 5 minutes inabidi utembee na Escalators au la sivyo inabidi utembee kawaida bila escalators ambapo itakuchukua not less than an hour!…….Mjaluo Luo mimi mbona machozi yalinitoka?? ??? …….basi hapo ndipo my coolest brother, said to me “worry not my sister, nitakusaidia”  Talking about raising a gentleman?! Someone did his / her job right!! Kudos to James’s parents!

Yani sikumuomba James msaada, but he saw my desperation and offered his helping hand to me! James akasema subiri hapa kwanza, akapeleka our hand luggages first halafu akapanda tena juu kuja kunifuata! Akaniambia nimshike nakunisaidia kushuka. Japo kwa kilio kikubwa sana lakini tulifika chini salama??

Bahati mbaya tulikuwa tunakwenda hotel tofauti hivyo tulipanda shuttle tofauti. Na pia muda wetu wa kuondoka tuliondoka mida tofauti, hivyo hatukuonana tena. Lakini nilikuwa namuongelea sana kwa watu walio nizunguka including my daughter. Baada ya miaka mingi kupita kwa mara ya kwanza tukakutana Chicago nakupiga hiyo picha ?. Wakati nafanya malipo ya DICOTA yeye ndo alipokea simu yangu na kunisaidia basi tukakumbukana hapo.

James, najua nilishawahi kukushukuru kwa ukarimu wako. Lakini naomba tena leo nirudie kusema asante sana tena sana. Mungu aendelee kukubariki katika kila jema ulitendalo wewe na familia yako. ??

NOTE: Ugonjwa wangu na Escalators bado hupo pale pale hadi leo hii! It’s just my worst nightmare, sijui kama nitakuja fanikiwa kuzipanda ??

Tanzia: Pole sana mtani wangu!

Screenshot_2016-06-24-08-25-29-1Kwamasikitiko makubwa sana, naomba nichukue nafasi hii kumpa pole mtani wangu kipenzi Evelyin Lance kwa kufiwa na mama yake mdogo aunt Phibe. Kama ninavyo share nanyi mara nyingi sana picha za mtani wangu akiwa na furaha, basi itakuwa ni uungwana kwangu mimi  ku-share nanyi picha zake au hali yake ya huzuni haswa wa kufiwa na ndugu yake wakaribu sana.

Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu
Mtani wangu (kushoto), Late aunt Phibe (kati), pamoja na mama yake mzazi mtani wangu ambaye pia ni dada wa marehemu

Mtani wangu, sina maneno ya faraja ambayo yanaweza kukuondolea maumivu uliyo nayo kwa sasa wewe pamoja na mama Eve, na ndugu wote!Lakini naomba ufahamu kuwa nimeguswa sana na msiba wa aunt and my thoughts and prayers are with you and your family. Mungu awape faraja na nguvu yakuweza kuyashinda yote wakati huu wa msiba mzito wa aunt! Pole sana my darling mtani, mama yetu Mama Eve, familia ya marehemu, ndugu, jamaa, na marafiki…… Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote! R.I.P aunt Phibe ?