Category Archives: General

Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu!

fb_img_1481684952956Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!……..Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow their ego nakukubali kuwa walikosea!……Yani kama unaswali uliza siyo unaanza umbea au majungu! Kwa mfano, wewe leo hii utoke ukamuulize babydad (mfano tu ?) juu  yangu mie unafikiri atakwambia nini?! Unless yupo 100% happy na maisha yake basi atasema ukweli lakini kama sivyo tegemea negativite tu!….. Mfano mwingine, wapika majungu wakazusha natafuta “Manager” na huyo Manager ndio atakuwa mume wangu ???? what a JOKE! Unabaki unajiuliza nani nilimwambia hilo swala? Yani nikaona watu wanatafuta kila aina ya attention kwangu ili nimchague kuwa “Manager” wangu!! Jamani, ngoja niseme leo SIJAWAHI KUMWAMBIA MTU YOYOTE YULE DUNIANI KUWA NATAFUTA MANAGER!! Never!! Nakama ningekuwa nataka Manager basi ninao ndugu ambao wako very qualified wangeweza fanya kazi hiyo na siyo mume wala mpenzi wangu!!……Kamwe haito tokea kuwa mume wangu au mpenzi wangu kuwa Manager wangu katika mambo yangu hata siku moja! He will always be my number one Adviser and Consultant but never my Manager! Nami nitafanya the same to him!  I will do everything to make sure anafanikiwa kwa mambo apendayo but I will never step in his spotlight! Mume wangu atakuwa muwe wangu na rafiki yangu mkuu and nothing more! Tusipende kukariri mambo, just so and so has done that haimaanishi na mimi Alpha has to do that!! We will be business partners but only one person will be the front-runner! Tutakutana kwenye board meetings n.k but not in the same office everyday!! Nope! Learned it very well from my parents! Kwanza wanaonijua vizuri huwa sipendi kabisa mambo ya ku-copy na ku-paste!! Na ndio maaana kuna watu hawalali thinking what is Alpha up to?! Reason behind hawajawahi kuona mtu ana blog kwa style yangu na wamekuwa so threatened with me! Nami nacheka tu because it wasn’t meant to make sense to you, its my thing for God’s sake, relax!! And No, I don’t have to do things according to your schedule!! Get a life please!!……..Anyway, siku zote kuwa unique usipende kuiga iga! Napia jifunze kumuliza muhusika vitu vinavyo muhusu huyo mtu ili umjue from one-one experience! Hepuka umbea na majungu!!

Emson confirmation party

fb_img_1481501350216Nimependa sana hizo saga za wanajeshi wako, walipendeza sana . fb_img_1481501378081 fb_img_1481501363538 fb_img_1481501350216 fb_img_1481501300981 fb_img_1481501272196 I❤❤❤❤❤ your dress! just ??fb_img_1481501244741 fb_img_1481501230306fb_img_1481501205455 fb_img_1481501175848 fb_img_1481501169119 fb_img_1481501153584 fb_img_1481501147455Mlipendeza sana! ???

Shikamoo Jackline Mengi!!!

screenshot_2016-12-10-20-42-42-1screenshot_2016-12-10-20-43-17-1I bow my head down to the glory of muke ya billionaire Dr. Reginald Mengi. ?? kweli wewe si mutu ya  mucheso!!………Please may I have a tour of your newly house pleasee! I swear I will make a trip to Machame just for you Jackline a.k.a Mama wawili ??screenshot_2016-12-11-10-30-02-1That dress is one to die for kwakweli! Ulipendeza sanaaaaaa ?? ………..Haya nyie wasichana wa DotCom mchukue mafunzo haya toka kwa Jackline, mnaona amefanikiwa kupata her dreamed house??!! Mwenzenu kaomba ajengewe Machame, kijijini kwao na Dr. Mengi!! Nasikia hiyo nyumba mpaka ina ranch ya Farasi! Embu tazama hapo mbele tu panavyo vutia!!……… Sasa nyie eti mnataka mpewe dream house zenu wakati kiwanja unatafuta sijui Masaki karibu na Jolies’ Club? inahusu?!! Eti ooh! baby naomba nijengee nyumba yangu Mbezi karibu na Trigo Motel, kha!! Sindio maana mnaachwa kwenye mataa mnabaki mnajiuliza why!!………….. Yani mie hapa nashukuru sana Bukoba kuna #Earthquake hakujengeki na baba yangu Dr Magu kagoma kutoa pesa hivyo tutabanana hapo hapo mujini ?????? Aku babu wee na mimi nataka niishi Mbezi ati tena karibu na kwa Ruge ili nimkodoleshe macho yake vizuri ???? ???screenshot_2016-12-11-10-32-35-1Yap! Nyumba kama hiyo inataka marafiki wanao jitambua siyo wakina Mwajuma ndala ndefu ??screenshot_2016-12-11-10-33-13-1Safi  , sanaaaaaa ! Hongera sanaaaaaa ??

Hongera Lady Jaydee na washindi wote wa EATV Awards-2016

screenshot_2016-12-11-16-49-29-1Hongereni washindi wote wa EATV Awards-2016. Kazi nzuri mmefanya!  fb_img_1481496497565Hongera sana Jide, mlipendeza sana na shemeji yetu wa nguvu ?? Wenye wivu wajinyonge kweli ??

Emson Confirmation pictures-part 1

fb_img_1481427992678Congratulations Emson on your confirmation, may  Almighty God be with you in every step of the way! Congratulations!……..please my good readers just enjoy the pictures my time is very-very limited right now got so much to do and am about to “hit” the sky ?? thus can’t write much nowadays fb_img_1481428196949This happened @Azania Lutheran Church, Dar es salaam , Tanzania fb_img_1481428176951 fb_img_1481428157820 fb_img_1481428126681 fb_img_1481428048104 fb_img_1481428003823 fb_img_1481427992678 fb_img_1481427982551 fb_img_1481427974324screenshot_2016-12-10-21-47-13-1 fb_img_1481427934711 fb_img_1481427905301

Siku ya haki za binadamu duniani: “Tuanze kusafisha nyumba zetu kwanza”-Mh. Samia Suluhu Hassan

screenshot_2016-12-10-18-01-57-1

Leo ilikuwa siku ya haki za binadamu duniani ambapo kitaifa kwa Tanzania yamefanyika katika viwanya vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam na mgeni rasmi alikuwa Mh. Samia Suluhu Hassan! Ujumbe wake kwa taifa amesema kuwa tuanze kwa kusafisha nyumba zetu kwanza hivyo kuondoa wala rushwa, watumishi hewa, n.k ni LAZIMA!!………. Hata mimi naungana na mama yetu kuwa tusafishe kwanza kwani mizizi ya hawa watu ilikuwa mikubwa na mirefu sana, kama haito ng’olewa basi itakuwa kazi bure kabisa!! Mtu yoyote yule mwenye akili timamu hata siku moja hawezi kuvaa nguo safi kwenye mwili mchafu naye akaridhika! Hapana! Ni lazima ata OGA kwanza atoe na UKURUTU wote alionao mwilini ndipo avae nguo yake safi hata kama siyo mpya! SAFISHA! SAFISHA!screenshot_2016-12-10-18-07-00-1screenshot_2016-12-10-18-03-23-1 screenshot_2016-12-10-18-04-21-1 screenshot_2016-12-10-18-05-03-1 screenshot_2016-12-10-18-05-16-1 screenshot_2016-12-10-18-05-43-1 screenshot_2016-12-10-18-06-16-1screenshot_2016-12-10-18-02-46-1,

Happy Indepence Day Tanzania!

fb_img_1481261406057

Happy Independence Day Tanzania!

Kheri ya Siku ya Uhuru Tanzania!

 

Hongera sana Mohammed Dewji: Mjasiriamali wa mwaka-Africa

screenshot_2016-12-08-11-37-39-1???? Well, deserved!

Ushawahi kula hii?

screenshot_2016-12-08-11-54-46-1Uuuwiii!! Mabungo oooo! Udenda unanitoka kha! Je ushawahi kula hili tunda?! Mimi nina miaka mingi sana sijaona wala kula Mabungo ?? nilikuwa nayapenda mno enzi za primary school! Dah! Sijui yanapatika kona ipi ndani ya Dar! Nina hamu nayo sanaaaa!…….. Sina huwakika lakini sidhani kama Mabungo yanapatikana ndani ya mkoa wa Mara?! Sijawahi ona! Ni kama nazi ni zao ambalo halipo mkoani humo. Btw, hivi nazi ni tunda au mboga? ??  kuiliza si ujinga bali nikutaka jua ??

Hongera 8020Fashions blog na washindi wote wa Swahili Fashion Week Awards!

screenshot_2016-12-08-11-58-48-1screenshot_2016-12-08-12-01-44-1screenshot_2016-12-08-12-01-32-1-1screenshot_2016-12-08-12-01-13-1-1Pongezi na hongera nyingi sana kwa washindi wote wa Swahili Fashion Week. 8020fashions blog you deserve it! Keep it up the good work ??

“Wana-Dar es salaam tuungane na viongozi wetu kesho katika kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa nchi yetu tukufu”-Jokate Mwegelo

https://youtu.be/hxVF8JU2XoA

screenshot_2016-12-08-09-09-34-1

This wedding!!!! Rayvanny is not a joke!

Shughuli ni watu haswa kama wanajua nini kimewaleta ?? Harusi au shughuli yoyote ile inapendeza sana kama watu wote wanafuraha na kuchangamka namna hii! Sio watu wanakwenda kwenye harusi au shughuli ya mwenzio halafu unaleta nyodo nyingiiii zisizo na mpango si ungekaa kwako oo!!……. Hongereni wenye shughuli mmependeza sana na mmejua kuipendezesha mno! The wedding imenifanya nikumbuke watani zangu ?? Na huyu Ravnnay anakuja juu eeh! Napenda sana ule wimbo wake wa #NatafutaKiki…..

We need you all on board with us!

screenshot_2016-12-05-14-51-02-1Asante Mr Kimaro kwa kuwa mmoja wa wanaume wanaopinga hadharani unyanyasaji dhidi ya wanawake! Tunahitaji watu wote wake kwa waume kupiga vita unyanyasaji wowote ule dhidi ya wanawake. Hata hivyo tunahitaji wanaume wengi zaidi kushiriki vita hivi kwani hiyo itatuonyesha kuwa kweli mpo teyari kubadilika na kutulinda! We need you all on board with us!

Je walijua hili? Kutoka ICTR kwenda MICT?

Leo nimejifunza kitu kipya! Sababu za kubadilishwa kwa jina na office za  ICTR Arusha  kwenda MICT embu na wewe elimika kidogo basi…….screenshot_2016-11-29-10-52-05-1screenshot_2016-11-29-10-51-37-1screenshot_2016-11-29-10-51-55-1

Stand-up comedy ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine-Jokate Mwegelo

screenshot_2016-11-29-10-45-21-1screenshot_2016-11-29-10-45-14-1screenshot_2016-11-29-10-44-41-1Beautiful! Umependeza mno Jokate wetu! That dress is WOW!!…………Ulichosema ni cha kweli kabisa. Hichi kipaji siyo cha kukidharau hata kidogo kwanza lazima uwe na akili shap sana ili uweze kuwa comedian mzuri. Yani lazima uwe na uwezo wakuona na kutengeza joke papo kwa papo. Pia ni sanaa ambazo zinahitaji maandalizi na nidhamu sana kama zilivyo muziki na mpiraa n.k ili uweze kuburudisha, na kufikisha ujumbe kwa jamii katika njia ya pekee. Binafsi ni mpenzi sana wa Stand-up comedy kama hazitumii maneno makali sana…….. Asante kwa maoni yako kwa jamii na viongozi hii pia ni ajira kubwa sana kama zilivyo ajira zingine. Kuna watu kama Jimmy Fallon, Kevin Hart, Jimmy Kimmel n.k ambao ni mharufu sana au hata Jay Leno na David Letterman ambao kwa sasa wamestahafu na wamejitengenezea kipato kikubwa sana kwa kutumia commedy hapa U.S.A……..pia kuna mpaka channel ya TV hapa inaitwa Comedy Central ambayo inaonyesha commedy siku nzima. Hivyo hii ni fursa ya kutizamwa sana na serikali pia watu ambao wangependa kuwekeza kwa wasanii wa aina hii.

Happy Anniversary Mr and Mrs Huckins

fb_img_1480301929179Neema my dear, forgive me mpendwa wangu. Ni mambo tu yamenielemea but please understand that I truly care for you my sister! And wishing you and my shemeji a very happy belated  anniversary. May your marriage be forever precious and eternal as you vowed before God! Happy anniversary sweetie and happy belated birthday.
fb_img_1480299096880To see the wedding pictures click ? NeemaWed  TheHuckins

Thanksgiving moment in NY!

fb_img_1480089766607My darling mtani enjoying Thanksgiving day with family! Mimi penda sana huyu mtani wangu such a humble charming lady! We go all the way back from CBE ?? ubarikiwe sana mtani wangu na rafiki zako wotefb_img_1480089771007Yummy! delicious!
fb_img_1480089761179fb_img_1480089754640fb_img_1480101029422-1fb_img_1480101020071fb_img_1480101014267fb_img_1480101006256

Cheka urefushe maisha

screenshot_2016-11-25-10-19-40-1screenshot_2016-11-25-10-18-16-1

Happy Thanksgiving everyone! Enjoy your Turkey!

fb_img_1480014583150Did your Turkey need a boost? let me share my recipe from Bongo Bite…..So that you can have the most juicy, flavorful Turkey you have ever had..fb_img_1480014576262Recipe from my Bongo Bite kitchen library…Rub the turkey with the mix of fresh ginger, fresh garlic, cummin power and olive oil…When it’s already cooked will turn up to be like this gorgeous beautiful golden color….fb_img_1480014566900When it’s come to juicy and flavorful….. Before you put you turkey in the oven first inject Turkey with the mix of orange juice, lemon juice and chicken base….. The secret ingredient is chicken base right there…You don’t have to marinate overnight…They will call you genius ooohh!! Hahahaaa!…You will eat even the bone.. If you have any questions just inbox me …..HAPPY THANKSGIVING Y’ALLimg-20161124-wa0000??? ?????????? Happy Thanksgiving to  you all. Nimeamua ku-share nanyi recipe kutoka Bongo Bite. Credit yote ni kwa Bongo Bite (copy and paste)…..Enjoy your Turkey

Please Vote for Lemutuz: the best education page on Insta

screenshot_2016-11-24-11-15-52-1screenshot_2016-11-24-11-15-30-1screenshot_2016-11-24-11-15-36-1-1Tafadhali tumpigie kura nyingi sana Lemutuz! Ukweli kabisa hakuna kama yeye kwenye Instagram!! Unaweza usikubaliane na life style yake lakini huwezi kupinga ukweli kwamba ni Akili kubwa sana!! Mie sio mpenzi wa Insta lakini kuna watu wachache wanaonifanya niende huko nikitaka vitu vizuri vya kushare nanyi na my kaka Lemutuz. Le Akili Kubwa ni mmoja wao! Please vote for him! Btw, who still buying newspapers nowadays?!! They are too expensive na pesa hakuna simnajua baba yangu Dr. Magu kabana hadi penati ?? yani Social media ndio mambo yote. Na kikubwa sana ninachompendea Lemutuz ni mambo ya FACTS!! Yani yeye huwa hana longolongo na majungu yeye ni mzee wa FACTS! Please give him a big Vote, you know, I’m humbled ?? ??