Category Archives: General

Womanhoood!

img_20161121_172554-1screenshot_2016-11-21-08-38-15-1screenshot_2016-11-21-08-38-10-1screenshot_2016-11-21-08-47-37-1

Diana Edward Lukumai-Miss Tanzania 2016 in a war to end female genital mutilation (FGM)!

screenshot_2016-11-21-08-32-47-1

#SayNoTo FemaleGenital Mutilation

#SayNoToChildrenAbuse

#SayNoToWomenDomesticAbuse

#SayNoToEarlyChildhoodMarriage

#SayNoToGenderDiscrimination

“This loss hurts.But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary Clinton

https://youtu.be/G6d4ZqvCe4Y

Madam Hillary amegusia kitu ambacho mimi binafsi nakiamini sana “fighting for what’s right”! Sema amenipa nguvu zaidi kuwa katika kupigania kile unacho amini kuna machungu ya kushindwa lakini katika maumivu hayo hayo bado usiache kuamini katika kupigania kile unacho amini kwani thamani yake ni kubwa!  “This loss hurts. But please never stop believing that fighting for what’s right is worth it.” —Hillary………. Natumaini wasichana wengi watajifunza mengi sana kutoka kwa Hillary Clinton kuanzia aibu aliyoipata mbele ya uso wa jamii kutokana na scandal ya mumewe kuwa na mahusiano na Monica, they way she handled the situation with all the dignity to herself and her family. Vikwazo alivyopitia kama mwana siasa mwanamke nabado akaweza kumudu kufikia kuwa mgombea urais. Pamoja na kuwa alikuwa mke wa mwanasheria, mke wa mwana siasa maarufu na first lady lakini hakuacha ndoto zake zipotee, amepigania kuakikisha she has her own legacy in this great land!…… Nimfano mwema sana ameonyesha siyo tu kwa taifa la Marekani bali ulimwenguni pote!……..Namtakia retirement njema with all the blessings! ??? fb_img_1478632096859

 

Matukio katika picha: Jokate Mwegelo

screenshot_2016-11-05-15-32-14-1 screenshot_2016-11-05-15-39-56-1 Kidoti is doing what Kidoti is supposed to do! Endelea hivyo hivyo vijana wanakuitaji Jokate wahamasishe kufata ndoto zao na mbinu za kupambana na vikwazo ndani na nje ya familia. Naamini kwa kufanya hivyo hata wewe huta amini jinsi watakavyo kubadilisha maisha yako……good job! Keep it up!screenshot_2016-11-05-15-40-56-1screenshot_2016-11-05-15-40-51-1 screenshot_2016-11-05-15-41-40-1 screenshot_2016-11-05-15-42-03-1screenshot_2016-11-05-15-38-54-1Nimependa sana huo ubunifu wa kufunika mabenchi. Sio kama zama zile unakuta benchi lina vumbi na kutu halafu wanataka ukae ??

“The art of letting things and people go” -Lemutuz

screenshot_2016-11-06-11-24-57-1 screenshot_2016-11-06-18-12-22-1-1screenshot_2016-11-06-11-24-47-1-1-1

Ziwa Rukwa linaangamia!

Hili kwakweli linasikitisha sana tena sana! Hapa wakulaumiwa ni wote viongozi waliopewa dhamana ya kuongoza na kulinda mali asili za nchi pamoja na wakazi wa eneo hili!!……Viongozi hawa walikuwa wapi miaka yote?  Mkuu wa mkoa wa miaka iliyopita na viongozi wa halmashauri ya eneo hilo nafikiri wanastahili kufunguliwa kesi! Hili halikubliki hata kidogo jamani! ……Pia wakazi wa eneo hili nao ni wakulaumiwa kwani jukumu la kulinda mali asili, mazingira, na usalama wa nchi yako haswa eneo ukaalo ni wajibu wa kila raia. Swala la UZALENDO kwa Watanzania walio wengi ni tatizo kubwa sana!! ……..Mungu atusaidie ??

Matukio katika picha: Anna Kweka send-off party

img-20161104-wa0008Anna Kweka aliingia ukumbini kwa furaha na madaha kabisa….
img-20161104-wa0007 Nakutakiwa kheri na baraka zote zifuatane nawe katika hii safari mpya ya maisha yako. Mungu akuongoze , ukawe mke mwema, ndoa yako ikajae furaha na amani siku zote! Mbarikiwe sana wewe na mwenza wako ?img-20161104-wa0006 img-20161104-wa0005 img-20161104-wa0004 img-20161104-wa0003 img-20161104-wa0002 img-20161104-wa0001img-20161104-wa0009img-20161104-wa0010Kwa kifupi Anna Kweka ni rafiki yake mdogo wangu Magreth mwenye gauni la purple hapo juu (second from left)……….Najua Anna alipendeza sana lakini kikubwa kilicho nivutia mimi ni style yake aliyo itumia kwenda kumuinua her husband to be ….. . embu tazama video hapo chini ?

Amependeza kwakweli, inavutia saaaaaaana

“Americans walinifundisha to never judge anyone without facts for myself” – Lemutuz

screenshot_2016-11-03-15-07-18-1screenshot_2016-11-03-15-07-11-1

“Hujafa hujaumbika. But why this?” Hoyce Temu

screenshot_2016-11-01-22-28-49-1screenshot_2016-11-01-22-29-03-1.

Hillary Clinton and Dr. Victoria Kisyombe

fb_img_1477837356453Soon to be Madam President of United States of America Hillary Clinton , and Dr. Victoria Kisyombe back in 2014, U.S.A #TBS

Family time!

screenshot_2016-10-26-13-11-02-1What a beautiful family picture! Too cute! …,,,and happy birthday to her, blessings be upon you! Siwafahamu, nimetoa kwa Jokate……!

Job interview part 4: by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-22-19-29-59-1screenshot_2016-10-22-19-29-27-1

Nawatakieni wiki njema!

fb_img_1477313464662Yap! If you have “closed” mind  better have “closed” mouth as well!………,,,.. Nawatakieni wiki njema yenye baraka nyingi?

“I am a public figure, and have a name to protect…….. I need justice”- Mrs Ritha Mlaki

screenshot_2016-10-22-19-32-30-1screenshot_2016-10-22-19-33-00-1May your plea be heard and justice be done in Jesus name??

Job interview part 3: by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-18-22-37-34-1screenshot_2016-10-18-22-52-18-1

Job interview part 2: by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-18-22-37-34-1screenshot_2016-10-18-22-52-07-1

Job interview part 1 – by Hoyce Temu

screenshot_2016-10-18-22-37-18-1 screenshot_2016-10-18-22-38-51-1

ASANTE MH. JPM KWA UKWELI NA UWAZI-Peter Sarungi

Maisha ya binadamu ni mafupi sana ukilinganisha na mipango yake, hivyo kuishi kwa binadamu kunahitaji tyming kwa kila jambo. Hivyo Ukweli na Uwazi ni nguzo kuu ya maisha yetu ya kila siku.c1Kumekuwa na gumzo kubwa katika mitandao ya jamii kuhusu kauli ya Mh. JPM juu ya kutambua wake wa Marehemu Dr. Massaburi, wengine wakimshangaa na kumlaumu JPM na wengine wakimsifu kwa kusema ukweli uliofichwa na msemaji wa familia.

Binafsi nampongeza sana Mh. JPM kwa kuondoa huo Ukakasi katika jamii nyingi za watanzania, nimemuelewa sana JPM na kauli yake ya Ukweli itasaidia wajane na watoto wa viongozi wanaokuwa wanatangulia mbele za haki kama Massaburic5Ukweli ni kwamba Massaburi alikuwa ni kiongozi wa kitaifa lakini pia alikuwa ni mtu anayetokea katika jamii ya kabila la LUO. kabila lenye tamaduni na desturi mbalimbali ikiwemo ya kuwa na wake zaidi ya mmoja. Kwetu Ujaluoni kuna sababu za kuwa na wake wengi, moja ya sababu ni kuendeleza Ukoo. Naamini Dr.Masaburi alikuwa na ndoto ya kuendeleza na kupanua Ukoo wake utakao beba jina Massaburi, na hili amefanikiwa ila sijui amefanikiwa kwa kiwango gani alichokuwa anataka. Na amefanikiwa kwa sababu ya kuwa na wake wengi, maana huwezi kuwa na watoto 20 kwa mke mmoja ukiwa na miaka 56 hadi mauti yanapo kufika. Na kama ukilazimisha watoto 20 watoke kwa mama mke mmoja tena kwa kipindi cha miaka 30 ya ndoa basi huo utakuwa ni Unyanyasaji wa wanawake ambao WALUO wengi hatupendi unyanyasaji huo. Sisi WALUO tunajua Marehemu alikuwa na wake watano ambao alifanikiwa kupata nao watoto na wote wanatambulika kwa mila na desturi zetu. c2Nadhani msemaji wa Familia alikengeuka kutoka na haya mambo ya protocal za serikali na chama pamoja na kuiga tamaduni za magharibi. Asingekuwa ni kiongozi wa kitaifa basi WALUO tungefuata taratibu zetu zote za LUO katika Mazishi yetu, tumeheshimu serikali na chama.

#Mytake tusipende kuiga kila mtindo wa maisha kutoka Magharibi hata na sisi tuna mitindo ya maisha iliyotulea toka enzi na enzi za mababu zetu na inatufaa kulingana na mazingira yetu ya kiafrika. Afrika nayo ina imani, desturi na mila zetu tusipotezwe na itifaki za serikali na vyama tukajikuta tinasema Uongo na kuficha Ukweli.

Peter Sarungi akiweka signature kwenye msiba wa Dr. Didas Massaburi
Peter Sarungi akiweka signature kwenye msiba wa Dr. Didas Massaburi

Asanteni sana.

fb_img_1472436063790Asante kaka yangu kwa kuongea ukweli…… Hapa Mh. JPM aliongea kama rafiki wa karibu wa marehemu. Pia kutokana na mambo ambayo yaliyo jitokeza ambapo kama Rais asingetumia sauti yake (his power) kusema hadharani basi kuna uwezekano mkubwa wa baadhi ya wake na watoto kunyimwa haki yao ya mirathi haswa mke mkubwa ambaye she has been the wheel ya maendeleo ya Dr. Massaburi kiuchumi!! Asante Rais kwa kusema ukweli?

Mwanamke nyumba!

screenshot_2016-10-14-11-38-12-1Nimekutana na hii picha huko Facebook nikaipenda sana……. Ubunifu uliyo tukuka! Too cute!

“Maishani amini kuwa Mwenyezi Mungu ndio mpangaji wa kila jambo na si binadamu yoyote”- Diamond

screenshot_2016-10-10-10-38-02-1screenshot_2016-10-10-10-37-50-1