rumor has hit in the streets of social media that the man in the picture is our new shemeji?! If this is true not kutafuta #kik za mujini basi mimi ninafuraha sana moyoni ?? Nasikia kitu ni #InternationalMachineGun ???? yani hana rafiki mujini wala Kiswahili hajui ?? Jide amejuaje kuwakomesha wambea ?? salute to you Jide ?? Wacha wee ??he! he! he! kama namuona mtu mzima Ruge na loser wake macho yamewatoka waki kodoa kodo ?? #Salome You go Jide enjoy your chocolate candy bar #JotoHasira #WanaumeKamaMabinti
????? Jamani ngoja tu tucheke maana haya matokeo ya kura jinsi yanavyo enda yanatupa pressure tu ?? sasa hiyo picha inaonyesha jinsi Black people hali yao itakavyo kuwa baada ya Trump kutangazwa mshindi (hopefully he won’t win), watu watakuwa na boat party going back to Africa! ?? O’Lord help us! ??
Je umebahatika kuona Ushuhuda wa Masanja katika harakati za kujikwamua na kujiendeleza kiuchumi? Kama bado basi pitia page yake ya Facebook tafuta hubiri lake liendalo kwa jina la “Komaa mpaka kieleweke”! Naamini kama wewe bado upo katika harakati za kufanikisha ndoto zako basi itakusaidia sana !
Najua kuna tribute za nyimbo za zamani nyingi zimefanyika, lakini hizo hapo chini ? ndio nazipenda zaidi! Hata hivyo Salome ya Diamond naweza sema ndio umeweza kufanya vizuri zaidi ya yote. Hii inatokana na technology ya mitandao pampja na ubunifu wa aina ya uchezaji pamoja na mavazi. Vile vile muamko wa Watanzania kupenda nyimbo za nyumbani kumechangia
1. KARUBANDIKA by Mtoto wa Dandu
2. SIWEMA by Lady Jay Dee
https://youtu.be/dvxnmnzu-58
3. SALOME by Diamond ft Rayvanny
4. ‘SHOGA’by Fina Mango
https://youtu.be/S7VlU6pqEwY
5. MUHOGO WA JANG’OMBE by Lady Jay Dee
6. KIZAI ZAI by Linah Sanga
: Natamani Fina Mango atengeneze tena remix (tribute) ya wimbo mwingine. Ana sauti nzuri sana.