Future Bosslady doing what she knows best ? Mdogo wangu ni mtu mwenye akili sana ma ana vibaji vingi sana, na mbunifu. Jioni ya leo (masaa ya Tz) katoa maji kwenye chupa na kutengeneza viatu ? Mawazo ya mtoto yoyote yule yanajengwa na wazazi au jamii inayo mzunguka. Ukimuacha mtoto akawa anaishi na kuzungukwa na watu ambao mawazo yao ni hasi basi usitegemee mema kutoka kwa huyo mtoto kwani ubongo wake utakuwa umejazwa vitu ambavyo sio sahihi na itakuwa ngumu sana kumbadilisha mtu kama huyo. Wazazi ni vyema kuruhusu na kuwajengea mazingira huru watoto ili waweze kutoa mawazo yao katika njia mbali mbali inasaidia kujua talent zao mapema. Here she’s in Indian attire, beautiful Okay, let keep keeping up with her ??
Category Archives: Keeping Up with Blessing
“Wanasema eti Tanzania hatuna demokrasia lakini hawasemi wanatulinganisha na nani?”-Hoyce Temu
Keeping up with Blessing!
Someone is ready to wear dad’s jacket and assume all the responsibilities ? just remember me on that payroll list ?? Mwe! Some are just lucky siye wengine we set on the floor nyakati kama hizi ?? nashukuru sana kwa walimu wetu walio tufundisha kwa upendo na kujiona wa thamani sana Mwl. Jane, na Mwl. Masamu will always love you!Friends we make along the way are the soul of our precious journey called LIFE !