Nimependa sana hii picha ya Nambua Cassandra na mama yake mzazi mama Mlaki. Hii ilikuwa wiki iliyopita kwenye babyshower ya Nambua. Mmh! So touchy, lovely, and priceless moment. Happy Mother’s Day to both of them!
Category Archives: Mother and daughter moment
Mother and daughter moment: Mama Essy na Essy
Mother and daughter moment!
Wema atinga Chadema bega kwa bega na mama yake! Limekuwa si jambo la kushangaza sana kuona mama Sepetu akiwa mguu kwa mguu katika maswala yanayo muhusu binti yake Wema Sepetu, japo kwa safari hii imekuwa tofauti kidogo na matukio mengine anayo yafanya!…….Wema amemwaga manyanga ya CCM na kubeba manyanga ya Chadema juu tena kwa madaha na mbwembwe nyingi huku mama yake mzazi akiziunga mkono na kuzibariki mbwembwe hizo!……. Je, nguvu ya mrembo huyo yatosha kumng’oa Magufuli / CCM madarakani?!! Mimi sijui kwani Siasa isn’t my cup of StrawberryMango smoothie! Bali naweza sema tuombeane uzima ili tushuhudie mambo 2020!……wishing her the best in her handover!
Nitarejea…….!
Hello wapendwa wasomaji wangu, natumaini wote hamjambo. Mie mzima wa afya hofu na mashaka ni nyie mlio mbali na upeo wa macho yangu 🙂 🙂 🙂 ……..wapendwa nime wamiss sana ila naomba mnivumilie tu simnajua nipo Bongoland na mambo ni mengi lakini soon tutarudi katika hali yetu ya kawaida na kwa nguvu mpya!…..Hata hivyo nawashukuru sana Halotel kwa internet ya uhakika! Nawasii wote tumieni mtandao wa Halotel kwa mawasiliano yenye viwango vya kimataifa!……..Nitarejea….!
Mother and daughter moment
Katika wazazi ambao nawahurumia pia na mu-admire sana ni mama yake Wema Sepetu! Ni mmoja wa wazazi ambao wanapitia changamoto nyingi sana katika maisha ya kila siku kutokana na maisha ambayo binti yake ameamua kuishi; hivyo kahilo namuhurumia sana! Lakini kama nilivyowai kusema huko nyuma (somahapa) kuwa ni mama ambaye ananifurahisha sana na jinsi anavyo simama bega kwa bega na binti yake, katika mabaya na mazuri! Kwa wazazi wa Kiafrika ni ngumu sana! Wachache mno wanaweza fanya afanyavyo mama Sepetu! Na kwasababu hiyo anakua mfano mzuri sana wa kuigwa! Mtoto wako ni mzigo wako mpaka kifo. Huwezi mkana au mkataa mtoto wako eti kwasababu tu haendani na maisha utakayo! Big up mama Wema!
Mother and daughter moment!
Mimi hapa na mommy angu hapa ni siku ya Juma Mosi iliyopita tukiwa nyumbani Keko Juu teyari kwa mtoko wa harusi ya mtoto wa jirani yetu and a good friend to mama…….Jamani sasa hivi tunaishi mbali hivyo tukitaka kwenda kwenye sherehe za maeneo ya Tabata, Mbezi n.k inatubidi tulale kwenye mji wetu wa zamani (Keko Juu) kwani wakati wakurudi kuna kuwa mbali na kabla ya kufika home kuna pori fulani hivi huwa hatupendi kupita usiku sana….Sasa hivi nafikiri itabidi kuangalia sana sherehe za kwenda kwani usalama wetu ni muhimu sana japo so far hatujawahi sikia kitu chochote kile ambacho ni cha kutishia amani au usalama wa eneo hilo!
mother and daughter moment!
Foster na mama yake wakiwa Dubai wakati wa family holidays vacation ya 2016! Wamependeza sana
What a lovely picture of Nambua na mama yake, beautiful and inspiring! ……by the way ushawahi kusikia Cassandra Lingerie?! Wanakwambia “Mwanamke vazi la ndani”! Yani huko ndipo mambo iko kwa wasichana na wanawake wanaojijali na kujithamini fika Cassandra Lingerie ukajionee mwenyewe!
Mama na binti yake!
Mama na bintie
Mother and daughters moment
Raha sana pale watoto au mtoto wako ndio anakuwa rafiki na shabiki wako number moja! Yani ni mbaraka wa pekee kwani kuna wamama wengine mmmh! Wamama wa DotCom yani hata watoto zao wanawakimbia! ??? Yani LB namfananisha na Kris Jenner mama yao Kim Kardashian jinsi alivyo karibu na watoto wake hadi raha!
Wamenoga eeh! Wanavutia sana! Hata kama huwafahamu lakini lazima utakuwa unajisikia furaha kuwatizama!…….. Mbarikiwe sana LB na familia yako!
Mothers and daughters moment
My darling aunt Sophia Ateng and her beautiful daughter AnnD…… I love them so muchMama na binti yake Nyasungu (Magreth) na Nyandege (Sarah)….love my people. by the way kwa wale msiomjua Sarah ni my niece mtoto wa my sister Anyango-Nyoyoo
Mama na binti yake
Mama na binti yake
Mother and daughter moment
Mother and daughter moment
Mother and daughter moment!
Mama Mercy and Mercy ?? Kwakweli namshukuru Mungu kwa kunipa fursa hii ya pekee ya ku experience motherhood! Nampenda sana mwanangu lakini napenda kuitwa kwa jina langu “Alpha”!! Nashukuru kuwa nyumbani kwetu wote huwa wananiita kwa jina langu ? Just call me by my name you make me proud! Mwanangu huwa ananiita jina langu la kilugha ??