Category Archives: Music

Subalkheri mpenzi waonaje hali yako? Sabaihauri lazizi hali yangu Kama yako!

????Subalkheri mpenzi waonaje hali yako? Sabaihauri lazizi hali yangu kama yako! Waonaji wazazi nyumbani utokeapo? Kawanusuru mwenyezi hofu yao juu yako!!????

Mimi siyo mpenzi wa taharabu kivile, nasikiliza kama nimekuta mwenye radio anasikiliza lakini mimi kama mimi kwakweli huwa si sikilizagi! Sijasema kuwa taharabu ni mziki mbaya hapana! Mimi ndio siyo mpenzi wa taharabu! Hata hivyo Kuna baadhi ya nyimbo za taharabu ambazo huwa nazipenda Kama kimaso maso, muhogo wajang'ombe n.k basi na huu wa Sabalkheri mpenzi ni mmoja wao! Tatizo mie nihizo lugha za mwambao sizielewiiiii ???  Mjaluo mie Oswahili nasinda mimi ?? Mie nilikuwa nafikiri wanasema "Subaheri" Kama jina la mwanamke  ?? kumbe ni salamu za hasubui "Subalkheri" ndio nimejua leo. Anyway, nice tribute, ila kwa mawazo yangu naona ipo Okay haija Outdo the original version! Yani wameimba vizuri na mazingira safi sana yanayo endana na wimbo, lakini bado unaweza sikiliza original version ukapata the same feeling! Unaona kwa mfano tribute ya Salome jinsi walivyo fanya kuanzia mavazi, midundo, style ya kucheza inakupa hisia tofauti kidogo na Salome original version ambayo iliimbwa na Saida Karoli! But all in all great job! Nimempenda sana.

The coming back of Saida Karoli! #Orugambo

Alpha Igogo-blogger

Where are my Haya people here in America! We need a “Pa-tt-y” with our Legend, the one and only one Saida Karoli! #Orugambo ………Viza sialipata? Sasa nini kinashindikana tena? Let’s party please ??? ngoja ninyamaze ?? cause I can see “The 50 shades” of Wahaya kutoka Dallas ??…… Saida, wakola karungi mnoooo! Nakuhulira omuhaya olige ??? kasinge waitu, owamawe ntikuijuka mno! uko vizuri sana!……Omukama Mungu akulanze obyoma wifi yangu Saida ??

https://youtu.be/Dn1s4H9Kbag

Nmwenzile inye tinkimulekaaa! Orugambo lwaki!…..Baby give it to me ah ×5

Mbali ndikulaba kodooo……..mbali tulikugya kodooo

Wanakodoa kodoo ×2 macho kodo, macho kodo

Baby. umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni  usije niacha nikaumia baba ×2