Continue reading “A vindictive askofu……….askofu Gwijima……” Chege Kilahala
Category Archives: Spirituality
“Women are everywhere but Queens are scarce”!
“Hii ni sababu mojawapo kwa nini ni lazima kuachia ya nyuma yapite”- Pastor Caleb Migombo
Umeshagundua kuwa ukiendelea kumchukia mtu, chochote kile walichokutendea kitaendelea kukuumiza maisha yako yote? Hasira zetu na chuki huzidi kutonesha vidonda vya majeraha ya huko nyuma (zamani).
Hii ni sababu mojawapo kwa nini ni lazima kuachia ya nyuma yapite na – kwa msaada wa Mungu – kufungulia hasira na chuki vitoke kabisa katika maishani mwetu, na badala yake turuhusu Upendo wa Mungu kukaa ndani yetu. Kama tusipofanya hivyo, mioyo yetu itatiwa sumu na kujaa chuki na uchungu maisha yetu yote yaliyosalia, badala ya kuakisi upendo na rehema za Kristo.
Kumbuka Yesu anasema: “ Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowaudhii” Mt 5:44.
Uchungu wote na ghadhabu na hasira na kelele na matukano yaondoke kwenu, pamoja na kila namna ya ubaya. Waef. 4:31
Pastor Caleb Migombo: The Most important advice for life’s crossroads is this:
The Most important advice for life’s crossroads is this:
” Seek God’s will.” He knows what’s best for you and me, and He doesn’t want us to wonder aimlessly through life.
Never forget: God made you, and He knows all about you-including the gifts and abilities He gave you. More that, He loves you and wants what is best for you. Maybe you’ve been living for yourself and for the moment rather for Him and for things eternal. But don’t stay on that path; you will only end up at a blank wall if you ignore God’s plan for your life.
“I will instruct you and teach you in the way you should go; I will counsel you and watch over you” Psa 32:8