Pumzika katika amani ya Bwana my uncle Dr. Didas Massaburi. You will greatly be missed by many!……Poleni sana ndugu zangu wote, watoto wa marehemu na wake za marehemu aunt Janeth Massaburi, mama mdogo NyarKigoma, NyarTanga, na NyarKowak……Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe milele zote ?
Kwa faida ya wasomaji wangu: Naomba nieleze kwa kifupi kuwa marehemu ni cousin-brother wa baba yangu. Mama mzazi wa marehemu, pamoja na marehemu bibi yangu mzaa baba, na mama yake Dr. Makongoro Mahanga ni blood sisters!