Category Archives: Uncategorized

Uchungu wa mwana…..!

Kuna siku nilichelewa kurudi nyumbani!dingi akanikata stick nyingi sana akaniambia hakuna kula mchana!mtembezi hula miguu yake,afu mama ndio alikua anaepua maharage jikono na kitu cha wali kilikua tayari chini kinanukia hatari!!haya bna nikaenda kulala kwa huzuni kubwaaa sana huku tumbo likinguruma kwa njaa!!watu wakala wakamaliza mk nikajipitisha ili hata mzee anionee huruma nile lakini wap!!Nikashangaa mama ananiita kwa Hasira,We kuja hapa Pumbavu wewe Chukua hyo ndoo hapo uende ukachote maji!!nikazidi kuumia kuona mama nae ananipa kazi na njaa yote ile!!basi nikasepa kinyonge nikiwa njiani nikahisi kwenye ndoo kuna kitu kufungua hivi nakutana na bakuli kubwa limejaa Waliiiiii ?????? kwanza nililia kidogo kwa furaha than nikaula fasta?? IMG-20160508-WA0002Happy mama’s day

Source: one of THC members

Asante sana Mrs Nyongo!

Early today Mrs Nyongo doing God’s business! Reading a word of God in Sydney. Australia
Earlier today Mrs Nyongo doing God’s business….! Sydney. Australia

Wishing you a very blessed and happy Mother’s Day today. May you spend this day reflecting on how great is our GOD who gave you this great title. He said in Isaiah 66:13 “As a mother comforts her child, so will I comfort you; and you will be comforted over Jerusalem.” …… So you are a great Mother not because of your effort and hard work. It is because He EMPOWERS you. Hope that you continue to receive all the blessings from above

2015-04-22 21.13.43Wow! Asante sana Mrs Nyongo! Indeed, I am powerless and nothing without Him! Ubarikiwe sana mke mwema, and Happy Mother’s Day to you, mama Kimati, and Mama Nyongo ❤❤ ❤

Happy Mother’s Day mama Willy

Screenshot_2016-05-08-11-30-35-1Screenshot_2016-05-08-11-30-28-1

Happy Mother’s Day mama Tee wa ukweli!

Screenshot_2016-05-08-11-26-35-1Screenshot_2016-05-08-11-25-19-1

Happy Mother’s Day mama Wakazi

Screenshot_2016-05-08-11-39-08-1

Happy Mother’s Day mama Diamond

Screenshot_2016-05-08-11-29-25-1Screenshot_2016-05-08-11-29-33-1

Happy Mother’s Day mama yake na mtani wangu!

FB_IMG_1462719245562-1My rock forever and always. God keep on watching over this amazing lady for us. Happy mother’s day

2015-04-22 21.13.43Wow! Mtani wangu what a TBS ya mama yetu! Priceles! Happy Mother’s Day mama yake na mtani wangu. Ubarikiwe sana.

Happy Mother’s Day Mh. ShyRose Bhanji

FB_IMG_1462717425977Mtoto wa mwenzio ni wako! And it takes a village to raise a child! …….Happy Mother’s Day da ShyRose Bhanji, ubarikiwe sanaaaaaa! ❤❤❤

Happy Mother’s Day mama Musira

FB_IMG_1462710012163-12015-04-22 21.13.43Sina la kusema mama yangu mkubwa kwani hakuna zaidi ya Asante mama. Nakupenda sana 1st born wa marehemu bibi yangu Valeria Awiti,  mlezi wa mama yangu wakati akisoma secondary Rugambwa. Mlezi wangu mimi nilipokuwa nasoma Kowak Girls Secondary school.  Asante sana Bi Mkubwa, nakupenda sana! Happy Mother’s Day to you!

FB_IMG_1462710025277-1FB_IMG_1462710034134Malkia wangu wa nguvu.Happy Mother’s Day

A word of wisdom: “To a beautiful woman”!

FB_IMG_1462710232314

Happy Mother’s Day mama Kaduga

FB_IMG_1462710207452“I love my momy more than…!!!God bless you!!!

Happy Mother’s Day mama Mbuna

FB_IMG_1462710105187Happy Mother’s day to my lovely mum Evalyne Mbuna. I thank God for you because he used you to bring me into this world. You are more than a mother but a friend, a confident and my biggest advisor. You have taught me a lot but most of all you gave me unconditionally love. Despite my age you still worry about me, pray for me and concerned about all aspects of my life. Thank you mama .

I would also like to wish a very Happy Mother’s day to all my sisters, aunts and friends. We should thank God for allowing us and choosing us to be his partners in creation. He gave us the strength to carry our precious babies in our tummies for nine months , gave us courage to endure labour pains and most of for giving us the strength and talents of being many professionals in the family and especially to our children.  Also I would like to recognise all single fathers who are doing a fabulous job of raising beautiful and respectful children alone. May God continue to give us all wisdom to guide our children in the right path.

May we all have a blessed and fabulous day.

Happy Sunday my FB family

A word of wisdom: Mother’s Day msg

FB_IMG_1462710442570Ushindwe wewe mama unaebadili rangi ya kucha kila wiki lakini neti za watoto zimetoboka kubadilishi

Ushindwe wewe mama kila siku ukirudi nyumbani unawaza tamthilia zako wanao wanaogeshwa na kupikiwa na housegirl.

Ushindwe wewe mama unayepata muda wa kusogoa mtaani, unga wa lishe ya mwanao anakuandalia dada

Ushindwe wewe mama unayemtegemea mwalimu na housegirl wamfundishe mwanao kila kitu

Ushindwe wewe mama unaebadili pea za viatu kila siku wanao viatu wameshonashona mpaka fundi anashangaa

Ushindwe wewe mama usiyetaka watoto wako wachangamane na watoto wengine wala hutaki kumpa mtoto wa mwingine kitu chochote eti maisha magumu!

Ushindwe wewe mama usiyetenga muda kusafisha nyumba vizuri kila siku watoto vikohozi, mafua, upele eti unakimbilia hosp kwa specialist

Ushindwe wewe mama usiyetunza mazingira yako matakataka yamesambaa, mapampers ya mwnao yamesambazwa na kunguru mtaa mzima halafu unajiita mzuri

Ushindwe wewe mama mwenye mtoto mchanga mikucha kama mwewe! Mtoto unamuogoshaje? Halafu kutwa mi-perfume! Hujafundwa?

Happy mother’s day

Jiongeze???????? FB_IMG_1462710846171Nimekaa nikawakumbuka wale ambao wanahasira na mama zao jamani! Nawaombeni muwasamehe tu kwakuwa wao pia ni binadamu wanakosea. Yaani inauma ukikutana na mtu anayemchukia mamake huwa wanalia kwa uchungu wakikueleza walivyotendwa na mama zao. Poleni kumbukeni kusamehe 7 mara 70 mtabarikiwa ajabu

2015-04-22 21.13.43Happy Mother’s Day to my sister Penny Tenga and Mama Tenga. ❤❤❤

Hot shot of the day: Nani kama mama! Asante Bi Mkubwa!

FB_IMG_1462687184929For me, I know for sure if it wasn’t for my mama’s unceasingly prayers I wouldn’t have been here! Mama ni Mungu wa pili hapa duniani! Mungu awabarikiwa sanaaaaaa mama zetu! #NaniKamaMama

Happy Mother’s Day to all mothers out there!

2016-05-04 08.59.26Happy Mother’s Day to all mothers around the globe! God knew physically He wouldn’t 2015-04-22 21.13.43be with us all the time thats why He created mothers! My salute to all mothers! Happy Mother’s Day to you ❤❤❤ mama Igogo!

FB_IMG_1462709820284 FB_IMG_1462709842849Huyu ni mama yangu aliyenifulia madaso na si pampas km siku hizi alinivalisha brauzi ndefu alipokuwa hana pesa ya kununua chupi au kaptura. Aliuza vitumbua tule. Sitasahau kipindi tunauza lishe nyumba kwa nyumba km wainjilisti wa vitabu. Viatu vyangu viliitwa baba sina uwezo Nguo zetu ziliitwa midabwada. Aliyeugua nilipougua na bado anasumbuka ninaposumbuka. Asante saaana bimkubwa nakupenda saaana siku zote. Mungu azidi kukutangulia na ufurahie maisha yaliyobakia kwako. Amina

2016-05-04 08.59.26-1Moms are best friends…… Happy Mother’s Day

“Msingi wa kuwa na familia yenye furaha ni upi?”

FB_IMG_1462659025878Kuna mambo mengi yanaweza kutuletea furaha ndani ya familia, kwa mfano pesa, kuelewa kwa ndugu, kupendana na mengine mengi. Wewe unadhani kitu gani ndio msingi wa furaha kwenye familia zetu za siku hizi!?

Happy Mother’s Day mama Kachare

FB_IMG_1462679648143Mama yangu, mama wa mie, mama wa Esther Kachare #Rozalia kachare #Ezekiel Ephrahim Kachare #Leonida Kachare #Neema Kachare.Tunakupenda sana mama yetu, miezi 9 ×5 Tumboni kwako , Hatuna neno FB_IMG_1462681892477nzuri na tamu la kukuambia, hatuna uwezo wa kukulipa mama…..Mungu akulinde, akujaalie Maisha mema na marefu AMINA ….Asante Bi mkubwa!

In competition with the Alpha yesterday!

2016-05-07 23.11.40In my own race, I am competing with the Alpha yesterday, I can’t compete with you, for I know not your origin nor your destination ???     2016-05-07 23.11.01#LetAlphaBeAlpha #TeamPositivity #KalamazooMichigan2016

Jumaa Mubarak

FB_IMG_1462542587997Nawatakieni Ijumaa njema ilivyo jaa baraka tele. Mtukumbuke kwenye swala zenu…….. kwa Wasabato wenzangu muwe na maandalizi mema ya Sabato, na pia muwe na Sabato njema. Kwa wengine wote tumsifu Yesu Kristo! ……kaa karibu na waridi ili unukie! Sorround yourself with true love then you will learn how to love others! ❤❤❤

#FBF

FB_IMG_1462552509844#FBF…..! leo nimeamua ku Flash-back hii picha tulipiga mwaka 2013 mara baada ya kumaliza lunch / dinner ya birthday ya mama yetu iliyofanyika pale Dar Sport Lounge. Kwenye picha ni mimi mwenyewe, mama mzazi hapo kati, pamoja na kaka yangu mkubwa. Huyu ndo first born wetu lakini hutokaa umuone active kwenye social medias kwani yeye na social medias ni vitu viwili tofauti kabisaaaaa! Yani hata wats app anatumia once in a blue moon. He is a very good entertainer ila ndo mpaka umfuate kwake. Anapenda sana wageni, you will enjoy visiting him! …………..Anyway, Mother’s Day is around the corner, there’s no word is perfect enough to express how I truly thank God for my mama. She’s one mother of her own kind! A very rare gemstone from Kowak, Rorya Distric, Mara region! God keep blessing her! Love you mama Igogo!

??? nimekumbuka kitu.,,, marehemu bibi yetu mzaa mama alikuwa anashangaa watu wa Dar wakimuita mama “mama Igogo”! Akawa anauliza kwanini wanamuita hivyo kwani yeye ndo kamzaa Igogo? ??? Nikamwambia bibi hayo ndo mambo ya mujini, karibu ujionee ??? I miss my bibi. R.I.P Valeria Awiti, kipenzi changu na my best friend!

Je una picha ya mama yako ungependa ku share nasi kwa ajili ya mother’s day. Na ujumbe wowote? Ni inbox kwa Facebook au nitumie hapa nami nita share.