Category Archives: Uncategorized

Group picture of the day

FB_IMG_1461941177539Wapendwa, naomba nianzishe kipengele kipya cha “group picture of the day” maana naona kunawatu wanapiga picha katika magroup na ni nzuri tuki share humu ili tufurahie sote. Hivyo leo naanza na hii hapa. Our Queen Lady Jay Dee na fans wake juzi kati maeneo ya Jackies, Masaki.  Wamependeza sana!

Happy 75th birthday mama Anna Mkapa

Screenshot_2016-04-29-10-44-32-1 Happy 75th  birthday mama Anna Mkapa! May each day bring you bright, sunny moments that will stay with you all year long! …… Sure when you see a daughter in law praises her mother in law like what Foster has done, better keep counting your blessings! Happy 75th birthday! Be blessed always.

#MabadilikoSioMiujiza…!

Unataka mabadiliko- unayoyahubiri kutoka kwenye “kiti” chako cha baa unayoenda kila siku unapotoka kazini, unawahubiria watu wale wale unaokutana nao kila siku, tena unajisifu unaipenda baa hii wanakujua unakunywa kwa ku-saini

Unataka mabadiliko– wewe unayeenda kunywa baa ya makaburini baada ya kumzika rafiki yako aliyekufa kwa ajali iliyosababishwa na ulevi

Unataka mabadiliko- baba hujui hata mwandiko wa mtoto wako unafananaje, hushiriki malezi ya mtoto wako ukitegemea kuna ‘App’ itakayokufanyia hilo

Unataka mabadiliko-  baba unayerudi nyumbani usiku wa manane kila siku, ukiingia nyumbani lazima uanzishe ugomvi

Unataka mabadiliko- mzazi hushiriki vikao vya shule

Unataka mabadiliko- jina la jirani yako nyumba ya pili hulijui

Unataka mabadiliko- hushiriki vikao vya maendeleo ya mtaa wako

Unataka mabadiliko- unapoona watoto/vijana mtaani kwako kwenye vijiwe vya bangi/madawa ya kulevya unapandisha na vioo vya gari yako kwa sababu hawakuhusu

Unataka mabadiliko- unaruka kukwepa maji yanayotoka kwenye bomba lililopasuka barabarani, huendi kuripoti popote kwa sababu sio ‘inshu’ yako

Unataka mabadiliko- unatoka nyumbani kwako na takataka kwenda kuzirusha barabarani au mtaroni mtaa wa pili

Unataka mabadiliko- unapomaliza kula ‘ashikirimu’ yako ya azam, korosho zako za barabarani unarusha karatasi bila hata kuangalia inaenda kuangukia wapi

Unataka mabadiliko- hujitumi zaidi ya, huwezi kufanya zaidi ya kile ulichojiandikia kuwa ndio kazi yako, huwezi kujitolea kumsaidia mwingine awe mfanisi katika kazi yake, huangalii ufanyeje kazi kwa ufanisi kufanikisha malengo yako ili ufanisi wako na mafanikio yako yawe chachu ya mafanikio ya mfanyakazi mwenzako au wenzako waliokuzunguka, huwezi kujitoa kwa sababu sio kazi yako

Unataka mabadiliko- huwezi kumshirikisha mwingine wazo lako kwa sababu yeye akilijua ataonekana bora kuliko wewe au atalifanyia kazi na kukupiga bao

Unataka mabadiliko- hujafikiria kujiwekea hata dakika ishirini kwa siku kufanya mazoezi

Unataka mabadiliko- hukumbuki mara ya mwisho lini umechukua kitabu chochote kujisomea au kujifunza kitu kipya

Unataka mabadiliko? Anza Wewe kubadilika Leo. Usisubiri #MabadilikoSioMiujiza  FB_IMG_1461880854402

Andrew Sanga’s “King 404” Wake and life celebration

*** INFORMATION ON ANDREW “404” SANGA’S WAKE AND LIFE CELEBRATION ** (04/30/16)  FB_IMG_14618532128001)VIEWING AND LUTHERAN PRAYERS OF THE DEAD : As announced last week, we are going to partake Lutheran Church prayers as dictated by Church doctrine.

  • These services will be preceeded by or go along with the viewing of the body and paying our last respect.
  • Services will be held on Saturday April the 30th 2016 starting at 1p.m (1300 hrs)
  • Services will take place at: 2400 S. Wilcrest Dr, Houston, TX 77042
  • ***It is however suggested based on high levels of emotions, viewing should be upon our own discretion.
  • ***It is okay to skip this and participate in other respect paying activities.
  • To reiterate, this will be our ONLY opportunity to pay respect before Andrew’s body is sent ready for his Eternal home!

2)A LIFE CELEBRATION FOR ANDREW Family of the deceased decided to CELEBRATE rather than MOURN Andrew’s transition to his second and peaceful life.

  • We therefore are going to gather after the Church services for dinner preceeded by a Prayer at the Fund Raiser location.
  • 11916 Bissonett Suite #170, Houston, TX 77099.

REMINDER **** Although termed as CELEBRATION, this is a family’s wish to say goodbye to their and our beloved in their own way, we are HIGHLY reminded to dress MODESTLY as this is not a traditional cocktail party.

DRESS CODE: We are requested to dress in BLACK/WHITE attire (and/or)

For, Special Organizing Committee  Saidi Nusura, Secretary .

“Dear men”

Dear Men ,

LADIES DO YOU AGREE? Money is not love and what melts a woman’s heart is the time you spend with her and how you treat her. Don’t let money be the only thing you have to offer because a real woman worthy being your wife is not all concerned about money and other material things. What will you do when the money runs out? Will she leave you for another man with cash? She may look like it is all heaven enjoying your money but believe me, she is longing for that connection that money can not bring and I wouldn’t be surprised if she is cheating on you with a very poor random guy without money but a spark of love. Women crave for attention first then gifts.

Please Share to let other men know that women are not gold diggers. FB_IMG_1461818924231credit: GetInspired Facebook page

Happy 15th birthday Nelson

FB_IMG_1461702693572-2Nephew, are you sure you’re 15 years old today! ?? for a min I thought Madam Judge has made wrong calculations, I can hardly believe it!………. Happy 15th birthday dear nephew. May the love of God be on your side wherever you go! Enjoy your teenagehood and have many more happy returns. We all ? you! FB_IMG_1461721349612-1

Happy 15th bithday to my boy. Mungu wetu a ku zikishindwa baraka zake uzime mishumaa mingi, kiasi cha kusahau idadi yake. Eeh Nyasachwa med ritona nyakwar merwani……. Amen!

Hello single ladies!: Men are born to pursue women!

FB_IMG_1461552776654

Source: Doctors.com

FB_IMG_1461372354627

 

Mr and Mrs Dangote: Special edition

Screenshot_2016-04-26-08-12-58-1The cutest couple ever! Wanapendezaje sasa! Nasikia kuna reality show yao inakuja! Nafikiri mimi nitakuwa mteja/ fan wao mkubwa! I just love them hata sababu sina ?? Screenshot_2016-04-26-08-14-47-1Isn’t that beautiful! Huwa nawafananishaga na Tim McGraw na Faith Hill ?Biography_Famous-Couples_Faith-Hill-McGraw_SF_HD_768x432-16x9nawapenda sana hawa love birds halafu mie ni shabiki mkubwa wa country music hivyo imenifanya nizidi kuwapenda Screenshot_2016-04-26-08-14-47-1_5529Zari si kwa macho hayo ati ?? too much love around here ?? Screenshot_2016-04-26-08-15-33-1cute! Screenshot_2016-04-26-08-19-59-1-1Diamond better have insurance coverage for those legs ?? hiyo miguu huwa hawapewi watu ovyo ovovyo; miguu adimu hiyo! Screenshot_2016-04-26-08-16-15-1lovely! Ngoja niwasindikize na wimbo huu toka kwa Faith Hill “The Way You Love Me”!

Hot shot of the day

FB_IMG_1461698176915-1Mwangu mie huyu! Mrs Mmbando! Hips don’t lie! Mashallah! …..Kikazi zaidi pendeza sana. Ubarikiwe mno!

“Soma hapa yaweza kukusaidia”

Screenshot_2016-04-26-14-10-00-1FB_IMG_1461697783891-1??? hii kazi ya uwalimu naona imekufaa haswa! Naona unapendeza pia kuwa mtoa ushauri nasaa ?? Haya asante Mwalimu tutafata ushauri wako japo number 8 sijajua kwanini umesema “mama tu” kwani wakina baba hawapendi maendeleo ya watoto wao? Funguka basi!

Happy Anniversary Mr and Mrs Mmbando

Screenshot_2016-04-26-14-15-41-1Happy belated Anniversary to both of you. Nawatakieni maisha marefu zaidi yaliyo jaa furaha na amani zaidi ya sasa……… Mkwe asante sana kwa kumtunza vyema binti yangu naona anazidi kupendeza tu siku hadi siku! Mke mwema asante kwa kumtunza mkwe wangu vizuri. Mbarikiwe sana. Happy Anniversary Mr and Mrs Mmbando ???

*jamani single ladies na newly wed mmesoma hapo juu ? kuna TIPS ya ndoa njema. Mie nisha copy, haya ngoja nijifunze kumvumilia huyu Muhaya wangu ???*

About Tanzania

FB_IMG_1460582701084Source: Dr. Magufuli’s Facebook page

Wanawake wa Mkoa wa Mara ni nguzo ya chuma!

Screenshot_2016-04-25-12-58-04-1

Yes, Maria! We make things happen! Hatutaki mchezo siye. Tuna stahimili mikimiki na changamoto zote za maisha just to make them happen. Wanawake wa mkoa wa Mara ni nguzo ya chuma hata tukiwekwa kwenye tanuru la moto hatuyeyuki kirahisi rahisi!….. Baba na kaka zetu wakiwa nyuma yetu wakitulinda na kuwa tayari kutunyanyua pale tunapo jikwaa au kuanguka! Na hata tukianguka huwa tunasimama like Ndi Ndi Ndi! In Lady Jadee’s voice  ??……… Hongereni dada zangu for making it happened. Mara ladies rock! Omg! We need to start an event for Mara Women Rock!

Kutoka Facebook

FB_IMG_1461589230124Mh. ShyRose Bhanji akiwa na mtangazaji wa Azam ndani ya studio za Azam Tv. Wamependeza sanaaaaaa! mkabarikiwe sana

Mother and son moment

FB_IMG_1461678874074-1Nawapendaje hawa watu! Mama na kijana wake! Kwa msiyo wajua hapa ni mama yangu mzazi ambaye ni mama mlezi / mama mdogo wa Mzee William (pembeni yake). Mzee William yeye ni mtoto wa marehemu baba yangu mkubwa. Yeye amekulia nyumbani kwetu toka ana miaka 4; ameanzia chekechea akiwa kwetu hivyo amelelewa na wazazi wangu…… tunamuita “mzee” kwa heshima ya kupewa jina la babu mzaa baba “William”. FB_IMG_1461678857148-1Hapa ilikuwa ni 2012 huko maeneo ya Kunduchi beach nyumbani kwa kaka yangu mkubwa. It’s not a throwback day but since it’s his birthday I decided to be nice by throwing back this ?? Happy birthday brother!❤❤

A word of wisdom: The sin of Presumption!

Touching Story. Don’t Judge Until you know the whole Truth!

A cat was so faithful that the woman could leave her baby with it and go out to attend other matters. She always returned to find the child soundly asleep with the cat faithfully watching over him.

One day something tragic happened. The woman as usual, left the baby in the “hands” of this faithful cat and went out shopping. When she returned, she discovered rather a nasty scene, there was a total mess. The baby’s cot was dismantled; his nappies and clothes torn to shreds with blood stains all over the bedroom where she left the child and the cat. Shocked, the woman wailed as she began looking for the baby.

All of a sudden, she saw the faithful cat emerging from under the bed. It was covered with blood and licking its mouth as it had just finished a delicious meal. The woman went berserk and assumed that the cat had devoured her baby.

Without much thought she beat the cat with a wood to death. But as she continued searching for the”remains” of her child, she beheld another scene.

Close to the bed was the baby, who although lying bare on the floor, was safe and under the bed the body of a snake torn to pieces in what must have been a fierce battle between it and the cat, which was now dead.

Then reality dawned on the woman who now began to understand what took place in her absence. The cat fought to protect the baby from the ravenous snake. It was too late for her now to make amends because in her impatience and anger, she had killed the faithful cat.

How often have we misjudged people, judge them and torn them to shreds with harsh words and deeds before we have had time to evaluate the situation? It is called SIN OF PRESUMPTION!

Presuming things without taking the trouble to find out exactly what the situation really is. Little patience can drastically reduce major life long mistakes.

Who are you misjudging right now. Who are you humiliating and ignore for they are? Who do you hate just because you feel they are just bad and you don’t like them for no reason? Don’t think what you think others are thinking. Take time to get the whole truth.

Share if you’re touched and use it as a LESSON! FB_IMG_1461678713305

The bosslady herself!

Screenshot_2016-04-26-08-16-27-1Awii! Muke ya Chibu Dangote! Shinning like gold! I love that dress. Zari can I please have that dress?! I promise you to lose weight just to make it fits me ??? it will be my motivation ??……. Be blessed

Je hii ni kweli!

Screenshot_2016-04-26-08-05-34-1Screenshot_2016-04-26-08-06-11-1

Inasikitisha sana! Miaka mitatu (3 yrs) ya kufanya kazi TRA ndo mtu anakuwa na nyumba ya namna hii at 32 yrs old?! Labda kama chanzo cha pesa yake ni familia yake lasivyo basi hili ni jipu kubwa sana! Nimesema “kama chanzo cha pesa ni familia” kwani sina huwakika wa hii story wala muhusika mwenyewe hivyo sitaki kumuonea mtu! Kuna wengine wazazi wao wanawapa nyumba na kila kitu hivyo huwezi make a conclusion kwa information nusu nusu! Lakini hawa wafanyakazi waTRA only God knows what to do with them! Je hii ni kweli?

Happy birthday mzee William!

FB_IMG_1461678895342-1Kheri ya siku ya kuzaliwa kwako mdogo wangu kipenzi mzee William! Nakutakia maisha marefu yaliyojaa upendo wa dhati na furaha ya kweli!  Ukabarikiwe mpaka ushangae ?? japo bado ninenuna mwenzio nilikuwa  nimejiandaa na kiwalo changu halafu wewe umenikatili hivyo ?? ………Happy birthday baby brother, I love you so much?❤ Screenshot_2016-04-26-14-14-22-1We ????????????????????You!

Please read this!

This is Officer Tyler with the Houston Police Department.

I have asked all of the witnesses to please not discuss details of the shooting with others.

It has come to my attention that threats and other comments have been made in person, on the phone (voice/text messages) and in social media.

All witnesses have been fully cooperating with us, the police, and we have asked them all not to discuss this case with others for the integrity of this investigation.

Can you please pass the information on to family and friends?

Thanks  FB_IMG_1461258477771

Angalizo: Tuwe waungwana, tuache kusambaza video clip ambayo marehemu amekuwa recorded akiwa chini damu zikimwagika kabla ya kupelekwa hospital. Nimetumiwa hiyo clip na Mzimbabwe mmoja anaishi Michigan! Inasikitisha sana kuona watu wameondokewa na UTU kwasababu ya mitandao! Si uungwana hata kidogo! Utu ni bora kuliko mali!